JOLLOF RICE -KISWAHILI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 03. 2019
  • Pesti ya Pilipili boga na Nyanya
    Nyanya za kiasi 2
    Pilipili boga nyekundu 3
    Kitunguu 1 kikubwa
    Pilipili ya kuwasha (Kama utapenda)
    Chembe 8 za kitunguu thom ( kama utapenda)
    Tangawizi mbichi kiasi
    Curry Powder
    Mbegu za giligilani vjk 2 vidogo
    Mbegu za rai/haradari kjk 1 kidogo
    Bizari nzima /uzile Kjk 1 kikubwa
    Bizari tamu nusu 1/2 kjk kidogo
    Pilipili manga nzima kjk 1 kikubwa
    Karafuu nzima nusu ½ kjk kidogo
    Hiliki nzima Kjk 1 kikubwa
    Mdalasini vijiti 2 au ya unga kjk 1 na ½
    Tangawizi ya unga kjk 1 kidogo
    Bizari ya manjano kjk 1 kidogo
    Pilipili ya unga kjk 1 kidogo
    Pilipili ya paprika kjk 1 kidogo
    Kungumanga ya unga robo ¼ kidogo
    Mahitaji ya wali
    Vijiko 2 vikubwa mafuta ya kupikia
    Kitunguu 1 cha kiasi kilokatwa (gawanya x 2)
    Majani 2 bay leaf makavu
    majani ya saatari mabichi au makavu Kjk 1
    Bizari za mchuzi kjk 1 na ½ mpka 2
    Tangawizi mbichi ya kusaga Kjk 1 kikubwa
    Paste ya pilipili boga na nyanya kikombe 1 ¼
    Nyanya nzito ya mkebe kjk 1 na ½ kikubwa
    Vikombe 2 ½ mpka 3 vya supu ya kuku ilokolea
    Vikombe 2 mchele
    Chumvi kiasi
    Aroma of Zanzibar social media
    / fathiya.ismail
    / aromaofzanzibar
    Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas czcams.com/users/results?searc...
    Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
    faroukambok...
    Music courtesy / contemplative-middle-e...
    This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
  • Jak na to + styl

Komentáře • 137

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  Před 5 lety +10

    IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINK czcams.com/video/QRDMLRpTEs0/video.html
    JOLLOF RICE RECIPE FROM GRATED NUTMEG www.gratednutmeg.com/
    SHUNA'S KITCHEN WALI WA JOLLOF WA KONDOO czcams.com/video/Nh0XdpV7Lyo/video.html

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 Před 5 lety

      Mashaallah wajd fannani..😋😋

    • @khadijanassor7698
      @khadijanassor7698 Před 5 lety

      MashaAllah yani leo nimekupenda bure mum Sina hata maneno ya kujieleza. Napenda jinsi unavyo tufahamisha kwa umakinifu sn luv from Mombasa Kenya 😘😘😘

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Shukran darling

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 Před 5 lety

      Naomba siku moja utuonyeshe pakiti ya mchele wako wa basmati jamani. Wangu naotumia naona sio mzuri nkiuloweka na kuweka chumvi Kama kwenye video zako nkaupika unakatika katika na kuwa uji. Natumia ROYAL Basmati. Au Kuna sehemu nakosea

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Michele can be challenging, I use Royal basmati too for a long time but lately I bought the same brand with different packaging it was so bad , the one am used to is in a sack bag not the fancy shiny tetra packing.

  • @juweiriyawanjiku4443
    @juweiriyawanjiku4443 Před 5 lety +5

    Aroma of Zanzibar... Mashallah nimependee jinsi ulivyo watajaa na Wenzako katika pishi lako poa sanaa. Allah bariq & Ramadhan Mubarak. Kutoka kenya♡

  • @raudhatrashid7486
    @raudhatrashid7486 Před 2 lety

    Mashaallah Allah awaparki nyotee

  • @abdallahsalem8499
    @abdallahsalem8499 Před rokem

    Looks yummyyyy😋😋😋

  • @arafaibrahim8922
    @arafaibrahim8922 Před 5 lety +1

    mashallah , Ramadhan inakaribia inshallah mapishi ya falafel tafadhal

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia Před 5 lety +1

    Mashallah 😋😋😋👌🏻

  • @BillysFamily
    @BillysFamily Před 5 lety +2

    Twala kwa macho very simple na umefanya pishi hili kueleweka sana . Shukrani kipenzi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Karibu sana dear lakini wewe usipike bado mpaka upate pilipili yako

    • @BillysFamily
      @BillysFamily Před 5 lety

      Sawasawa shoga shukrani sana kipenzi.

