PART 1: ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA YESU ALIVYOMTOKEA, KUFUKUZWA NYUMBANI | HARD TALK

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 08. 2022
  • PART 1: ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA YESU ALIVYOMTOKEA, KUFUKUZWA NYUMBANI | HARD TALK
    HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya mwanamuziki wa Injili, Rose Muhando, katika kipindi cha HARD TALK, ambapo amezungumzia historia ya maisha yake, majanga aliyokutana nayo mpaka kufikia hapa alipo..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • Zábava

Komentáře • 414

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před rokem +19

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @faitholum
    @faitholum Před rokem +4

    Nataka niache hii comment hapa ndio siku zinazopita watu wakilike inanikumbusha kuwa magumu tu nayo pitia kwa maisha mwishowe Mungu yupo.

  • @inongee1141
    @inongee1141 Před rokem +119

    Mimi naamini kwa asilimia mia .100 kuna ndugu yangu aliumwa miaka mingi siku alio pona. Mungu alimutokea usiku wa manane alipona dakika hio mwanga ulitawala nyumba nzima na sauti nzito Mungu yupo na anaponya 🙏🙏

    • @miriamcheya3136
      @miriamcheya3136 Před rokem +2

      Amina sana na nina uhakika na hilo kabisa

    • @issanasir3583
      @issanasir3583 Před rokem +4

      Mungu alikua na nguo gani ?

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Před rokem

      @@issanasir3583 duh

    • @azinarashidi5204
      @azinarashidi5204 Před rokem +7

      @@issanasir3583 huwezi kuelewa kama huna Faith mkaribie Mungu utaona utofauti

    • @gracejerome7147
      @gracejerome7147 Před rokem +1

      Nimelia sana nimesamehe kwa kumsikiliza roze sikujua kma nilikuwa nauchungu moyoni mwangu asanteni kwa kipindi kizuri

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 Před rokem +28

    kipenzi Cha wakenya wote wanaompenda Mungu, hallelujah....Kwa kweli Rose nilimpenda Sana Sana,hata wakati aliugua, ninjifunga kumuombea 🙏i thank God for your life ,dada Rose, May the Lord Almighty and his mercies, protection, favor, and all his blessings locate you ,in the mighty name of Jesus Christ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    we love you 💓

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 Před rokem +11

    Uzuri wa sauti ya Rose ni kutoka mbinguni, yaani sio mbwembwe za studio, yaani hata bila vyombo anaimba hata akiwa kibibi naamini bado sauti haitazeeka❤️❤️❤️❤️

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 Před rokem +12

    Hakika huyu ndo malkia wa injili,,, MUNGU azidi kukuinua dada Rose 🙏

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 Před rokem +17

    " kwenye maisha kila mtu huwa na ndoto zake lakini kwa neema ya MUNGU nimetimiza ndoto nyingi.lakini ndoto moja ninayo tamani sana kuitimiza ni kufanya nyimbo na mwanadada rose muhando.Mimi naimba nyimbo za kurap kwa njia za injili natamani sana kufanya nyimbo na huyu mwanadada.

    • @simonmdune9066
      @simonmdune9066 Před rokem +1

      kurap tena ?😦tena gospel surely hebu acheni hizo waimbaji

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 Před rokem +37

    Representing Team Rose Muhando from Kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🇹🇿🇹🇿

  • @mosesnyagaofficial6266
    @mosesnyagaofficial6266 Před rokem +53

    Anytime you think of giving up, listen to the story of one, Rose Muhando. A story of perseverance and never giving up on God.

  • @cacynjuguna4070
    @cacynjuguna4070 Před rokem +4

    Kusema ukweli rose muhando umenitia nguvu Nilikuwa nimefika mwisho lakini atleast Nko Sawa nakupenda Sana rose

  • @floreswanyt5444
    @floreswanyt5444 Před rokem +10

    Ukielezea tu yaani goosebumps nikijaribu kuvuta picha.More grace mama

  • @ryanreign8108
    @ryanreign8108 Před rokem +6

    Rose muhando my role model…May almighty God continue using you to enlighten the world 🌎 kama mtu anaweza subscribe 100times naweza juu ya sister Rose

