Yaan Mungu ananipenda sana.nimetoka kugombana na bamdogo wangu kuhusu shamba langu.roho umeniuma Sana maana amenitia hasara sana.nafungua simu nakutana na faraja.kilichobaki naanza kumuomba Mungu anipiganie kwa jina la Yesu
Pastor you have been a blessing to me for three years I entered in a spiritual war , and through your guidance about this wars nimefaulu kupiga vita kwa imani keep up Pastor , from Ngong kenya.
Aiseee naendelea kubarikiwa nahisi ni mimi peke yangu ndiye ninayenufaika na haya mafundisho!!Mungu aendelee kukutumia Pastor Mbaga,Yesu anakutumia sana
Baba Mungu akubariki barikiwa mtumishi wa Mungu hakika neno limenibariki Sana Asante Mungu wetu wa mbinguni kwa ajili ya mtumishi wako maana tunapata vyakula ambavyo vinatushibisha kiroho Pr Mungu azid kukutumia ktk kuitenda kazi yake

Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa Neno
Ameni pst nimebarikiwa sana mungu akutie nguvu uendele kutufunza neno la mungu
Glory be to GOD ALMIGHTY. Be blessed pastor for the good preaching.
Mungu akubariki Sana mchungajii umebadilisha Sana maisha yangu sikutegemea
Mungu akubariki pastor...been down the past three months but your preaching has helped me through and gave me hope again. God Bless You pastor
AMEN🙏hili somo limenibariki kabla nilale🙏.barikiwa sana mchungaji;🙏
Hii ni kwaajili yangu pastor barikiwa Sana mtumishi
Mungu nashukulu Kwa neno hili linponye
Pastor you have been a blessing to me for three years I entered in a spiritual war , and through your guidance about this wars nimefaulu kupiga vita kwa imani keep up Pastor , from Ngong kenya.
Pst. your preaching is really uplifting me spiritually and really sharing to my church members in Kisumu as am listening from Nairobi. Be blessed
Barikiwa Mtumishi wa Mungu aliye hai.
Amen
@@MahubiriPrMmbaga pr, david Mimi naitwa godfrey nahitaji kuacha matumizi ya ugoro.
Ninakuombea sasa hivi. Mungu akutendee muujiza
Naomba namba pastor
Very powerful. The battle belongs to the Lord!
Aiseee naendelea kubarikiwa nahisi ni mimi peke yangu ndiye ninayenufaika na haya mafundisho!!Mungu aendelee kukutumia Pastor Mbaga,Yesu anakutumia sana
Amen
Ameen nimebalikiwa
Ubarikiwe sn
Cool
Mafundisho mema kabisa.
I have come to know more through pastor Mmbaga's teachings.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen Ameen
Haleluya. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu nimejifunza somo lako.
Amen
Ubarikiwe
Baba Mungu akubariki barikiwa mtumishi wa Mungu hakika neno limenibariki Sana Asante Mungu wetu wa mbinguni kwa ajili ya mtumishi wako maana tunapata vyakula ambavyo vinatushibisha kiroho Pr Mungu azid kukutumia ktk kuitenda kazi yake
Amina pasta nmebalikiwa Sana na Asante kwa somo zuli nmebalikiwa
Asante sana mchungaji MUNGU akubariki, endelea kutuimiza na kutujenga
Amen
Amina na barikiwa mno Mungu akutumie kwa Kadri apendavyo ili watu wengi tuendelee kubarikiwa na neno la Mungu
Mtumishi mungu wa Amani akutendee mema, nabarikiwa Kwa Neno takatifu.
Amen
Panya.panya.panya.yaan nimewatega mitego yote,nimesali jaman bado wananipa hasara.nimepata hasara mpaka Sina pa kuanzia.nimechoka moyo nisaidieni.
Ahsante sana kwa somo zuri Mungu alibariki Neno lake
Glory be to God hakika Pastor huwa unanijenga kiroho sana.
Neno lime nijenga mungu akubariki
Mungu ni mwema ......anazidi kuniongoza ubarikiwe pastor
Halleluyah praise the name of the leaving God Amen
Umekua mwalimu mzuri sana maishani mwangu Mungu akubariki zaidi na zaidi 🙏🙏
Pastor God bless you always.
Ubarikiwee saana Mtumishi ni kwamara ya kwanzaa napata chakura cha kweri charohoo mahana wengi huubiri sadakaa tuu naombaa kujua kanisarako liripooo mtumishi
Alléluia
Ameen najifunza ubarikiw Sana mtumishi ht mi wameshanifanyia njama Sana najifunza Zaid Niko Kilimanjaro
Amen.pr.naona umegusa maisha yangu.
Nimeipata hiyo mchungaji
Aaaaamen amen barikiwa sana past nimebarikiwa
Amen Mungu atusaidie hili
Mafundisho yamenibariki mno, nimejifunza sana, yapo mambo mengi ya kuyafanyia kazi hapa
Mchungaji umenena vyema
#Hallelujah! #Hallelujah! #Hallelujah!
Asante Baba wa Mbinguni
Amen 🙏
Barikiwa
Asanta, kwa somo la baraka
Narudiatena mbaga kwenyehili umetoboa siri yavita
Samahani mchungaji naomba kichwa cha somo lililofata baada ya Yesu atakuja tarehe gani? 🙏
Mbaga kwenyehili umetoboa siri zavita
Amina..
Hii ni kweli na amina tumebarikiwa sana mchungaji kweli Mungu akubariki.
Amina
Mia ishirini na tatu