KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHURCH CHOIR

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 09. 2021
  • Please Subscribe to Njiro SDA Church Channel
    Hii ni Official CZcams Channel ya Kanisa la Waadventista Wasabato Njiro. (Njiro Sda Church)
    Ambalo pia ni Kanisa la Makao Makuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato Union ya Kaskazini mwa Tanzania.
    Itajihusisha na Kurusha matukio yote ya Kanisa la Waadventista Wasabato ndani ya Kanisa na nje ya Kanisa la Njiro, pia utapata kuona Video za Kwaya yetu pendwa ya Njiro Sda Choir kwa Album zote ikiwemo KISHINDO CHA WAKOMA.
    CZcams:
    / @njirosdachurch6802
    INSTAGRAM:
    invitescon...
    FACEBOOK:
    profile.php?...
    CONTACT: +255 759 219 376
    ‪@njirosdachurch6802‬

Komentáře • 2,4K

  • @rosenaliaka3254
    @rosenaliaka3254 Před rokem +352

    Am a catholic and my husband is an SDA member. I swear i will join him soon. This song had moved my heart, soul, body and spirit. I like everything. Much more love form this side of the country.

  • @JacklineIreri-bc2uo
    @JacklineIreri-bc2uo Před 11 dny +17

    Kama unasikiliza hii wimbo bado juni gonna like tujuane tukisonga Kwa mungu❤

  • @frankpablo8256
    @frankpablo8256 Před 4 měsíci +294

    Tunao tazama wimbo huu 2024 tupa like hapa❤❤❤❤❤❤😊

  • @charlesnyaluke7202
    @charlesnyaluke7202 Před 10 dny +7

    😂JAMANI 2030 TUKUTANE TENA KWA HII COMMENT MUNGU AKIWA UPENDE WATU ❤ TANZANIA 🇹🇿

  • @user-td5jf1sq7w
    @user-td5jf1sq7w Před měsícem +20

    Wanaoendelea kufuatilia mwez uu wa 5 .2024 ngoga lak watu wa mungu

    • @EmmyPetro
      @EmmyPetro Před 6 dny

      Haka nyimboo nikazur mnao kubali gongeni like ❤🎉🎉🎉

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi Před 4 měsíci +93

    February 6--2024 Bado song inanivutia Tupia like Zako hap Kam tup pamoja

  • @daddybenny
    @daddybenny Před 2 lety +1146

    Wimbo mtamu mno..hauchoshi kusikiliza..tupa likes kama umeukubali

  • @oyotata
    @oyotata Před 2 měsíci +24

    Watching it over and over again....in my house this is the cure. In the office I'm stuck at this message. Kama uko hapa today 19/04/2024 Preparation Day,rusha likes we gather blessings in unison!

    • @julietkenei3887
      @julietkenei3887 Před měsícem +2

      I am here 27/04/24 the message is so wonderful

  • @jacklinratemo3148
    @jacklinratemo3148 Před 4 měsíci +54

    Who is here 14/2/2024...Sweet song, i listen it daily ❤❤❤...

  • @JuliaMrosso-gx7ow
    @JuliaMrosso-gx7ow Před rokem +112

    Wimbo ni mzur sana jaman mungu awabarki wimbo utadumu kama neno la mungu amen nipen like jaman kama umewapa salute waliouimba

  • @SylviaMajuma
    @SylviaMajuma Před měsícem +6

    I'm not an SDA but l like your songs,dress code and teachings family life and health.

  • @user-yg3xp7em1w
    @user-yg3xp7em1w Před měsícem +1

    Hii wimbo na hii floods nalia sana kwa yeye alitetupenda kwa yeye aliyetupenda akiwa juu yetu na hakuna mwingine

  • @newtonogeto
    @newtonogeto Před měsícem +1

    Mungu akiwa upande wetu kwa hakika hakuna aliye juu yetu

  • @rehemapima769
    @rehemapima769 Před 2 lety +36

    Kama umewalewa gonga like

  • @CarolNyaga-yb5vc
    @CarolNyaga-yb5vc Před 2 měsíci +5

    When God is on our side who can be against us,april 2024....the song which is taken from the living word of God is my strong tower, hallelujah!!!

