MPINA AINGIA KWENYE 18 | TAZAMA WABUNGE WALIVYOMSULUBISHA HADI AKATOKA BUNGENI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 23. 06. 2024

Komentáře • 279

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n Před 5 dny +9

    Wabunge mungu anawaona mnasema mnalidhalilisha bunge mbn huko Dubai walipokea mlungula

  • @VcentPaul
    @VcentPaul Před 5 dny +14

    Mpina oyee.Tukopamoja na wananchi !!!

  • @AllyRamadhani-wl3um
    @AllyRamadhani-wl3um Před 5 dny +7

    Mpina uko vizuri mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

  • @loycep7785
    @loycep7785 Před 4 dny +5

    Nyie wabunge wote mnaochangia maneno yasiyokuwa na msingi mnatetea wizi na ubadilifu wataratibu za kweli tubuni Mungu anawaona ipo siku yaja Mungu hatanyamaza mwogopeni sana aliyewaumba pamoja na sheria zenu

  • @NuruMbilinyi-oe1nr
    @NuruMbilinyi-oe1nr Před 5 dny +8

    Pole sana mpina,nchi hii ukitaka upendwe na chama cha ccm furahia mambo ya ufisadi pia uwe mnafki,hapo udumu miaka mingi.mana kuna watu wali kuwa waza lendo na watetezi lakini wame potea

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n Před 5 dny +8

    Hili bunge linaubaguzi sana mtu anatetea wanyonge halafu wabunge wanamdhihaki mtetea wanyonge bunge hili la hovyo sana

  • @jafarieliyakim6
    @jafarieliyakim6 Před 5 dny +10

    Mimi naona alichosema mpina nikingine kinacho zengumziwa nikingine mbina hawasemi kampuni zilizopeŵa vibari

  • @abrahamsamweli-wg8ck
    @abrahamsamweli-wg8ck Před 5 dny +7

    Nilikuwa nakupenda Bunge ila kwasasa hapana,

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 Před 4 dny +4

    Hili Bunge halijielewi. Kila Mbunge anajipendekeza. Ni kw maslahi ya matumbo yao, siyo kw ajili ya wananchi.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Před 5 dny +10

    Mpina nimmoja wa wabunge imara na mwenye maono kwani ata alipokuwa waziri alikuwa smart sana nadhani hapo bungini waliopo ni makasha ya wabunge baadhi yao hawapo kwa ajili ya wana nchi tz bado sana tupo usingizini na hakuna mbu anaerusumbua ndio mana tulala fafefifooofooooo

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Před 5 dny +9

    Hongera sana Mh. Mpina, sisi wananchi tumekuelewa vizuri sana. Hata wakikutoa sisi wananchi tuko nawe.

  • @Dominaevance
    @Dominaevance Před 4 dny +4

    Yaan Bunge Zima linashindwa kujadili wizi na ubadilifu uliozungumzwa then wanajadili namna taarifa ilivyowasilisha, Bunge linashangaza sana hili

  • @AllyKipanga-sg4qb
    @AllyKipanga-sg4qb Před 5 dny +9

    Mpina usife moyo endelea kupambania wanjonge mungu yupo pamoja nawe awo wanafiki tuu kama tabasamu

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Před 5 dny +8

    Mpina Mungu yuko nawe mtetea wanyonge mnatete a matumbo yenu

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 Před 4 dny +3

    Siku zote msemaukweli hapendagwi hata yesu alinyongwa msalabani kwa ukweli wake.

  • @ramadhanyassin4396
    @ramadhanyassin4396 Před dnem +1

    Nyie wabunge munaomtukana mpina mungu awape adhabu

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 Před 4 dny +3

    Mpina Oyeee. Watanzania wote tunakuunga mkono. Hao mafisadi wabunge wenzio na Spika wa bunge wasikuumize kichwa. Umejijengea sifa ya pekee. Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia 💯

  • @petrosukums2510
    @petrosukums2510 Před 5 dny +5

    Ukijielewa watakusumbua sanah

  • @emmanuelmayunga1518

    Hawa wanaochangia naona kama wameandaliwa na pia kama wana chuki binafsi ndani yao,lkn God is Great always..I stand with Mpina forever with no disrespect for the parliament..

