MABAYA 3 ya DIAMOND usiyoyajua, Creez ayachambua!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 05. 2024
  • #diamondplatnumz
    Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Zábava

Komentáře • 117

  • @invocavitykitaly2483
    @invocavitykitaly2483 Před 29 dny +15

    Hii haijakaaa sawa kwa ukubwa wenu

  • @Abdoulkey
    @Abdoulkey Před 29 dny +10

    Munaanzaa kuletaa utoto sas watu wanawaeshi munanzaa kuletaa utoto kwani washaaga msemaa manga diamondplatnumz ila bado hashukiii ju anajuwa anachokifaanya nakamura number moja East Africa kama sio lamadangote🦁

  • @celestin4684
    @celestin4684 Před 29 dny +5

    Poa sana kabisa. Easy and interesting content. SNS muko juu kwa sasa. Big up.

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 Před 29 dny +8

    SNS, Hapo hapana, you are above this

    • @realhiphopmentalityforreal
      @realhiphopmentalityforreal Před 29 dny +2

      Wapo sawa anagalien marekani kuna media kubwa sana tu wanafanya hv hv kama wao wanavyofanya

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 Před 29 dny +9

    Mmezingua mnoo

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 Před 29 dny +3

    Kaongea points 100%is true I like iki esko kafanya

  • @michilita2959
    @michilita2959 Před 29 dny +10

    Crisis ur dam true n fact brooo big up umesahau na uzinifu kwenywe kazi naajipe heshima ya kiume

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Před 28 dny +2

    Really 💯 point 👌🌋🌋

  • @masolwamasolwa8728
    @masolwamasolwa8728 Před 29 dny +7

    Nanyi mmeanza kutumika kuwa machawa

  • @datakubwa1592
    @datakubwa1592 Před 29 dny +6

    Kwenye upande wa content mshkajii kaongeaa point ila mtaona ni ujinga kwakuwa kaongea yy na sio mashabiki ila ni nzuri kama uchambuzi wa mwanahabari mwenyewe maybe wabongo tu tushazoea kusifia tu 💯💯💯☄🙌

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Před 27 dny

      😊ata mimi naona hivohvo ila watu wenye mihemko na uteam watadis sana

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf Před 28 dny +2

    Duuu yani leo mmeniangusha sana 😢😢😢😢

  • @RichardRutembesa-ns1kn
    @RichardRutembesa-ns1kn Před 29 dny +13

    Iyo ni strategic za Msanii we una mpa advice!!! Nyie mjue Simba ndie content....kwa mapungufu!! Yake!! Au Kufanikiwa kwake!! Kila corner Diamond!!! Iyo tosha!!!amawavuruga....

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 Před 29 dny +2

    Waoo

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 Před 28 dny +2

    Sema hii mngeifuta fasta. Itakuja kuwala sana hii.

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx Před 29 dny +2

    Kweli kabisa 💯💯💯💯💯✔️✔️✔️✔️

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 Před 29 dny +1

    I like the house

  • @javandaudi5553
    @javandaudi5553 Před 29 dny +7

    Mshaanza kuzingua

  • @HarunaFernando-hc4kd
    @HarunaFernando-hc4kd Před 29 dny

    safi sana🙌🙌🙌

  • @hasanasosports1137
    @hasanasosports1137 Před 29 dny +2

    Facts💪💪💪💪

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 Před 29 dny +3

    Habari kama hizi sns muachie carrymastory na mbengo Tv bana you guys are above thus shit😂

  • @beatricemwaisumbe5248
    @beatricemwaisumbe5248 Před 23 dny

    Facttttttttts

  • @albertdushime3451
    @albertdushime3451 Před 29 dny +8

    #SnS you are way too professionals to have these types of titles, bless!🙌

  • @kennedymafole
    @kennedymafole Před 29 dny +2

    creezy yupo sawa kabisa na sio kwa ubaya ni fuct na ina make sense, hongera kwa upeo huo wakuona

  • @jephonaplatinumz8475
    @jephonaplatinumz8475 Před 27 dny +2

    Mmezingua sio kitu kabisa hii sijui mmewaza nini

  • @user-lc7ur7fb5z
    @user-lc7ur7fb5z Před 29 dny

    sawa

  • @Fahadi2023
    @Fahadi2023 Před 29 dny +2

    Ila watu.... Duuu!!!

