Professor Jay - Ndio Mzee (Official Audio Song)
Vložit
- čas přidán 13. 11. 2014
- Buy it from iTunes: geo.itunes.apple.com/in/album...
Listen and share Ndio Mzee by Professor Jay. Professor Jay is a Bongo Flava artist from Tanzania.Loved this song? Subscribe to Professor Jay's official CZcams channel today. Click here to subscribe: ow.ly/zzCMM. Like Professor Jay on Facebook: / professorjaytz and follow Professor Jay on Twitter: / professorjaytz . - Hudba
Wale wa 2024
Ruto Ruto ndiye huyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kama bado unamuelewa professor jay tuende sambaba
Listening 2024
HEAVY WEIGHT MC - Legend, Pioneer, Father, Leader
Promises za Zakayo
am a Kenyan but prof j is my best East Africa musician
I am From Kenya But Prof is My Best East African Rapper.
King legendary bongo hiphop we love u brother stay blessed in Jesus name
Hasora wa Kenya ndiye amedhihirika hapa
Ndiyo mzee
Nimekubali
Naam ndugu wananchi, MC wenu Babu Ayubu,
Ninawaleteeni habari japo kwa kifupi kuhusiana na huyu mgombea wetu bwana Joseph Haule
Mpeni kura za ndiyo kwasababu yeye ni mpenda watu, ni mpenda amani,
Na ni mtu mwenye huruma kwa wananchi wote,
Kwa hivyo basi nawaomba ndugu wananchi, mumpe kula ili aingie.
Naam basi, hivyo basi ndugu wananchi,
Eeh tafadhali *namkalibisha mgombea wetu,
Bwana Joseph Haule, ili aje aweza kuzungumza na wananchi,
Karibu.
Oke Oke,
Naitwa Joseph Haule,
Mwana wa Msulopo Kianzi,
Nadhani nimeletwa niokoe hiki kizazi,
Mimi ni mwanasiasa niliyebarikiwa na Mungu,
Nimeletwa kwenu na Bwana niwapunguzie machungu,
Mimi ni mteule kusini mwa jangwa la sahara,
Ndiyo maana nimetunukiwa cheti cha juu cha utawala,
Na hekima kuliko Mfalme Suleiman--msiwe na wasi
Na hili nitalidhihirisha pindi mtakaponipa nafasi,
Actually, mimezamiria kuwasaidia,
Taifa lenye nguvu duniani liwe Tanzania,
Jamani, makofi tafadhali basi jamani!
[makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Ni mambo madogo tu,
Nadhani nitarekebisha mkinipa visiku vichache tu,
Uchumi utapanda ile ghafla bin-vuu,
Nataka mpaka Matonya afundishe chuo kikuu,
Nchi ya Tanzania itang’ara ile kishenzi,
Na nitahakikisha kila baamedi anamiliki benzi,
Si mtafurahi dada zangu jamani?
Ndiyoooooo
Basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio,
Nipeni hiyo nafasi jamani, hamwoni hali ni mbaya?
Nataka kuigeuza Tanzania kama Ulaya,
Cha kwanza nitakachofanya nitafuta umaskini,
Wanafunzi mkafanyie practical mwezini,
Kwenye mahospitali nitamwaga dawa kama mchanga,
Na nitafungua akaunti kwa kila mtoto mchanga,
Mabomba yatatoa maji na maziwa nchi nzima,
Watu wa vijijini mtasahau habari za visima,
Nitafadhili wachawi waweze kutengeneza ndege,
Kila mtu awe na yake Makonda na wapiga debe.
Si mtafurahi watanzania jamani?
Ndiyo mzee
Si ni kweli nakubalika jamani?
Ndiyo mzee
Basi mimi mkombozi wenu jama,
Ndiyo mzee
Na nitafuta shida zenu zote,
Ndiyo mzee
Hivi ni naninii, ni vijimambo,
Ndiyo mzee
Na vinanikera kwelikweli mimi,
Ndiyo mzee
Basi hali itabadilika, sawa?
Ndiyo mzee
Na hatamu tutaishika oke?
