SAKATA LA USHOGA NA HAKI KWA WANAUME LAIBUKA BUNGENI, MBUNGE AMCHARARUA VIKALI WAZIRI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2024
  • If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

Komentáře • 455

  • @aggymonyela3775
    @aggymonyela3775 Před měsícem +26

    Shida imekuwa kubwa sasa hivi. Maneno mengi ni ya kujikombakomba tu Asante sana Madame JESCA Mungu akutetee.

  • @jafarimpawa8237
    @jafarimpawa8237 Před měsícem +23

    Creative arguments, hongera sana mama yangu mama Samia akiona inafaa akupe wizara hii

  • @sanestar6942
    @sanestar6942 Před měsícem +8

    Hadi nimeskia kusisimka, inaonekana haya sio maneno ya kawaida, yana nguvu ya Mungu ndani yake. Hongera sana Mama Jesca.

  • @JacksonMwalimu-se7fj
    @JacksonMwalimu-se7fj Před měsícem +3

    Asante mamangu, uku kwetu Kenya 🇰🇪 ata mikopo atupewi sisi wanaume, utaskia kenya wimen, wimen rep, ata ukuenda kuomba kazi na mwanamke atapewa yeye, imebaki tu kuolewa na wanawake

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před měsícem +19

    Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Barikiwa Barikiwa Barikiwa Barikiwa sana sana sana

  • @claudemofi3193
    @claudemofi3193 Před měsícem +6

    Asante sana mama yangu kwakulitambua hilo sababu wanaume wananyanyasika sana naawana pakukimbilia na dhani wewe ndo ungelipashwa kuwa kiongozi mku wa nchi ya
    Tanzania

  • @Salviiboy
    @Salviiboy Před měsícem +8

    Uyu mama aliyeongea mungu amtizame na ampetie mema zaidi

  • @binismail2029
    @binismail2029 Před měsícem +10

    Duuh mama umezungunza point kiasi ya kwsmba Talents kama hawa wanahitajika Sana ktk bunge

  • @jeromepantaleo8356
    @jeromepantaleo8356 Před měsícem +10

    Mbunge ana madini sana,big Up

  • @nyassa2607
    @nyassa2607 Před měsícem +18

    Hongera sana mbunge, wewe ndo mama wa bunge , Hili jamaume la wapi mbona hata sijalielewa , hovyo kabisa. watoto wakiume wanahalibiwa sana wabunge wakina mama lipigieni kelele sana kuwalinda watoto wote bila kuchagua jinsia

  • @user-lc8mp2lj3k
    @user-lc8mp2lj3k Před měsícem +9

    Dada yangu umeeleweka vizuri sana. Shida ya mawaziri wengi, hawana hofu ya Mungu ndani yao.Nchi inahitaji toba ya magano ya kuzimu

    • @hafsalucky1088
      @hafsalucky1088 Před měsícem +1

      You are very right! Inch inahitaji toba, Tuliunganishwa na kuzimu tangu kipindi Cha Uhuru, ndo Mana tunapelekwa km Kondoo😭😭😭 9:57

  • @ombenezekiel6254
    @ombenezekiel6254 Před měsícem +4

    MH: Mungu akubariki Sana yalikua maombi yangu sana namshukuru MUNGU amekutumia kusema hilo

  • @EliudKatamba-qu7fg
    @EliudKatamba-qu7fg Před měsícem +14

    Wakipatikana wabunge kumi kama huyu mama haki ya mungu tutafika pazur

    • @CholoFaizaan
      @CholoFaizaan Před měsícem

      Ufike wapi? Unapotaka kufika hawa wabunge nihatari kuliko hao wanaowaongelea

  • @EligiusRichardGoldenboy
    @EligiusRichardGoldenboy Před měsícem +15

    Unachosema nikweli Mungu kakutumia Vyema

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir Před měsícem +7

    Mama Samia huyu Mbunge naomba aongezewe Mshahara tafadahli

  • @festodaud1781
    @festodaud1781 Před měsícem +6

    mama Mungu akulinde sn na akupe marifa zaid

  • @user-du7jm2wl5b
    @user-du7jm2wl5b Před měsícem +3

    Ninavyompendaga Jessca Yeye mkishamaliza yeye anakwenda Extra miles!👏👏👏

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 Před měsícem +8

    Toka nimesikia bunge hii ndiyo mada ya maana kwa Tanzania

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 Před měsícem +5

    Safi kbsa mbunge una maono vzr unaonambali sana bora ungekiwa samia

  • @salumumchaga9717
    @salumumchaga9717 Před měsícem +1

    Umegusa kero ya kila mtu lazima kuwe na strong voice ahsante sana mama mungu akulinde kwa kugusa kiini cha maumivu makali kwa wanaume

  • @ezekielbkuyeko5241
    @ezekielbkuyeko5241 Před měsícem +4

    Daaah safi sana, "WE NEED A STRONG VOICE "

  • @tomsijohni
    @tomsijohni Před měsícem +3

    Mh mbunge umeongea point wanaume tulikua tume koswa utetezi bugeni. Ongera sana Mh.

