THE BEST COLLABOLATION FT Rose Muhando, Obby Alpha, Bonny Mwaitege,

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 05. 2024
  • Hudba

Komentáře • 81

  • @anisetbutati
    @anisetbutati  Před 23 dny +14

    Ukisha tazama zote rudi hapa uniambie ipi nyimbo yako pendwa

    • @susanonyangi-lh6yn
      @susanonyangi-lh6yn Před 23 dny +6

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪
      1.salute
      2.Napepea
      3.acha nishukru mungu wangu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
      4.Ni Kwa nguvu zake.
      My people from mother land Kenya like tukisonga na injili safari bado🙏

    • @anisetbutati
      @anisetbutati  Před 23 dny +2

      🙏🙏🙏

    • @officialandy_ke
      @officialandy_ke Před 23 dny

      Yako na bonny mwaitega

    • @anisetbutati
      @anisetbutati  Před 23 dny

      ​@@officialandy_keAsante🙏

    • @ashlinendiema1559
      @ashlinendiema1559 Před 23 dny +1

      Wakati wako ukifika,I watch everyday.

  • @user-vl9uw2zx5w
    @user-vl9uw2zx5w Před 4 dny +1

    Nyimbo zote zinabariki 🙏🙏🙏

  • @aliciaallyson4678
    @aliciaallyson4678 Před 20 dny +3

    Make it downloadable

  • @user-eg2tz3cf8u
    @user-eg2tz3cf8u Před 6 dny +1

    Bless 🙌

  • @user-sq7pi7oe2i
    @user-sq7pi7oe2i Před 17 dny +1

    Mung awazindiz nguvu kwakazi zenu zauimbaji nyimb zaijili nawapenda sana kbx❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @selestinemayodi3384
    @selestinemayodi3384 Před 22 dny +1

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @valentineakola888
    @valentineakola888 Před 23 dny +1

    All of them are good ❤️ message matters alot💯

  • @albertinasaria2488
    @albertinasaria2488 Před 23 dny +2

    Mungu awainue zaidi ya hapa 🙏🙏🙏

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r Před 4 dny

    Yeah 👏👏👏👏👏👏

  • @paulinembithe3847
    @paulinembithe3847 Před 2 dny

    Nyimbo zako zone zinanibariki

  • @rachelbahige2609
    @rachelbahige2609 Před 22 dny +1

    Amen, Zambe azwa lukumu.
    Ngai naza bana 4 oyo baboyanga,papa nabango ayebisa bango ke ngayi na bwakabango pobaza bandiki.

  • @SusanGichuhi-yf1ho
    @SusanGichuhi-yf1ho Před 3 dny

    Umebariki moyo wangu

  • @user-uj4uf5cn6v
    @user-uj4uf5cn6v Před 21 dnem +1

    Wakati wangu ukifika Wimbo umenfarji sana god bless you 🙏🏻

  • @AmosGuzman
    @AmosGuzman Před 23 dny +2

    Alilopanga mungu litatimia. Kwenye maisha yako Litatimia 😍 🥰

  • @asmaraentertainment668

    Amina sana

  • @AokoObwanda
    @AokoObwanda Před 21 dnem

    I really love your songs may almighty grant you more. Wisdom for these arts a men

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Před 10 dny

    Watakuheshimu ndiyo umetishaaa! Maana hata mimi wameanza kuniheshimu hakika!❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AngelinachindeleMateus-hb9ki

    Deus é tão fiel para quem confia Nele aleluia 🙌 Deus abençoe vocês e todos que amam Ao nosso Deus em nome de Jesus Cristo ❤

  • @user-ug4tf5jy9b
    @user-ug4tf5jy9b Před 23 dny +1

    Aminaa zote niushuda wangu na amini wataulizwa na nashukulu Mungu🙏🙏🙏🙏

  • @eliyakiza9327
    @eliyakiza9327 Před 20 dny +1

    Ila na ile nyimbo ya usinikumbushe, mambo yazamani, ikopowa sana

  • @aggybona7658
    @aggybona7658 Před 21 dnem

    AMEN nyimbo zote barikiwa sana mtumishi wa MUNGU endelea kumtumikia Bwana

  • @HassanLikaluka
    @HassanLikaluka Před 6 dny

    Alilopanga Mungu litatimia imenigusa sana

  • @kizachristine
    @kizachristine Před 15 dny

    Ameeen ameeen

  • @Ronaldkimbio001
    @Ronaldkimbio001 Před 22 dny +1

    Nikwa nguvu zake🥰🥰🥰

  • @user-eg2tz3cf8u
    @user-eg2tz3cf8u Před 6 dny

    Amen 🙏

  • @user-wv3du7ld2p
    @user-wv3du7ld2p Před 2 dny

    Naomba link ya kudownload please

  • @jonathanmwakai2821
    @jonathanmwakai2821 Před 22 dny +1

    Zote zinabariki ❤❤❤

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula Před 18 dny

    Hongera sanaaa watumishi wa mungu, Continue shinning in jesus name🙏🙏

  • @eliyakiza9327
    @eliyakiza9327 Před 20 dny

    Hinyimbo, uliipatia ikopowa sana, Mungu akubaliki sana,

  • @WilberforceLuvai
    @WilberforceLuvai Před 14 dny +1

    Watakuheshimu yanibariki sana

  • @roselinekhadija5547
    @roselinekhadija5547 Před 17 dny +1

    Amejibu maombi ndo kali

  • @gloryvictor7013
    @gloryvictor7013 Před 23 dny

    🙏🙏🙏🙏 naamini ntainuliwa na mungu zaidi wakati wangu ukifika🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FrankOsward
    @FrankOsward Před 21 dnem +1

    Analo panga mungu lazima litime.