  • @veryboyplatnumz3506
    @veryboyplatnumz3506 Před 29 dny +1

    Kiki zake ndio zinaangalia Sana kwenye Chanel yenu

  • @m___ck799
    @m___ck799 Před 29 dny +1

    The good thing Mondy anajuwa mziki wake ni wa East Africa tu. International artist wakati ujiamini😂

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d Před 29 dny

    Hii ni sehemu ambayo nimeipenda kumkosoa ili afanyie kazi ili apande zaidi ya hapo alipo;sio Kila siku kumsifia tu.ATAPOTEA NA NJIA MOJA.

  • @IvanBenjamin-fy9lg
    @IvanBenjamin-fy9lg Před 29 dny

    Fact

  • @GABRIELGEORGE-qq1nj
    @GABRIELGEORGE-qq1nj Před 29 dny +8

    Creativity 100%. SKY UTA TAKE OVER MIAKA KADHAA IJAYO NI SUALA LA MUDA TU

  • @saidkhadija7557
    @saidkhadija7557 Před 29 dny +2

    yani ww useme anakuboaaa au anakukera itoshe kusema ya kwambaa anawapatia pesaa sanaaa kumzungumziaaa tu kuliko msanii yeyote hapa Tz

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f Před 29 dny

    Aku nyie

  • @user-cj6fi4gy5f
    @user-cj6fi4gy5f Před 29 dny +1

    Owa bwana

  • @silviasaleh4667
    @silviasaleh4667 Před 29 dny +4

    Hi Sns, muna maanisha nini, mabaya 3" it sounds cheap plz ur too good for this kind of titles...

  • @salashbooben7622
    @salashbooben7622 Před 29 dny +4

    Creez kaongea facts kinoma.. S/O to u Eskoo🤝🙌

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Před 29 dny

    Creeze is very smart 👌 amemaliza yote

  • @leonlaurent6183
    @leonlaurent6183 Před 26 dny

    Mnazingua

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas Před 29 dny +1

    Sasa mnataka atengane na vitu vilivyomfanya afike juu nyie niaje kwan

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 Před 29 dny +2

    That’s really true

  • @JP-lx1le
    @JP-lx1le Před 23 dny

    Creeez ako na point kubwa lakin nafkri sasa ayatumie hayo mawazo anunue Roys Rolls-Royce basi

  • @adamumsafiri9257
    @adamumsafiri9257 Před 26 dny

    Nilichelewa kusikiliza hii kitu lakini nina maswali...
    KOMASAVA ni international song inayolenga market ya nje je wabongo wanaisapoti kutokana na content within song au dancing style...? Halafu mbaya zaidi hii kitu mondi alishafanya nyuma huko katafuta mafanikio ya international mkasema mnamtaka Mondi wa mbagala na kamwambie...Ameamua kuchanganya napo mnasema abaki international waja hamueleweki.