Ndiyo mzee
Wafanyakazi wa serikalini nashangaa hamna magari,
Yaani hata mikweche, hehe! Hii ni hatari,
Ninampango wa kuongeza mishahara iliyominono,
Mara mia ya ile ya mwanzo iliyofanya mfanye migomo,
Nitawapa nyumba nzuri na magari ya kifahari,
Watu watashangaa mtakapopita kila mahali,
Mkulima kila mmoja nitampatia trekta,
Nadhani hiyo kidogo itasaidia kunyanyua sekta,
Mtauza nafaka zenu bilioni kwa mabilioni,
Watu midomo wazi kama wamekamatwa ugoni,
Walimu zawadi zenu oh nimezificha moyoni,
Nadhani mtazimia siku mkizitia machoni,
We acha tu, mtafurahi nyinyi,
Ila hapo hapamfai mtu mwingine niwekeni mimi,
By the way, polisi wote mi nawasifu,
Jinsi mnavyokwenda sahani moja na wahalifu,
Sasa kila mmoja nitampatia helikopta,
Nadhani hiyo wote hapo hamjawahi kuota,
Raia wa Tanzania mtalala milango wazi,
In fact, nina uhakika wa kudhibiti ujambazi,
Nitajenga barabara tano-tano juu na chini,
Nitajenga kumbi nyingi sana za starehe baharini,
Ninaupendo kuliko mshumaa, kumulikia wenzangu,
Mtakaoyumba kiuchumi, tutagawana vya kwangu.
Si mtafurahi wa Tanzania jamani?
Ndiyo mzee
Si ni kweli nakubalika jamani?
Ndiyo mzee
Basi mimi mkombozi wenu jama,
Ndiyo mzee
Na nitafuta shida zenu zote,
Ndiyo mzee
Hivi ni naninii, ni vijimambo,
Ndiyo mzee
Na vinanikera kwelikweli mimi,
Ndiyo mzee
Basi hali itabadilika, sawa?
Ndiyo mzee
Na hatamu tutaishika oke?
Ndiyo mzee
Ndugu wananchi, kuna mtu ana swali kutoka kwa mgombea?
Nauliza hivi, kuna mtu ana swali? Basi ajitokeze ili aweze kuuliza swali
Nyie ndugu zangu huyu msimpe uongozi--siyo vizuri,
Muongo tu, mfakini na kiburi kimsuli,
Anaongopea saana! Sijui kazaliwa muda gani, alfajiri au alasiri?
Wakati mvua zile, za kipendi kile?
Amepita pita skuli lakini mambo yake si mazuri,
Wala tusimtetee, atatuangamiza,
Labda tusubiri kwanza uchaguzi umwekwisha,
Tumemfuma wenyewe kwa kalumanzila anasafishwa,
Kalumanzila akamwambia, ehe, shida yako?
Elezea fasta fasta kabla jini hajapanda,
[chafya]
Hajakaa vizuri mashetani si yakamuanza!
‘kamsukuma kwa kasi ya kimbunga amejichanja,
Tulimsikia akisema kwa sauti kubwa ya kukarikia,
Waungwana! Munisaidie! Ndiyo, sitamwelewesha!
Uongo mtupu babake ameibiwa,
waungwana wamempeleka chau mpaka kaibiwa,
Yupo-hamna gepu na pugu! Amewehuka! Hajatulia huyu mpepeeni!
[uphh uphh]
Ni sauti iliyosikika kutoka kwa mzee wa pembeni,
Sijui msaidizi mganga au mpelelezi,
Na kwa taarifa yako uongozi hupati ng’o!
Labda urudi kwenu uende ukavunje tunguri,
Na hao waganga wako waeleze hupati kitu apa,
Hata utoe chapaa
[makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Je wananchi mmenisikia?
Ndiyo mzee
Kwa huyu jamaa hatufai,
Ndiyo mzee
Haina vibaya uchukia,
Ndiyo mzee
Hatumtaki aondoke zake,
Ndiyo mzee
Tusimkubali na maneno yake,
Ndiyo mzee
Tunahakikisha ‘atumchagui,
Ndiyo mzee
Kwasab’ jamaa ni mnafiki,
Ndiyo mzee
Asitufanye tuwe na dhiki,
Ndiyo mzee
[makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Upo vizur sana
Pale juu ni Msolopaganzi.
hapa juba tunampenda mwanamzk professor jay
Mwana Kenya mukamba natabua professor j
Listening this in 2022.. Professor Jay your song they will never get old
SAUTI UNAYO BIG UP PROFESSOR JAY ILOVE ALL COMMENTES
I remember this song when I was high school in Kenya
23 June 2024
he is great rapper...honour from rest of the world
Nimemis sana nyimbo zako
Jay big up kweli mzee w.w bila kukana kura zote qwako,
whatever man think can achieve, he revealed this
am frm kigoma profesa jay is best rap in Tanzania
Unajuuuuuuaaaa Prof u deserve to be called suchlike name
Ulimtabili Magufuli J!!!