  • @rahmahamis7417
    @rahmahamis7417 Před 5 lety +1

    Mashallah sante dear Allah akuzidishie

  • @ShunasKitchen
    @ShunasKitchen Před 5 lety +1

    MashaAllah, finally video ipo live. Shukran dear

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 Před 5 lety

    MashaAllah. Safi saaana. Shukran

  • @heryfonda7060
    @heryfonda7060 Před 5 lety

    masha Allah pish zurii

  • @rukiahhdbdn4798
    @rukiahhdbdn4798 Před 5 lety

    Maa shaa Allah
    Allah akupe afya Aamiiyn

  • @alikhamis4055
    @alikhamis4055 Před 5 lety +1

    Mashallah nimeupenda sana

  • @sherryshazala7123
    @sherryshazala7123 Před 5 lety

    Simple nd sweeeet . Thanks for sharing ❤

  • @mtakimafwiri7498
    @mtakimafwiri7498 Před 2 lety

    nimejaribu kupika huuwali jmn ni mtamu sananaaa natamani kilamtu ajaribu

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 Před 5 lety

    Masha Allah asante dear

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 Před 5 lety

    Mashaa Allah.ntajaribu

  • @mankaskitchenafricandelica7201

    Looks great and yummy thanks for the recipe dia.

  • @queenharriet3695
    @queenharriet3695 Před 5 lety

    Nitajaribu. Huu wali nmeitamani sana kuijua. Asante kwa kuposti.

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 Před 5 lety

    MashaAllah
    Shukran sis

  • @tumuswaleh4323
    @tumuswaleh4323 Před 5 lety

    Shukran I always wanted to learn this recipe..tnx🥰

  • @yungbulu
    @yungbulu Před 5 lety +2

    Your tutorials are amazing, I’m always learning new traditional recipes, keep it up 👏🏼💯

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 Před 5 lety

    Mashaa Allah nimepika Leo na ilikuwa Mamu Sana . Shukran Kwa mapishi

  • @umlee3530
    @umlee3530 Před 5 lety

    MashaAllah 😋

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 Před 5 lety

    Looks yummy
    Shukran❤❤❤

  • @spaice995
    @spaice995 Před 5 lety

    My favorite channel

  • @nassorhamad5872
    @nassorhamad5872 Před 5 lety

    maashaallah nzuri Sana kama nakula vile jinsi ulivyo mzuri

  • @missdee7488
    @missdee7488 Před 5 lety

    Mashallah kinavutia

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 Před 5 lety +1

    In shaa Allah tutaujaribu. Shukran.

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 Před 5 lety

    Mashaallah nimejikuta tu mate yanindondoka haha asante bi aroma

  • @michellembai9520
    @michellembai9520 Před 4 lety

    Mashallah 😋😋😋😋😋

  • @user-ym7ek3no3o
    @user-ym7ek3no3o Před 5 lety +2

    قريب من الكبسه السعودي نفس الطريقة شكرا لك

  • @zainabu7626
    @zainabu7626 Před 5 lety

    MashaAllah!

  • @nopain8931
    @nopain8931 Před 5 lety

    Chakula tamu mashallah.inakaa kama machboos

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 Před 5 lety

    Mashaa Allah

  • @margretwangari1018
    @margretwangari1018 Před 5 lety

    Hongera

  • @raudhanaly1352
    @raudhanaly1352 Před 5 lety

    asante pishi zuri

  • @naimabruno1351
    @naimabruno1351 Před 5 lety

    Inavutia yummy yummy.. 😋

  • @nopain8931
    @nopain8931 Před 5 lety +1

    Jazakillah kher😊

  • @magzakky2781
    @magzakky2781 Před 4 lety

    Apart from learning everything from you am also here because of your swahili... Nimependa kiswahili . Wako much love from kenya❤️🇰🇪

