Haoni sifa ila ndo uhalisia wa maisha yetu tchuga ni sawa na hao wadaslade wadada ni vigodoro na kujiuza so kwani wao wanaona sifa ndo maisha yao so ishi maisha yako acha ya watu!
Hawa wapumbavu tu, ujinga kwao ndio sifa vitu hivi kwetu tulionaga miaka ya 2000 mwanzoni kipindi kile watu wanaweka viplasta usoni na manguo makubwa western ila kwa sasa ukolo tu huo
Hivi mi najiulizaga, Arusha kweli kunawazee wa kuwalea vijana wao? Au wavuta banging wote wa nchi nzima wamehamia Arusha? Kwa ufupi mnatuharibia nchi😭😭😭
Samia mama ukowapi Hawa watoto wanaangamia ongea kitu kuhusu Hawa wanaoniita wadudu vinginevyo tunalea kizazi kilicholaaniwa huu sio utamaduni wa kitanzania hapo ni bangi na aina zote za madawa ya kulevya
Naona comment watu wanalalamika Arusha ooh sjui watu wa ovyo hii ni life style ya Arusha toka enzi na enzi Sema tu mlikua Hamjui cz media zilikua hazipo nyingi na kuonyesha aya maisha ndo mana watu wanashangaa ila ayo maisha tumeyaishi toka mda ila washamba ndo wanashanga na Arusha etu ni ile ile inakua kiutalii mabarabara ndo ayo sema ni vile tu hamjui arusha nyie mawaki!
@@morganeeugene2095 yani wao hawaoni maisha yao wanaangalia ya Arusha wanataka na sisi tuige au tufurahie Dada zetu na Mama zetu wanatoa Matako nje ya magari wanacheza vigodoro ndo wanaona ni maisha mazuri sasa iyo ni life style yenu na sisi Kama Tchuga tuna life style yetu so kila mtu aishi maisha ake , Ukienda Marekani Maisha wanayoishi watu wa LA ni tofauti na Brooklyn, nenda Kenya life ya Uko Kasarani ni tofauti na isilii au dandora kuna hao Mbogi genje ndo kama tchuga kuna Wadudu So ni life style punguzeni GENYE nyie Mboga Saba! Acheni PERERE MINGI
Duuh harufu ya bangi mpaka huku Dodoma😂😂
😂
Iringa yangu naipenda jaman❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Hongera dada kwa upambanaji ,una mume na mtoto.Una sura nzuri pia asikudanganye mtu
😏😏😏
anauzur gan acha unafk😂😂
Awe mzuri au vyovyote, ila kwa mtindo huu wa maisha, bora hata awe polygon anayejitambua.
@@osamanyoni kwa wadudu ni bonge la mrembo
Hahahahahahaha, amedafakx
Manzi safii sanaa hakuna kulemba lemba lemba 💪
Kurembaremba sio kulembalemba
@@selector728 mmmmh ngoja tuwasubili wakali wa kiswahili waje…
Ee mungu wasaidie wana Arusha hii si maisha 😭😭😭
Wanajiaibisha na kutuaibisha watanzania kwa ujumla.
Dawa za arusha ni strong sana
Arusha sio sehemu salama kwa kulelea watoto.
sio wote 😂😂 acha uoga
😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤mbeya yangu naipendaa
Mzazi anakutana na mtoto wake kwenye hyo vurugu🥺Mungu tusaidie watt wetu wasijiingize huko
Serikali serikali mnatupotezea taifa Kwa hawa wagonjwa wa akili mnaowapa kipaumbele kwenye mitandao
Kizazi kibovu na waliokuwa wanajuwa hawa wanaharibikiwa wao wanaona vipaji duu aiseee ujinga mtu
Huwa wananishangaza sana sana vile wanashindaga wakituonyesha kama ni kitu cha maana. Useless kabisa
Hadi wa dada wanajichetua jaman hata haipendez😢😢😢
Jamani huyo dada mwenyewe anaonekana ni dawa tupu yani duuuu aisee
Halaf wao wanaona kama sifa vile😢
Haoni sifa ila ndo uhalisia wa maisha yetu tchuga ni sawa na hao wadaslade wadada ni vigodoro na kujiuza so kwani wao wanaona sifa ndo maisha yao so ishi maisha yako acha ya watu!
Shida kweli kweli
Umeona eeh! Kumbe ni ujinga tu.
Hawa wapumbavu tu, ujinga kwao ndio sifa vitu hivi kwetu tulionaga miaka ya 2000 mwanzoni kipindi kile watu wanaweka viplasta usoni na manguo makubwa western ila kwa sasa ukolo tu huo
Bangi zinawamaliza
Amna kitu ooote unaelewa weeee....