  • @NassyDeMelody.
    @NassyDeMelody. Před 28 dny

    Kubabakeee mnajuaa sanaa

  • @musiccaentertainment100k8

    Ukweli kabsa sijui mashoga wa wcb wanajam kwa nn

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov Před 25 dny

    Nimesikiliza hi kisa nimeona jina la mond

  • @zidaneibrahimbizimana814

    Icho cha 3 umesema ni ukweli kabisa sikupingi Mondi east Africa ashamaliza apeleke mziki kimataifa aachane nawa bongo

  • @beatricefrankngalubutu1448

    Points 😂😂😂sema watu povu limawatokaaa au watoto wa lukugaa😂😂😂😂😂

  • @FastpayMauzo
    @FastpayMauzo Před 27 dny

    Kumanina zenu sns

  • @002RYE
    @002RYE Před 26 dny

    😢kwa mara ya kwanza media yangu bora imeniboesha

  • @maraabaz1674
    @maraabaz1674 Před 29 dny +1

    You guys only talk about negative things instead growing ya own artist nd talking about the greatest thing that he have done for the country music industry talk about positive nd motivation he’s hard working man without him Tanzania music wouldn’t be how it’s today

  • @iboysean
    @iboysean Před 28 dny

    Doh

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 Před 29 dny +1

    I agree with him 💯

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 Před 29 dny

    #sns apo mmezingua sidhani kama nivizuri

  • @Official-bataboy
    @Official-bataboy Před 23 dny

    Huyo creez ndo nani af sns mnaboa

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o Před 29 dny

    Kwanini usimuulizi mazuri

  • @SerahGlam
    @SerahGlam Před 29 dny +1

    I love when u said he dont need tanzanian now 👏👏he need abroad

  • @MeshackMaika-of9lm
    @MeshackMaika-of9lm Před 16 dny

    Sijawahi kuingia CZcams nikaacha kuangalia video zenu. kwasababu mnaelimisha kwa asilmia kubwa nikiona taarifa kutoka kwenu ninaamini ni ya kweli.sasa mumeanza kulewa sifa mnahamia kwenye ujinga

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj Před 29 dny +10

    Sidhan kama sns nyie kwa nyie mlitakiwa kujadili makwazo ya diamond mlipaswa muwaulize watu nje ya media yenu

    • @realhiphopmentalityforreal
      @realhiphopmentalityforreal Před 29 dny

      Hata hii tena ndo imekaa sawa zaidi coz hata wao wanafuatilia vzur mziki wa bongo pamoja na wa nje ya TZ hata marekani media kubwa tu kuna watangazaj kbao wanafanya hz hata akina paul rosenberge Ebro Laura styles wanajadili mambo kama haya vzur tu

  • @MasanjaMasanja-mz3ll
    @MasanjaMasanja-mz3ll Před 21 dnem

    Mbona sijasikia mabaya ya harmonize?au nyie kila kitu ni diamond tu.

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Před 26 dny

    Muongeaji akili hakuna kabisa yaani kiazi kabisa

  • @PatrickWolfo-iy2rr
    @PatrickWolfo-iy2rr Před 29 dny +2

    nikweli kabisa bro kitu chabili nikweli anazinguwa

  • @yama_virginhairthequeen1065

    Wazeee wa kuforce kontenti😅😂😂😂

  • @zakaliaalberto9252
    @zakaliaalberto9252 Před 23 dny

    Uyo creez yeye ni nani mpaka mtuletee hapa eti creez amchambua mabaya 3 ya diamond WHAT'S SHAME DAMN MMEKUA KAMA MAJINGA TUTAJUAJE KAMA HUJAMPANGA MMEANZA KUA KAMA GENGE LA UMBEYA

  • @saidbabu2279
    @saidbabu2279 Před 29 dny

    Swali kwako wewe ulivyo zaliwa wazazi wako hawakukuisisha chochote toka tumboni kutambaa kutembea shule...maisha yako sijui kama huwa unapanganga hau kuwaushisha wazazi wako usipende kusimulia ya mwenzie ..anathamini family na anavyofanya ni jinsi anathamini family yake wewe mwongelee..madrama yake au chochote..huo ni ushauri..samahani kama notakua nimekukusoea..

  • @elysahussein5804
    @elysahussein5804 Před 26 dny

    Asa kwa nin iwe diamond tu ? Na isiw mtuu mwingine ?