Mie ni mkenya but jay ni moto sana
yes sir, prof your among the kings of Africa. hope we link up for great stuff. some real Art/poetry to transform society.
magufuli did it ameifanya Tanzania kua ulaya kama profesa j alivyosema
2021 nani anaisikiliza ii ngoma now
hii ngoma ni kali.
maisha ya hv sasa ndio inanifanya naisiliza
2024 niko hapa like twende kazi
kama umeskia john pombe, ur genious😇
Pro jay ni balaa nimerud tena hapa ili song linanipaga uhalisia wa viongozi wetu bongo ni kwa namna gan hawafany majukumu yao,,, jay 🙏🙏🙏🙏
Am a Kenyan but Jay I really like ua songs..... Jamii naona unaheshimu... #Bravo
From Kenya nakukubali mweshimiwa
Ndoto zimetimia.Nakuaminia sana....kazi safi.Paulo to kenya.
Ulitabili sana kaka fanyakweli
2021 Sept 5 still amazing. Hongera Prof Jay
I m Mozambican FANS 🇲🇿🙏🙏🙏
January 2020 here we go.
Ndio hio imefika
My favorite artist professor jay
Duh 🙄 😂🤣hii kalii, haya mashairi sasa genius 🙌🏽
big up xana profesa bongo dar es salaam uliumiza kichwa sana
Yani mpaka leo 14/10/2019 namuenzi baba wa taifa na nyimbo yako kaka nyimbo yako ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Naipenda Sana hii nyimbo 2023
Nakukubali hadi naumwa
Professor Jay is my second best bongo artists after John woka. Kazi nzuri
2022 still rocking 🔥🔥🔥
2023
god bless u bt ngombea tena utaingia
2020 we here!
Radio free Africa them days.
I salute... Nikiwa Kenya ningeisikia mida ya usiku usiki dem days
Was hit hoat 🔥 by the time
....haya ushachaguliwa timiza
Odhiambo Ogola
Anayatimiza kwaBidii..🤷♂️🤷♂️
Professa jay ..big dad
ndoto yako ishatimia brother,heshima kwako
ulikua u anajitabiria aise yametimia
👊👊👊💪💪 ndio mzee
2020 we love it. 🔥🔥
Professor Jay 🗣🗣🗣🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kali!.
This is hip hop
22 September 2020
12:18 am, j'3
Unajua sana kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
July 19th of 2021 am here representing USA 🇺🇸
Alimanisha na ikawa kweli
Hii ilikua Ni nyimbo yake ya kweli ambayo inafaa kuitwa ndoto iliokua kweli , Mana aliota kuitwa kiongozi na akawa kiongozi kweli .
wale wa 2002 tujuane
he is my best
Huyu ndo mwanahalakati
Tujuanee tunaoichekiii kipindi Cha uchaguzii 2020
Umefanikiwa pr.j keep it up.
This song still makes sense until now.... Profesa jay is a genius when it comes to music
legend
👍💯
2023 tuko wangapi😅
kazana mzee
We're back. Is. Very. Good. Song.
2019 tujuane
Ndotoyako yakoishatimiya j
Safi Sana mkuu
2021 we're still here
The best actually
ME: who trana DISLIKE this HIT?Professor jay : 1:03
ME: Sure,EVEN tho views still count.
uko juu xana jay
Prof jay napenda mistari yake kwasababu imekoma
December 2021 am still here
04/13/2019 here I am, mziki mzuri unaishi. Utabaki kuwajuuu kileleni Mh #JosephHaule
Oyooooooooooooooooooooooooooooooo
Am after ruto did this to us😢😢😢😢
Tulia mzee
Prof.💯
kudadeki aliyoyasema sasa yametimia ishi kwa ndoto zako za kweli.amaa kweli haya timiza
I love prof songs
Safi sana hii haule
am a Kenyan but jay is a bleesd gay n c an my goob bleed you jay
sawa Mzeeee..
Legend..Those days when Bongo flavour is Bongo flavour
From I safi sana jay
Dreams become true
Nataka hata matonya afunze chuo kikuu daah,, matonya hapo vipi 😁😁
Bado 2020 ina Heat
great rapper
imetimia jay
unaweza kuta hivi ndivyo ulivyo ahadi kwa peples zilizokupa dhamana uziongoze
i feel energetic