  • @rachaelngwatu7970
    @rachaelngwatu7970 Před 7 dny

    Nyimbo hizi zabariki Sana Sana

  • @daxmtiwandege5063
    @daxmtiwandege5063 Před 21 dnem

    Hiyo ya Mjomba bony ni balaa 🔥🔥🔥

    • @daxmtiwandege5063
      @daxmtiwandege5063 Před 21 dnem

      But zote ni za baraka sana ni nzuri sana hujawahi kuniangusha

  • @abigaelwanyonyi
    @abigaelwanyonyi Před 13 dny

    All so powerful be blessed from kenya wapi wenzangu

  • @desaumwaweza
    @desaumwaweza Před 23 dny

    Hongera mtumishi wa Mungu

  • @nyokskinyah8246
    @nyokskinyah8246 Před 23 dny

    Niceeee

  • @mkojeragodsonofficial4664

    Kuna kipindi unapita hata ndugu wanasema huna namna but MUNGU ana namna ya kukutoa hapo ulipo yusufu alipouzwa ndugu walisema hamna namna Ndoto Zeke zingeweza kutimia lakini kule kule walikoona hamna namna Mungu alifanya namna akawa waziri na Ndoto zikatia KUNA NAMNA MUNGU ATA FANYA KWENYE HIO HALI AMBAYO INAONEKA HAMNA NAMNA. I LOVE YOU ALL bone vs batuti.

  • @hanssnandwa7409
    @hanssnandwa7409 Před 6 dny

    Achilia link ya audio

  • @Godfrey_lusekelo
    @Godfrey_lusekelo Před 8 dny

    Watabaki wanashanga

  • @OfficialSamwelNgasa
    @OfficialSamwelNgasa Před 23 dny

    Nyimbo zote ukishirikisha huwa unafanya kweli ww ndio mwimbaji bora wa kila mwaka

  • @AngelinachindeleMateus-hb9ki

    Deus sempre a de surpreender os incrédulos para exaltar aqueles que o temem mesmo estando na humilhação hoje Deus vai permitir que não moram os nossos inimigos ou os que nos humilharam para ver como Deus nos honrou cá na terra aleluia aleluia sorte e estar na presença do pai celestial ❤❤❤aberto aleluia linda jóia do cordeiro de Deus que tira o pecado do mundo Mungu baba está com os que se tornaram seus filhos em nome de Jesus Cristo João 1 V12

  • @sheilaatabo1027
    @sheilaatabo1027 Před 23 dny

    🤲🤲🤲 amen

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 Před 23 dny

    🎉🎉🎉

  • @susanonyangi-lh6yn
    @susanonyangi-lh6yn Před 23 dny +1

    🇰🇪🇰🇪🤲🤲🤲

    • @susanonyangi-lh6yn
      @susanonyangi-lh6yn Před 23 dny +1

      Apostle Aniset butati for sure l myself I like your songs when the depression is high and situation too l come to your page to listen . one day lord will make a way for me 🙏

    • @susanonyangi-lh6yn
      @susanonyangi-lh6yn Před 23 dny +1

      Wale wale walisema sitaeza wale wale walisema sitaeza watanipigia salute 🤲 in mighty name 🤲

  • @user-fj1ib7rn8f
    @user-fj1ib7rn8f Před 22 dny +1

    Hiyo wimbo ni poa sana

  • @AngelinachindeleMateus-hb9ki

    Deus é tão fiel para quem confia Nele aleluia 🙌 Deus abençoe vocês e todos que amam Ao nosso Deus em nome de Jesus Cristo ❤

  • @mkojeragodsonofficial4664

    Kuna kipindi unapita hata ndugu wanasema huna namna but MUNGU ana namna ya kukutoa hapo ulipo yusufu alipouzwa ndugu walisema hamna namna Ndoto Zeke zingeweza kutimia lakini kule kule walikoona hamna namna Mungu alifanya namna akawa waziri na Ndoto zikatia KUNA NAMNA MUNGU ATA FANYA KWENYE HIO HALI AMBAYO INAONEKA HAMNA NAMNA. I LOVE YOU ALL bone vs batuti.

  • @AngelinachindeleMateus-hb9ki

    Deus é tão fiel para quem confia Nele aleluia 🙌 Deus abençoe vocês e todos que amam Ao nosso Deus em nome de Jesus Cristo ❤