Huu ndio uwekezaji MBOSSO ameamua kuufanya! Ni balaa, pesa anayo ila hataki kujionesha - Part 4

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 01. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...

Komentáře • 82

  • @jamilaathumani5481

    Apo nimeamini kwer mboso anakipaji Sana Cha mziki na wasafi ni chuo Cha mziki na Sanaa,,nandomana Daimond anampenda Sana mboso kumbe..kwamana anakipaji Saaaana..

  • @jamilaathumani5481

    Nanilichogundua mbosso anahofu ya mungu,,,anataka akiacha mziki afanye ibada ndo mim nilivyomuelewa

  • @michaeljuma7764

    Discipline ambayo Hawa wasanii wa WCB wanafunzwa ni ya Hali ya juu zaidi

  • @MrKimond-ip2zp

    Selemani unatisha San boss

  • @FerouzMandenga

    True STORY NINJA MBOSSO MSHEDEDE" ata mimi pia WAKATI naanza kusikia na kuona VIDEO ya AMEPOTEA! ulinichanganya kidogo NINJA" mimi nipo huku SOUTH AFRICA and Still nipo SOUTH AFRICA" SO baada ya kuona Ile VIDEO ya AMEPOTEA nilistuka sanaaa na pia MSG ilinigusa Couse KIPINDI hiko pia na mimi natafutwa na FAMILY yangu" kwenye CM sipatikani na ukizingatia na MAISHA yetu ya huku SOUTH AFRICA kila SIKU MATATIZO" SO WIMBO ulivyo kuwa unaendelea nakuja kuona VITU TOFAUTI kabisaaa! Hila HOME BOY wangu unajuwa sanaaa mpaka UNAKELAAA😂😂😂

  • @macksonjuma5180

    Mbosso nakuelewa sana kipaji kikubwa mno uelewa mzuri halafu nimefatilia mazungumzo yote nimegundua Diamond ndio master mind wa mafanikio ki mziki yani anajua ukitoa ngoma aina hii next inafaa uje vipi ndio watu wakuelewe.

  • @patrickmukundichalamila3038

    Nime enjoy sana kwenye hii interview hongera SNS hongera Mbosso hongera Wasafi🎉

  • @niyonkurufadhoulillah4916

    Unajua kwa wa sani wa bongo wenye adabu na eshima mbosso ni number 1 love from south africa 🇿🇦

  • @leaderchrisofficiel1876

    Ingelikuwa harmo pale angeliaza kigereza kiiingi 🤣🤣 Mbosso respect 💪

  • @jamilaathumani5481

    Jamani tokea mlipomsikia mbosso je mmejifunza nini? Naomba mniambie

  • @user-ji6fu9lo2g

    Mboso Mr Selemani Huna baya nipeni like za kutosha .

  • @khamisshee803

    MashaAllah Allah akujalia kila la kheri mdogo wangu Mbosso

  • @jamilaathumani5481

    Ila mbosso anastori Sana Sana na nimempenda bure mboso..mboso kumbe

  • @user-np5ry2bf5q

    WCB hela ipo💲.....sio makondeni njaa 😭😭😭

  • @romakoko2292

    Dakika ya Tisa imenifurahisha sana ...una watoto wangapi😂😂anacheka badala kujibu

  • @msafirimiracle6613

    Huyu kijana sio tu muimbaji lakini anakitu cha kusaidia vijana wengi kiushauri.

  • @erickabel6201

    Nakubari sana Khan unaongea vizuri sana 😍😍😍

  • @mfalmekaitaba2425

    Huyu lazima awe na hela nyingi maana ni mpambanaji sana na ana nidhamu sana kwa kila kitu.

  • @RazaroKomoro

    Nakubari brother mbosso

  • @bramzymedia4553

    Big appreciation for mbosso khaaaan interview kali sana hiii