Wooooh Hongera kwao pia HONGERA kwa baba mchungaji KIMARO kwa kuozesha Mungu ampe baraka zote binti yako katika maish yake ya ndoa hakika ilipendez sna MBARIKIWE
Hongera sana mchungaji Kindago kwa kuoa, mkeo mzuri unajua kuchagua 😂 Mungu awabariki muishi maisha mema yenye baraka zote. Hongera baba mtumishi mchungaji Kimaro kwa kuozesha
Marko 12: 13 Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodi, ili wamnase kwa maneno. *MANENO YOYOTE ADUI ANAYOTAKA KUTUNASA NAYO, TUNAYAFUTA, TUNAYAVUNJA, TUNAYAHARIBU, TUNAYATEKETEZA NA KUYAANGAMIZA KWA JINA KUU LA YESU!!! TUNATAMKA BARAKA, MAFANIKIO NA USHINDI MAISHANI MWETU DAIMA!!!*
@@joycehaule9717 we nawe sasa,,hivi jina la Yesu linatumika vile wewe unajiskia tu kulitumia. Kuwa na adabu basi,,mwenye harusi yake kajibu kistaarabu we unakurupuka tu 😏😏
Kiukweli harusi ni Baraka Ni Jambo jema ila kwa hii miondoko ya maharusi wa kizazi kipya ndg yangu!! Duuuh🤭 yani hata ile aibu hat ya unafk mbele ya wazazi na viongozi wa kiroho hakunaga,yni kama vile baadhi ya maharusi walishazoeana vile.
Hongera Sana Dr na Mchungaji Kimaro kwa Kuozesha
Mtumishi kimaro ana watoto wengi sana Hongera mchungaji kidago
Hongera sana mch kimaro Umekuza mchungaji
Honger san mmenikee kushika shela anashindw kujiachia
Waoo!! mungu awatangulie katika ndoa yen pia mkavumiliane na ndoa yen iwe mbingu ndog
Bwana Yesu Awabariki sana Mchungaji Kindago na Bibi Harusi .
Mchungaji Dr. Kimaro na Mama Mbarikiwe sana
Wooooh Hongera kwao pia HONGERA kwa baba mchungaji KIMARO kwa kuozesha Mungu ampe baraka zote binti yako katika maish yake ya ndoa hakika ilipendez sna MBARIKIWE
Hongera sana Mch. Emmanuel Kidago kwa kuoa! Kweli Baba wa Kiroho hajazaa mapooza. Mmependeza mno mno MUNGU AIBARIKI NDOA YENU.👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍😍
Hata hajazaa mapooza🤣🤣🤣🤣huendi mbinguni
my class mate kd😍😍 mchungaji kidagoo
Hongera sana Mch. Dr. Eliona kwa Harusi ya mtoto wako wa Kiroho Mch. Emmanuel Kidago. Mmependeza mno mno. MUNGU NI MWEMA awalinde. 👌👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍😍
Hongereni sana, watumishi wa Mungu, Mungu awabariki sana mzae sana pia tuishi maisha marefu,na mpendeze sana
Wooow 🔥🔥🔥
Hongera Sana Mchungaji na Mama Mchungaji Kidago.Na iwe ndoa yenye Baraka zote za Mungu Katika Jina la Yesu.
Looks Gucci👏👏
Waooo! Hongera sana ma lovely dady
Hongera Mchungaji kidago Hakika Mungu amekupa Mke mzuli
Hongera sana mchungaji Kindago kwa kuoa, mkeo mzuri unajua kuchagua 😂 Mungu awabariki muishi maisha mema yenye baraka zote. Hongera baba mtumishi mchungaji Kimaro kwa kuozesha
Hongera mchg kidago mungu akutangulie katika maisha mapya
Mbarikiwe wapendewa, mtangulizeni Bwana daima katika maisha yenu. 🙏🙏🙏
Mtumish umejua kuchagua jaman hongra naamin yupo vizur adi rohoni Mungu awatunze
Hongera sana Mchungaji Kidago kwa kupata msaidizi Mungu awabariki na kuwalinda ndoa yenu iwe ya amani na mafanikio🙏🏽
Hongera sana rev Emmanuel kidago❤💐🌷🌷
Saaaaaaf saaana ,kumbukumbu nzuri maishani . HALELUYAAA AAAAH hongera saaaaaana BWANA NA BIBI , MCHJ KINDAGHO. NIMEFURAHI PIA KUMWONA MCHJ DR ELIONA KIMARO KKKT KIJITONYAMA AKIONGOZA KWA MADAHA NA BASHASHA, WANAYE HAO WALIOOANA. IMEPENDEZA HIYO KWELIKWELI. BARIKIWA SAAAAAANA
Hongera mtumishi Mungu awabariki.
Congrats Emmanuel kindago .
Hongera sana MUNGU AWABARIKI SANA katika ndoa yenu
Hongera sana mchungaji kidago Mungu aibariki ndoa yenu
Hongera sana watumishi wa Mungu, mmependeza sana, Baba Mchungaji ni mnyenyekevu sana.
