TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 05. 2024

Komentáře • 187

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Před 27 dny +27

    Mungu ni mwema sana watesi wako watapokea mshahara wao🙏🤲

    • @sethkivuyo3342
      @sethkivuyo3342 Před 26 dny +2

      Kama alivyopokea aliyewatuma...

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Před 26 dny +1

      @@sethkivuyo3342 Kbsaaaaa hujakosea kbs ungekuwa karibu ungekunywa soda haraka sana ndugu yangu yaan dunia ficha maovu lkn yatafichuliwa tu🙏

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf Před 26 dny +1

      Pole sana ndugu yetu japo Mimi sipo kwenye siasa ila inauma kweli basi tumwombe mungu awasamehe waliofanya ilo tendo

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Před 26 dny +2

      @@KaburuKimath-eu5nf Ameshawasamehe mbona amesema mwenyewe kwenye mkutano ila hukumu anayo Mungu mwanadam hana hukumu kwa mwanadam mwenzie

  • @shadrackmijjinga9793
    @shadrackmijjinga9793 Před 26 dny +12

    Pole sana Kamanda hakika Mungu ndiye mweka uhai na ndiye huruhusu kutoka uhai huo...Adui walikushindwa kwauwezo wa Mungu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Před 27 dny +16

    Waliopiga Hizo Risasi Walikuwa Ni Assassins Waliosomea, Unaweza Kuona Marisasi Yote Yalipigwa Exactly mahali Waliopjua Kifua (Moyo) na Kichwa Chake... NI MUNGU ALIAMUA KUWAONYESHA YEYE NI MSEMAJI WA MWISHO!

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Před 26 dny +11

    Mungu ambariki Sana huyu mwambaa....natamani siku moja awe rais wa nchi yetu

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 Před 26 dny +11

    Stay blessed Mh. Tundu Lissu

  • @user-hu1xo7cy9y
    @user-hu1xo7cy9y Před 27 dny +21

    Hapana isiwekwe huko mnapopataja ikajengewe kibanda pale makao makuu ya Chama

    • @AhmedHassan-vl5zf
      @AhmedHassan-vl5zf Před 26 dny

      Kwani mna mahali mlijenga makao makuu ya chadema

    • @SomoKidawa
      @SomoKidawa Před 26 dny

      Kuna Wana ccm wanatamani kuiona hapo hawataenda

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 Před 26 dny +25

    Hii gari itembezwe nchi nzima wananchi tuone

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Před 26 dny +1

      Wazo zuri sana aisee 🤝👍👏👏👏👏👏

    • @evodirudo4813
      @evodirudo4813 Před 26 dny +1

      Wazo zuri sana

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 Před 26 dny +1

      Naunga mkono hoja!
      Ni vizuri wananchi waone kwa macho yao wenyewe..ukatili!

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před 27 dny +13

    Huyu jamaa Mungu kambariki sana.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Před 27 dny +10

    Ipelekwe makumbusho kwani ofisini Kuna makumbusho vizazi wanatakiwa wake waone lisu alivyonusurika kifo kwa kupigania watanganyika

  • @amaninyekele5002
    @amaninyekele5002 Před 25 dny +1

    Mungu ni mwema amelinda uhai wako Kaka yangu.
    Wewe wasamehe KISASI ni kazi ya Mungu mwenyewe.

  • @Samweli-ij3im
    @Samweli-ij3im Před 26 dny +3

    Kaka lissu mungu awapige wore wanaokuwazia mabaya

  • @richdsr3517
    @richdsr3517 Před 26 dny +11

    LISSU TULIA, ITUMIE HIYO GARI KWENYE KAMPENI ZA URAIS MWAKANI. HILI GARI USILITUMIE SASA HIVI.

  • @MrMwinyi
    @MrMwinyi Před 26 dny +1

    The Legendary TAL, huyu jamaa huyu Mungu amuweke sana mpaka tuifikie ile Tanzania tunayoitaka

  • @robertchahe710
    @robertchahe710 Před 26 dny +5

    Duuu!!kweli Mungu anaweza

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda Před 26 dny +1

    Karibu sana nyumbani rais wetu ✌️✌️✌️🇹🇿✍️

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 Před 26 dny +1

    mungu lissu mpe kiti aongoze nchi yetu tanganyika mungu mbariki lissu 1000000000000000