  • @user-ou1ls6oj2f
    @user-ou1ls6oj2f Před 4 dny +2

    Wako bungeni kwa ajili ya masilahi yao bahati mbya hatukuwachagua ndiyo maana wako kwa upigaji makofi isiyo na mshiko kabisa mnapoteza tu muda na kupokea kitita

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Před 5 dny +2

    Wabunge wa ccm kwa hoja hiyo ya mpina wanavyo changia kwa machachali rakni maswala yanayo wagusa wananchi na kuhusu upatianaji wa katiba mpya wako kimya nyie wabunge maccm Mungu anawaona mnamuhukumu mtu anae sema ukweli wengne wengi 2025 amtorudi tena shenz zenu

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 Před 5 dny +3

    Haya mabunge ya ccm bwana yaani utasema kama vile hawakwenda shule yaani wana muuona mpina kama nijambazi na mchonganishi, ukionana kuna kunakelele nyingi kutoka ccm ujue kunajambo lina nuka hapo

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 Před 5 dny +2

    Mpina kawatupa mbari sana 🎉🎉🎉 Mwamba

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před 4 dny +2

    Mavi au wabunge, these are narcissists, who don’t know their jobs, ni kutombana tu, kuhongwa na kula hela zetu. Mutaadhibiwa mkifa washenzi nyinyi wenye akili za nzi!

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 Před 5 dny +3

    Hutuwezi kukataa uzuri wa Bashe. Lakini wengi mnatumia hisia zaidi kuliko kutafuta facts. Wabunge wetu jukumu lenu liwe kumtetea mwananchi zaidi kuliko serikali. Kuweni na uhakika kama kweli Mpina alifanya hilo jambo kwa mslahi binafsi na sio maslahi ya umma.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 Před 4 dny +1

    Bunge la Tanzania ni la mafisadi watupu. Haliko hapo kwa kuwawakilisha wananchi. Liko hapo kwa kuwanufaisha wabunge na mawaziri wezi

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Před 4 dny +2

    Mpina mmeshaanza kumpa jina kubwa kwa wananchi wa jimbo lake!

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega Před 4 dny +2

    Hatukatai Hata kam kapotosha ndio kazi ya bunge kuweka sawa jambo alilo potosha inatusaidia na sisi kuelewa vizuri , sasa adhabu tena kosa lipi hapo

  • @babukije268
    @babukije268 Před 5 dny +8

    Waziri bashe mzushi hatumtaki cc wananchi mpina ni mbuge wetu na mtetezi wa wanyonge wabunge wengi wazushi wanatetea uwozo

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 Před 5 dny +9

    sisi wananchi tupo na mpina 🇹🇿

  • @BernardMwakipesile-nq5ze

    Msitaje haraka laana kwa sababu nchi hii imejaaa laana kila kona dhuluma kudhalauliana kama mungu angelaani basi hakuna mtu angepona tushinyosheane sana vidole ambaye hajatenda dhambi awe wa kwanza kumpiga mwenzake

  • @mikwendemakala3933
    @mikwendemakala3933 Před 5 dny +3

    Mpina ni shujaa wa wanyonge

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j Před dnem

    Ss na mpina tuko mstar mmoja tunakpenda mh mpina

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 Před 3 dny

    Kigezo cha kuchaguliwa mbuge kirekebishwe kujua kusoma na kuandika pekee hakutoshi kuwa mwakilishi unaona kabisa tofauti ya mbunge msomi na darasa la saba .

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Před 5 dny +2

    Huku bungeni wote ni wanafki, mnamnafkia Rais samia, na hapo mnajaribu kufunga wabunge wengine midomo ili wasiseme ukweli uliopo.

  • @agreykayombo6119
    @agreykayombo6119 Před 3 dny +1

    Tuna wabunge wa hovyo sana, hoja ya MSINGI ya mpina inahitaji majibu Siyo huu mjadala mnaotuletea. Mnaacha MAJUKUMU yenu ya MSINGI kuisimamia Serikali na kuwawakilisha wananchi mnabaki kukiwakilisha chama na familia zenu. Upumbavu kabisaaaaa.

