KIJANA KAZI NZURI SANA UNAYOIFANYA A,K,A, MAGU, LAKINI PUNGUZA KULIALIA BABA, NI MWEPESI WA KULIA, KIDUMU CHAMA TAWALA CCM HOYEEE, KURA NYINGI KWA MAMA, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
,mkuu WA mkoa WA tanga amsaidie mjane a pateipts meneja WA BIMA ya afya WA hapa wakafunga hospitali kesi ikiwa mahamani wakafanya kilo hila wakashinda kwa zulma kabisa aliyozulumiwa nataasisi ya Ansar walisaidiana mganga mkuu WA mkoa aliye
Makonda piga kazi mimi napenda sana kufanya kilimo cha bustani na ufugaji mimi siombi mboga naomba ndoana.naomba shamba lenye chanzo cha maji utakuwa umenisaidia pakubwa na ubarikiwe
❤mashaalah Allah akbar akulinde makonda magufuri namba mbili
Hii kesi inanoga sana tunaomba kujua muafaka wake😅 comrade makonda big up sana kijana !!
MAKUFULI JUNIOR KAZI KAZI MTU WA TAKUKULU NI SAHII KUMUEKEHA ZAMANA MUALIFU???
Makonda ana KAZI NGUMU sana na hatakiwi kuiacha, na kama kawaida WATU wameumizwa sana
Big respect from Kenya to Hon. Makonda
We love makonda
Duu makonda kiboko Allah akupe umr mlefu kwakweli
Makonda mungu akubariki
Mahakama zote zifungwe makonda anatosha
Jongo
KIJANA KAZI NZURI SANA UNAYOIFANYA A,K,A, MAGU, LAKINI PUNGUZA KULIALIA BABA, NI MWEPESI WA KULIA, KIDUMU CHAMA TAWALA CCM HOYEEE, KURA NYINGI KWA MAMA, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
,Ansar wamefunga hospitali ya shifaa wakati kesi iko mahamani Leo hospitali inateketea yat oil ma n yatima na mjane na wamekoßa haki yao
Piga Kaz mtumish
,mkuu WA mkoa WA tanga amsaidie mjane a pateipts meneja WA BIMA ya afya WA hapa wakafunga hospitali kesi ikiwa mahamani wakafanya kilo hila wakashinda kwa zulma kabisa aliyozulumiwa nataasisi ya Ansar walisaidiana mganga mkuu WA mkoa aliye
Jamaa hawez kujieleza
Tena huko kalambo ndo haki ni story tu
Mahakama zote zife makonda afe
🙏