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 Před 5 lety

    Mashallah

  • @maryanabdi9380
    @maryanabdi9380 Před 5 lety

    Mashallah asante sana nimependa mapishi yako yote mazuri mungu akubarik

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura Před 5 lety

    Ma Shaa Allah habbty

  • @munirazenji9819
    @munirazenji9819 Před 5 lety

    Mashaallah

  • @sofiaerilleey3467
    @sofiaerilleey3467 Před 5 lety

    Mansha Allah daday thanks for sharing a great recipe so delicious😘😘😋😋😋😋😋😋yummy Mimi ni Wa kutoka Kenya asante🙏🙏

  • @jikonichannel
    @jikonichannel Před 5 lety

    Great job... Nitajaribu hili pishi

  • @zanzibarroyalchannel8699

    Bondo ☺

  • @nadrairankunda4864
    @nadrairankunda4864 Před 5 lety

    Asante sana Dada

  • @carolinemwangi7617
    @carolinemwangi7617 Před 5 lety

    Asante sana dada

  • @vumiliyamwinyi1457
    @vumiliyamwinyi1457 Před 5 lety

    MashaaAllah
    Asante Dada kwamapishi nimependa sana nakula kwa macho lakin tamu
    Allaha
    InshaaAllah tutapika tuzidi kufaidi uhondo
    Allah akubariki Amiin

  • @khadijaabdulqadir1662
    @khadijaabdulqadir1662 Před 5 lety

    Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh.. mashaallah ni mapishi mapya kwetu lkn nimeupenda in sha Allah nitajaribu. Shukraaan mpenzii ☺️

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 Před 4 lety

    Shukran habbty ❤️❤️

  • @mapishiwithsabrina87
    @mapishiwithsabrina87 Před 5 lety +1

    yummy

  • @adijasalim4683
    @adijasalim4683 Před 5 lety

    Asalaam Aleikum warahmatullahi wabaraatu I have been aloyal fun even participated in your challenges became second to winning proud of that what am trying to say umenifunza mengi na nashukuru sana nimekuwa mpishi hodari sababu yako mola akuzidishie kukupa nguvu nakuendelea kutufunza jazak Allah kheiran @aroma of zanzibar

  • @dadarehema
    @dadarehema Před 5 lety +1

    Thanks, kachumbali muhimu! Ha ha ha

  • @carolinemwangi7617
    @carolinemwangi7617 Před 5 lety

    Asante sana

  • @vanosaid5574
    @vanosaid5574 Před 5 lety

    Fathiya yo such a great cook😘❤.Hongera

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 Před 3 lety

    Such a nice and delicious recipe ,
    mashallah ...🍑🍨🍝❤️💚

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Před 5 lety

    Wow at last you made Jollof. Asante kwa pishi zuri. Yummy yummy 😋😋

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety +1

      I know right, yaani I have made this recipe 3 times the videos were too long so I got too lazy to edit it, hopefully I will post the video on how to make the chicken stock soon

    • @abeidnassor7191
      @abeidnassor7191 Před 5 lety +1

      Yaani nataka kujua kila siku hiyo supu (chicken stock wali unatia njaa ukiangalia😀😀

  • @bossladynazia5913
    @bossladynazia5913 Před 3 lety

    I always wanted to know how to prepare jollof thanks be blessed

  • @kassimmhamadi5449
    @kassimmhamadi5449 Před 4 lety

    😍

  • @HassanHassan-ts1vt
    @HassanHassan-ts1vt Před 5 lety

    shukran

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 Před 4 lety

    Assalam Aleikum mbona siku hizi hatukuoni.we miss u.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      Nipo shughuli zimekua nyingi lakini najaribu kupost mwezi japo Mara 2

  • @gaaniyusuf487
    @gaaniyusuf487 Před 5 lety

    😂😂😂😂😂😊yamyam

  • @bimenyimanaange8137
    @bimenyimanaange8137 Před 5 lety

    Asante nimependa sana. Kwa hiyo viungo unaweza kuandika kwa kingereza iri tueze kujua tukienda tafuta kwenye maduka

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Kuna link hapo juu ya video ya English utapata na viungo vya kiengereza pia

