MWANAMKE WA KWANZA WA DIAMOND PLATNUM NDIO HUYU HAPA ,ALIYEIMBIWA "KAMWAMBIE.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 04. 2024
  • #bongo24 #diamondplatnumz #bongo24
  • Zábava

Komentáře • 467

  • @mosesmbeke6137
    @mosesmbeke6137 Před měsícem +59

    MDADA HANA MAMBO MENGI ANAONGEA FACT SHE'S VERY HUMBLE,AND NATURAL SKIN

  • @NadupoiKishau-ob3ih
    @NadupoiKishau-ob3ih Před 22 dny +2

    She is very clever and smart in talking❤❤

  • @princessmimi4404
    @princessmimi4404 Před měsícem +86

    Masha allah Sara mzuri kuanzia sura mpaka umbo ukweli ni huo

  • @othmanwaziri783
    @othmanwaziri783 Před měsícem +4

    Very intelligent woman - from Uswahilini ... Yn huyu ndio mke Alitakiwa ' ... Mwanamke wa kazi

  • @user-st1xk7ve3k
    @user-st1xk7ve3k Před měsícem +5

    Sarah maashallah. as among the Tanzania 🇹🇿 beauty. maashallah ❤

  • @SamuelObierojr
    @SamuelObierojr Před měsícem +3

    I respect this woman sooooo much. Diamond, don't disappoint me, my guy.

  • @Lintykamau
    @Lintykamau Před měsícem +6

    She resembles Miss Trudy from Kenya

  • @swaumudubai-jq9oy
    @swaumudubai-jq9oy Před měsícem +13

    Huyo kweli wake WA kitambo maana anamzunguzia nasibu si diamond naupenda kumuitaji LA kihasili mashallah nimekupenda an sara

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 Před měsícem +45

    Anaongea vizuri sana sarah❤

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 Před měsícem +68

    Saafi Mond umeleta Dadaetu sara mjini 👊

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Před měsícem +42

    Sarah anajikubali sana hatumii Mikorogo ya kishenzi mfn mekap

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 Před měsícem +2

      Anatumia vipodozi kiasi. Hakuwa hivo. Sio kujikoboa kama wadada wa siku hiz

    • @msafirikomba4673
      @msafirikomba4673 Před měsícem

      Tafuta picha zake vzr Kuna Moja Yuko na diamond wamekumbatiana kwa stage alafu kwnye miguu anajichubua japo sio sana

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Před měsícem +39

    Anaongea fact hana mambo mengi ❤

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 Před měsícem +40

    Daaaah! Wanangu mmepita mule muleee! Kiukwl sauti ya huyu dada hata mm inanivutia sanaaaaa! Anasauti ya mahaba Sana!

    • @eshialabonita7736
      @eshialabonita7736 Před měsícem +1

      😂😂😂😂 ila wanaume nini mnataka

    • @agnessbahamu3931
      @agnessbahamu3931 Před měsícem

      ​@@eshialabonita7736😂😂😂😂😂Hawaeleweki kabisa wanachotaka

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Před měsícem

      Ila anasauti ya kimamlaka , angeenda na huyu naona labda asingekuwa huku , jaman MWANAMKE anayesema WANAWAKE zake jaman ANYWAY ALL THE BEST DEAR SARA

  • @marlowwamasstown7051
    @marlowwamasstown7051 Před měsícem +16

    Mke wa boss

  • @FourTeen_KiiD
    @FourTeen_KiiD Před měsícem +3

    Sara ana sauti kama Gigy ❤

  • @moomasaiboerboels219
    @moomasaiboerboels219 Před měsícem +9

    Dada anajibu vzuri hajataka kujiproud sana big up sana.