  • @SilasMollel-mp9ib
    @SilasMollel-mp9ib Před 26 dny +6

    Akataaye kwao mtumwa...kweli nyumban raha

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi1964 Před 26 dny +5

    Rais wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas Mugwahi Lissu

  • @user-ti4gw9jb8w
    @user-ti4gw9jb8w Před 26 dny +12

    Magu ;huko uliko mungu akuchome moto mkubwa

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l Před 26 dny +2

      Tena na mkuki wa mkubduni kuma nina zake

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Před 26 dny

      Alikuwa kiboko yenu mafisadi

    • @Dannny690
      @Dannny690 Před 26 dny +1

      ​@@ladislausngoyinde4384 kwani wanaoongoza dola ni xhadema we chawa?
      Uzuri sisi wananchi tunawajua mafisadi na wasio mafisadi ni wapi pumbavu zako.
      Limagufuli lenu limekufa kibudu, lkn kamuacha LISSU jembe anapiga kazi na amepona na kutembea kabisa.
      Kmmko

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Před 26 dny

      @@Dannny690 wananchi gan unaosema hawampendi jpm labda mafisad kama ww na kibaraka wa wazungu lisu

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 Před 26 dny +1

      Kashaungua vyakutosha

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 Před 26 dny +3

    Mh Lissu hii gari nakuomba itumike kwenye kampeni za mwaka kesho ili wananchi waone nchi nzima wapo wengi hawaelewi kilichotokea nakuomba sana lifanyie hilo wazo langu kamanda

  • @farajimmari1523
    @farajimmari1523 Před 26 dny +4

    Pole sana kaka

  • @RajabuDangi-qv2uo
    @RajabuDangi-qv2uo Před 26 dny +1

    Mungu ni mwaminifu

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 Před 26 dny +1

    God is so great! Hakika Mungu yupo na anaishi!

  • @user-lq8mi3zz2c
    @user-lq8mi3zz2c Před 25 dny +1

    Mungu ni Mkuu na anamakusudi na wewe Mhe Tundu Lissu na hata kuacha mpaka utakapomaliza Utumishi wa Mungu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Před 27 dny +11

    Mwamba tunakupenda sana

  • @AwadhMrambas
    @AwadhMrambas Před 26 dny +1

    Ningeshauri uitumie ivyoivyo katika mikutano yako itasaidia sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Před 24 dny +1

    Hiyo gar itunzwe huko huko kijijini kwenu mchango utolewe ijengwe jengo itunzwe hukohuko muheshimiwa

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga Před 25 dny

    Atakaye kuchimbia shimo ataingiamwenyewe ndiyo ilivyoandikwa nenola mungu ni amina na kweli na tumedhibitisha mungu akulinde mioyoyetu inapwita kwa furaha isiyo namfano

  • @DaimaMmari
    @DaimaMmari Před 26 dny +7

    Hiyo gari ikiwezekana itembezwe kwanza nchi nzima ndo ipelekwe makumbusho.

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 Před 27 dny +5

    Pole mh tundu duuh

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Před 26 dny +2

    Lakini Gari Ya Kazi inatakiwa kununuliwa Au kupewa na Chadema inayopokea Ruzuku. Kama anataka Gari Binafsi ndio atachangiwa na Watu. Hii imekaa kujichanganya kati ya kazi za Chama na matumizi binafsi ya Gari.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před 26 dny +2

    Mungu akupe maisha marefu

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 Před 26 dny +4

    Ukiipeleka makumbusho ya taifa wataichoma moto

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 Před 26 dny +2

    Tunaomba hili gari mlitembeze nich nzima tulione nakushuhudia uovu uliotaka kutendeka juu Yako.
    Mungu nimwema ndiyo maana alikutetea

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 Před 26 dny +2

    Ila dunia imetambua kuwa ukatili ni upumbavu. Lissu ni muwakilishi wa wahanga TANGANYIKA na duniani kite🙏🙏🙏🙏

  • @JamesJasson-dg8lf
    @JamesJasson-dg8lf Před 26 dny +1

    Pole Sana kamanda hakika mungu yuko pamoja nawe,

  • @apostleisaacnyika4669
    @apostleisaacnyika4669 Před 26 dny +1

    MUNGU Ukuyanjitre Inno Munane 🙏🙏

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b Před 26 dny +4

    Allahuakbar

  • @HulukaSeif
    @HulukaSeif Před 26 dny +2

    ushauri wangu hirogari turisomee arbadi wariofanya hiro tukio na ariowatima wote waangamie shezi zao

