Kufuatia kifo cha aliekuwa Rais wa Tanzania Magufuli, Rais wa Burundi ametangaza maombolezo yasiku 7

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 03. 2021
  • Kufuatia kifo cha aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ametangaza maombolezo ya siku saba (7). Aidha, hadi siku ya mazishi, bendera zitapandishwa nusu mlingoti kote nchini na kote katika balozi za Burundi.

Komentáře • 21

  • @Ntambwe4040
    @Ntambwe4040 Před 3 lety +2

    ☆☆☆ Kwa masikitiko makubwa tuna poteza mtuu wa maana sana katika Africa, alikua wa umuhimu saana kwa bara yetu.☆☆☆ tuna toa pole kwa watanzania wote na East Africa kwa ujumla. I am encouraging our leaders to follow and lead as Magufuli. Man with no fear, a true pan Africanist. Together as one we will cross over. We are proud of you too your excellence Evariste Ndayishimiye keep your good and hard works. You are doing great. May God bless Burundi and Tanzania, the true Brothers countries. Stay connected!!! 🇧🇮&🇹🇿. You will raise East Africa to an other level.

    • @ndihokubwayo2565
      @ndihokubwayo2565 Před 3 lety

      Asantesana mutama

    • @claudnyandwi445
      @claudnyandwi445 Před 3 lety

      Asante sana mkuu

    • @manirakizaeric7947
      @manirakizaeric7947 Před 3 lety

      Pôle sana wa Tanzania ndugu zetu . Tunamkosa Raisi sujaa katika afrika nzima. Burundi tunakosa Babu wetu wa Pili alikuwa akitupangusha machozi ya mueshimiwa Raisi marehemu Pierre Nkururunziza

  • @Alihamdulil
    @Alihamdulil Před 3 lety +1

    We’ll done ✅ Mr Genaral Evariste Ndayishimiye our Beloved President of Burundi 🇧🇮

  • @ashura.burundixhxhx70
    @ashura.burundixhxhx70 Před 3 lety +2

    🇧🇮Burundi 😭tuko pamoja na wandug zetu wa Tanzania 🇹🇿😭😭😭😭kwakum kosa rahisi watu

  • @mireilleirakoze602
    @mireilleirakoze602 Před 3 lety

    Nukuri birababaje pe🇧🇮

  • @alainwalterrwota9687
    @alainwalterrwota9687 Před 3 lety

    Poleni sana ndugu zetu Wa Tzt

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 Před 3 lety

    🤝🤝🤝🤝

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 Před 3 lety

    💔💔💔💔😭😭😭 Africa

  • @alesnema9596
    @alesnema9596 Před 3 lety +1

    Nivyiza kabisa

  • @misagohosea1283
    @misagohosea1283 Před 3 lety +1

    Hakika alikuwa kiongozi anayejua anachokitaka na kukipata, tutamkumbuka kwa mengi sana

  • @samblessings1358
    @samblessings1358 Před 3 lety

    Agahinda karanyishepe R I P nyagasani amwakire mubwami bwayo

  • @godeliveniyongabo2987
    @godeliveniyongabo2987 Před 3 lety

    R I P J.J.P.MAGUFURI IMANA NYENIMPUHWE IMUHE UBUZIMA BUDAHERA . UYU MU PRESIDENT YAFASHA ABAKENE KANDI YICISHA BUGUFI . YAMBABAJE CANE

  • @ericiraho122
    @ericiraho122 Před 3 lety

    Kagame amekufa pia.

  • @ericiraho122
    @ericiraho122 Před 3 lety

    Abarundi mufite president very humble, twe abanyarwanda dufite ni ruthless kagonyori kagome.