  • @aminamhina7250
    @aminamhina7250 Před měsícem +77

    Nani amegundua huyu dada anasauti kdg inafanana na aunt Ezekiel

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 Před měsícem +131

    Ogopa dem mwenye sauti kama hii, wanajua mapenzi

    • @Humanity21216
      @Humanity21216 Před měsícem +8

      Hii ni kweli kabisa kaka😂😂😂

    • @celinapeter9474
      @celinapeter9474 Před měsícem +6

      Heheheeee

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Před měsícem +13

      😂😂saut kama ya gig

    • @abdallahkassim318
      @abdallahkassim318 Před měsícem

      @@nancyg8664 kabisa

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 Před měsícem +9

      Kumbe ndio maana diamond amekwama kwa zuchu maana na yeye zuchu ana sauti nzito kavu ndio maana simba anasema mambo anayopewa na zuchu ni balaa

  • @user-xl9wc6ob4v
    @user-xl9wc6ob4v Před měsícem +1

    Sema uyu sara yupo poah san afuu ana saut nzuri masha Allah ♥️

  • @jonsjones2580
    @jonsjones2580 Před měsícem +26

    kwa alivyoongea huyu dada kama kuna ka ukweli vile maana hamumunyi maneno,,kasema adi fav food yake

  • @patrick9935
    @patrick9935 Před měsícem +4

    Aamin

  • @asachibetty2490
    @asachibetty2490 Před měsícem +15

    She’s very beautiful
    She has no make up

  • @Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
    @Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin Před měsícem +16

    Sara yupo natural ana mambo mengii yaani yupo na uzuri asilia ..

  • @salimjottoh1908
    @salimjottoh1908 Před měsícem +149

    Huyu jamaa akitaka kusafisha nyota yako ni sekunde Tu... Hata kama ni uongo, tayari Sarah kawa Star ⭐🤣

    • @user-yu3mf6em1v
      @user-yu3mf6em1v Před měsícem +6

      Ndio Cha msingi aanze kulinga asipatikane mala Kwa mala

    • @salimjottoh1908
      @salimjottoh1908 Před měsícem +8

      @@user-yu3mf6em1v Kabisa..asiwe mbele ya camera Kila saa.

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 Před měsícem +5

      😂😂😂

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Před měsícem +6

      Una uhakk gani kama atakua star acha kukalili maisha aisee dah wabongo bn

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Před měsícem +5

      @@user-yu3mf6em1vkwaio akisharinga ndio nini?acheni ushamba wa bongo

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 Před měsícem

    Wow so nice🇿🇦🇧🇮

  • @user-mb7oe3pg3y
    @user-mb7oe3pg3y Před měsícem +1

    Nimempenda dada...Hana mambo mob ana sauti nzuri ❤❤

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Před měsícem +14

    Bila Shaka hii n vita kubwa Sarah na mondi plus zuchu 😅

  • @zazalareinebosslady
    @zazalareinebosslady Před měsícem +1

    nime ipenda bala love munch somba❤❤🎉

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Před měsícem +7

    Kiufupi ulikua una msuport for everything 💞🎉❤

  • @tshibangumunyenza7383
    @tshibangumunyenza7383 Před měsícem +4

    Safi Sana mama , very beautiful watching from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️one love Sarah 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌

  • @bennie7239
    @bennie7239 Před měsícem +5

    Na kamaulaya anako 😂😂😂😂😂

  • @user-gy3wo2ez4d
    @user-gy3wo2ez4d Před měsícem +13

    Mm mwanamke wang wa kwanza kumpenda alikuwa anaitwa halima abass❤❤ ,,,. Napenda mpka leo Mpk kiyama ingawa sasa na family teyar

  • @JohMbega
    @JohMbega Před měsícem +22

    Sema anajuwasana kuongea

  • @user-kx5jr6tt1b
    @user-kx5jr6tt1b Před měsícem +1

    Dah kweli ktk maisha yk kuna mtu muhimu unaempenda..

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Před měsícem +9

    Sara start mana ilikua hatumjui

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 Před měsícem +1

    Wajina yuko bomba mpaka sauti🙏🙏🙏🙏♥️♥️🔥🔥🔥😊

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Před měsícem

    MZULI MASHALLAH ANA TAKO ANA MDOMO WA KUNYONYA KAMA WADAIMOND

  • @lyidiajuakaly3335
    @lyidiajuakaly3335 Před měsícem +1

    Bonge la totolito kama mimi❤

  • @user-dp5fj2kn6d
    @user-dp5fj2kn6d Před měsícem +6

    ukweli mzuri lkn

  • @DanNzemba
    @DanNzemba Před měsícem +3

    Sara uko cute

  • @eddyimamu751
    @eddyimamu751 Před měsícem +2

    Me napenda anavyotembea Wallah.