Ahsante mchungaji Kimaro mungu aktunze
Ukweli kapata jiko la umeme mzuri sana binti
Honger sn MC KAKA MTUMISHI uko vzr
All the best dear
Hongera sana classmate, Julieth ngowi.....Adi humu umo.....umetishaaa
Hongera sana
Hongera sana Mchungaji Kimaro
Hongera mtumishi kindago
Waooh Emmanuel kidago kaoa congratulation
Very interesting..ikawe heri kwenu
Barikiwa
Wooow namuona mtumishi Goodluck ktk ubora wake 😀😀
God bless this couple.
Hongera
Hongera Sana jamani mmependeza
Bibi harusi mzuri jamani! Hongera zao, matunda ya Roho Mtakatifu yakaonekane katika ndoa yao katika jina la Yesu!
Wasukuma tunasema onyanda alebalabala amiso gete Ng,wibi nangenabonaga neneguke bagosha
Hao masai wamenoga👌
Mchungaji mgogo upooooooooo!!!
imependeza sana !
ila nashangaa sana wanaoenda na watoto ukumbini tena usiku
😒
Hongera Sana Rev huyu ndiyo Mungu mtoto wa kike na Baba Ila wakati umefika nampongeza sanaaa mdogo wangu naendelea kukuombea
Mungu aidumishe ndoa yenu
Huyu mc ni msengeremaaa😏😏😏
Nimefurahi
MUNGU awatangulie.
HARUSI SAFI
Wow! Mungu awe mtangulizi wenu kwa kila jambo🙏
Nawaona na Kina Mama wa Kimasai
Love the way she dance the gospel song
Wooooh congratulations my best pastor ever ..
💋💋💞😘😘🇰🇪
Jamani Huyo Dada anaitwa julieth ngowi
Hadi raha hongera baba binti hajakuaibjsha now wengi wanajipeleka sogea tuishi Mungu ni mwema
Hongera sana binti wa Mchungaji kwa kuonesha mabinti mfano wa kuigwa
Wahoooo jaman umetoa fundisho binti mzur
Juice ximepamba meza tu
Mbona wachaga tu,ndio wanaolewa jmn☺️☺️
Very nice❤️❤️❤️
Marko 12:
13 Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodi, ili wamnase kwa maneno.
*MANENO YOYOTE ADUI ANAYOTAKA KUTUNASA NAYO, TUNAYAFUTA, TUNAYAVUNJA, TUNAYAHARIBU, TUNAYATEKETEZA NA KUYAANGAMIZA KWA JINA KUU LA YESU!!! TUNATAMKA BARAKA, MAFANIKIO NA USHINDI MAISHANI MWETU DAIMA!!!*
Kumbe mabadri wa makanisa mengine huwa wanaruhusiwa kuowa?
Naomba kujua kama hao maids wanakodishwa????
Mbona wadada weusi sioni kuolewa ?
Mtoto wa Mchungaji ni kijana sio binti naye pia ni Mchungaji. Ni ktk wale watoto wake aliowalea
Jmn mm nimeuliza huyu Dr kimaro ni badri au mchungajii? Najuwa mapadri hawaoi kumbe ni mtt alie mlea?
Huyo mchungaji mbona anakatika sana jamani
Kakatika wapi jamani
Ahaaaaaa
Aiseee kupendwa rahaa💕🥰 hivi mmeona baba anavyomtazama mwanawe?? 😄😄😄
Ehe nimeona
Nimeona daah!!
Hii ilikuwa nzuri sana mtumishi
Ni mtoto wake kabisa? Au wa kiroho
Mtoto wa kumlea
Nauliza tu.Dada zetu bint zetu mama zetu bila kuchonga nyusi namarangi meng machon hampendez?mch.wetu kimaro hii imekaaje?
Ni mazoea mabaya
Wambea nyie kaeni kimya kwa jina la YESU ,
Niljua tu ni baba yangu hapendi makeup💄, kwa sababu ameshika sana dini...... Kumbe hadi baadhi ya wakristo hampendi pia
@@joycehaule9717 we nawe sasa,,hivi jina la Yesu linatumika vile wewe unajiskia tu kulitumia.
Kuwa na adabu basi,,mwenye harusi yake kajibu kistaarabu we unakurupuka tu 😏😏
@@joycehaule9717 we nae chef
Kiukweli harusi ni Baraka Ni Jambo jema ila kwa hii miondoko ya maharusi wa kizazi kipya ndg yangu!! Duuuh🤭 yani hata ile aibu hat ya unafk mbele ya wazazi na viongozi wa kiroho hakunaga,yni kama vile baadhi ya maharusi walishazoeana vile.
Aibu ya nini sasa km mmeamua kuliweka hadharani. Ulikuwaga ni unafki na ushambahata si aibu
Bwana Yesu Awabariki sana Mchungaji Kindago na Bibi Harusi .
Mchungaji Dr. Kimaro na Mama Mbarikiwe sana
Wote wazuri sana,watafanana muda sio mrefu.
Hongera sana
Hongera sana Dr Mchungaji Kimaro.
Mungu awabariki maharusi, ndoa yao izidi kubarikiwa.