  • @ZawadiGasana
    @ZawadiGasana Před 5 dny

    Amen mungu akiwa upande wetu hakuna iliye juu yetu.mungu awabariki choir kwa nyimbo nzuri sana .

  • @jdk6859
    @jdk6859 Před 8 měsíci +50

    "Washami wakasikia kishindo cha magari kishindo cha magari ya Waisraeli na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma zilizo jawa uweza wa Munguu" in love this verse mbarikiwe

  • @sharonamugune2094
    @sharonamugune2094 Před měsícem +4

    2024 wimbo mzuri sana soon I'm joining sda nice song. I'm a PAG but my husband always tell me SDA church is the best 🙏🙏🙏

  • @JemimaWangari-fx6wo
    @JemimaWangari-fx6wo Před 6 měsíci +10

    Niko Saudi Arabia na this song is dedicated to girl who are working here. Hawa watu wee. Ni wakoma kweli

  • @user-bs7mi3td3f
    @user-bs7mi3td3f Před měsícem +1

    Mungu ali ye karibu na wamtuuuuuuuuuu...even in majot theater he escotef be and he covered me with sarving blood up until am here mana ake alikuwa karibu na mm❤❤❤

  • @user-xr9fg6sl7h
    @user-xr9fg6sl7h Před měsícem +1

    I love the song because am your member of sda songs are so sweet

  • @EmillyMunakacheka-ff1fu
    @EmillyMunakacheka-ff1fu Před 2 měsíci +3

    I will go back to sda very soon i remember those days when was an sda member this song moved my heart and my soul

  • @user-bs7mi3td3f
    @user-bs7mi3td3f Před měsícem +3

    I knew this song from last week but I hear to it mara nane Kwa siku....Nafrahi sana pare waweza kumuita El-Shadai waweza kumuita Adonai aweza kumuita Elohim...the bess aaaah melts my heart ohhhhh...shukuran sannah

  • @lutenikanali1602
    @lutenikanali1602 Před měsícem +1

    Mungu akiwa upande ni nani aliye juu yetu

  • @PastoryGerald
    @PastoryGerald Před 10 měsíci +19

    Watunzi wa nyimbo nawasihi wapate muda wa kusikiliza wimbo huu naamini watapata kujifunza namna ya kuinjilisha na siyo kutunga nyimbo za kupaparuka kama wahuni furani

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 Před rokem +26

    Hakika wimbo unanikumbusha mengi mazito.......Mungu akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetuuuu.

  • @annaki318
    @annaki318 Před 8 měsíci +32

    Wimbo mtamu huu kuliko hata chakula nani anabisha🎉🎉

  • @LucyNdolo
    @LucyNdolo Před 3 měsíci +2

    a nice song, kudos to the SDAs, your songs r ever worth listening

  • @JanethMchanja
    @JanethMchanja Před měsícem +1

    Mungu wa barik na upenda Wimborne huu sana

  • @user-zx1pf6ju3n
    @user-zx1pf6ju3n Před 10 měsíci +17

    Mungu akiwa upande wetu Nani aliye juu yetu wimbo huu unanifanya mm kua jasili kwa kila jalibu lijalo mbele yangu

  • @danielishmael3188
    @danielishmael3188 Před rokem +123

    Im muslim .but this song is touching so spritual💪💗what a master piece.