  • @MussaBundala-yg8nw
    @MussaBundala-yg8nw Před 26 dny +1

    siku Moja gari hilo like huku Geita

  • @user-lt1cb4zg8g
    @user-lt1cb4zg8g Před 26 dny +1

    Gari lizungushwe nchi mzima watu walione

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Před 26 dny +1

    Naomba gari hilo lifanye kazi hivo hivo bila kubadilisha milango hadi kieleweke

  • @BenardBwakitare
    @BenardBwakitare Před 26 dny +2

    Mungu ni mwaminifu sana

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is Před 26 dny +1

    God with you Mr lissu

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Před 25 dny +1

    CHADEMA CHUKUENI HATUA GARI HIYO ITEMBEZWE NCHI NZIMA TUIONE.

  • @user-ms2qz2xd8h
    @user-ms2qz2xd8h Před 23 dny

    Kamada pole sana

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku Před 26 dny +1

    Lissu mungu akujalie uwe Rais
    Ukiwa rais umteuwe makonda kua wazir mkuu

  • @CleophaceSotera
    @CleophaceSotera Před 26 dny +1

    Mungu wetu ni mkuu

  • @user-gz5gj8jn9i
    @user-gz5gj8jn9i Před 26 dny +1

    Pole sana risu mungu nimwema

  • @patrickmanasi6831
    @patrickmanasi6831 Před 26 dny +1

    Mungu ni mkubwa kwa kweli
    Niko Kenya na nimekuwa nikikufuata kwa karibu
    Nimependezwa na fikra pamoja na mtindo / mfumo wa siasa na demokrasia zako
    Utaikomboa Tanganyika

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 Před 27 dny +9

    Mungu aendelee kumpigania kamanda

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Před 26 dny +1

    Mungu ana makusudi na hii kichwa amini nakwambia

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k Před 26 dny +1

    Pole sana kaka mungu ni mwema

  • @HashimDida
    @HashimDida Před 26 dny +2

    Pole baba tupo pamoja

  • @patrickmanasi6831
    @patrickmanasi6831 Před 26 dny

    Am very proud of you Hon. Tundu Lissu & the [ CHADEMA ] political party
    I'll be visiting the [ Safaricom ] shop to send my contribution
    I follow you always on CZcams
    God will keep you safe to bring a out the new constitution & a new Tanganyika

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 Před 26 dny +1

    MUNGU ni Fundi Sana Aliekutaka Ufe Alikufa Yeye.

  • @fmleli.tz2004
    @fmleli.tz2004 Před 26 dny +4

    Want to contribute

  • @shilogileshilogile4392
    @shilogileshilogile4392 Před 26 dny +1

    You're our next Presida comming

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Před 25 dny +1

    Acheni MUNGU AITWE MUNGU.

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 Před 26 dny +1

    MUNGU NI MWEMA SANA NA MKOMBOZI MKUBWA SANA KWAKO MH. TUNDU LISSU. MUNGU ANAKUPENDA NA ANAMAONO NA WEWE

  • @user-nx1it7pp5x
    @user-nx1it7pp5x Před 26 dny +1

    hii gari izunguke Tanzania zima

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 Před 26 dny +1

    Ningeshauri iyo gari itembezwe Tanzania nzima watu waone ilikila ipitapo tutoe mchango likanunuliwe jipya

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff Před 26 dny +1

    Mmh! Risasi zote hizi Kisa nn hasa? Duniani bana...

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 Před 26 dny +1

    Mama Samia abarikiwe sana hii kitu watu wasingeshuhudia kabisa

  • @FreemasonPesaZaMajini
    @FreemasonPesaZaMajini Před 26 dny +1

    Hiyo gari kabla ya kuitengeneza naomba ifike kila unapofanya mikutano, ikiwezekana mpaka uchaguzi mkuu

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 Před 26 dny +1

    Lisu mungu ni mwema tunakupenda

  • @user-mm6sm9rt9x
    @user-mm6sm9rt9x Před 26 dny +1

    Weka namba kaka Lissu tukuchangie.
    Hakuna kiongozi zaidi Yako hasa viongozi wa kisiasa
    Nakuelewa sana nondo zako mkuu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Před 20 dny

    Ushaur wangu' Lissu hiyo gar iwekewe kioo hizo tundu zisizibwe itumike katka uchaguzi mkuu kuipeleka CHADEMA ikuru

  • @isaacmwakosya5493
    @isaacmwakosya5493 Před 26 dny

    Mungu ni mkuu saana kwako. Mungu awashughulikie kwa haki

  • @daudichoghoghwe5035
    @daudichoghoghwe5035 Před 26 dny +3

    Wengine hapa nimazuzu kwani aliomba kupigwa risasi?