  • @eatlawe
    @eatlawe Před měsícem

    Very beautiful even after having babies!

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js Před měsícem +3

    SAFI SANA SIFA NYINGI LAZIMA UMSIFIE MME WA KWANZA BWANA

  • @user-ks3gf7zn4y
    @user-ks3gf7zn4y Před měsícem +44

    Ngoja nikitoa namm Kuna kiumbe kilinitesa Sana

  • @leonardmanyanza5121
    @leonardmanyanza5121 Před měsícem +2

    Dada nimekukubali cjaskia skalele safi daah wengine sasa

  • @meowzna
    @meowzna Před měsícem

    🥰🥰

  • @cendrillonnam4549
    @cendrillonnam4549 Před měsícem +7

    Sarah kafanana na mama dangote Mara QUEEN Darleen 😍😍 ao ni mimi 🥰? Mwanaume hua anapenda mwanamke anae kua na mfanano na mama ao dada ake kwa sura ao tabia.

  • @sadickponera2464
    @sadickponera2464 Před měsícem +6

    In short amkuwa na focus😂😂

  • @AfricansInGulf
    @AfricansInGulf Před měsícem +1

    But this Sara is a mature lady nimempenda

  • @bahatinelson5813
    @bahatinelson5813 Před měsícem +1

    Safi sana sara

  • @Official-jplatnumz
    @Official-jplatnumz Před měsícem

    😊

  • @lameckthomas7044
    @lameckthomas7044 Před měsícem

    ❤❤

  • @mozeymbuna4960
    @mozeymbuna4960 Před měsícem

    Oooh Masha Allah mpenzi wangu wakwanza duh Swaibath na sijui yuko wapi kwakweli miaka 13 sasa

  • @mssgaintoo4321
    @mssgaintoo4321 Před měsícem +8

    Kashasafishwa nyota Sara

  • @stevernb7214
    @stevernb7214 Před měsícem +2

    Huyu msenge Toka zaman anakula mapini, hii inaonekana ilikuwa Mali kbx

  • @user-vw4vt6zc2h
    @user-vw4vt6zc2h Před měsícem

    Akupe hela

  • @user-ve9ot8qy3h
    @user-ve9ot8qy3h Před měsícem +2

    Mi wangu alikuwa Doris aseee

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 Před měsícem

    Duuh Sarah ndio angefaa kuwa mke halali wa Simba maana kwanza so beautiful ❤️ anajiamin Hana mambo mengi

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 Před měsícem +1

    Nimempenda mno hana mambo mengi

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Před měsícem

    Wa kwanz hawa

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 Před měsícem +6

    Dada tayari kawa star⭐️⭐️

  • @chazydreina2413
    @chazydreina2413 Před měsícem

    Sis wanaume tunapenda mara moja tu

  • @alonchobasamiye6844
    @alonchobasamiye6844 Před měsícem +44

    Ni mzuri lakin hamzidi MKE wangu awee MKE wangu mzuri sana

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 Před měsícem +33

    Uyu Sarah cjakia ata sehem moja akimuita diamond ni nassibu nassibu tu

    • @magicGenius23
      @magicGenius23 Před měsícem +7

      Hiyo ndo bond Wala sio diamond, diamond ni msanii, nasibu ndo mwenyew sasa

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Před měsícem +8

      Sababu anamjua kweli kweli kabla ya kuwa staa

    • @PanchoValentino-wh7wt
      @PanchoValentino-wh7wt Před měsícem +4

      Yan kwel kabsa Anaonesha anamjuaa kinyamA aisee Ametisha kinoma Noma

    • @enockmaige8936
      @enockmaige8936 Před měsícem

      Hadi rahaaa❤❤❤

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Před měsícem

    Safi sana Dada unajua kuongea kwa Heshima dhidi ya X

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem +5

    Acha utani bi salaha chuma kweli kweli.Nassib ebu mfanyie cha maana.Umetokanaye mbali❤❤❤

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 Před měsícem +17

    Hajaida daimond kaita nasibu tu mpka mwisho huyu kweli ni mke halali

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 Před měsícem +1

    Mm nlmpenda mdada wa kwanza anaitwa warda khamis ila dini zetu zilitofautiana wazazi wake walikataa mahusiano yetu dash....warda hujatoka moyoni mwangu poa lkn

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Před měsícem +23

    Na Mimi Mwanamke wangu wa kwanza kumpenda...Neema!!!!!