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 Před rokem +18

    I like Rose muhando, na Nyimbo zake

  • @bintitole5176
    @bintitole5176 Před rokem +14

    Napenda anavyo nawiri much love from Kenya Rose ❤️❤️❤️

  • @paula-yy3nt
    @paula-yy3nt Před rokem +4

    Nilipokuwa nawatch hii story ya dada rose nilikuwa kazini.mapigo aliyoyapitia Rosi Yale Yale niliyoyaona mimi.kama mtoto wa kwanza kwetu nilipitia machungu kwa sababu ya wadogo wangu,mapigo hatakuwa rahisi,mama mzazi kanichukia bure tu pasipo mimi kuijua sababu.weh!siku ipo nitakaposimulia safari yangu kuwapa moyo waliomo kwa Hali kama niyokuwa.namshukuru mungu baada ya hayo yote mungu aliniheshimisha.from Kenya we love you Lilian mwasha

  • @taliatale3629
    @taliatale3629 Před rokem +24

    The voice mama. The vooooooice, literally shaking the gates of hell and opening those of heaven

  • @mercynyawira3224
    @mercynyawira3224 Před rokem +14

    I honour the GOD of Rose. He is a restorer and a healer.

  • @irenemuriithi2943
    @irenemuriithi2943 Před rokem +5

    Wimbo alioimba akiombea Kenya naupenda sana.Barikiwa sana Rose Muhando.

  • @rosemusya994
    @rosemusya994 Před rokem +7

    rose napenda nyimbo zako zote na story yako nimeiwatch over three times uwa unanipea nguvu ya kuishi mungu awe na wewe milele 🙏

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 Před rokem +13

    Shalom dada Rose,vita yako siyo ya kukuua Bali Niya kukupandisha kutoka sehemu uliyonayo kupanda ktk kiwango kingine cha utukufu,ili Mungu aliyekuchagua kbl ya mising ya Dunia ajitukuze kwako,wenyew macho na masikio wamuone Yesu mwokozi anavyomtukuza mtu,anavyomuinua mtu,mimi nikipewa kukuombea iliutoke sehemu,uliyokuwepo,kwa kutokujua kwako au kwa kujua,so acha mitihani ije ili Yesu atukuzwe,usiku na mchana.

  • @rhodamuthoni9630
    @rhodamuthoni9630 Před rokem +5

    Rose we wish to adopt you as 🇰🇪 you're just the best we love you queen of gospel

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 Před rokem +7

    Napenda unavyoita baba baada yakufa!! Daaah,alikuwa bab Yako rose😭😭😭jamaani

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 Před rokem +5

    Sauti ya Rose jamani!!!
    Yesu asante!!!!

  • @ebbykushmusic
    @ebbykushmusic Před rokem +2

    Am so encouraged, Naapa mimi, sitakufa moyo

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Před rokem +11

    😭Mungu alikulete Duniani na kuzudi lake,kupitia baba aliye kuzaa kukatoka Malkia, Dunia yote inakuenzi Rose,heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake,nakupenda sana,na Mungu akubarikie na Miaka mingi ya Kuishi ,Amina🙏

  • @mamaprisdebs8215
    @mamaprisdebs8215 Před rokem +10

    Liliana you need to have a tissue for someone to use when she or he is crying

  • @naomisaitabaumollel4109
    @naomisaitabaumollel4109 Před rokem +4

    Dada Rose nakupenda sana,hata ulipopitia vita kipindi fulani hivi ambayo tuliijua kwa Pastor Ng'ang'a I mean kwenye maombi kwa mtumishi hiyo,Mungu aliniwekea mzigo mzito mno ndani yangu wa kukuombea, namshukuru Mungu mno kuwa alikuvusha,ataendelea kukuvusha ili ulitumikie kusudi,love you

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Před rokem +4

    dada unaimba sanaaaa
    nimeuza saana cd zako
    dada rose ALLAH GREAT UMEWIN 🙏
    uyo mzee alaaniwe hakachomwe
    na allah mwenyewe

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Před rokem +3

    Amini kile kinacho kufaa sio kuzarau na kujiona Bora Kila mtu na Imani yake

  • @georginakamuti2693
    @georginakamuti2693 Před rokem +14

    I just love 💕 sister Rose Mohando. May GOD strengthen her more and more in her ministry in Jesus name 🙌🙌

  • @naomipeter8093
    @naomipeter8093 Před rokem +3

    Wakati nasikia Yesu ni Bwana wa vita sikua naelewa!ila sasa naelewa kwa nn kulikua na majeshi ya Bwana!Mungu amekwisha kutupigania tuendee kumtafuta kwa bidii

  • @joanjeptoo5760
    @joanjeptoo5760 Před rokem +16

    I feel encouraged by your story I believe one day God will appear and heal me too I have been having back pain more than yrs now may God hear my prayer 😭