  • @ismailsaciid6796
    @ismailsaciid6796 Před 5 lety

    Asalam alaikum, I am a fun of your sister.i have tried a lot your recipes they come out beautiful. Would u please do something about sweet potatoes 🍠

  • @sellyj7882
    @sellyj7882 Před 5 lety

    Bwana hino inshinda zile jollof nimeona 😂...yavutia sana mashallah...ntajaribu

  • @a.856
    @a.856 Před 5 lety

    Asante

  • @devothtumaini7680
    @devothtumaini7680 Před 3 lety

    Thanks my

  • @aminahaj8780
    @aminahaj8780 Před 5 lety

    Hugggggggs thanks

  • @waynereuben1440
    @waynereuben1440 Před 5 lety

    Mamy Asante kwapishi zuri, ila naomba kuuliza unauza hizo masala (viungo) zinazo onekana wakati video inaanza!?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety +1

      Siuzi hapo ni zanzibar spice market mie nipo marekani

  • @kennethkwai1519
    @kennethkwai1519 Před 3 lety

    Kwenye supu ya kuku ulikweka viungo vyovyote?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 3 lety

      Supu ya kuku ambayo inaitwa broth nimechemsha mifupa ya kuku pamoja carrot , ktunguu, maji na celery na viungo kama bay leaf,.karafuu , hiliki majani ya thyme kwa mda wa massa 12.

  • @husnahamisi6637
    @husnahamisi6637 Před 4 lety

    Huu wali lazima utumie red paper huwezi kutumia ya green?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      Red pepper ina ladha tofauti na ya green, kama utapenda tumia tu

  • @asmrworldtv4300
    @asmrworldtv4300 Před 5 lety

    @Aroma of Zanzibar je nikitaka spices zako nazipataje?

  • @rachellebahati7512
    @rachellebahati7512 Před 5 lety

    Iyo machine urisagisha bizali wanaita aje?pls

  • @fayray3108
    @fayray3108 Před 5 lety

    Mamii twaweza tumia mchele wa aina yoyote pia?!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety

      Mchele mrefu yaani long grain kama unaweza itakua vizuri, ni muhimu usikatike au kunata

    • @fayray3108
      @fayray3108 Před 5 lety +1

      @@aromaofzanzibar sawa asante mamii.

  • @nancyjakyoo2398
    @nancyjakyoo2398 Před rokem

    Je Kuna utofauti kati ya wali wa jollof na pilau???

  • @hhassan3273
    @hhassan3273 Před 5 lety

    Ummm hao wa west hawajui kupika. Ni mafufu tuu. Lakini huo wali wako nimeupenda

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety +1

      Umenichekesha 'mafufu tu"

    • @hhassan3273
      @hhassan3273 Před 5 lety

      @@aromaofzanzibar We acha tuu. Co worker wangu katoka huko west Liberia sijui Nigeria kila mtu alileta chakula kazini one day akaleta fufu na mboga imechanganywa nyama, sijui kuku, mifupa sijui ya nini, samaki kavu unmm niliogopa nikakimbia mbio

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 5 lety +1

      Kiasi hata namie ningekimbia mchanganyiko huo 😂😂😂🤣🤣

  • @rosebernard1761
    @rosebernard1761 Před 4 lety

    Hello what if I don't have red bell peppers will it be fine?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety +1

      That's optional dear just use what you have

    • @rosebernard1761
      @rosebernard1761 Před 4 lety

      Thank you sister

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  Před 4 lety

      @@rosebernard1761 dear am so sorry, I thought you were inquiring about another recipe. Red bell peppers add a very good flavor to the rice, so if you using only tomatoes it will more like tomato rice

    • @rosebernard1761
      @rosebernard1761 Před 4 lety

      Ok don't worry sister I tried without the red bell peppers and it was still very delicious. My family loved it

    • @rosebernard1761
      @rosebernard1761 Před 4 lety

      I wish I could send you even just a picture of it's view though you can't taste it. Thank you so much

  • @fatmaomar5783
    @fatmaomar5783 Před 5 lety

    Mashallah

  • @njokimwangi5357
    @njokimwangi5357 Před 5 lety

    yummy