MAMA ALIYELALA STENDI NA WATOTO WATANO APEWA NYUMBA YA KIFAHARI INA KILA KITU NDANI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 05. 2024

Komentáře • 104

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 Před měsícem +12

    Mama anaonekana ana Muamini Mungu kuliko kitu chochote..... Ana Hekima ya kufikiri kabla ya kuongea mashaalah

  • @angelnicholaus9248
    @angelnicholaus9248 Před měsícem +10

    Hakika mmemgusa Mungu kwa hiki mlichokifanya,ni taasisi ambayo kwa kweli ina mkono wa Mungu ndani yake,Hakika hamtakosa hitaji lolote la mioyo yenu na Mungu awabariki sana,Amen.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před měsícem +15

    Mungu aibariki sana Taasisi hii na ndugu Malisa wapewe nguvu sana wenye Taasisi hiyo

  • @lightnessulomi2477
    @lightnessulomi2477 Před měsícem +12

    Hakuna haliye mtegemea Mungu halafu Mungu akamwacha alivyo 😇🙏🏽

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Před měsícem +12

    ❤❤❤❤kwenye maisha usikati tama chini ya jus hakuna kinacho shindikana kila kitu mtegemee muumba wako

  • @user-wo2ye5vh4q
    @user-wo2ye5vh4q Před měsícem +6

    Mungu awabariki sana taasisi hii,na watanzania waliounga mkono jambo hili, HONGERA Judith kwa kupata makazi

  • @HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld
    @HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld Před měsícem +2

    Hongera sana, Hiyo sasa ndiyo sadaka aipendayo Mungu Muumba👍. "Siyo wengine, huchangiwa sadaka na Kujitajirisha tu na kununua magari yao ya kifahari" Mungu awabariki 🙏.

  • @user-hj3oy7ub3q
    @user-hj3oy7ub3q Před měsícem +2

    Jehova awabariki Sana watumishi wake

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 Před měsícem +3

    MashaaAllah mungu nimwema siku zote

  • @sephaniangulo4035
    @sephaniangulo4035 Před měsícem +2

    Mungu nakuomba uwakumbuke hawa walioshiriki kwenye ujenzi kwa namna kila mmoja alivojitoa

  • @abdulazizamani8103
    @abdulazizamani8103 Před měsícem +1

    Masha Allah
    Allah awalipe kheir wote walomchangia ❤

  • @ZediMichael
    @ZediMichael Před měsícem +1

    Mwenyezi Mungu awatangulie katika kuitenda kazi yake

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx Před měsícem +1

    Glory be to God hallelujah..

  • @rehemamwakateba6687
    @rehemamwakateba6687 Před měsícem +5

    Hautakuwa Masikini kwa kusaidia wengine

  • @danielkanso
    @danielkanso Před měsícem +3

    Mungu awabari sana wabeba maono

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d Před měsícem +2

    Mungu aendelee 'kutukuzwa' kwa kila msaada mtakaoutoa watanzania kupitia taasisi hii...

  • @floramrema5743
    @floramrema5743 Před měsícem

    Mungu awabariki sana TAASISI hii.Naomba Niielewe zaidi na mimi nishiriki baraka hizi kwa Mungu.

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 Před měsícem

    MashaAllah
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 Před měsícem

    Nmemuona kaka Malisa GJ, Bibi Happy Joseph, Dr Christopher Cyrilo wakiwakilisha Gifted Heart Foundation Mungu azidi kuwabariki mno

  • @jamilakimaro9993
    @jamilakimaro9993 Před 26 dny

    Mashaallaah MMungu ni mwema atawalipa kwa msaada wenu.

  • @adrophinajustinian74
    @adrophinajustinian74 Před měsícem

    Nimefurahi hadi machozi yamenitoka Mbarikiwe sana

  • @florah-jw9wk
    @florah-jw9wk Před měsícem +1

    Mungu sikusote ataitwa mungu. Hakunamwenye hakialiwaachwa. Asante yesu

  • @NDIMYAKEMLENDA-mk9gj
    @NDIMYAKEMLENDA-mk9gj Před měsícem +1

    MUNGU ni mwaminifu sana hajawai acha mja wake ateseke anajibu kwa wakati

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 Před měsícem +1

    Kingine nakupongeza mama angu ni jinsi ulivyoheshimu sheria za ndoa kwa kukataa mila za wazee wetu ile Tabia ya kuridisha mke kwa ndugu wa marehemu,, wakati huko watoto wa marehemu na mama yao wangeenda kunyanyaswa tu, mungu nipe utajiri na hitaji kuwasaidia Sana Sana wenye uhitaji, amen.