  • @TatuMohamediOmari
    @TatuMohamediOmari Před měsícem

    Pongezi kwenu mlioimba Kishindo cha wakoma, nautazama mara nyingi zaidi bila kuchoka

  • @SarmaBaya-up4gi
    @SarmaBaya-up4gi Před 2 měsíci +1

    J'aime cette chanson je la mettrai le jour de mon mariage ❤❤

  • @mamanabilnabilmama4013
    @mamanabilnabilmama4013 Před 2 měsíci +3

    ❤❤❤❤wimbo mzuri sana mbarikiwe na Mungu na baraka ziwe juu yenu Amen

  • @faithjep127
    @faithjep127 Před 2 lety +15

    Ni huu wimbo umenileta hapa...
    Nilienda kanisa ambalo liko mahali nafanya kazi na huu wimbo ulinigusa on the first day vijana walipoimba..
    God bless you Njiro

    • @njirosdachurch6802
      @njirosdachurch6802  Před 2 lety +2

      Karibu sanaa

    • @josephineomoiomoi7903
      @josephineomoiomoi7903 Před 2 lety +1

      Amen 🙏

    • @ernestshija7197
      @ernestshija7197 Před rokem

      Mimi imekuwa chakula changu naupiga kila siku haunichoshi,mtunzi alikuwa na nguvu ya Mungu ndani yake siku hiyo .Endelea kuchochea karama yako hiyo isizumike maana hata shetani anakuonea wivu simama imara kwa Bwana naye atakupifania Aminaaa.

  • @Jamesassey-kp5fs
    @Jamesassey-kp5fs Před měsícem +1

    Mbarikiwe nabwana❤

  • @KegeraGati
    @KegeraGati Před 2 měsíci +2

    Mungu Awape uwezo zaidi kuieneza injiri yake na zaidi ya yote Awatangulie yeyey shetani asije akawaingilie

  • @kerubocait2805
    @kerubocait2805 Před rokem +39

    A Catholic by faith. I am listening to this song and shading tears remembering how hard was 2022. God has been on my side, when Death was knocking on my theatre bed. Problem after problem then rejection hit me. Through this song 2023 is my testimony year, I call you Elshadai, I call you Adonai, I call you Elohim 😭😭😭. God Come intervene.

  • @annieannie4514
    @annieannie4514 Před 9 měsíci +99

    I'm a Catholic but this is one of my best songs 🥰🥰🥰

  • @josephbakari
    @josephbakari Před 7 měsíci +41

    Kama unausikiliza huu wimbo 2023 gonga like hapa tujuane

  • @MaryPaulo-ju9gv
    @MaryPaulo-ju9gv Před měsícem +1

    Naupenda mpaka basi mungu atukuzwe milele

  • @kesagutimseti2854
    @kesagutimseti2854 Před 7 měsíci +23

    For sure Tanzanians don't disappoint on this side..melody,proper swahili. The good thing is the song is from the bible itself..

  • @tedyshayo9192
    @tedyshayo9192 Před 7 měsíci +3

    Hakika nabarikiwa Sana kipitia wimbo huu kwa nyakati zote nazo pitia haijalishi Nina huzuni kiasi gani lakin nitashinda 🎉

  • @stayupethan6216
    @stayupethan6216 Před 9 měsíci

    ❤❤ee Mungu itie miguu yangu kishindo mbele ya maadui zanguu

  • @nancymwangi9438
    @nancymwangi9438 Před měsícem +1

    I deeply love this song thanks alot it has healed me from depression after loosing my favourite bro last year in Sept , kweli Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu❤❤❤❤❤❤

  • @SamuelMuhendero-ph9eh
    @SamuelMuhendero-ph9eh Před 6 měsíci +4

    5:16 Amina Mungu atukuzwe sana. Munanibariki sana kwa hii wimbo unanipa tena kujivunia na kutumainia Mungu zaidi.Niko Butembo Mashariki mwa DRC.