  • @joycembesa5660
    @joycembesa5660 Před rokem +13

    From Kenya more love Mom 🌹

  • @micheckwachira3578
    @micheckwachira3578 Před rokem

    MIMI NI MGENI LAKINI NAMPENDA ROSE MHANDO NAMFWATILIA ROSE SAAANA MUNGU AKULINDE MILELE LOVE YOU VERYYYY MUCH AMEEN

  • @josephinevota-tx8tx
    @josephinevota-tx8tx Před měsícem

    Infact that's the time my husband was attacked by robbers but God saved him from death. Song nafurahia mateso yangu really encouraged me

  • @irenechogoofficial5901
    @irenechogoofficial5901 Před rokem +4

    My favorite Artist forever,wewe ni jembe mama Mungu akulinde milele mummy. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @user-hh8tg7nl4y
    @user-hh8tg7nl4y Před 6 měsíci

    Jaman mama angu rose nimefatilia sana istoria hii kweli nimewaza nimefika mbali sana kwel mungu anamtoa mtu mbali

  • @balancedviewpoint7418

    I love Rose 100% kama mtumisi wa mungu tajika. Tangu aanze kuimba na hekima kwa uokofu wake ni asilimia Mia kwa Mia. Mungu yule mmoja anaabudu dada Rose ndio naabudu mimi. Dada Rose huko na sapoti yangu kutoka 🇰🇪. Sikilia hapo hapo na shetani hana mamlaka kwa maisha yako-Shikilia hapo Shikilia dadangu

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Před rokem +8

    God above all Asante kwa shuhuda hii rose

  • @bettybirir8687
    @bettybirir8687 Před rokem +2

    i just love u mama, hiyo sauti uniamsha..... i just feel you are God's sent

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 Před rokem +4

    Much ❤️ dada Rose 🙏 Mungu alitaka na aliruhusu upitie yote ili uwe njia kwa wengine wengi. Ukijitazama ulivyo leo unajua 'it worth going through all that darling'.

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 Před rokem +1

    Rose napenda nyimbo zako,popote ulipo MUNGU azidi kukubariki na kukuinua ZAIDI🙏🙏🙏

  • @judah8195
    @judah8195 Před rokem +1

    Pole Dada mtumishi mateso mengi ya mwenye haki mbele za Mungu baba.
    mumba wa mbingu na nchi.
    Jitie moyo Dada Ross.
    TAJI. no gharamah..
    Shalom Shalom.
    To the host pliz next time pass a saviet to wipe away tears..
    Though Christ will wipe her tears for ever .
    Amen Amen

  • @kisiimilka2063
    @kisiimilka2063 Před rokem +1

    Emeniiiiiii 🤚 dada mhando wanibariki na ushuhuda wako maana hata Mimi nayabitia Sahi na hayo machungu single mother lakini waniba tumaini na huo wimbo mteule uwe macho emeni 🙏

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 Před rokem +1

    Mungu mkumbuke Rose baada ya hizi dhiki na vita afike mbinguni..Nampenda sana.

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 Před rokem +4

    Mungu yuko na wewe pole sana mama😢😢😢😭😭😭

  • @millicentwanjiku1698
    @millicentwanjiku1698 Před rokem +14

    I love this lady so much and Angela.The messange and the dancing not forgetting the voice👌👌🇰🇪

  • @zipporahogembo142
    @zipporahogembo142 Před rokem +2

    Pole sana mtumishi wa Mungu kwa Mapito uliyoyapitia kweli our God is God of good plans into our lives I remember those days of Mungu nipe uvumilivu nilikuwa nimeshindwa kabisa but....big up mamangu💙💙

  • @beatricecharles2130
    @beatricecharles2130 Před rokem

    Dada ROSE MUHANDO Pastor Ezekiel wa mavueni Mombasa Kenya anakuita Dada alisema Rose Muhando wa tz kwa sasa cyo Rose Muhando yule wa kipindi kile ambacho aniamba (nimekukimbilia wewe bwana) ivyo tukuambie uende Mombasa mavueni NEW LIFE CHURCH Anataka urudi kuwa Rose Muhando wa zamani Amen

  • @rafiiabdul6217
    @rafiiabdul6217 Před rokem +12

    Inalillah

  • @souzannahchombeofficiel2809

    Ubarikiwe kwa kweli unatubariki tangiya zamani Congo tunakupenda

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 Před rokem +2

    Rose Mungu yupo pamoja nawe endelea kufanya kazi ya Mungu. Ninakupenda sana Rose. Lillian Mwasha beautiful girl 😍 . Mungu Akubariki pia dadangu 💋💞

  • @sarahprudence5602
    @sarahprudence5602 Před rokem +8

    We love you so much Rose Muhando. Always desired and dreamed to be your dancer when I was a kid.

