Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
2024 with my mom listening ❤pls like my comment
Mashallah Allah Allah will bless you inshallah nyimbo tamu sana 🙏❤uko juu swabaha salim ni amina kutoka Kenya 🇰🇪
2022 wangap tunasikiliza 🥰😍🔥
,🤞🤞🤞
😇
Still Loving this song forever
2023 still listening 🎶
Kutoka 1993 mpaka leo bado nyimbo ni nzuri hio ndio East African melody Zanzibar
2024 still loving this song❤❤❤
Ukome ukware kuharibu hadhi yangu.motoooo
wimbo huu nikiuskia nakumbuka mbali sana yaani..
Komesha utalii wa yasiokuhusu. Jihuzishe na ya kwako. Umbea na fizadi potelea mbali. Kukonda jeeee? Halmasi si Shaba! Dr. Ogeto International
Mnanda huo unanikuna sabah pk kwenye moyo pend sn wewe
Hatarii
Sema nimekuibia mumeo pwiiii😅😅😅
Hongera kwa sauti nzuri nimeipenda sana taarabu hii.
Nairobi Kenya 🇰🇪 😍
Nice to listen , attempting clear and free messageKassim Bakari Bindo , from dar es salaam Tanzania
Yani huyu mpiga gita na hilo piano yani wanapiga had raha
Hasidi usojijua Mie si mke mwenzio unaniwekeaje chuki ahaaaa hatari
Yes mam , good from kassim Bakari Bindo, ungindoni keep gamboni dar
Pambe sana nimeipenda iiii
Mwananinga Wa Zinjibar
Pambeeee hatariiii
Kuninanga mwisho leo
Jamani icho kinanda uko ngoma chini hatari
Muziki zamani jumbe kama zote sasaivi matusi kwenda mbele poleni wakileo hamza Bahamian na vitus vitamtam
Swabaha mashallah nice. Sound
Sitakii ctakiii maneno na weweeee❤️
Sitaki sitaki apo tu mimi mwenzio taabani
Ukome ukware kuharibu hadhi yanguUkome ukware kuharibu hadhi yanguBure kerere hutakiwi kifanyio,kimuhe muhe cha nini Bure kerere hutakiwi kifanyio,kimuhe muhe cha nini
Ahsante ❤❤❤❤❤❤❤
Nampenda uyu mm
Nice song
Sihayo tuu
Loooo kizushi ww
Penda sana mwaa
Kuninanga mwisho leo uongo kunizulia
Ikopoa sana
Tenaaa
Hatar sana enzi hizo
Nikiwa Oman Salalah hatarii na balaa pia Fumbo Mfumbie Mjinga mwerevu hutambua Pa1👊👊Sabaha MuChacho
Salma salala kwema uko
Ataliiiiiiii
Bibi wacha ushambenga,loshh mzushi wewe Professor wa kuzua
😂😂😂😂
Wacha ushambega ndio nini? Mkenya Mtaita Mtaveta kauliza maana😂😂😂
Usinizeshe mwenzio midomoni kunitia sitembei na mumeo vereje wanichukia??
❤
Jee ni.........
From Norway. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
Hadi rah huuwimbo
Dec 2022 still listening🔥🔥🔥🔥
Sabaha
Hii nyimbo inanikosha sana
Santee Sabah
Wachemshe hao hao kwangu mimi utapoa
Nakuaminia swabaha umeweza
Mambo 🔥🔥
I really love it
Anteeeeee
Wweeee
Fumbo mfumbie mjinga,Mwerevu! Mwerevu hutambuaWanifumbia mafumbo,ukiniona huna rahaWatamani kuniua! Kuniaua,Je nimekuibia mumeo,Sema! SemaJe nimekuazima mapambo,Sema Sema,Je nimekuomba chakula sema! Sema
yani imetulia aimba kamahataki
Nyimbo tamu
Ongezea volume muchacho
Naunitue ee kabisaa 😜😜 zilipendwa hataree 👌
Hongera
Jaman Kuna nyimbo flan jina siijui insema Lela lelaa
Ya kwako yamekushinda yanqu utaweza😆😆
September 2022 still listening this beautiful taarab song
Sitembei na mumeooo, iweje kunichikiaa hahahahlaa hatareee
yiiii
8/4/ 2023 🔥🔥🔥
Wewe una nyimbo,mwenzio nna mamboRusha roho za nini??Wewe una nyimbo,mwenzio nna mamboRusha roho za nini??
Professor wa kuzua😂😂😂
😁😁😁😁😁
Professor wakuzua ---Kiswahili kitukuzwe😂😂😂😂
💯👌🌹
Mashaallah
Masha Allah
Maneno kuntu
Mane no kuntu
Tena saivi hakuna taarabu bwana
🔥🔥🔥🔥
Mpiga keyboard kaua.
