MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA: POLISI MLITUMIA NGUVU/ NMEITWA POLISI MARA 4/ WALISEMA TUSHUGHULIKIWE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 06. 2024
  • Wananchi wa maeno ya kijichi katika jimbo la mbagala jijini Dar es salaam wameeleza kusikitishwa na wafanyabiashara kutelekeza soko la kijichi ambalo serikali imetumia pesa nyingi kujenga kwa manufaa yao.
    Wakizungumza na kurasa baadhi ya wananchi hao wameiomba halmashauri ya manispaa ya Temeke kuwahamisha wafanyabiashara wote waliopo kwenye masoko ambayo sio rasmi ili waje kufanyabiashara katika soko hilo lililosuswa.
    Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • Jak na to + styl

Komentáře • 13

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 Před dnem

    Tusikilizane na huyu Mama samia,mwenye Roho wa Mungu, Taifa hili lilikuwa limefika Pabaya,.

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 Před 2 dny +1

    Kada wa Ccm huyo hawezi wasaliti mambumbu wenzake

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Před 23 hodinami

    MIGENI MDOMO LAKINI KODI MTALIPA.
    KAMA HAMSIKI MSIFANYE BIASHARA.
    KUNAWATU NCHI HII WANALIPA KODI BILA KUKWEPA .WAFANYA BIASHARA WANAKWEPA KODI KILA SUKU .WAFANYA KAZI WA SERIKALI WANALIPA KOFI KILA MWEZI BILA KUGOMA.

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 Před 2 dny

    Watu hawawezi kua wahuni kutakua nasababu tu ndugu mwenyekiti simamia vizuri shida za wafanyabiashara wenzako kelo zao

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist Před dnem

    SHIDA YA VIONGOZI NA WAWAKILISHI KAMA HUYU WANAPLAY PART MBILI NI MACHAWA NA WANAPOSHINDWA WANAKUWA UPANDE WA RAIA. HUYU ANAJISHUSHA KUWA UPANDE WA SERIKALI

  • @FadhiliMwaitete-ls2li

    Mkuu wa mkoa charamila alikuwa anajinasibu kuwa atawafanya vibaya wafanyabiashara sasa asikukize hayoo hapo kiongozi anatisha watu juu ya kudai haki yao charamila afai kuwa kiongozi sijui wanatuelewa sasa amesikia wananchi wanapata asara yeye anawatisha ni mpuzii

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist Před dnem

    YANI ALICHOKIFANYA HUYU NI KUANGALIA MALALAMIKO YA WAFANYA BIASHARA NA KUYATENGENEZEA STORY OKAY SERIKALI MMEPOTEZA FOCUS YA NCHI KATIKA SWALA LA KODI. MNASUBIRIA TATIZO LITOKEE NDO MNATAFUTA TEMPORARY SOLUTION HII HAIWEZI KUTATUA CHANGAMOTO. TAX ILIPWE KWENYE FAIDA SIO MTAJI

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or Před 2 dny

    Vipi wachina kuchukua biashara za uchuuzi.
    Huongelei kabisa hao watu.
    Nahisi brother unatumika huna uhalisia kabisa

  • @mufaddalmoawalla8522
    @mufaddalmoawalla8522 Před 2 dny

    Naomba mwenyekiti.wetu.ndugu mbwana na kamati ya wafanyabiashara wote.tz nzima mtengenze kikosi kazi kama hawa kawasaki,a sisi pia tuweze kuwatoa hawajama mbele ya maduka kutoa mimwamvuli ambayo inazzuia maduka zetu,nitashukuru pia ikfanya kazi hii kama jama how wanavyo fanya kwa wamachinga sasa hivi hakuna barabara za kupita

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Před 2 dny

    Kwani magufuli hajawahi kukaa na wafanya biashara wewe mwongo

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or Před 2 dny +1

    Huyu jamaa wafanyabiashara kariakoo mtoeni au mtakuja juta siku moja
    Anatumia vitisho kwakua anongea na viongozi?
    Fine kwanini hao viongozi wasimpe maandishi au asirikodi hizo simu ili awe na ushahidi???
    Bila shaka anandoto za kisiasa.
    Una ujanja wa kutisha watu.
    Tunaweza hata bila yeye.
    KENYA DID YOU CAN DO IT

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 Před dnem

    Nyie viongoz wajinga kwel,unavomwambia mfanyabiashara changamoto za kisera na kitaalamu manake ni Yale yale ya TRAB NA TRAT