  • @pedri-nc5in
    @pedri-nc5in Před 26 dny +1

    Daaaa nusu kufa kwa kuwapambania wananchi

  • @user-ms2qz2xd8h
    @user-ms2qz2xd8h Před 23 dny

    Mh.lisu hiyo gari itembee nchi
    Nzima tunakupenda uje nalo kagera

  • @janejohn1083
    @janejohn1083 Před 26 dny +1

    Nakuona upo nyumbani mkataa kwao nimtumwa tutazidi kukuombea

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Před 26 dny +4

    Mkubwa

  • @GavyoleJonas
    @GavyoleJonas Před 26 dny +1

    Halafu wanakuita mbaguzi,washezi tu,wamesahau unyama wao

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r Před 26 dny +1

    Mh Tundu antpas Mungwai Lisu hiyo gari isitengenezwe ikae hivyo hivyo,maana gari hilo kitu gani?

  • @richardyohanasanga7017

    Ila misiamini sio kweli.
    Huwezi kupona kwa risasi hizo zote.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb Před 26 dny +2

    Kaka kwanini dereva hakupigwa hata moja pole sana

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 Před 26 dny

      Hapo sasa alafu dereva hajulikani yupo wapi? Na hawaruhusu swali hilo

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Před 26 dny +1

    Hii ndo serikal yetu kufa Ni nje nje tu

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Před 26 dny +1

    Daah na jamaa aliponea kwa hizo risasi zote,Mungu mkubwa sanaaaa

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 Před 26 dny

    Be blessed A Man of the People

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu Před 26 dny +1

    Ila huyu mwamba anapendwaaa

  • @boneventuremweya3673
    @boneventuremweya3673 Před 26 dny +1

    Kamanda LISSU anapambania anachokiamini Mungu amsimamie aje kuongoza nchi asimike mifumo imara nchi isonge bila kutegemea huruma ya watawala.

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Před 25 dny

    Mungu alikuwa hajakupa kibar chakwenda kwake pole sana kamanda wetu hatuna chakukupa .

  • @user-hs3sv5un6f
    @user-hs3sv5un6f Před 26 dny +1

    Hakika hi gari ipelekwe makumbusho.......

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Před 26 dny +1

    Inakuwaje kwenye plate number?!?

  • @user-pz7zi2bf1w
    @user-pz7zi2bf1w Před 26 dny +1

    Mungu mkubwa

  • @emanuelfrancis579
    @emanuelfrancis579 Před 26 dny +2

    Amen

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Před 26 dny +1

    Angalia wasiende kuchoma huko

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 Před 26 dny +1

    Makumbusho ya taifa iko chini ya nani, ? Kama iko chini yao walewale itakuwaje?

  • @OmariNkalami-nh6fl
    @OmariNkalami-nh6fl Před 26 dny +1

    Sababu gani. Zahabu3😂

  • @emanuelzebedayo5457
    @emanuelzebedayo5457 Před 26 dny +1

    Hivi taifa hili halina haya ebu fikirieni kuhusu huyu mtu pamoja na watu wake

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct Před 26 dny +1

    TUNAKUKUBALI MWAMBA

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s Před 26 dny +1

    Usiipeleke makumbusho ya taifa ila butiama kwa nyerere uko itaishi salama lakini uko salikalini kama ujakuta imebadilika jina inaitwa voxswageni au pijoti langu jicho

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k Před 26 dny +1

    Wariyo mpiga risu risasi wanajisikiaje ivi Sasa mungu mwema

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 Před 26 dny +3

    Hiyo gari iwekwe serves ila milango iachwe hivyo hivyo itembelewe hivyo hivyo

  • @musamwambene1323
    @musamwambene1323 Před 26 dny +1

    Lisu nakukubali sana

  • @JonayMbelwa
    @JonayMbelwa Před 24 dny

    Tuko pamoja kaka

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 Před 26 dny +1

    LISSU NAKUKUBALI WEWE NI BONGE LA MSANIIII
    RISASI ZIPIGWE KUSHOTO
    MGUU ULIOUMIA WA KULIA

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Před 26 dny +1

    Mtu kwaoooo