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 Před měsícem

    Hakika Mungu ni mkuu hajawahi kushindwa na Jambo lolote. Ashukuriwe Mungu wa mbinguni kwa kutenda Jambo hili kupitia watu wake🙏🏼

  • @moibraTiles7024p
    @moibraTiles7024p Před měsícem +1

    Mungu hamuachi yeyote kila mtu ana baraka zake na hii baraka baada ya changamoto

  • @EstherNghwani
    @EstherNghwani Před měsícem

    Mungu ni mwaminifu Sana kwetu,tunapata jaribu lililo stahiki lakini pia kwa upendo hutuonyesha njia ya kutokea,Bwana na awe upande wenu nyote mliojitoa kuleta tabasamu kwa dada Judith.

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 Před měsícem +2

    Hakika baada ya dhiki siku zote huwa ni faraja, Mungu mwema wakati wote 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🫡🫡🫡🫡

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Před měsícem

    Mubarikiwe team yote kwa jambo hili kubwa🙏🙏🙏🙏

  • @pendolema6038
    @pendolema6038 Před měsícem

    Wow hongera jmn❤ mbn ni dream house yangu😊

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 Před měsícem

    Hivi ndivyo mungu hujidhihirisha wakati ukifika,, asante mungu kwa kusaidia familia hii ya mama huyu

  • @subiralema
    @subiralema Před měsícem +5

    Waliyo mfukuza watatamani kuja kumsalimia

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 Před měsícem

      Kabisa mungu wabariiki wote waiotoa hata maombi mungu yu pamoja nanyi.

  • @user-eg5nc4po2n
    @user-eg5nc4po2n Před měsícem

    Mungu awabariki taasisi hii pamoja na watu wote mliojitia

  • @user-bw9nz7jo9n
    @user-bw9nz7jo9n Před měsícem

    Nimependa kauli ya mwisho ya uyo Mr kwamba autokuwa masikni Kwa kumsaidia mtu good sana broo

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Před měsícem +1

    Na mungu awabariki wote walio mchangia

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 Před měsícem

    Unaambiwa baada ya dhiki ni faraja ck zt na Mungu ndio ni muaminifu ck zt 🙏

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868 Před měsícem +2

    Na mm muwe mnanijilisha niweze kutoa sandaka..Mungu awabariki sana kwa utumishi huu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Před měsícem +1

    Mungu hajawahi kumtupa mja wake sisi tuy ndo tunajisahau kujikurubisha kwa mungu

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Před měsícem

    Daah hongereni sana

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx Před 7 dny

    Mungu awaongezee paripo pungua

  • @shekhaahmed3961
    @shekhaahmed3961 Před měsícem

    Allah awabariki n awalipe kheri

  • @user-ym6jf8zo7j
    @user-ym6jf8zo7j Před měsícem

    Amen 🙏 🙏 🙏 be blessed 🙌

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Před měsícem

    MashaAllah ❤❤❤

  • @godlema6104
    @godlema6104 Před měsícem

    Nyumba nzuri raman iko simple

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 Před měsícem

    Kaka Malisa Mungu akubariki asikupungukie hata

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 Před měsícem

    Mashaallah 🎉

  • @SiasSam
    @SiasSam Před měsícem

    Asant mungu kwajili ya hii family

  • @brendashao36
    @brendashao36 Před měsícem

    Hongereni sana

  • @user-dl1gy9pe1g
    @user-dl1gy9pe1g Před měsícem

    Mungu atawawaripa

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 Před měsícem

    Malisa Malisa Malisa. Mungu akubariki wewe na wote ambapo mnaguswa katika kundi la wahitaji

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj Před měsícem

    Mungu awabarik sanaa 😢😢😢

  • @roselynmkata3993
    @roselynmkata3993 Před měsícem

    Sasa kuna wale ndugu walio muhujumu alipofiwa na mume...sijui wataenda kumtembele....😂

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 Před měsícem

    Mungu bariki hii taasis na wataasii

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 Před měsícem

    Mama apewe ulinzi na itambue mjane hana ndugu, hongereni

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 Před měsícem +1

    M/Mungu anatupenda sana na sisi tupendane na kusaidiana! Usimdharau usiemjua!❤

  • @user-jr3xs9sb9x
    @user-jr3xs9sb9x Před měsícem

    Mungu awafariji sanaaaa

  • @user-sn9ip6qr3l
    @user-sn9ip6qr3l Před měsícem +1

    Alhamdullillah

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 Před měsícem +1

    Naomba na mimi mue mnanishirisha nichange kidogo nilicho nacho kwa wahitaji kama hao.