  • @johnmapunda3683
    @johnmapunda3683 Před měsícem +10

    Sarah Sudi Lino mtoto wa manzese.

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před měsícem +3

    Dai noma

  • @annamativo1023
    @annamativo1023 Před měsícem +3

    huyu sarah sauti yake ni nzuri anaeza imba vizuri

  • @user-kg2tm2eq7q
    @user-kg2tm2eq7q Před měsícem +1

    Only Nassibu not diamond safi sana

  • @harietisaya5281
    @harietisaya5281 Před měsícem +1

    Huyo ni wa nasib leo

  • @Armiedall
    @Armiedall Před měsícem +18

    Huyu dada kweli ni yeye kama ana muita nasibu na sio diamond basi ni yeye

  • @sebenmover
    @sebenmover Před měsícem +1

    Nilikuwa bitszii😂😂😂😊

  • @Nana-cm2ff
    @Nana-cm2ff Před měsícem +11

    Nenda kamwambie😂😂

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 Před měsícem +2

    Nasibu nasibuuuuuu😅😅😅😅😅😅😅

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Před měsícem +1

    mzuri zaidi hiyo pua😂

  • @trinnagriffo9366
    @trinnagriffo9366 Před měsícem +14

    Uyu Sara ni mzuri kama angekua na pesa ana umbo zuri anasura nzury ana nywele yani ni mzury

  • @chany9950
    @chany9950 Před měsícem +1

    Duuh🤣👍🏽

  • @fatmasaid9074
    @fatmasaid9074 Před měsícem +1

    kweli so mkubwa

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Před měsícem +2

    Kwa hio huyu WA kwanza WA 2 ni Hawa nitarejea 🤔

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 Před měsícem +6

    Huyu anamjua naseebu hamjui diamond safi sana 😂😂

  • @tifashadrack7135
    @tifashadrack7135 Před měsícem +1

    Eeeh jaman mkononi ana maokoto hatar hahaha😅😅😅

  • @akavanny3108
    @akavanny3108 Před měsícem

    Mm bado kuna comment natafuta
    Jina lake la instagram nani?? 😅😅😅

  • @user-ex4rh8eu8y
    @user-ex4rh8eu8y Před měsícem

    Sauti nzur jmn

  • @rajabuluambo2556
    @rajabuluambo2556 Před měsícem

    "Anapitiwa" noted

  • @Mazegelegirl
    @Mazegelegirl Před měsícem +4

    ana sauti ya makelele huyo

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Před měsícem +1

    hata mm mwanamke wa kwanza kumpenda alikuwa anaitwa Sarah alikuwa akiishi na bibi yake nyangoye bukoba way back zaid ya miaka 24 sasa sijawahi kumtia machoni

  • @QueenTowela
    @QueenTowela Před měsícem

    Someone to explain in English please

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Před měsícem +40

    Watu pekee Tz wakikutambua unakuwa star ni Mama samia na Diamond

  • @GraceBuretha
    @GraceBuretha Před měsícem

    Sauti kama mama dangote

  • @mohdabdalla7070
    @mohdabdalla7070 Před měsícem

    Dada mzur

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 Před měsícem +1

    Nimependa alivyoongea

  • @rukayyaaliy9713
    @rukayyaaliy9713 Před měsícem

    Jaman akiona zuchu atazimua😊

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Před měsícem +1

    Jesica Manji 😁

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Před měsícem +10

    Demu wangu wa kwanza kabisa anaitwa Sarah,ni mwalimu kwasasa,yupo Bunju😢😢😢namkumbuka

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 Před měsícem +5

    Huyu tayari kawa staa

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 Před měsícem +2

    Nae mtu 😂