  • @Lufaboi257
    @Lufaboi257 Před 28 dny

    Acheni Ku posti ujinga basi

  • @FastpayMauzo
    @FastpayMauzo Před 27 dny

    Leo mmepoteza subscriber mmoja . Mtazamaj wa kila sku kwasabsbu ya topic hii😢😢

  • @saidkhadija7557
    @saidkhadija7557 Před 29 dny

    mnazinguaa ,kikikuboaa ww sisi inatuhusu nn

  • @jakayajuma9867
    @jakayajuma9867 Před 29 dny

    Mm nnajambo mambo kwa diamond mm sion umuim tena wa kuwaongerea kina harmo sio watu wa level yake tena ni kama mavi ushakunya ayana umuim tena achane nao ata asiwataje tena popote wala kuwapost

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Před 29 dny

    Jamani mke wake zuchu ndio amshauriiii hiyo comasavaaa kama sampling copy ya tshalabam

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 Před 29 dny +1

    Hawa c ndio wote wasiyomtakia mzr mtt wa mwanamke mwenzao , ushamba t huo makuma nyie wanaume wazima

  • @silviocimo3948
    @silviocimo3948 Před 29 dny

    Mumekosa subscriber nmoja leo, naitowa

  • @EvaJuakaliTV
    @EvaJuakaliTV Před 29 dny

    Hapo kwenye Kiki kweli kabisa hastahili kwa Level yake lakini pia Mlichosahau ni Diamond Kudate na Zuchu kwakweli Anajishushia Heshima. Mtu hata shape hamna, tako hamna na Akili ndio hamna kabisa.

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Před 29 dny

    Kuna hao vishuzi vitakataa ukweli😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Před 29 dny +1

    Bill gates alikua yuko kwenge biashara yake. Facebook mwenye nayo ndo anaiongoza.

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral Před 29 dny +1

    SIMBA LA MASIMBA DANGOTE,.! WE ZOMBI,! HAUJUI😂😂😂

  • @noel3290
    @noel3290 Před 29 dny

    Was this a real estate advertisement? Or just gossip ? It’s a weird segment, I think it would fit new characters and not the two. I mean the two guys do well with serious topics, the gossip segment is good but maybe i don’t like it from this two.

  • @azimioalbertongellangella8970

    Nawa unfollow sasa iv hamna akili nilikua nawategemea kumbe na nyie kiazi

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi Před 29 dny +1

    Mwangu umongea pwentii sanaa

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge Před 29 dny

    Mnazingua tutakuwa hatuwaangalii

  • @saidbabu2279
    @saidbabu2279 Před 29 dny

    Ushauri wa Bure kwa kizazi cha sasa toa maoni yako ikifika kwenye familia tuwr makini miezi 9 kwenda shule mmmm ongea ya binafsi ya Diomond...natumaini unafamilia pia..hakuna mtu anaweza kukupa ushauri halidi kuhusu familia yayoko

  • @sililohaule
    @sililohaule Před 26 dny

    Kwahyo mnataka ajiweke kando na familia yake aliyohangaika nayo kitambo? Komasava ishaenda na ishapokelewa hakukua na ubaya kuachia ngoma nyingne. Na kiki anazofanya ndo znafanya na nyie mfatiliwe na kuangaliwa

