ZINGATIA HAYA KABLA HUJASAFIRI NA NDEGE!✈️✈️✈️

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 11. 2022
  • Haya ni mambo ya msingi sana ya kuzingatia kabla hujasafiri kwa usafiri wa anga #canada #greencard #health #safari #divineangel #Arrivaltv
  • Zábava

Komentáře • 57

  • @jaquelinetandu2462
    @jaquelinetandu2462 Před rokem +2

    🍾🍾🍾🎉🎉🎉🎉🎉🎉🍾🍾🍾🍾🍾Bravooo bravooo

  • @boscoerasto5148
    @boscoerasto5148 Před rokem +2

    Mimi naitwa gelard erasto makolobela nimekuelewa sana kaka

  • @shabirryabdallah8714
    @shabirryabdallah8714 Před rokem +1

    Asantee kaka kwa kutupa elimu hii mungu akuzidishie na uendelee kutuma mwongozo zaidi

  • @user-xy6ou8xo1s
    @user-xy6ou8xo1s Před 5 měsíci

    Ahsante sana

  • @halfaningatwanga3776
    @halfaningatwanga3776 Před rokem +1

    Na watch from mtwara,Tanzania 🇹🇿,
    All the best

  • @MohamedJonston
    @MohamedJonston Před 2 měsíci

    Taarifa zimenisadia sana maana najiandaa kupanda ndege kwa mara ya kwanza thanks

  • @shebbyID24.
    @shebbyID24. Před rokem +1

    rock city mwanza big up broo

  • @fathermwakisongo
    @fathermwakisongo Před rokem +1

    Mambo unayotujuza ni kuntu, big up

  • @andymungai6154
    @andymungai6154 Před rokem +1

    Watching from MombaSa. KAZI poa sana bro.

  • @mayagilajoseph728
    @mayagilajoseph728 Před rokem +1

    Kazi yako ni nzuri kaka. Keep it up

  • @annirush7388
    @annirush7388 Před rokem +1

    Mungu akubariki na akuzindishie

  • @fadhilijulius2793
    @fadhilijulius2793 Před rokem +1

    Great job bro

  • @happinesscharles3457
    @happinesscharles3457 Před rokem +1

    Niliiçheķa sana safari yako ya marekani nimejifunza kitu. 🙏

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew Před rokem +1

    Hongera

  • @trueone_tz
    @trueone_tz Před rokem

    👍

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 Před rokem +1

    New comer here, ✅️✅️✅️

  • @dinaabel5366
    @dinaabel5366 Před rokem +1

    Thanks alot🙏

  • @glorymoshi7793
    @glorymoshi7793 Před rokem +1

    Thank

  • @asengoadam1166
    @asengoadam1166 Před rokem +1

    Thank you

  • @emelecianafrancis5655
    @emelecianafrancis5655 Před rokem +1

    Asante kwa elimu ,

  • @stellacosmas6047
    @stellacosmas6047 Před rokem

    Safi sana kutoka geita

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 Před rokem +1

    asante saana kwakutupa elimu buree

  • @Voyageurapprenant
    @Voyageurapprenant Před rokem

    Content zako ni nzuri sana Kaka,tuko pamoja,from DR Congo

  • @user-xy6ou8xo1s
    @user-xy6ou8xo1s Před 5 měsíci

    Kutoka Arusha mjini

  • @vitymteysemere4777
    @vitymteysemere4777 Před rokem

    Me nakuita #sirdivine

  • @mauwamwinga6880
    @mauwamwinga6880 Před rokem +1

    Ivo vidude vya kueka masikion kuna ndege nyingne wanatoa km turkish air ila 'nilipanda Egypt Air awatoi' nilipata iyo shida ya masikio

  • @thevoiceofdeliverance6061

    Kwenye hii video sauti iko chini kidogo

  • @shabirryabdallah8714
    @shabirryabdallah8714 Před rokem +1

    Kaka mimi nataka kwenda marekani nikatakute maisha kwa sasa nimeshaandaa kiasi kidogo kama Tsh 4 milioni na Passport ninayo hivyo naomba unisaidie kunipa muongozo kwenye swala la kupata visa na gharama zote na niandae kama kiasi gani cha pesa ambacho naweza kuanza nacho Asante. From Tanzania Dar es salaam.