  • @flora.damaryamila7313
    @flora.damaryamila7313 Před rokem +1

    Pole Rose Kwa yale ulippitia, Mungue ni mkubwa na amekutos mbali sana. Mungu azidi kubariki.

  • @florakabena12flora29
    @florakabena12flora29 Před rokem

    Wow Rose Muhando umebarikiwa Hadi bila microphone uko na sauti smart.

  • @FloridaSanga
    @FloridaSanga Před 7 měsíci

    Hongera sana Dada yangu Mungu akuinue zaid hata mm ninakipaji lakn sina pakuazia

  • @neema2301
    @neema2301 Před rokem

    2024 nlikuwa na miaka 12 nakumbuka uwo wimbo wa uwe macho tulicheza kwenye harus ya wifi angu, mungu azidi kukuweka dada rose

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Před rokem +2

    Rose ni mwanamke jasiri sana nimejifunza sana kwake na anaongea kwa ujasiri kabisa

  • @margaretgatimu-fi9is
    @margaretgatimu-fi9is Před 9 měsíci

    Rose mungu anakupenda sana nashetani hatakumaliza watumishi wamungu hupitia mengi lakini mungu humpigania

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Před rokem

    Mungu alie kuvusha katika mabaya yote aendelee kuku pandisha ukawe wa viwango vyajuu history yako inaumiza sana.

  • @julietkayombo2756
    @julietkayombo2756 Před rokem

    Nimekufatiliya goys in south Africa 🇿🇦 lakini I am a Zambian

  • @paulinepawa5590
    @paulinepawa5590 Před rokem +1

    Nakupenda sana rose🥰🥰 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @selinayusuph9638
    @selinayusuph9638 Před rokem

    Naamini unayosema Rozi, na nnajua uliyo pitia, ila MUNGU ni mwaminifu kwako na daima usimuache, anampango na wewe sana.

  • @jaligawesa
    @jaligawesa Před rokem +2

    Yesu ni mzuri sana

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 Před rokem

    Ila Yesu sio mzungu hakuna anayejua sura ya Yesu ametuumba tu kwa mfano wake. Pole da Rose kwa yote uliyopitia

  • @stelabrent6056
    @stelabrent6056 Před rokem +1

    jamn barikiwa mama anaimba live utafikir mziki umeeditiwa duu kwakweli mungu ni mwema 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Jane-ie9ul
    @Jane-ie9ul Před rokem +2

    My lovely two ladies in the house. Na wapenda sana Lilian na Rose Muhando.Thank you Lilian for starting this special show.

  • @felixbenos6365
    @felixbenos6365 Před rokem +1

    Hakika dada Rose nakupenda sana kwa yale yote unayo fanya Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia.

  • @ayubukedimundi3221
    @ayubukedimundi3221 Před rokem

    Mungu anatutoa mbali Sana kiukweli kabisa...........Mungu walinde watumishi wako na watu wote binadamu

  • @hottensiahtuli2054
    @hottensiahtuli2054 Před rokem +6

    I love the testimony Rose is a great minister and a mother of many music ministers, i love how God protected her all through since the day she was called for the ministry.

  • @eugeneoketch571
    @eugeneoketch571 Před rokem +3

    Hv always love rozi since my childhood till know I'm independent

  • @mariahrose1494
    @mariahrose1494 Před rokem +2

    Rose I love you so much,,,dhahabu kung'aa lazima ipite kwenye moto mummy ❤️❤️

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 Před rokem

    Yani unazeekq na Utamu wa Sauti yako jamani Mungu Akubariki sana Rose 🌹 more love you 😍 ❤

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 Před rokem +5

    Rose, Yesu anakupenda sana na anakuwazia mema siku zote! Usimuache Yesu kamwe na songa mbele! Usiogope kwa maana Mungu yupo pamoja nawe. Simama imara na Mungu. Asante sana Lillian kwa kumleta mtumishi huy, Shoo yako ni njema sana Lillian. Nimeamini kuwa never judge a person.

