JINSI YA KUPAMBANA NA MATATIZO MAGUMU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04-05-2023
Vložit
- čas přidán 4. 09. 2024
- #jrcchurch #Tanzania #jrctz#
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Unanibariki sana mchungaji nikiangalia maubili yako
Nabarikiwa navuka sana,Mtumishi Mungu akuinue🙌
MUNGU akulinde❤❤❤
Amen
Wah Man of God mungu anakutumia visuri
MUNGU azidi kukuinua kwa viwango vya juu na juu zaidi baba
Baba nakuelewa sanaa
Mungu twakuomba wakati Huu Wa Ramadan katika Jina la yesu Christo tufiche Kwa damu YA mwanao kondoo🙏🙏🙏
MUNGU wangu huyu Mtumishi wa MUNGU ananibariki sana sana!
Nipo America mch lkn kila ujumbe wako huwa ninaisikia sauti ya Mungu ikisema na mimi japo Nina tatizo nifanyeje niongee na wewe mch mwenye hekima unisaidie.
Amen amen amen 🙏💖
Hareruya bwana Yesu Asifiwe najitoa kwanye Matatizo hayote nitete
In Kenya unanibariki sana na ujumbe wako
Ubalikiwe sanaaaa pastor
Am blessed
Yesu asifiwe kwa neema yaafundisho anayoachilia kwetu
Sauti ni ndogo mtu wa Mungu.
Asante k1a somo zuri.
Mbarikiwe, ila tunaombeni mnapokuwa mnarusha vipindi, sauti kidogo mweke sawa
Amina Nimekuelewa Mtumishi
Asante pastor
Amen 🙏🙏🙏
Baba mimi huwa nakuelewa,tungekuwa maandazi ungetutumbukiza mazima kwenye mafuta ili tuelewe unavyopenda tuelewe mafundisho yako
Hallelujah glory to God Almighty
Huyu natamani sana one day nikutane nae tu hata nimshiike mkono ntapona
Dady unanifungua sana kwa mahubiri yako be blessed man of God
Mimi ni mchungaji nipo Tanga napenda sana mafundisho Yako pia naomba namba yako mchungaji kwani nimekuwa natamani kuwa sehemu ya huduma yako katika mkoa wa tanga
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@@StelaWile-qj4jtnaomba namba ya pastor Kama unayo mtumishi