Magoli | KMC FC 1-2 Azam FC | NBC Premier League 12/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • Azam FC imeendelea kuifukuzia nafasi ya pili kwenye ligi baada ya ushindi wa mabao 2-1 leo dhidi ya KMC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa Azam Complex, Chamazi.
    Magoli yote matatu yamefungwa kipindi cha kwanza, akitangulia Yannick Bangala dakika ya 11 kabla ya KMC kusawazisha dakika ya 15 kupitia kwa Wazir Junior.
    Goli la pili na ushindi limetoka kwa Gibril Sillah dakika ya 37 ya mchezo.
  • Sport

Komentáře • 3

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 Před 27 dny +1

    Goli la kmc Si ilikua kona

  • @ellyich
    @ellyich Před 27 dny +1

    Leo nimekuwa wa kwanza asee😂😂😂

  • @msouthdablack
    @msouthdablack Před 27 dny +3

    Huyu kipa wa azam ,,😂😂😂😂😂 aliwaza nin kutoka , km anaenda gengeni vile ,,akasahau kufunga mlango