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 Před měsícem +3

    Hongera mama umesema kweli.
    Na huyu kigwangala ndiyo Mwisho wa kuingia bungeni tena awamu hii

  • @antonigabriel-010yes
    @antonigabriel-010yes Před měsícem +3

    Umeongea hoja ila si kwenye hii serikali inayofuata utaratibu wa Dunia, chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @user-ko5co3bk9f
      @user-ko5co3bk9f Před měsícem

      Kabisa kaka,, mpango wa dunia ni kuhiaribu siyo kujenga, Wala si uopo was Mungu

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 Před měsícem +27

    Huyo Mwanaume hajielewi kabisa, Yaan tunasemewa na Mwanamke lenyewe linapiga. HOVYO kabisa

    • @mafiask575
      @mafiask575 Před měsícem +3

      Huyu akaangaliwe vizuri.. pengine nae ni miongoni wa wanao suppoti ushoga

    • @misangasaidih8764
      @misangasaidih8764 Před měsícem +1

      Hahaha! Et Daktari. Tatizo la elimu za kuhonga

    • @MrNuurofficial
      @MrNuurofficial Před měsícem +1

      Tumia akili apo akiongea mwanaum hawez kusikilizw sana

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Před měsícem

      ​@@misangasaidih8764yani kamchana hatari😂😂

  • @technicallytips255
    @technicallytips255 Před měsícem +1

    Mbunge wetu hoyee🎉🎉, Mungu akupe maoni zaidi.

  • @Alex.RAlistides
    @Alex.RAlistides Před měsícem +2

    Kilichonifrahisha nikuona mwanamke ndiye anatutetea wanaume .very nice

    • @RynoFiree
      @RynoFiree Před měsícem

      Kumesha haribika Sana single moms wanazidi kujazana mtaani, ko mwanamke ameliona hilo

  • @AbdallahFahm
    @AbdallahFahm Před měsícem +1

    Mashallah umeupiga mwingi mola akubariki

  • @simonmushi7468
    @simonmushi7468 Před měsícem +13

    Hongera sana Madame Mbunge nimekuelewa sana Wewe ni Voice of Voiceless

  • @TumainTinabu
    @TumainTinabu Před 23 dny

    Great love ❤️ to mamaa mungu akupe maisha marefu sana

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue Před měsícem +3

    Mama upo vizuri sana

  • @livingmunisi5963
    @livingmunisi5963 Před měsícem +1

    Mungu akulinde madam jeska

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Před měsícem +3

    Dunia ya magharibi inahubiri kutetea haki za wanawake na kumpa nguvu mwanamke ili kuwashusha wanaume kifikra na kiuchumi hasa kwa bara la Afrika.
    Lengo kubwa ni kufanya bara la Africa kukubali ushoga na kupoteza nguvu ya wanaume ambao watasimama kidete dhidi ya bara la Africa.

    • @user-cy5zv5fb9l
      @user-cy5zv5fb9l Před měsícem

      Nimekukubari Sana you are awared person unasema kweli

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Před měsícem +3

    Hongera sana mbunge mama kunywa soda nakuja kulipa

  • @abuuirtifaahaamid3310
    @abuuirtifaahaamid3310 Před měsícem +4

    Well said

  • @petermwembezi5976
    @petermwembezi5976 Před měsícem

    Asante Sana 🙏 Kwa mchango wako mzuri Mh. Mbunge. Mungu akubariki ❤

  • @augustinokomba4363
    @augustinokomba4363 Před měsícem +1

    Yaani wanaume wenyewe hutujitambui kiasi hiki mpaka wanawake wanaamua kututetea. Eti wanaume nao siku hizi wamekua feminists, what a wrong turn!