Sanaaaaa😂😂
Pambee
Sitaki! Sitaki maneno na we weSitaki! Sitaki kukaliwa mwaoWewe unawako,na mie nna wangu maneno maneno ya ninSitaki mafumbo kunifumbia mwenzioSitaki mafumbo kunifumbia mwenzio
Danlod
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mjaluo damu lakini nyimbo zenyu zanikosanisha usingizi kweli
Same here Taita Taveta but kiswahili kilianza haribika hapo stage ya Voi but kufika ukambani na upcountry kikawa bubu😂😂😂
Gosto de musicas desta senhora
Nice
Atari sabaha hana baya
Ooy*yy†y😊%7
Heee naima wee
2024 with my mom listening ❤pls like my comment
Mashallah Allah Allah will bless you inshallah nyimbo tamu sana 🙏❤uko juu swabaha salim ni amina kutoka Kenya 🇰🇪
2022 wangap tunasikiliza 🥰😍🔥
,🤞🤞🤞
😇
Still Loving this song forever
2023 still listening 🎶
Kutoka 1993 mpaka leo bado nyimbo ni nzuri hio ndio East African melody Zanzibar
2024 still loving this song❤❤❤
Ukome ukware kuharibu hadhi yangu.motoooo
wimbo huu nikiuskia nakumbuka mbali sana yaani..
Komesha utalii wa yasiokuhusu. Jihuzishe na ya kwako. Umbea na fizadi potelea mbali. Kukonda jeeee? Halmasi si Shaba! Dr. Ogeto International
Mnanda huo unanikuna sabah pk kwenye moyo pend sn wewe
Hatarii
Sema nimekuibia mumeo pwiiii😅😅😅
Hongera kwa sauti nzuri nimeipenda sana taarabu hii.
Nairobi Kenya 🇰🇪 😍
Nice to listen , attempting clear and free message
Kassim Bakari Bindo , from dar es salaam Tanzania
Yani huyu mpiga gita na hilo piano yani wanapiga had raha
Hasidi usojijua
Mie si mke mwenzio unaniwekeaje chuki ahaaaa hatari
Yes mam , good from kassim Bakari Bindo, ungindoni keep gamboni dar
Pambe sana nimeipenda iiii
Mwananinga Wa Zinjibar
Pambeeee hatariiii
Kuninanga mwisho leo
Jamani icho kinanda uko ngoma chini hatari
Muziki zamani jumbe kama zote sasaivi matusi kwenda mbele poleni wakileo hamza Bahamian na vitus vitamtam
Swabaha mashallah nice. Sound
Sitakii ctakiii maneno na weweeee❤️
Sitaki sitaki apo tu mimi mwenzio taabani
Ukome ukware kuharibu hadhi yangu
Ukome ukware kuharibu hadhi yangu
Bure kerere hutakiwi kifanyio,kimuhe muhe cha nini
Bure kerere hutakiwi kifanyio,kimuhe muhe cha nini
Ahsante ❤❤❤❤❤❤❤
Nampenda uyu mm
Nice song
Sihayo tuu
Loooo kizushi ww
Penda sana mwaa
Kuninanga mwisho leo uongo kunizulia
Ikopoa sana
Tenaaa
Hatar sana enzi hizo
Nikiwa Oman Salalah hatarii na balaa pia Fumbo Mfumbie Mjinga mwerevu hutambua Pa1👊👊Sabaha MuChacho
Salma salala kwema uko
Ataliiiiiiii
Bibi wacha ushambenga,loshh mzushi wewe
Professor wa kuzua
😂😂😂😂
Wacha ushambega ndio nini? Mkenya Mtaita Mtaveta kauliza maana😂😂😂
Usinizeshe mwenzio midomoni kunitia sitembei na mumeo vereje wanichukia??
❤
Jee ni.........
From Norway. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
Hadi rah huuwimbo
Dec 2022 still listening🔥🔥🔥🔥
Sabaha
Hii nyimbo inanikosha sana
Santee Sabah
Wachemshe hao hao kwangu mimi utapoa
Nakuaminia swabaha umeweza
Mambo 🔥🔥
I really love it
Anteeeeee
Wweeee
Fumbo mfumbie mjinga,Mwerevu! Mwerevu hutambua
Wanifumbia mafumbo,ukiniona huna raha
Watamani kuniua! Kuniaua,Je nimekuibia mumeo,Sema! Sema
Je nimekuazima mapambo,Sema Sema,Je nimekuomba chakula sema! Sema
yani imetulia aimba kamahataki
Nyimbo tamu
Ongezea volume muchacho
Naunitue ee kabisaa 😜😜 zilipendwa hataree 👌
Hongera
Jaman Kuna nyimbo flan jina siijui insema Lela lelaa
Ya kwako yamekushinda yanqu utaweza😆😆
September 2022 still listening this beautiful taarab song
Sitembei na mumeooo, iweje kunichikiaa hahahahlaa hatareee
yiiii
8/4/ 2023 🔥🔥🔥
Wewe una nyimbo,mwenzio nna mambo
Rusha roho za nini??
Wewe una nyimbo,mwenzio nna mambo
Rusha roho za nini??
Professor wa kuzua😂😂😂
😁😁😁😁😁
Professor wakuzua ---Kiswahili kitukuzwe😂😂😂😂
💯👌🌹
Mashaallah
Masha Allah
Maneno kuntu
Mane no kuntu
Tena saivi hakuna taarabu bwana
🔥🔥🔥🔥
Mpiga keyboard kaua.
Sanaaaaa😂😂
Pambee
Sitaki! Sitaki maneno na we we
Sitaki! Sitaki kukaliwa mwao
Wewe unawako,na mie nna wangu maneno maneno ya nin
Sitaki mafumbo kunifumbia mwenzio