TUACHE USELA NA UJANJA UJANJA KWENYE KUSAJILI WACHEZAJI NDANI YA TIMU ZETU ZA TANZANIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 08. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Komentáře • 10

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 Před měsícem +1

    Oscar ameongea point sana

  • @latipharamadhani7576
    @latipharamadhani7576 Před měsícem +1

    Wanamtangaza mchezaji wakati awaja fanya walicho ambiwa coast wako sahihi kabisa

  • @latipharamadhani7576
    @latipharamadhani7576 Před měsícem +1

    Oscar umesema point sana

  • @fargakoigip6029
    @fargakoigip6029 Před měsícem +1

    simba wameshtakiwa kwa kuto andika barua ya kuachana na Chama, simba wana mgogoro na Lawi simba wamefanya umafia kwa Awesu, simba walishirikiana na TFF kumpata Benard Morrison....ni kawaida kwa simba kufanya ujing katika eneo hili haswa ktk tff hii ya Karia niliwaambia Karia ni simba zaidi ya Coasta Union wengi hamkunielewa....simba walipewa umuhimu kwa sharti la kulipa ndani ya muda kimkataba ili coastal waweze kutumia hela kumpata mbadala wa Lawi popote sasa simba msimu wa mwisho walilipa baada ya ligi kuanza na dirisha la usajili limeisha fungwa timu iliyouza mchezaji inapata wapi fedha za kumpata mbadala wa wamchezaji aliyeuzwa kama walipaji wanalipa nje ya dirisha la usajili? wana simba walimshangaa Ngassa alipochagua YANGA na kuipondea St Georges ya Ethiopia...sasa leo wanaingilia dili la Lawi asiende Ubelgiji abaki simba najiuliza sasa walimcheka Ngassa ili waige? simba akishinda kesi hii maana yake wanataka coast ikose fedha ya Ubegiji na viongozi wa Coastal ndani ya TFF watakula mshiko wa simba wakiliwezesha dili la kuipa simba Lawi

  • @latipharamadhani7576
    @latipharamadhani7576 Před měsícem +1

    Unasema ng'ombe huyu wakwangu na ujatoa pesa mwenye ng'ombe anakwelewaje, mwenye ng'ombe kapata mteja mwingine amuhuze ubadahi anauza ng'ombe wakwako na ukutoa pesa Kwa muda alio taka

  • @drallan6879
    @drallan6879 Před měsícem

    acheni usani nyie watangazaji mnakosa weledi;refer FIFA regulations

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza Před měsícem

    Nyie wapumbavu mbona kwa fei hamkutetea hivyo bali mliikandamiza yanga bila huruma mafara nyinyi