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 Před měsícem

    Daah.Safiii sana na hongeraa sana Mhe Jesca. Umeuipiga mwingii

  • @BabuEdie
    @BabuEdie Před měsícem +7

    Haya ni matokeo ya kukubali kila mpango anaokuja nao mzungu na kuacha tamaduni zetu

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 Před měsícem

      Acha ujinga unashindwa na mwanamke anatoa point wanaume mpo mpotu

  • @samwelmwita1915
    @samwelmwita1915 Před měsícem

    Mama umetisha ubarikiwe sana napenda nioe binti yako

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Před měsícem

    Well said ubarikiwe sana nuru ya Mungu ikuangazie

  • @JafaryChamungwana
    @JafaryChamungwana Před měsícem

    daaaa yan mpk nimejisikia vibaya hongera sana my sister

  • @ggcrank6264
    @ggcrank6264 Před měsícem

    Wew mwanamke uko smart sana umebarikiwa keep it up

  • @AllyAmri-mz3js
    @AllyAmri-mz3js Před měsícem +1

    Allah akuongoze

  • @patrickcharles7294
    @patrickcharles7294 Před měsícem

    Asante sana mungu akutangulie mh hoja imeeleweka

  • @meryLeonard-is8ry
    @meryLeonard-is8ry Před měsícem

    Bigup mama umesema na asante sana umetusemea uendelee kuongoza ktk jimbo lako

  • @barakayohana5685
    @barakayohana5685 Před měsícem

    Mungu akubariki sanaaa

  • @halfaniabdallah6265
    @halfaniabdallah6265 Před měsícem

    Hongera sana mama. Mungu alishampa mwanaume uongozi mwanadamu hawezi kubadilisha ndiyo maana matatizo yamekuwa mengi siku hizi kwa kuwa mwanaadamu anataka kwenda kinyume na sheria za mungu

  • @ahmadiabrahamani8702
    @ahmadiabrahamani8702 Před měsícem

    Hongera mama ra mama

  • @fredymponji1423
    @fredymponji1423 Před měsícem +2

    The problem ni kukataa hekima ya Mungu na sheria zake kwa kudhani hekima ya mwanadamu itazidi ya Muumba. Now it has bounced off.

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 Před měsícem

    Hongera saana mama God bless you with your family and your job ❤❤❤

  • @user-qv2tg9cz8c
    @user-qv2tg9cz8c Před měsícem

    Safi sana Mama hongera umesema vema

  • @SalamaJuma-mg3ru
    @SalamaJuma-mg3ru Před měsícem

    Hongera mama hilo janaume ni shoga

  • @NelsonShirima-nm5im
    @NelsonShirima-nm5im Před měsícem +1

    Umeongea point mbunge watt walelew na pande mbili lakin watoto wa kiume wakiachwa kulelewa na wanawake tu ni rahis sana baadae kushindwa kujisimamia peke yao, inahitajika strong voice ili wawe hodar zaid

  • @deogratiasnelson7381
    @deogratiasnelson7381 Před měsícem

    Asante mama umenena maana ishakua hatariii

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs Před měsícem

    Mama. Ubarikiwe sana

  • @user-es6lq1bv1j
    @user-es6lq1bv1j Před měsícem

    Asante xn mama hakika ww ndiye mbunge mwenye maono! Kuna wanaume wamekaa humo tu hata hawaon na wao wanapiga makofi tu hawaon kuwa wanaume wametengwa,na wananyanyaswa na wanawake kisa tu mwanamke kapewa haki zote! Hapo usawa wa kijinsia uko wapi?

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 Před měsícem

    Hongera sana Mh mbunge hongera sana mama

  • @StevenMasunga-fd7xf
    @StevenMasunga-fd7xf Před měsícem

    Kuna mijanaume humo yapo yapo tu, mpk kaibuka mama kutetea wanaume big up Sana jesca

  • @user-vq3zu8ne9b
    @user-vq3zu8ne9b Před měsícem

    Kwa Mara ya kwanza nimesikia mtu akitoa hoja bungeni hongera Sana 😂😂

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Před měsícem +1

    Mimi nimependa hapo alipocheka na kusema halafu Daktari kwa dharau sana 😂😂😂

  • @Polycarp-do8kd
    @Polycarp-do8kd Před měsícem

    Mama Mungu akubariki sana , akuzidishe katika mema uyatakayo

  • @Anza_tz
    @Anza_tz Před měsícem

    Mama kaongea kwa umakini sanaaaa.....Mungu akubariki mnoo

  • @Salviiboy
    @Salviiboy Před měsícem

    Swala lipo ivi nyakati zimefika za binadamu wasio na mungu kutengeneza njia zakumweneza shetani kwa nguvuuu

  • @MariamHamad-zd5ch
    @MariamHamad-zd5ch Před měsícem

    Hongera sana, umeongea ukweli mtupu, hii ndio aina ya viongozi tunaohitaj

  • @amosmachibya1800
    @amosmachibya1800 Před měsícem

    Ahsante sana mama Mungu azidi kukupa maono zaidi

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 Před měsícem +4

    mtoa taarifa atakuwa ashaleft na yeye😂😂

  • @mohamseyf6243
    @mohamseyf6243 Před měsícem

    Mama ni noma sana I want to comment for second time mpeni maua yakeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @imanbwanaa
    @imanbwanaa Před měsícem

    I love you mama unapenda taifa pia unahofu ya mungu may God bless u❤❤❤❤

  • @MerisaBaruani-yd4lf
    @MerisaBaruani-yd4lf Před měsícem

    Ubarikiwe mama

  • @SakinaValy
    @SakinaValy Před měsícem

    Safi mama

  • @geraldmanyogoto1358
    @geraldmanyogoto1358 Před měsícem

    Hongera sana. Si tuu unafaa kuwa waziri wa wizara hiyo, nadhani hata ubenge unatakiwa uchukulie kwenye jimbo la huyo mwanaume asiyejiua shida ilivyo!

