REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO II

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 10. 2023
  • IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 25 OCT 2023.
    KICHWA CHA SOMO : KUENDELEA TOKA NGUVU HATA NGUVU.
    '' FROM STRENGTH TO STRENGTH ''
    NENO KUU: Zaburi 84 : 7
    Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
    "WEKEZA KWENYE UWEZO"
    1 Samweli 17 : 31 - 40
    Luka 19 : 26
    1 Samweli 17 : 31 - 40
    31 Na maneno hayo aliyosema Daudi yaliposikiwa, watu wakamweleza Sauli; naye akatuma mtu kwenda kumwita.
    32 Daudi akamwambia Sauli, Asizimie moyo mtu ye yote kwa ajili ya huyu; mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana na Mfilisti huyu.
    33 Sauli akamwambia Daudi, Huwezi wewe kumwendea Mfilisti huyu upigane naye; maana wewe u kijana tu; na huyu ni mtu wa vita tangu ujana wake.
    34 Daudi akamwambia Sauli, Mtumishi wako alikuwa akichunga kondoo za baba yake, na alipokuwa akija simba, au dubu, akamkamata mwana-kondoo wa lile kundi,
    35 mimi hutoka nikamfuata, nikampiga, nikampokonya kinywani mwake; na akinirukia, humshika ndevu zake, nikampiga, nikamwua.
    36 Mtumishi wako alimwua simba na dubu pia; na huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wao, kwa sababu amewatukana majeshi ya Mungu aliye hai.
    37 Daudi akasema, Bwana aliyeniokoa na makucha ya simba, na makucha ya dubu, ataniokoa na mkono wa Mfilisti huyu. Sauli akamwambia Daudi, Enenda, na Bwana atakuwa pamoja nawe.
    38 Ndipo Sauli akamvika Daudi mavazi yake ya vita, akamtia chapeo cha shaba kichwani, akamvika dirii.
    39 Naye Daudi akajifunga upanga juu ya mavazi yake, akajaribu kwenda; maana alikuwa hajavijaribu. Daudi akamwambia Sauli, Siwezi kwenda na vitu hivi, maana sikuvijaribu. Basi Daudi akavivua.
    40 Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.
    Luka 19 : 26
    26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.

    Mhubiri : Rev.Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maoni na ushauri:
    Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Komentáře • 13

  • @user-hy5vd5ne5e
    @user-hy5vd5ne5e Před 21 dnem +1

    Amen.....Mungu akupe umri mrefu baba ninajifunza mengi kupitia mahubiri yako

  • @veronicasarita8422

    Amina nami Mungu aniwezeshe niwekeze kwenye uwezo

  • @Anjira960
    @Anjira960 Před 14 dny

  • @mussaelia8693

    Napenda sana vile ,

  • @lucykandie1109

    Asante kwa huu ujumbe , nina wekeza kwa uwezo wangu.

  • @user-dl1ji9el4n

    Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @happyiskaka

    💃💃💃💃💃💃💃🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 Nina kıtu ndani Yangu kwa NENO LAKO MUNGU naomba ukiongeze

  • @josephlukumaya4223

    Kweli mchungaji BWANA akubariki

  • @mussaelia8693

    The gospel is life ,

  • @user-dl1ji9el4n

    Ninabarikiwa nikiwa Saudi Arabia

  • @laurentsilayo2513

    Sijaelewa kuwa aside asiyenacho atayang'anywa alichonacho, kipi hicho?

  • @catherinekiwelu1803

    Tunaweza kupataje T-shirt kwa sisi tulio mikoani. Mimi nataka 1 ya mtu mzima na 1 ya mtoto wa miaka minne. Nipo Arusha.

  • @African511

    Mchungaji hii mifano ya kuku wanakuelewa niwapambanaji tu pekee,watu wasiotegemea vitu vya kuletewa😂😂😂😂