Hivi mi najiulizaga, Arusha kweli kunawazee wa kuwalea vijana wao? Au wavuta banging wote wa nchi nzima wamehamia Arusha? Kwa ufupi mnatuharibia nchi😭😭😭
Dah! Bange mbaya sana
Mwenyewe kaona kapatiiiiia,ujinga mtup
3:02 mpk 3:32 jamaa anavuta sigara mbele ya camera duh🙌🙌 Arusha mnazingua.
Mnawafunza nini machalii wadogo😔
niganja
Iyo ndo uloona,we apo mtaani kwako kuna nini nzuri Machali wanajifunza au Wanachojifunza toka kwako..
@@morganeeugene2095 hahaha
Kitaa chetu atuwez vuta fegi mbele ya camera
Ata tukiw nawateja wet wa boda boda atuwez vuta fegi mbele yao.
Naio alio ishika apo sio fegi!!!!
Acha kutetea vitu vivyo elewek budah
@@morganeeugene2095 na wanacho jifunza kwang nimeng tuh kitaani kwet wananiita mashine yakaz
Wewe kitaan kwenu wanakuita nan?
@@Casanovatzhuku atuendi kwa mpalange wala kwalulenge
Arusha piga bomu la nyuklia ianze upya
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
kwastaHili hii Tanzania ya Kesho itakuwa yama zombie 👉👹👹👹
Staili sio stahili
naipenda Arusha yangu
Mi naipenda kwasababu inavituko, yaliyoko Arush yanafurahisha😆😆
HUMU HUMU
Samia mama ukowapi Hawa watoto wanaangamia ongea kitu kuhusu Hawa wanaoniita wadudu vinginevyo tunalea kizazi kilicholaaniwa huu sio utamaduni wa kitanzania hapo ni bangi na aina zote za madawa ya kulevya
Huyu mama ako mwenyewe unaemuita hapa hana shughuli 😢😢
Daaah hiii jaman Arusha yetu 😅😅😅😅
Wanatutia aibu saaanaa hawa
Arusha yangu naipenda sanaaàaaaa
Bangi hiyo.Hamna kitu hapa ni ujinga uliojaa upumbavu kbs yaani
Nawakubaliik ivyo ivyoo tuuuu wajubaaaaa
Akuna sura ya kupewa kuku apo wewe niwa banana na mbege
😂😂😂
Miaka 22 kazeeka uyu dada 😢😢😢😂😂
Vijana wa Arusha hawana akili alfu washambaa tuu😂
Ukikaaa week Tu hurudi kwenu
Mshamba bb ako
Subiri wakusikie wenye nchi yao
Mshamba pumbu lako
Mshamba nani we kuma
Washamba tu mna uhuni gani nyinyi
Inasikitisha sana kwakweli.
Duuh Arusha jamani Aisee poleni sana sura tu me naogopa 😢😢😢
😂😂😂😂
Yaani so poa
😂😂😂😂
😄😄😄🙏
Kwenda huko kwani sura yako si sura yake kama yako nzuri Baki nayo kengele wew
Madili yameporomoka sio Arusha tu nchi nzima hii dar wala usiseme hy mwanza mmm kikubwa nkuwa makini na uelewela
Nimeulizia sana hawa wadudu wapo sehemu lakini hamna anayefahamu ila huku ndo tunawaona
Mimi arusha jamani sina habari napo 🙄🙄yaani wanawake wamekubuhu uhuni ivi🤔🤔
Sema Millard ayo ana wa promote sana hawa wadudu ...... sielewi kwa nn ____but all z well.
Hapa kwl si banging jmn arusha jmn
Duuh, kwahiyo ngeu ndio cheo? Usikute Arusha ni nchi jirani ilibidi Nyerere angetuelewesha vizuri labda hawa ndugu zetu wa kambo DNA iusishwe!.😂😂😂
U.S.A
United State of Arusha
Imeisha hiyoooo
Eti kwani nipo flat cape uko down ama😂😂😂
ACHENI UJINGA WENU ONGEENI KWA HESHIMA MNAJICHORA
Ni shwari jamaa ana chanja bila wasi
Millard Ayo hamna positive news Arusha? unaaribu taswira na image ya mkoa wako.
