INASIKITISHA:MAISHA YA NGORONGORO SIO YA KARNE HII.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 05. 2023
  • NYUMBA CHANZO CHA MAGONJWA NGORONGORO
    "Nyumba wanazo ishi zinaweza sababisha yawepo magonjwa ya upumuaji kwa sababu Wateja wetu walio wengi kwenye nyumba zao humo wanapo ishi wana koka moto analala humo humu wakati ,mwengine analala mifungo ndani humo kwenye nyumba moja" .
    "Kwahiyo kile kitendo cha kulala na mifungo ina weza kuletea kusabisha magonjwa ya binadamu pia" .
    "Kwa mfano ugonjwa wa nimonia
    Unachangiwa na hali ya mazingira kwa mfano mazingira yetu haya tunayo kaa ni mazingira ya baridi alfu jamii yetu pia wanashindwa kujisitiri kutokana na baridi kwa sababu hasa unakuta wao mavazi yao ni yale mavazi ya wazi sio yale ya kujistiri na baridi , kwa mfano wao wana jifunika mashuka". ALOYCIA, MUUGUZI MWANDAMIZI OLEIROBI

Komentáře • 3

  • @kiletoolepurko6902
    @kiletoolepurko6902 Před rokem

    Yeye mwenyewe ajiweke sawa kwanza hasa kichwan

  • @uraiatv8455
    @uraiatv8455 Před rokem

    Watu kama hawa akina afande sijui kama walipata chanjo ya pepopunda

  • @kiletoolepurko6902
    @kiletoolepurko6902 Před rokem

    Hivi kichwa chenyewe cha mwendawazimuu... nadhan aanze kuacha kujidanga apate akili timamu kwanza