Video není dostupné.
Omlouváme se.
NAFANYA UPASUAJI PUA YANGU IFANANE NA YA DIAMOND AU RAYVANNY - BABA LEVO
Vložit
- čas přidán 9. 10. 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
I really like Baba levo,I wish they should create the app so that we can listen them even out of the country
😂😂😂😂baba levo saluti sanaaa ananogesha sana kipindi
😂😂😂 BABA LEVO akikosa kwenye kipindi hua sisikilizi kabisa
Linajuwa sana na linafurahisha
CHAWA PROMAX,,,Wasafi Tv ,,Hii imeendaaa‼️
Baba levo🥰🥰
M Suzy hapa from Kenya cihitaji serger mwenye atanipenda vile nk sawa km hawezi hakahe m n oneGb❤
😂😂😂😂babalevo nakupenda jamani kipindi kinanoga
Baba levo hongera sana kwa sababu unakipaji
Unafeli wapi mbona usiwe comedian😂😂😂😂
Huyu jamaa namkubali sana baba levo
Kwetu PUA,tunaita Penenga,Baba Levo anamaliza Hewa.
Nashauri kama ingewezekana aalikwe Dr.Eli
Hhh nampenda baba levo alivo mkweli eti lipuwa langu hili😂😂😂
Baba levo unanogesha sana kipindi
Kweli kipidi Baba levo anakinogesha sana
Utatutowa roho wewe bana daah 🤣🤣🤣🤣 Moses from Drc congo 🇨🇩
Baba levo mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂😂 Mungu hajakosea kukuumba ww
Mm ni mwanaume nna makalio maneno kidogo, inanifanya nijiskie vbaya watu wananizushiaga eti mm n shoga, naumiaga sana kiukweli cgongwi, nlitaman sana kupata msaada wa daktari kama inawezekana
Ni million tatu tu kaka ,being ya boda boda kiss kupunguza taking🤣
Fanya mazoez sana
😂😂😂babalevo haboeshi kabisa kwenye kipindi one love wasafi
Wapumbavu tu mnashindwa mshukuru mungu kwa neema ya maumbile yenu ya asili kwanza kila mtu mwenyezi mungu kamkadiria umbile lake unapokwenda kujibadilisha mjue mnakufuru mungu tu jitafutie maradhi ujinga tu huo
No mwendo wa mturinga tu❤
Bi levo ba unakipendezesha sana hiki kipindi sema nn wasaf Tv mlizingua mngekua mnaonesha live tv pale azam
Oscar yupo sahihii japo kaambiwa kazeeka😂😂
😂😂😂😂😂nomaa sanaa 🔥💯
Kwel diamond Ni baba lao waduniya simba
Kwel wenye
Matako lain wanapendwa
Sana sana
Baba levo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Baba levo hiyo pua kwakweli ukatwe tu
Isije ikaoza kama ya michael jackson
ila pua ya baba levo ikiondolewa naacha mshabikia maana pua yako ndo kitambulisho chako hapa Tz
Chawa hatarii chunga asije akamaliza Damu ya mlipa kodi
Hiyo nikumukufulu mwenyezimungu hiyo sajali haifai kabisa lizika namwenyzi mungu alivowaumba
Baba levo 😂😂😂
Hahahaha Et MTU UMEZEEKA
Yani Babake na levo wewe na momdy ndo furaha ya Wasafi bila nyie singekuwepo wasafi 🇰🇪 🇰🇪 Msambwanda😅😅😅
Acha pua lako hivyohivyo kama bakuli la magereza
NIKWELI KABISA KUNA MAGONJWA MAKUBWA BADO HAWAYAWEZI WANAENDE KUEKEZA VITU VYAKIPUMBAVU NASEREKALI ISHAJUWA AKILI ZAWA TANZANIAZIPO MATAKONIII😢😢
😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka kifala yani uyu baba levo nikipitiaga intew view zake mbavu sina🤣🤣🤣🤣
Watuwengi wanakufa
Pua ya babalevo haina level imekaa ka mtego ya panya buku 😂
Ba levo shida yake yeye anatetea masilai yake juu ya kuonekana na ngazi za juu lakn anausomi wowote juu ya kuongeza makalio wala point ya kuelewesha jamii zaidi alicho pewa ni mdomo tu wa kuropoka for nothing
Ujue tumesahau tunahtaj nn dunian hyo ndio maana ukiona sana dunia shetan ana shinda kwenye vichwa vyetu
Baba levo anachangamsha kipindi
Umezeeka lol 😂😂😂😂😂
B levo 🤣🤣
Ila chawa pro max😂😂😂
Apasuwaji ungine hatari sana
ALIYE nenepa hehehe hahaha hohoho huhuhu hihihi
Hahahaahha baba levooo kichaa atr angalia ucje ukawekewa matako kama ya diamond
Chawa ywachamsha game😂games
hahaaaa wawoooooo baba levo safiii
Adela na ww simama tuone yaliyomo yamo?😂
😅😅😅😅😅😅😅
Hhhhhhhhhh usisahau last born wako babalevo
😂😂😂😂😂😂Baba levo eti wanachek buwa langu
Sio buwa puwa bhna😂😂😂😂😂
@@user-uo6bo3ph6g 🤣🤣🤣sim imetereza Na weye kaushiya🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Kwani mungu alikuwa muñjinga wakati anaumba
Sasa c bola akufile tu huyo daimond maana kila kitu ww daimond tu ata kma anakupa michongo ndo uwe kma shoga bhana
😂😂😂😂 bado hujasema
😂😂😂 bad hujasema
Ni yeye makasiliko Yann😂😂😂
Kinacho kuuma n nn au ww diamond n bwana wako
Kwani kakosea wap si anapenda afanane na Diamond
Kwani uyo adela anamzigo😂😂😂