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 Před měsícem

    Blessings

  • @jazillamfalla3675
    @jazillamfalla3675 Před měsícem +1

    Akikisheni watoto wanaenda shule pia mama apate kamradi ka kuendeshea maisha

    • @paulinapius3184
      @paulinapius3184 Před měsícem

      Watoto wamepelekwa shule pia kbla y kujenga nyumba

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 Před měsícem

    Pazuri sana hongera.sana kwao

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 Před měsícem

    Amina

  • @matthewsathanas2267
    @matthewsathanas2267 Před měsícem

    Amen

  • @ezekieljacob5795
    @ezekieljacob5795 Před měsícem

    Asanteni sana kwa kitendo hiki cha kuigwa ila naomba nichangie wazo...ni Hivii !!! Hata kama ni pesa za michango, je?? Kwa nini msijenge nyumba ya kawaida tu na fungu jingine likaweza kuwasaidia wengine watatu au wanne??? Wahitaji wako wengi sana na wengi hawajianiki kwenye vituo vya mabasi wako mabondeni huko,nao ni viumbe wa Mungu.Halafu mnadiliki kujitangaza kwamba mmejenga jumba la kifahari !!! Eti na wachungaji wamekuja kubariki makosa hayo badala ya kuukemea huo ufahari.Je?? Yesu alionyesha mifano ya kifahari ???? Alipanda Punda. Mama huyo hana kazi watoto hao watano wanataka shule na chakula,nyumba itahitaji maangalizo ya hapa na pale ,kwa hiyo foundation hii itabeba maisha ya huyu mama na watoto 5 milele ????.,usimpe mtu samaki bali mpe mshipi akavue.

    • @True20137
      @True20137 Před měsícem

      Kila mtu na bahati yake

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Před měsícem +1

    Hakika mwenyezi mungu ni mkubwa

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 Před měsícem

    MUNGU wa mbinguni awabariki sana 😢😢😢😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Před měsícem

    Pazuri na mama kapendez sana

  • @BornAgainStudiostz
    @BornAgainStudiostz Před měsícem

    ❤😊

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Před měsícem

    Mungu nisaidie na mm niwajengee wazazi wangu wewe ndie wa pekee asante kwa kuwagusa watu wako kumsaidia huyu mama na watoto wake hutomuacha anaekutumaini😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Před měsícem

      Utawajengea tu,husijali,mimi siku nilipomaliza kuwajengea wazazi wangu,siku wanahamia waliniita nikapiga magoti wakaniombea,wakanambia hata tukifa leo,hakuna tunachokudai huku wakibubujikwa machozi ,nilijikuta napiga kelele machozi yakinitoka ,yani Acha tu 😢😢😢

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj Před měsícem

    ALHAMDHULILLAH 🤲

  • @yvonnerichard2936
    @yvonnerichard2936 Před měsícem

    MBARIKIWE SANA

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Před měsícem

    Safi sana

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 Před měsícem

    😢😢paka nalia😭😭

  • @SaadaBenadi-pj2bn
    @SaadaBenadi-pj2bn Před měsícem

    ❤❤

  • @Pratnumzsimba
    @Pratnumzsimba Před měsícem

    Saa nyingine kuweka hadharani maisha Yako ni fursa jaribuni ndugu mtakuja kunikumbuka😂

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 Před měsícem

    Watanzania siku zote niwema sana

  • @DeusRobart
    @DeusRobart Před měsícem

    kamanimena mtu hajavaa vile😂😂😂 au machoyangutu ?

  • @ayshaoman6502
    @ayshaoman6502 Před měsícem

    Naomba namba jamani mimi nina matatizo

  • @leonardmsomi9735
    @leonardmsomi9735 Před měsícem

    Stendi gan hiyo na mimi nikalale aisee?!!

  • @hurumadavid6210
    @hurumadavid6210 Před měsícem

    Hii ndiyo Tanzania tunayo itaka

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 Před měsícem

    Kulala maskini kuamka tajiri

  • @mariammawenya9837
    @mariammawenya9837 Před měsícem +1

    Wapi ndugu wa mume

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 Před měsícem

    Waliomfukiza sa hii wameshaanza kutuma sms za kuonesha wema, kweli ss binadamu ni viumbe wa ajabu sana

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 Před měsícem

    Haika Mbowe

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Před měsícem

    Hakika MUNGU wa wote 😭😭😭

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Před měsícem

    Wapo wengi wenye shida kama hizo na amuwaoni

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Před měsícem

      Kwahiyo wakiwepo

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Před měsícem

      Kila mtu na rizki yake sio kila mwenye shida atasaidiwa

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus Před měsícem

      Ukimuomba Mungu akupe moyo wa shukrani itakusaidia sana.

    • @paulinapius3184
      @paulinapius3184 Před měsícem +2

      Wew uliowaona umewasaidia?

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 Před měsícem +2

      MBONA WEWE , HUJAFA WAKATI WAPO WENGI WAMEKUFA?, jua maisha kila mtu na bahati yake, MUNGU kila mtu atampa kwa wakati wake, katika watu 10,anabahatika mmoja, sio wote 10,hakuna bahati za hivyo , nahao wengine MUNGU amesha waona yeye ndie mgawa riziki na hizo bahati anajua siku yao

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 Před měsícem +1

    Mungu awabariki sana taasisi. Hakika mmeugusa moyo wa Mungu sana.

  • @ValmoreMidora
    @ValmoreMidora Před měsícem

    Hongereni sana

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Před měsícem

    Mpaka wabishi tumekubali basi jambo limepita