  • @StevenShimiyu-qu2zx
    @StevenShimiyu-qu2zx Před 4 dny +2

    Msema kweli asulubiwa, ufisadi umelindwa uendelee kuwepo

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 Před 3 dny +1

    Wewe msukuma ni Moja wapi wa wanufaika na biashara ya sukari

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 Před 4 dny +1

    Bunge ili jamani Mungu Awasaidie.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Před 5 dny +8

    Anacho kifannya Bashe kuhusiana na maendeleo ya kilimo, wakulima, na wananchi ni tija na msaada mkubwa kwa maendeleo ya wananchi na Taifa la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Azabu kubwa anastahiki (Mpina) ili iwe fundisho kwa utomvu mkubwa wa adabu kwa spika na Bunge la Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

  • @AmaniSulle
    @AmaniSulle Před 5 dny +3

    BUNGE GANI HILI ? PAMBANENI NA MAFISADI KINA BASHE' HAKUNA LOLOTE HAPO KWANZA HAMPATI KURA ACHENI KELELE

  • @rwezimulastephen3713
    @rwezimulastephen3713 Před 5 dny +1

    Ndivyo alivyoanguka Job Ndugai. Hakuna sababu za msingi zaidi ya ushabiki na kujipendekeza kwa aliye juu

  • @paulowilly7864
    @paulowilly7864 Před 5 dny +1

    Na ninyi wabunge mmetudharau sisi wananchi oneni Kenya mpina usife moyo kutetea kutetea watnzania hao wanaomtetea Bashe wote ni wezi

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 Před 5 dny +3

    Heko mpina,
    Wote waliokuhukumu mwakani awatarudi bungeni, wapo bungeni Kwa maslahi binafsi.

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n Před 5 dny +2

    Mnalalamika spika katukanwa mtu anatetea wanyonge kwaio wananchi tuteseke sukari tuliuziwa erfu kumi nyie wabunge mkaona sawa tu ila spika mnamtetea nyie watu wa hovyo kbs

  • @ZionEmanuel-ne8ob
    @ZionEmanuel-ne8ob Před 3 dny

    Bunge la Tanzania wakiwa busy na kazi daaah Mungu atusaidie sana.

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 Před 5 dny +2

    Mpina uliwahi kuwa waziria awamu ya tano ukaboronga Leo acha wakuvuruge we siyo mtu kama uliwahi kupeleka rula kantini ya bunge wakakuacha ukalindwa,naunga mkono usulubiwe ww hufai

  • @Godfreymlila
    @Godfreymlila Před 4 dny +1

    Baraza la maadili halijamtendea haki wanaki wanahusika na aliyoyasema mpina

  • @josephngassa7073
    @josephngassa7073 Před 5 dny +4

    Inatakiwa katiba mpya ili bunge liwe na tija

  • @ngusamagambo9115
    @ngusamagambo9115 Před 5 dny +2

    mh mpinga uko sawa piga kaz

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 Před 5 dny +1

    Jamani ya kwamba kama usiposifia ww sio CCM kuweni na huruma MH mpina usirudi nyuma pambana mungu yupo pamoja na ww

  • @user-fr3yx7ot9v
    @user-fr3yx7ot9v Před 5 dny +2

    Nilijua mapema Mpina hawezi kupewa ushindi kwani tangu mwanzoni Spika alionyesha Nia mbaya ya kumumiza. Mpina yuko sahihi hata mkijitetea ukweli na mkimwazibu.

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 Před 3 dny +1

    Wananchi Tuko pmj na Mh Mpina...
    Wote hakuna atakayerudi hapo

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Před 5 dny +1

    furahieni majanga ya wenzenu, tusubiri nyie msiokosea, yaani malaika wasaka tonge, waoga, wanafki muendelee kula nchi. Kuku kwa mrija. Hongereni.

