Talimba kama shabalala mzee na kapombe nenda kacheze na ww uone hhhhh sisi haoo yanga mwenye akili wawili tu lkn Talimba Haji hawamo so Hana akili talimba
hawa viongoz wengine machoko sana eti anadai kama mpira utachezwa vizur yanga atakuwa bingwa,amesahau kuwa hao wenyew yanga ndo wanaharib mpira mara nyingi huwa wanatoa pesa kuhitaj matokeo😁😁baadhi ya mashabiki na viongoz wa simba hawajielew
Hata majumbani mwetu.ukitaka kumsema mgeni tumia mtoto kutoa maneno mgeni akijijua Basi atajielewa.hapo Tarimba haisemi YANGA Bali yapo Mambo mengi Sana Timu nyingi zinafanyiwa Mambo yasiyo mazuri.lkn kule mwingine wao lolote Ni POA viporo Kama kawa.
umekandwaasaaaa ukubali Tuuu
Thanks ila abas tarimba hafai kuwa mdhamini mdhamini hafai kuwa shabiki kwa sababu unawaza ukatoa maagizo timu yako ishinde
Wadada.awajuyi
Kuchezesha.watoke
Talimba kama shabalala mzee na kapombe nenda kacheze na ww uone hhhhh sisi haoo yanga mwenye akili wawili tu lkn Talimba Haji hawamo so Hana akili talimba
Karia anarib mpira magoli 2 yote kataliwa ranzimen tu lets ujinga jitos
Nyie ni watoa rushwa pumbavu yanga mbovu
Mheshimiwa kulalamika! Daaah haiji
acha kuzingua wewe leo refa kachezesha vizuri sana
Ukiangalia kiongozi mkubwa mwenye experience anaongea ujinga Kama huo mpira wa Tanzania Bado safari ndefu.
He he he. Mheshimiwa hapo kwenye this is my perception…UMEKANYAGA….anyway lugha nyingi Kiswahili,kihindi,na kiarabu lazima uchanganye maneno kigogo
Uko sahihi kabisaa.tarimba
Hongera sana Kitenge
Hii ndio yanga ambayo haijatembea na bahasha
yani marefa wa Bongo hawafai kwakua kafumgwa Yanga. penati za faulo ya nje ya box mlichekelea na mkaona haki yenu
GOLI HALALI LA YANGA linakataliwa bila sababu
Basi Kama umeliona hivyo puliza filimbi peleka mpira katikati wewe wesiunajua mpira Kuliko refa
ila pamoja na hayo makocha wetu tamaaa nyingi na makocha wananunua malefa kutokana nauwezo wa team zao kutojiweza huwa inaleta shida kwet
Wewe Tarimba acha uwongo. Mbona goli aleio funga Bocco siku Simba ilipo cheza na yanga goli halali. Mbona husemi. Refa ali beba yanga. Mbona penalty waleio pata yanga wakati wamecheza na yanga. Lile lilikwa seio halali. Mbona husemi. Acha uwongo wako tarimba. Wewe hujuwi mpira.
Tatizo marefa posho zinatoka kidogo sana
Kisa utopolo limefungwa, kaa kimya, wameikataa bahasha zenu mnabaki kutupigia kelele, wwe tarimba ni utopolo org, kimya tafadhali, tulia hivyo hivyo
hawa viongoz wengine machoko sana eti anadai kama mpira utachezwa vizur yanga atakuwa bingwa,amesahau kuwa hao wenyew yanga ndo wanaharib mpira mara nyingi huwa wanatoa pesa kuhitaj matokeo😁😁baadhi ya mashabiki na viongoz wa simba hawajielew
Nice
Hunatimu timuyakombovu
Hawa utopolo kazi yao ni kulalamika tu mbona hamusemi penalt alizonyimwa simba mbona hawasemi walivikua wakisaidiwa wao kazi yao ni kulalamika tu
Tarimba nikweli marefa wa bongo ni wengine ni shida !
Hata majumbani mwetu.ukitaka kumsema mgeni tumia mtoto kutoa maneno mgeni akijijua Basi atajielewa.hapo Tarimba haisemi YANGA Bali yapo Mambo mengi Sana Timu nyingi zinafanyiwa Mambo yasiyo mazuri.lkn kule mwingine wao lolote Ni POA viporo Kama kawa.
Aibu yenu😂😂😂😂
Bila shak Ni lile goli la makambo
Hawa ndo wanaharibu mpira wa Tanzania.
Tarimba nahisi hujielewi ondoa sportspesa simba baking na Utopolo wako ulipaswa kuwa neutral kibiashara c kiupenzi
Ndio kaka ndio
Mwenye akili atachments vizuri na sio matusi
Umesema kweli kabisa
Refa yuko sahii
Umeshindwa kuisema Tim yako
Kweli abasi unasema ukweli kabisa waamuzi wanachangia kuangusha ubora wa ligi yetu kwakweli penati ile siyo kabisa
Ndugu Mteja Umejishindia Zawadi Nono Ya Kuchomwa Kidole Gumba Mkunduni Mwako 😎🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
@@NellyWaKidato 🤣🤣🤣🤣🤣
@ SAID SALUM iv w unaakili kwel ww yan penalt umeiona af unaongea upumbavu
Acha unafiki
Sasa mbona husem kosa liko wapi huna point kwendaaaa
HIVI SIKU HIZI WANACHEZESHA VIDADA!!
HAKUNA WANAUME WA KUCHEZESHA MPIRA?
AU NDIYO KILA MAHALI NI FREE MASON NA UCHAFUZI WA MAADILI DUNIANI!!
wewe akuna jitu unaongea wewe karare una jipya
Tarimba ni shabiki mpumbavu. Mdhamini halafu unashibikia. Inabidi ujionyeshe kuwa ni neutral hata kujionyesha tu kama mtu mwenye akili timamu.
Tulia Wewe Huyo Nae Nibinadamu Kama Nahayo Nimaoni Yake Tu.
Wewe mpumbavu sana na sport pesa na GSM mnadhamini vilabu tena mnaleta ushabiki wa mama kuku unajikanyaga sana wewe toka udhamini wk kinafiki