  • @bhokemkami4901
    @bhokemkami4901 Před rokem +1

    Nyiee hujawahi kuchuja my wangu nakupenda mm jaman toka nikiwa mdogo nyimbo zako zoote zipo kichwani😍😍

  • @elizabethgodfrey1479
    @elizabethgodfrey1479 Před rokem

    Yaani huyu mama rose nampenda sana.. kwenye sim yangu nina nyimbo zake tuu

  • @janechikolodamian3215
    @janechikolodamian3215 Před rokem +1

    Nakupenda bure Rose Muhando ❤️ pole kwa yooote uliyopitia mungu hatakuacha daima

  • @patriciah_philip7738
    @patriciah_philip7738 Před rokem +2

    God bless you mama Rose muhando
    I love you

  • @johnmassinga668
    @johnmassinga668 Před rokem

    Jamani wimbo huoo nilipotea ninako elekea nisababu yakuupenda mteule uwemacho barikiwa sana my sister

  • @romonaayuma7599
    @romonaayuma7599 Před rokem

    Dada Rose,kwa miaka mingi nimekufuatilia...
    Huhimizwa sana na shida zako

  • @user-pj1qx4sg7i
    @user-pj1qx4sg7i Před 4 dny

    Jamani munguyupotu

  • @winnieamanya1550
    @winnieamanya1550 Před rokem

    Dada Lilian...jifunze kikumbatia mtu akiwa analia na kumpa tissue ya kupanguza maji..pia ni vema kuwa na maji Baridi hapo kwa jag na glass...maji Baridi hutuiza machingu na hasira....""""" it's a polite request"""
    Dada Rose mungu akutie nguvu umepambana..Duuh safari ya wokovu ...Mungu tusaidie 💔🙏🙏🙏

  • @stewartukason231
    @stewartukason231 Před rokem

    Pole Sana dadaangu...!! Naamini Mungu atashughulika na Kila mtu aliyehusika na mateso yako.

  • @gracewanzila2971
    @gracewanzila2971 Před rokem

    From Kenya, we love you mummy
    Welcome to our homeland Kenya great woman we don't want see you cry anymore dear

  • @gracemwakyoma383
    @gracemwakyoma383 Před rokem +1

    My mother my mother Rose Muhando aka God's general.

  • @AgnesAkura
    @AgnesAkura Před 16 dny

    Sauti yako nzuri sana wapendezasan

  • @JenniferBaya-zu5cr
    @JenniferBaya-zu5cr Před 29 dny

    Mungo akubariki. Kwa. Hatua. Uliyochukua. Ubarikiwe

  • @helenalome9780
    @helenalome9780 Před rokem +5

    She is strong and courageous keep it up

  • @btsarmygirl8478
    @btsarmygirl8478 Před rokem +2

    Dada Rose mungu akubariki na shukuru mungu umepona nakutakia afya njema mungu akutunze Kwa ajili ya Jina lake na nyimbo unazoimba kumsifu mungu,pole Kwa yote Dada Dunia Ni mapito tu

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Před rokem +2

    Inaumiza lakini huyo ndo ilikuwa ngazi yako ya kupandia juu,keep the 🔥 burning mama,

  • @magemacha7879
    @magemacha7879 Před rokem +1

    Nakupenda Sana mama yangu Rozi wangukipenzi.

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 Před rokem

    Nakumbuka wakati habari za kifo cha Rose zikianza kutangazwa na mpaka video za mazishi zikatengenezwa 😭nililia Sana kwa sababu mimi n fun mkubwa WA nyimbo zake 😭 nyumba yangu ilijaa zimanzi 😭mungu atukuzwe aliye ponya dada Rose

  • @donenciamwachofi7974
    @donenciamwachofi7974 Před měsícem

    You're the living testimony rose

  • @simonkitaka6369
    @simonkitaka6369 Před rokem

    Katika kuokoka kwangu tangu utotoni Kwa sinema zako nilinguzwa hadi nika rudi kanisa na kuokoka kabiza zidi kubarikiwa Sana juu Yesu alikuita utumikie wengine waje katika maisha ya wokofu duniani .

  • @user-is6hj2pb9l
    @user-is6hj2pb9l Před 8 měsíci

    Ama kweli nakupenda sana mamaangu mzuri 12:35

  • @victorianzilani5261
    @victorianzilani5261 Před rokem +1

    Rose mungu akuzidishie na akubariki

  • @aoman5214
    @aoman5214 Před rokem +1

    😭😭😭😭 pole Sana dada rose Kwanin usiende kumstaki police wakamchukulua hatua huyo Baba mnyama kabisaaa

  • @tumainiedgar3382
    @tumainiedgar3382 Před rokem +1

    Wow wow wow wow ana sauti nzuri
    Mungu jamani asante kwa kumpa sauti nzuri

  • @Child0fStarSon0fSun
    @Child0fStarSon0fSun Před rokem

    3:30 this deep holding breath says everything oh Dunia

  • @annadida5672
    @annadida5672 Před rokem

    God is great