  • @ramadhaniabdulabdul
    @ramadhaniabdulabdul Před měsícem

    ubarikiwe sana mama

  • @moorzaheernyika8001
    @moorzaheernyika8001 Před měsícem

    Asante mama unajua xn

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Před měsícem

    Dah nimempenda san huyu mama kwel tunawamama wanatutetea Bungen jmn Mungu akubarik sana mama.piga kaz

  • @Fredrickrobson01
    @Fredrickrobson01 Před měsícem

    Wonderful woman❤❤❤ I like it

  • @african_channel
    @african_channel Před měsícem +1

    Hongera mama umetumia akili kubwa

  • @evancemichael5489
    @evancemichael5489 Před měsícem +3

    Aliwahi kuongea Ndungai, kuwa mtoto wa kiume amesahaulika

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella Před měsícem

    Big up mbunge....watoto wa kiume wasiachwe nyuma

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 Před měsícem

    Your so smart,, apewe ulinziiii huyuu mbungeee

  • @user-jx2nq7ob6t
    @user-jx2nq7ob6t Před měsícem

    Mama yangu kipeenzi mungu akupe umri mrefu fanya kazi mungu atakuripa

  • @vitalisantony239
    @vitalisantony239 Před měsícem

    Mungu akubariki sana mama kweli umeongea jambo la msingi sana

  • @RoseSam-zy4yc
    @RoseSam-zy4yc Před měsícem

    Hongera mama💗💗💗💗

  • @user-rh7un2mh1q
    @user-rh7un2mh1q Před měsícem

    Dah safi saaana yaani umeongea ukweli kabisa inasikitisha kama kuna wanaume wanaunga mkono mambo hayo na kuyafungia macho mambo muhim.. hivi kweli mwanaume hatambuliki umuhim wake kweli!!! Watu wa magharib hawatatulia mpaka watimize ndoto zao mbovu..

  • @user-eh3zy7rr8o
    @user-eh3zy7rr8o Před měsícem

    Uyu Mama Ako na Madini mengi mno kichwani. Kigwanala Kayakanyaga

  • @mihayombawala8361
    @mihayombawala8361 Před měsícem

    Mama Mungu akulinde na akupe ujasiri zaidi, nilngekuwa mwananchi wa jimboni kwako hakika kura yangu ungepata 2025 utarudi Bungeni.

  • @redgabriel4998
    @redgabriel4998 Před měsícem

    ❤❤❤❤chukua mauwa yako mama na unapotokea nawaomba wananchiwako akurudishe tena bungen

  • @AlexGwambie-xr2hm
    @AlexGwambie-xr2hm Před měsícem

    Mungu akubariki Sana uishi myaka Mingi

  • @nursalammedia3317
    @nursalammedia3317 Před měsícem

    Mashaallah mashaallah umenena shida masikio hayasikii

  • @samamfaume8251
    @samamfaume8251 Před měsícem

    Mungu akulinde sana mama congole kwako❤❤❤

  • @hardwarekilas371
    @hardwarekilas371 Před měsícem

    Asant sana❤

  • @wilsondomisian5899
    @wilsondomisian5899 Před měsícem

    Nimekupenda zaid

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Před měsícem

    Safi mama na ni wadhaifu Sana wanaume

  • @user-mi8kj1bl6s
    @user-mi8kj1bl6s Před měsícem

    Safi Sana mitano tena

  • @user-zp5oo9gf1r
    @user-zp5oo9gf1r Před měsícem

    Ubarikiwee

  • @jacksonrabson6439
    @jacksonrabson6439 Před měsícem

    Strong point perfect say

  • @reallyistheanswer6287
    @reallyistheanswer6287 Před měsícem

    Nimekukubali sana maana kama tukiegemea upande mmoja tunazidi kuharibu siyo kutengeneza

  • @EbenezerRajabuMwamengo-pq5ev

    Hongeraaaaa sanaaaaa unahoja za upako

  • @castroluoga2238
    @castroluoga2238 Před měsícem

    Safiii sana 🙏

  • @AbdulMalingisa
    @AbdulMalingisa Před měsícem

    Ubalikiwe sana tena ubalikiwe mama yetu ulinzi upewe mama yangu mwenyenzi mungu