  • @michaelsairamagafu
    @michaelsairamagafu Před 5 dny +1

    kama yesu alipigwa na kusulubiwa na ndugu zake hatuwezi kushangaa ya Mpina

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u Před 4 dny +1

    Mnatishana au mnajenga nchi mnatuchanganya sanaa

  • @GivenMgani
    @GivenMgani Před 5 dny +4

    Mpina juu

  • @ephraimmakaranga1795
    @ephraimmakaranga1795 Před 5 dny +3

    Mimi Nataka kujuwa Alichokisema Mpima juu sukari ni kweli au sio kweli

    • @Ellyosborn-fo2zk
      @Ellyosborn-fo2zk Před 5 dny +1

      si kweli maana walimpa mda alete vidhibitisho/ushaidi ukawa ni wa uongo

    • @magangajumanne8053
      @magangajumanne8053 Před 5 dny

      ​@@Ellyosborn-fo2zkwewe unaona Mpina ana toa ujinga au ukweli na Kwa niaba ya watu,,,,,,shinda niiii.......

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 Před 5 dny +1

    MUNGU ana kawaida ya kusubiri watu wanaoumia kumlilia ili afanye jambo.
    Na inachukua muda mrefu wanyonge kupata fahamu sahihi kuwa MUNGU anasubiri tu sauti ya vilio vyao kwa pamoja ndipo mtu mmoja utumwa kuja akiwa na fimbo mkononi.
    Hapo ndipo bahari hugawanyika pakavu pakaonekana na wanyonge huvuka.

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 Před 4 dny +1

    Hy tuliyategemea ktk bunge hili la wala nchi

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 Před 5 dny +1

    Msukuma kwa elimu gani wewe ndio sehemu inayokustahili kuchangia huna unachokijua tunampenda mpina

  • @josephngassa7073
    @josephngassa7073 Před 5 dny +5

    Musukuma hauko sawa una bifu tu mungu anakuona

  • @williampaulmashoke7402
    @williampaulmashoke7402 Před 3 dny +1

    Vipi kuhusu kesi ya Bashe ndo mmeipotezea ? Mpina ana point, hawa kuna kitu wanaitetea.

  • @six12tv77
    @six12tv77 Před 4 dny +2

    Hawa wabunge unaweza kuwatukana kwa hasira ukapata matatizo tu!...
    Yaani ni wa hovyo mno!

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y Před 5 dny +1

    Lissu alikimbia lema jonh heche, wengi tu walishindwa, mpina Njoo nje

  • @filbertdamiani101
    @filbertdamiani101 Před 5 dny +1

    Mpina amekosea kutoa Yale aliyowasilisha kwa spika, lakini je mjadala uendelee kuhusu Hilo la Bashe Kama kweli alifata taratibu

  • @Sostere98
    @Sostere98 Před 5 dny +2

    Yaani hii nchi ya ajabu sana, TBC hyo caption yenu imeiwekaje

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Před 5 dny +3

    Mbunge unapewa nafasi ya kuchangia, badala yake unaishia kusuta. Kumsema, na kumsimanga, sio sawa

  • @kassimumandeleko9704
    @kassimumandeleko9704 Před 4 dny +1

    Acheni ukuma angejibiwa hoja sake mpina hana kosa ata kidogo tulia unamuonea mpina

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 Před 3 dny +1

    Wananchi Tuko pmj na Mh Mpina...

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 Před 5 dny +1

    Wabunge wengi ni wanafiki sana

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 Před 5 dny +3

    Shida yenu ma fisi em huwa hamtaki kuelezwa ukweli

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 Před 6 dny +3

    Mtatoka wote hapo bungeni wengine wataingia ... kama ndugai alitoka itakuwa nyie

  • @meshacknyandongo577

    Ila nadhani mnajua uvumilivu unamwisho kule kenya mmeona vizuri kilichotokea cheo ni dhamana

  • @oblemongi4195
    @oblemongi4195 Před 5 dny +2

    Oooh kwani hapa ni wapi 😂

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Před 5 dny +2

    Mbaki na jengo lenu Mpina ndo mkweli kazi kulindana

  • @mh9251
    @mh9251 Před 3 dny

    Ise kweli bunge letu inaheshima, inaongea lugha yenye kutoa heshima. Tukiangalia bunge la jirani ni hovyo. Lugha mchanganyiko. Maneno yanarushwa hovyo. Hi ni bunge mfano katika bara nzima la Africa na pengine duniani kote.

