Siri ya kifimbo cha mwalimu Nyerere yawekwa wazi na aliyempatia

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 10. 2018
  • Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameacha alama nyingi zinazodumu, moja wapo ikiwa ni kifimbo ambacho mara kwa mara alikuwa akitembea nacho kiasi cha kumpa umaarufu na kikaitwa kifimbo cha Mwalimu.
    Inawezekana mwalimu alikuwa na vi-fimbo vingi alivyokuwa akitumia lakini msanii maarufu wa uchongaji vinyago na uchoraji mzee Omary Mwariko mkazi wa mjini Moshi amesema alimpatia mwalimu kifimbo hicho mwaka 1967 alipotembelea mjini Moshi.

Komentáře • 18

  • @suzymunisi1894
    @suzymunisi1894 Před 5 lety

    Da kumbe .ni mdingi Hongera Sana

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 Před 5 lety +2

    Kuna ripoti inaonyesha pia mwl alipewa kifimbo cha utawala na mtoto wa Chief Mazengo wa wagogo km zawadi ikiwa ni wosia alioacha kuwa akifa Nyerere apewe hiyo fimbo, ingemsaidia ktk kutawala. Mtoto wa Chief aliwahi kukiri hilo na kuna mwandishi mzungu aliwahi kueleza hilo kwa kina. Mazengo alikuwa km baba kwa Nyerere. Unaweza ku Google hii habari " The forgotten Chief who was like a father to Nyerere"

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 Před 5 lety

    Safi sn babu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Před 5 lety +1

    Sio Kweli kuwa Nyerere alianza Kubeba Fimbo wakati wa 1967 Nyerere Alikuwa Akipenda Mkongoji.czcams.com/video/aF3CHxwhObE/video.html

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 Před 2 lety

    siyo kiki

  • @lutherking3666
    @lutherking3666 Před 5 lety +2

    Mbna unakosea sna

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV Před 5 lety

    Daaah safi sana ubunifu huwa ni kitu kizuri sana!!! OK ILA PITIA HAPA KUONA UCHAFU UKIGEUZWA KUWA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii Bofya kapicha kushoto

  • @sadickchakka6350
    @sadickchakka6350 Před 3 lety

    Af mtangazaj mbn kuongea vzr huwez

  • @ibrahimismaily2370
    @ibrahimismaily2370 Před 4 lety

    Kumbe ni mchaga mwenzetu chaga tupo juu

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 Před 4 lety

    Acha kughata maneno ya kiswahili na kuweka ktk kingereza..... Ndio maana unakosea kuongea

  • @diamondplatnumznewsajm2053

    Iyo fimbo naham kubwa sana ya kuijua iyo fimbo na maajabu yake 2nayoyasikia sikia2

  • @dullaluungo5662
    @dullaluungo5662 Před 5 lety

    Naape mnauye