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před rokem +1

      Sawa unicheki kwa namba hizi za WhatsApp +1(682)3689282 nikupe malekezo

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před rokem

      Mdao sijakusahau

  • @minaezekiel1972
    @minaezekiel1972 Před rokem

    Big gap bro!! Mim nauliza inakuaje mtu anaondoka na visiting viza !!lkn inapoisha harudi Tena kwao !!Inakuaje cku anayotakq kutoka Ughaibuni !! Na Visa yke imeisha mda!!

  • @DuniaHenockjean
    @DuniaHenockjean Před 3 měsíci

    Niko Wisconsin

  • @missnamwambemomentstv7753

    Tena saiz saa 6 kassoro ucku

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Před rokem

    Nina ndoto za kuenda kuishi na kufanya kazi Seychelles brother nisaidie nipate uelewa juu ya nini natakiwa nifuate!asante.

  • @suleimanmohd9090
    @suleimanmohd9090 Před rokem

    Mungu akubariki kiongozi kwa elimu yenye manufaa sana zaidi ya sana unayotupatia. Naomba kuuliza kuhusu online flights ticket agents, je hawa wanaaminika kiasi gani kukata tickets kupitia wao hasa hasa multiple tickets (connecting flights)? Asante.

  • @bellalygeomecky1145
    @bellalygeomecky1145 Před rokem

    P

  • @classicmediaenter10ment44
    @classicmediaenter10ment44 Před 4 měsíci

    Natakujua kuusu kwenda china garama na masharti

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před 4 měsíci

      Masharit yapo nadhani Hivi karibuni tutafanya video ya kiangazia viza ya china

  • @karimnzeyimana-uw9tm
    @karimnzeyimana-uw9tm Před rokem

    Amani ya Mungu iwe ju yenu nyote alafu nilikuwa naswali moja mtu kama mimi niko Burundi unawezaje kutusaidiya nasi tuko na ndoto zakufika USA na Passeport tunazo

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před rokem

      Yes popote ulipo Duniani tunaweza kukusaidia

    • @karimnzeyimana-uw9tm
      @karimnzeyimana-uw9tm Před rokem

      @@ArrivalTv oo yes muda ukifika lazima niceki tusaidiyane kwa sasa nitaendeleya kutazama vidéo zako ili nipate kujifunza mengitu

  • @josephlokai4013
    @josephlokai4013 Před 7 měsíci

    Ndugu na watu ambao wana shida ya kutapika?? Je ndege ni hivo hivo????

  • @user-fx5qd4rg8o
    @user-fx5qd4rg8o Před 5 měsíci

    Namba yako ya simu ili kwa maulizo zaidi maana nasafir kwenda California mwezi march

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před 5 měsíci

      Karibu na ticket za ndege pia tunafanya kwenye kampuni yetu +14253642418

  • @missnamwambemomentstv7753

    Mm mgeni kwenye hii channel..Leo nmekamia kwel, naangalia video zako zote...aiseeh

  • @MohamedJonston
    @MohamedJonston Před 2 měsíci

    Bro je nikiwa angani nawezaje kujua kwamba nipo kwe anga ya nnchi gani?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před 2 měsíci

      Mbele ya kiti chako kuna screen ile ya kutazama movie bonyeza mahali pameandikwa my flight ✈️ then chagua maps hapo utaona ndege ipo Kwenye Anga la nchi au bara gani .

  • @juvenalkabunduguru5798
    @juvenalkabunduguru5798 Před rokem +1

    Divine hivyo vidude vya kuingiza kwenye masikio vinapatikana je?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Před rokem

      Hivi vinauzwa kwenye maduka hasa maeneo ya Airport

    • @viousa
      @viousa Před rokem

      @@ArrivalTv vinaitwaje?

    • @ankojecha9753
      @ankojecha9753 Před rokem +1

      @@viousa Vinaitwa 'ear plug'

  • @abdultimoc4625
    @abdultimoc4625 Před rokem

    Broo tupige kampani bc na ss wenye ndoto za kuja uko utusaidie mana nasikiaga uko kazi ni nying mpk kweny restaurant

  • @thevoiceofdeliverance6061

    Nataka kuuliza hasa suala zima la interview Kama hujajuwa kuongea English kwa kina inakuwaje ??
    Wanaruhusu mkarimani wa lugha yako ???

    • @hasfaastore929
      @hasfaastore929 Před 7 měsíci

      Ukitaka kiswaili utahojiwa kiswaili ni wewe tu