KRISTO MSHINDI -Kelvin Nyawili(Official Video 4)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 04. 2023
  • John Paul Mbeya Choir (JMC).
    Ufufuko wa Kristo ni ushindi Mkuu dhidi ya dhambi na mauti. Kwaya ya Mtakatifu Yohane Paulo II Mbeya (JMC) tunakukaribisha kwa mara nyingine kutafakari nasi juu fumbo hili la Pasaka. Sisi ni Wakristo Kristo aliye mshindi.
    Wimbo: KRISTO MSHINDI
    Mtunzi: Kelvin Nyawili
    Waimbaji: John Paul Mbeya Choir (JMC)
    Production: MOZEN Pro
    Kindly subscribe, share, like and comment
    #jmc #MOZEN Pro #Pasaka # Kristo mshindi
  • Hudba

Komentáře • 152