MBUNGE CONDESTER AFOKA BUNGENI "WATU WANAGOMBANA, WAAMBIENI WANANCHI UKWELI, TUIFUTE HIYO KAULI"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 23. 06. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Komentáře • 10

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 Před 3 dny +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏, good

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Před 3 dny +2

    Mbunge wetu Ruhanga Mpina ametolewa kafara na spika wa bunge Sakata la sukari litaendelea kuitesa Sana Nchi hii na wabunge wanaojitokeza kutetea ukali wa maisha kwa wananchi wa hali ya chini wataishia mikononi mwa spika maana sijui huyu spika na familia yake Kama waliwahi kushinda njaa kwa kukosa pesa ya kununua mahitaji hajui shida huyu

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Před 16 hodinami

    Condester mmoja wa wabunge wanaosema ukweli. Angalia usije ukaambiwa ubebe mizigo yako utoke nje. Wabunge kama wewe wasema kweli, hawatakiwi kwenye bunge hili. Makofi kimya. Wabunge hawapigi makofi kwa mbunge mwenzao akisema ukweli. Asante mama.

  • @CharlesSomeke-ml7ju
    @CharlesSomeke-ml7ju Před 3 dny

    Amina dada kweli mungu atakutana nao

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Před 3 dny +2

    Wote tunajua kama Mpina ameonewa. Mpina anatetea wakulima wa miwa, viwanda, ajira na kulinda akiba yetu ndogo ya fedha za kigeni. Lakini amepewa adhabu na wabunge ambao wamekili bungeni kwamba wao ni wafanya biashara ya sukari inawanyonya wananchi. Kwahiyo mnapitisha Sheria zilizo lenga maslahi yenu. Humo bungeni MPINA ni adui huku mtaani ni shujaa. Tutawakumbuka wote ikifika 2025.

  • @edson2450
    @edson2450 Před 3 dny

    Dada mchango wake umenyooka sana, ubarikiwe

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 Před 3 dny

    Ametoka Mpina kwa uonevu, agenda imebaki bungeni na mitaani tunayo!

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Před 3 dny

    Nape alisema uchumi wa gas. Kwani gas iko wapi? Kuna nini hadi ishindwe kuliinua taifa? Gas ni ya nani?

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im Před 16 hodinami

      Gas iliuzwa kwa mikataba mibovu kabla ya Hayati Magu kushika madaraka. Tanzania tuna viongozi mabilionea wamejitajirisha na mali za watanzania. Na wamewapanga watoto wawo kushika madaraka wizi wa mali za wote uendelee.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Před 16 hodinami

    Speaker anajuwa kamuonea Mpina anababaisha kwa kuona watanzania ni wajinga. Lakini nimukumbushe, Cheo ni dhamana. Mufano tunauona kwa jarani zetu Kenya wabunge wanatafutana na Generation Z. Kwa kuwafanya wananchi walio waweka bungeni useless. Kwa mwendo huu Tanzania tunahitaji GenZ kuiokowa nchi hii, kwa dharau wabunge wetu wanatuonyesha.