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Před měsícem +2

    Nyuso za waimbaji nazimebeba ujumbe wa nyimbo aisee ii inaonyesha maono makubwa🤝 Mbarikiwe mno 🙏

  • @nyaomavincent7500
    @nyaomavincent7500 Před 11 měsíci +45

    I remember when My Mother went into a comma I repeated this Song 21 times before Boarding a Bus to Home , Then I played Several times My Mother Gained again Blessfully Song , I can't forget I play daily

  • @yakobolusasu1821
    @yakobolusasu1821 Před rokem +17

    C mbalikiwe watu MUNGU muumba huu wimbo umebeba ushuda wa maisha yangu na familia yangu,ck ya kwanza kuusikiza nilishindwa kujizuia nililia mpaka wakanishangaa🥰🥰🥰🥰😇🙏

  • @mariaemaculatanjuu1163
    @mariaemaculatanjuu1163 Před 2 měsíci +5

    Yaani alitunga huu wimbo ajue kabisa amemshika kila mtu kiroho. Imagine huu wimbo umekuwa maarufu sanaaaaa

  • @TunketeMwenefumbo
    @TunketeMwenefumbo Před 24 dny

    Am a Catholic but I like this song very much ❤😊

  • @SilasKipkoech-nq8dx
    @SilasKipkoech-nq8dx Před 14 dny +1

    Hii nyimbo inaniondolea tu stress zote yani

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 Před rokem +26

    MUNGU AKIWA UPANDE WETU NI NANI ALIJUU YETU KWA KWELI WHAT AN INSPIRING SONG.TRULLY BLESSED

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 Před 2 lety +11

    Ameeeen!Mungu hashindwi na Jambo akiwa upande wetu.

  • @user-yv1dx2nb2e
    @user-yv1dx2nb2e Před 3 měsíci +1

    Mungu hajawah kumtupa mja wake❤

  • @ConfusedBeaver-vj4gr
    @ConfusedBeaver-vj4gr Před 3 měsíci +2

    Huu wimbo ni mzuri sana

  • @dalphineatembekwa9381
    @dalphineatembekwa9381 Před 2 lety +5

    Who is from tiktok... 💚🖤💛💓Nice song

  • @iddkinyamagoha9594
    @iddkinyamagoha9594 Před rokem +424

    I'm a Muslim here admiring the harmony voice and the message behind... "When GOD almighty is with you nothing can stand on your way"

  • @bonifacesalawa7136
    @bonifacesalawa7136 Před 9 měsíci

    Ujumbe umeshehena maneno ya kutia moyo Sana .. Mungu awabariki Sana k Aya hiiiiiii

  • @stephenmukwata1737
    @stephenmukwata1737 Před 3 měsíci +1

    Good job, may God continue blessing your voices. Wonderful message indeed!

  • @user-up1lo8hl8x
    @user-up1lo8hl8x Před 4 měsíci +3

    I feel blessed by this song.. Mostly now am facing difficulties in my marriage.. May God continue to take care of my baby and I...

  • @jossekibebekibesh1513
    @jossekibebekibesh1513 Před rokem +206

    Am born a Catholic but I always love the SDA gospel songs, this song will remain the best song 🎵 of all times

  • @RobertMaina-cw4iq
    @RobertMaina-cw4iq Před 2 měsíci +2

    The best song in 2024

  • @SelemaniMandary-fz1zj
    @SelemaniMandary-fz1zj Před 9 měsíci

    Wimbo mtamu sanaata ukiwa na mawazo yanapotea endlea kubarkiwa

  • @isdorylucas7886
    @isdorylucas7886 Před 2 lety +4

    Siku zote mnaujumbe mzuri sana ulioambatana na sauti tamu Mungu awabariki sana

  • @manfredbaraka67
    @manfredbaraka67 Před rokem +6

    Waweza kumuita elishadai waweza kumuita adonai waweza kumuita elohim MUNGU aliekaribu na watu iam in love with this lyric