  • @franksteven6358
    @franksteven6358 Před dnem

    Nimesikiliza hoja za wabunge wote lakn nimegundua baadhi ya wabunge wanachangia kwa mihemuko na chuki lakn kuna baadhi ya wabunge wamechangia kwa hekima na busara

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y Před 5 dny +1

    Wanaona sisi ni mazuzu, ila one day yes

  • @grelightmushi6106
    @grelightmushi6106 Před 5 dny +1

    Sukari bei gani? Au mnamionea mpina

  • @emanueljames6798
    @emanueljames6798 Před 4 dny +1

    Yaan mmh sisemi lkn Mh Mpina piga kazi

  • @methodrweyendera6814
    @methodrweyendera6814 Před 5 dny +2

    Mbumbu ndiyo wanasubirigi kwenye vijembe

  • @ZionEmanuel-ne8ob
    @ZionEmanuel-ne8ob Před 3 dny

    Sifuatilii bunge tenaaa na nitakua mtu wa masumbwi movie na miziki tu sitaki tena mimi kama ndio wabunge wako hivi aseee.

  • @tungarazalucas1478
    @tungarazalucas1478 Před 5 dny +1

    Leo wachangiaji wengi ndo mjue tuna bunge la aina gani

  • @mkdechampion2097
    @mkdechampion2097 Před 5 dny +2

    kuna chakujifunza nanii

  • @LuganoMwakalo
    @LuganoMwakalo Před 5 dny +2

    Bunge la ovyo sana hili msema ukweli huunguzwa

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 Před 5 dny

      Wewe ndiye mtu wa hovyo sana usiyefikiria unayepelekwapelekwa tu kama bwege

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Před 4 dny +1

    Mafisadi mbona hamyashambuliiiii!?!?!?!?

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka Před 5 dny +1

    Hili ni bunge?

  • @ThomasiMatoke-hm3dr
    @ThomasiMatoke-hm3dr Před 2 dny

    Nyie wabunge waking sana mko hp kwa ajiri ya wtz au mko kwa masilai yenu

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 Před 3 dny +1

    Haya maneno yatunzwe muda utaamua

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před 2 dny

    Yani wabunge wa hiki chama ni ovyo kweli😢😢😢😢😢😢

  • @EmmanuelKitulla
    @EmmanuelKitulla Před 5 dny +4

    Kwani wachangiaji hao ni watanzania au?

    • @tabithamoroni1639
      @tabithamoroni1639 Před 9 hodinami

      Yaani kama wametoka nje ya nchi hwawana uchungu hata kidogo

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 Před 5 dny +1

    ila Gwajima huongea kwa utulivu na hutoa point za msingi kabisa

  • @nunguhassani1743
    @nunguhassani1743 Před 4 dny +1

    BASHE U VIZURI MIMI BINFSI NIPO PAMOJA NAWE

  • @user-ry3zq8vp5c
    @user-ry3zq8vp5c Před 2 dny

    Wapumbavuninyi mnampaathabu mpina kwakutobowasiri sasa tutawaona 2025mpina utaingia bungeni kwakishindo haonimapakatuu

  • @doronibahendwa6451
    @doronibahendwa6451 Před 14 hodinami

    Acheni nyie wabunge kumshambulia Mpina, kiasi hicho. SiSi wananchi tunampenda Mpina kwa kutuwakilisha bungeni

  • @doronibahendwa6451
    @doronibahendwa6451 Před 14 hodinami

    Nyie ndo wanafiki kwa kumkandamiza Mpina, kula zetu mwakani2025 hamtazipata tena , acheni ujinga nyie wabunge

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Před 5 dny +1

    Mpina wala usijali, sisi wananchi tunakuelewa, na pia elewa kuwa hapo unapikwa, dhahabu haiwezi kuwa dhahabu bila kuingia kwenye tanuru ya moto
    Hivyo jitahidi kuwa chura.

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před 4 dny

    Musukuma oyeeee, DP World oyeeee, mjinga sana huyo, atuambie alihongwa ngapi kupiga dene hao DP

  • @Godfreymlila
    @Godfreymlila Před 4 dny

    Wabunge mnafurahia nakumsulubu mpina lakini mjue bila j p m msingekuwepo mjengoni hasa wewe spika tunakusubiri 2025