  • @benben8229
    @benben8229 Před 29 dny +3

    DIAMOND PLATNUMZ JUST DID A GREAT SHOW IN DUBAI BUT YOU GUYS AIN'T EVEN TALKING ABOUT IT... TANZANIANS YOU GUYS ARE SOMETHING ELSE... HATRED!! HATRED!! INSTEAD OF TALKING ABOUT SOME OTHER IMPORTANT THINGS THIS GUY HAS DONE, YOU'RE BUSY TRYING TO PULL HIM DOWN IN THE NAME OF GETTING MORE VIEWERS SINCE YOU KNOW HE'S THE CONTENT HIMSELF... SHAME ON YOU SNS. EMBRACE YOUR OWN SIMBA NOT THE OTHER WAY ROUND.. I'M PROUDLY KENYAN AND ON BEHALF OF MY FELLOW KENYANS, WE KNOW THAT WE'RE WELL REPRESENTED BY THIS MAN SIMBA HAUJUI... THE REASON HE'S ALWAYS NUMBER ONE IS BECAUSE HE'S SURROUNDED BY HATERS OF YOUR CHARACTER AND THAT'S WHERE GOD COMES IN TO SHOW YOU THAT UNLESS HIMSELF (GOD) BRINGS HIM DOWN, NO ONE ELSE CAN.....
    I KNOW YOU'RE TRYING TO BE ON TOP BUT THAT'S NOT HOW YOU PEOPLE SHOULD GO ABOUT IT... IF THAT'S THE STRATEGY, THEN YOU HAVE FAILED AND THAT'S THE REASON NUMBER ONE WILL ALWAYS BE WASAFI MEDIA AND NUMBER TWO MILLARD AYO... THAT'S MY ADVICE TO YOU GUYS IT'S EITHER YOU TAKE IT OR LEAVE IT #BITTERTRUTH

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 Před 29 dny +1

    Mnataka Diamond awahonge sio buree, haya nmemaliza ya Mondi sasa tuambieni mabaya ya KIBA, Marioo, Harmo na wengine .., acheni roho mbaya mnakera sasa mara zote nyie SnS mnamsema vibaya Mondi

    • @saidabdulkadirmjahid8255
      @saidabdulkadirmjahid8255 Před 29 dny

      Wataleta ya wasanii wengine vipi na Simba ndo biashara hahaha.
      Huoni Harmo na Ali kiba hawachafui hali ya hewa.

  • @user-nd5uf6lw4g
    @user-nd5uf6lw4g Před 29 dny

    Wananchi wame ongea humu kwenye comment ila nyie wananchi muwe mna fatilia mafanikio ya mtu nje ya macho ya watu wengi siyo2 mna mkingia kifua mtu msiye mfahamu kiundani na muache kuwatukana watangazaji wetu pendwa wa SNS.

  • @user-qe7ym7yw9j
    @user-qe7ym7yw9j Před 26 dny

    Anzaa kuongelea mabaya Yako awu channel yenu nyie mashoga kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Před 28 dny

    DAIMOND WA ULEWAKATI WA ZARI NA SLAMUSKAY SIYOWA SASA ALIKIWA NA SHOW ZAULAYA NA KU DATE ANAJICHUSHA ANA KUWA NA MI KKKK FOR NOTHING Important ANA JICHUSHA NRANDI 😢😢😢😢😢

  • @tituskaponda9343
    @tituskaponda9343 Před 25 dny

    Not SNS. You can do better. Not this 😢

  • @filexgallas3562
    @filexgallas3562 Před 26 dny

    Nisha unsubscribe
    Mmeanza utoto

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Před 28 dny

    NDIOMANA ALIKIBA achukiii 🫶🫶 anajielewaaa , radio yake ukubwaaaa

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 Před 29 dny +3

    To much Kiki with songs with relationship

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn Před 29 dny

      Jeolus is Deases!! Sister!!

    • @mwajumabinwa604
      @mwajumabinwa604 Před 29 dny +1

      @@RichardRutembesa-ns1knI don’t see any jealous here 😂😂 he is doing too much kiki .fact 👌👌

  • @jommyjo6108
    @jommyjo6108 Před 29 dny +1

    Mkiambiwa zero creativity kwenye kazi zenu mnabisha

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um Před 29 dny

    Fact

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Před 28 dny +1

    Daimond choko tu semen kwel tuko pamoja😅😅😅😅😅

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Před 28 dny

    Ndiomana Alikiba ajuwayikushukaa 👌👌🙌🙌🙌hanaga mi kkkkk