  • @givenmyula7270
    @givenmyula7270 Před 9 měsíci

    Jamn Mungu apewe sifa wimbo hauchoshi kusikiliza

  • @philhadija6725
    @philhadija6725 Před měsícem +1

    Back here 2024 May God is amazing 👏 🙏🏾 🙌 ✨️ ❤️

  • @issamusamwakalu1090
    @issamusamwakalu1090 Před rokem +6

    Mm naskiza hii nyimbo kila wakati juu iko tamu saaan,congrats

  • @serrahsoko6684
    @serrahsoko6684 Před 9 měsíci +40

    Am Zambian enjoying this song to the fullest, may God continue blessing you as you continue taking the gospel to the whole world through music🥰🥰🥰

    • @loycemajige-cq8hy
      @loycemajige-cq8hy Před 8 měsíci

      Babe Lollian we fase
      Mloommmwmmw mmqqmmmm I’ll saaazzc was aaow laajko

  • @user-fd5yn8uu2b
    @user-fd5yn8uu2b Před 2 měsíci +1

    wimbo mzur Sana, mbarikiwe sanaaaa❤

  • @jenistermallya615
    @jenistermallya615 Před 2 měsíci +2

    Mungu akiwa upande wetu akuna aliejuu yetu

  • @victormtani7170
    @victormtani7170 Před rokem +26

    Mungu awatunze na kuwabariki sana wana wa Mungu SDA Njiro Arusha Tanzania kwa wimbo mzuri na mtamu Watu wanaokolewa na kubarikiwa na nyimbo za Watanzania. I love you Tanzania Yetu aendeleeni na kuitumia Bibilia maana ni Maandiko yote siyo km nyimbo za mitaani bali hizo nyimbo zimejaa maandiko matakatifu kabisa. Tubarikiwe sote

    • @gresmasawe4771
      @gresmasawe4771 Před rokem

      2008

    • @gabrielmkailwa
      @gabrielmkailwa Před rokem

      Mbarikiwe sana waimbaji,hakika huu wimbo ujumbe wake wanibariki sana nikiwa hapa Msumbiji hakika hauchoshi kusikiza. Mbarikiwe kwa ujumbe. All are possible in God's mercy.

    • @naomkerubo9802
      @naomkerubo9802 Před rokem

      Hhhkgjm. Gghhhhhhhhn. Gghhhkkwvvvnvnñvfnnncccçfmfvvnncgvcmccnccmçcccçccçç

    • @naomkerubo9802
      @naomkerubo9802 Před rokem

      Hhhkgjm. Gghhhhhhhhn. Gghhhkkwvvvnvnñvfnnncccçfmfvvnncgvcmccnccmçcccçccçç

    • @priscillamutava6483
      @priscillamutava6483 Před rokem

      @@gabrielmkailwa p00p00

  • @Perisshortstory
    @Perisshortstory Před rokem +80

    Is it a crime to watch more than 77 times 🤣🤣🤣I can't enough of this song🥰🥰Much love from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @franaelnnko8069
      @franaelnnko8069 Před rokem +4

      Sio crime 🤣🤣🤣, copy it, fanya uwe nyumban kwako, ni wako

    • @njirosdachurch6802
      @njirosdachurch6802  Před rokem +3

      Be blessed

    • @Lee-ng5wh
      @Lee-ng5wh Před rokem +1

      Listen more tha miĺlion times

    • @rehemanyalulu4850
      @rehemanyalulu4850 Před rokem

      Asanteni sana wimbo mzur

    • @isaacmogere4308
      @isaacmogere4308 Před 4 měsíci +1

      I don't count count how many times I listen the song if you know the distance from nyanza kisii to Nairobi UTAWALA

  • @NassoroJohn-qw9pv
    @NassoroJohn-qw9pv Před 2 měsíci

    mungu nimwema huuwimbo nimuzuli

  • @petersuvei-bf6cc
    @petersuvei-bf6cc Před rokem +1

    Mziki ulio enda shule,Baraka tele.

