SERIKALI YA TANZANIA YAINGIZA MTAMBO WA KWANZA AFRIKA KUTAFITI MADINI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2024
  • Serikali imezindua Mtambo Mkubwa na wa kwanza Barani Afrika wenye teknolojia ya kisasa ambao utafanya kazi za utafiti wa madini ndani ya nchi na katika nchi zenye rasilimali kubwa za madini Barani Afrika watakapohitaji kutumia mtambo huo ili kuwasaidia wachimbaji kuondokana na uchimbaji wa kubahatisha.
    Dk. Venance Mwase Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO ameelezea lengo la kuletwa kwa mtambo huo.
    Mwenyekiti wa Bodi ya STAMICO Meja Jenerali Mstaafu Michael Isamuhyo amesema Geita ni moja ya maeneo yanayodhihirisha mafanikio katika sekta ya madini.
    Katibu Tawala mkoa wa Geita Mohamed Gombati amewakumbusha watumishi kufanya kazi kwa weredi huku akiutaka uongozi wa STAMICO kuwawezesha wafanyakazi katika uendeshaji wa mitambo.

Komentáře • 9

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson Před měsícem +2

    Lakini utumile vizuri sio kupata madini na kufanya ufisadi hatutaki

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba Před měsícem +1

    Maelezo yako sio kweli, huo autafuti madidi bali utatafuta wingi wa madini eneo ambalo tayari Lina madini, pia unaongelea MITA mia 4 wakati upo wa MITA alfu moja

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 Před měsícem +2

    Upuuzi tu wa nchi hii mtambo wa wezi rasilimali zinaporwa unasema mtambo ni bora watu wachimbe kwa mkono lakn thaman ya rasimali inufaishe nchi na watu wake

  • @TisaMkenda-oj5uj
    @TisaMkenda-oj5uj Před měsícem +1

    Mmeumbiwa kupinga kila kitu,,kuna wakati tutapata tunachokitaka,,

    • @hamudshabani7801
      @hamudshabani7801 Před měsícem +1

      Viongozi wa nchi hii wa hovyo they do not think about their people but for themselves and their families

  • @user-cj1ft4mw2l
    @user-cj1ft4mw2l Před měsícem +2

    HALAFU HII MITANZANIA WANAWAONA WATANZANIA WAKAWAIDA NI MACHIZI NA MAMBUMBUMBU, NJOO UKU SOUTH AFRICA UONE MITAMBO YA KISASA, HUO NI TAKATAKA

    • @TisaMkenda-oj5uj
      @TisaMkenda-oj5uj Před měsícem

      @@user-cj1ft4mw2l hata mbuyu ulianza km mchicha,,we love our tz,

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před měsícem

    Matapeli Tu hawa mlikuwa wapi miaka yote leo ndio mnaamka hapo kuna upugaji uliona hii