wadudu sio kabisaaa
Arusha kwishaaa. Bangi tupuuuu
Ni kamzozo na kamkutano😂😂😂
Hahahah nmecheka mpk bas
Jomba anachoma shada mbele ya camera ya ayo tv
Na ana taksima kabisa
😂😂😂😂
Arusha n kubwa kuliko Tanzania is trying 😂😂😂
Yule pale nyuma anachoma skanka nn
Arusha ni kubwa kuliko Tanzania
Bangi nyie uwuee😂
Bangi nyingi doh
😂🤣😆😆hiyo vyeo hapo
Dah Arusha bwana ety Arusha ni kubwa kuliko Tanzania 😂😂
Bangi hiz sio akil yake wantk sifa tu kutrend
Ila Arusha mmeshindikana😂😂😂
Hv Sasa huyo mwandishi wa habari c angefuatilia mambo ya muhimu ya kuelimisha jamii kuliko huo upuuzi
Mi mwenyewe namshangaa, labda analipwa!!
Uyo wa mwisho saa
Naona comment watu wanalalamika Arusha ooh sjui watu wa ovyo hii ni life style ya Arusha toka enzi na enzi Sema tu mlikua Hamjui cz media zilikua hazipo nyingi na kuonyesha aya maisha ndo mana watu wanashangaa ila ayo maisha tumeyaishi toka mda ila washamba ndo wanashanga na Arusha etu ni ile ile inakua kiutalii mabarabara ndo ayo sema ni vile tu hamjui arusha nyie mawaki!
Oyaaa waambie awa mambanga Amana kitu ooote wanaelewa CHUGA kama mbeleeeee
wambie hawa wangese ,yaani sisi arusha ni kama mambele
@@morganeeugene2095 yani wao hawaoni maisha yao wanaangalia ya Arusha wanataka na sisi tuige au tufurahie Dada zetu na Mama zetu wanatoa Matako nje ya magari wanacheza vigodoro ndo wanaona ni maisha mazuri sasa iyo ni life style yenu na sisi Kama Tchuga tuna life style yetu so kila mtu aishi maisha ake , Ukienda Marekani Maisha wanayoishi watu wa LA ni tofauti na Brooklyn, nenda Kenya life ya Uko Kasarani ni tofauti na isilii au dandora kuna hao Mbogi genje ndo kama tchuga kuna Wadudu So ni life style punguzeni GENYE nyie Mboga Saba! Acheni PERERE MINGI
Mabange hayo ,na makonda atawanyoosha ,dada mzuri ajisijfia wizi ,
Chuga hiyoo 🤣🤣
MTU ASIWADANGANYE, ARUSHA NI MKOA ULIO WA KIPEKEE SANA, KWENYE MSAFARA WA MAMBA MSIISHIE KUTAZAMA KENGE
1:06
Cha Arusha kimezidii
Duh arusha inatish
Ata mbuzi anayo
Kwa yote ila pady utavaa t😅😅
Eti yeye ni msela? Muulize anaingia period? Akisema ndio muulize masela wanaingia period?
Flat cap typing and deleting 😢😢
Serikali kunakitu inatakiwa kufanya mikoa ya kaskazini hasa arusha na kilimanjaro bangi na madawa ya kulevya yatamaliza vijana.
😅
Bangi haijawahi acha mtu salama
Sasa kumbe hawa ni wezi aisee siunaona wanajisema kabisa yani
Ahahah mwamba anamenya kijit nyumaa
Ona alivo eti miaka22😏😏
Anakwambia ana vyeo kibao
Polereni
Jamani nahisi Arusha si ya Tanzania...peleka somaria🤣🤣
Arusha ni historia
MH 😂😂
Tukome hatunaga upuuzi huu. Bwege wewe
Enyewe ujui kuandika mshamba wewe "somaria"ndo nini?
Somalia hatupok3i uchafu
😂😂😂😂😂😂daah
Et Arusha nikubwa kuliko Tanzania 🤣🤣🤣
Mh
Kamzozo ni kamkutano
Iyache ikae chuga kama ujuwi tulia
Flat cup😂😂😂😂😂dah
Amedafat Ar ucpime,hao wdd,baba,c kawaida,
Arusha ni kubwa kuliko Tanzania 😅😅😅😅😅😅😅
Naona sikuiz Kila siku Arusha 😂
Uchafu mtupu
Huu mkoa unateketea kipumbavu kabisa
Kabisa yani wapo kisifa
Ukisikia kamzozo kamkutano hapo aliingiwa mtu mifukoni.
Kumbe
Useless kabisaa..,nonsense
Kamzozo kamkutano😂 hiyo ndio kaskazini
Kijiti cha arusha kinawachanganya hao
msela anakichoma atari