  • @violetkimani8426
    @violetkimani8426 Před rokem +8

    Wimbo mtamu sana,naupenda sana,hata waimbaji nawapenda mno

  • @agnesslulyali1549
    @agnesslulyali1549 Před 2 lety +7

    Mlivoanza imenoga Sana Jamani!nimeusearch kukusikiliza nikavutiwa kuitizama hatimae💕😊

  • @magesajnr296
    @magesajnr296 Před 2 měsíci +1

    Barikiwa sana watumishi wa Mingu

  • @LydiahOnyando-lr2xi
    @LydiahOnyando-lr2xi Před 2 měsíci +1

    The living lord bless the composer and the rest of the choir members for the good message

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 Před 2 lety +5

    Wimbo wa kumuimbia Mungu ukifikisha viewers million Moja ujue siyo mchezo mchezo.

  • @valinmerryweather9562
    @valinmerryweather9562 Před 5 měsíci +6

    Every morning when i watch this song….All my family member move in my chamber and then begin singing with me

  • @lucykei6041
    @lucykei6041 Před měsícem

    I had to go back read my Bible. Glory to Jesus🎉

  • @user-zi5sh1qd2r
    @user-zi5sh1qd2r Před 3 měsíci +1

    Mungu awapenguvu mpovizuri sana .

  • @UPENDODICKSON-zy7zf
    @UPENDODICKSON-zy7zf Před 4 měsíci +3

    Wimbo huu no Moja ya nyimbo ambazo za kiwango

  • @movineblessings7215
    @movineblessings7215 Před rokem +10

    Who believed that God can use anything..or something to save you gather here ..we praise 👏 HIS NAME.. ALMIGHTY GOD 🙏🙏🙏

  • @marionjons2288
    @marionjons2288 Před 3 měsíci +2

    Ameeen sitachoka kukumenti huu wimbo mtamu from the book of 1st Kings 7:4

  • @user-ye3ep8dz3c
    @user-ye3ep8dz3c Před 5 měsíci +1

    Barikiwen sana mungu awape ngvu

  • @RuthBwari-pw2vt
    @RuthBwari-pw2vt Před 3 měsíci +3

    2kings chapter 7. When I read about God in the bible am left wondering. Please be this powerful in life. God it's as if you only did this things on the bible.

  • @user-ex2li6rz9o
    @user-ex2li6rz9o Před 9 měsíci +4

    Wimbo mzuri Sana wa kutupa moto tusikate Tamaa maishani.mubarikiwe Sana wana wa Mungu.

  • @PetroMally
    @PetroMally Před 24 dny

    Wimbo mzri sana mungu awabariki walioshiriki wote awape maisha marefu

  • @jackjackdaudi3573
    @jackjackdaudi3573 Před 9 měsíci +1

    Kabisa wimbo mtamu sana mbalikiwe

  • @mukafumumukafumu6100
    @mukafumumukafumu6100 Před rokem +4

    Huu ni wimbo pekee niliowai kuupenda tofauti na Catholic songs. Asanteni sana.

  • @paulineonduro355
    @paulineonduro355 Před rokem +5

    Tutashinda zaidi ya kushinda kwa yeye aliyetupenda

  • @FebroniaYustin-dd6it
    @FebroniaYustin-dd6it Před 9 měsíci

    Mungu akiwa upande wetu nani aliye juuu yetu

  • @bahatiisote5949
    @bahatiisote5949 Před měsícem +2

    Nyimbo nzuri sana haichoshi wala kuchuja

  • @HakizimanaGashabana
    @HakizimanaGashabana Před 2 měsíci +3

    Wimbo mzuri sana inanifariji sana

  • @mongarenancy9963
    @mongarenancy9963 Před 2 lety +12

    Nabarikiwa na huu wimbo. Mungu abariki waimbaji wote na mtunzi.

  • @user-dj3mf8mb6c
    @user-dj3mf8mb6c Před 7 měsíci +1

    Kiukweli wimbo unanibariki sana

  • @violachonya6832
    @violachonya6832 Před 2 měsíci

    Wimbo mzuri! Sauti nzuri! Mungu awabariki sana🙏