Syo simba tu hajamheshim yanga bali hata yanga kipind cha pili ni kama walisharthika na magoli 2 kipind cha pili yanga walicheza kama wako mazoezini avic town sijui ndo mipango ya kutunziana heshima???
Uyu jamaa kabla makundi ya CAF hayaja pangwa alisema kila mtu anamuogopa Yanga,baada ya Yanga kupangwa na Mamelodi akasema Mamelod ni tim ya pili kuwa na wachezaji wenye thamani kubwa kwaiyo Yanga hawana nafasi,Yanga kampashida mamelod akabadilika,Game ya pili ya Yanga na simba alisema anaona Yanga anaenda kupigwa,Simba kapigwa amebadilika,AMNA KITU APO
Aisee yaan nakubaliana na wewe Sana Yanga Jana wamecheza kawaida mnooo Mpira tulioutegemea nitofaut kabisaaa, kuna mda mashabiki tunashikilia roho jamaan 😅😅
Uwe unasikiliza vizuri na una nafasi ya kurudia kusikiliza. Alisema hivi, simba wanaweza kushinda au kudro kama watamheshim na kumnyatia yanga na yanga anaweza kushinda, kudroo au kufungwa na akasema akisema yanga ashinde means afunge buster basi simba ataaibika.
Huyu Ni mchambuzi uchwara. Kila mtu kauona mpira. Adanganye wajinga na wasiofuatilia soka. Yanga hawezi kuwa bora kuliko Simba. Takwimu katoa wapi za ubora ?
Yanga hawakucheza 100
Daaaah jamaaa unajuwa San 🫡🫡
Jamaa anajua mpira sana hongera kwa hilo.
Huyu jamaa namuelewa sana aisee ni wachache sana aisee🎉
Syo simba tu hajamheshim yanga bali hata yanga kipind cha pili ni kama walisharthika na magoli 2 kipind cha pili yanga walicheza kama wako mazoezini avic town sijui ndo mipango ya kutunziana heshima???
Noma sana
Dah kwa mara ya kwnza huyu Kessy leo kanikosha sana. Maua yake
Huyu jamaa nilikuwa simuelewi sana, ila kwa uchambuzi huu, anajua mpira kabisa , kaka big up
Brother kessy🤣🤣🎉🎉
Nakupenda lesson unachambuwa moira vizuri sana
bro 🙌
😂😂😂😂😂huyu jamaa kaongea point sana. Km Yanga angefungukia booster aseee Simba wangepoteana. Nadhani yale magoli mawili yaliwabwetelesha sana
Yanga walikwama juzi waliomba poo
Wewe ulitabili Yanga kufungwa ,nashangaaa unatoa semina ya kuishemu Yanga
Usanii
Sometimes unakua kigeugeu broo
WE UOGOPI?
Kigeu geu kingi xna si wew ulisema simba hawezi kufungwa mara 2 au sio wew jkesi chambua xoka kulingana na perfomax ya timu
Yap ,yaaani huyu ni mpiga ramli tu
Hata lakred alimtabiri hafiki December mwaka jana
Ulisema huoni yanga ikimfunga simba acha kugeuka
Huyu ni mfuata upepo tu
YANGA HAWAKUPIGA LILE GAME LAO KINGEWAKA TANO TENA😂
Yaani wee Unaezungumzia kitu ambacho hakipo
Uyu jamaa kabla makundi ya CAF hayaja pangwa alisema kila mtu anamuogopa Yanga,baada ya Yanga kupangwa na Mamelodi akasema Mamelod ni tim ya pili kuwa na wachezaji wenye thamani kubwa kwaiyo Yanga hawana nafasi,Yanga kampashida mamelod akabadilika,Game ya pili ya Yanga na simba alisema anaona Yanga anaenda kupigwa,Simba kapigwa amebadilika,AMNA KITU APO
Wewe kesy nilishasema huna lolote unayoyasema leo tofauti kisha unajiita mchambuzi huna lolote kigeugeu wewe
Yanga ni Bora kuliko Simba sanaaaaa
Nakukubali kaka nilikusubili xana
Napenda sana uchambuzi wako mwamba
Mpira unaujua vizuri mwanangu
Bro nilikuwa nakusibiri sana kwa kauli yako ile ulisema Yanga anaenda kuandabishwa
Mjomba kazi hii niya mchome tu ww bado sana
Aisee yaan nakubaliana na wewe Sana Yanga Jana wamecheza kawaida mnooo Mpira tulioutegemea nitofaut kabisaaa, kuna mda mashabiki tunashikilia roho jamaan 😅😅
Nkoooo nkooo nkooo😂😂😂😂
Acha ujinga ulisema simba anashinda
Justine next level brother
Na kuelewa kaka
Si uhamie yanga ikupe raha vizuri 😅
Wanaenda koo koo
Reo kk,umeona aibu kuuficha ukweri,maana kizuri kinajiuza,
Najuelewa sana Kessy, na hiyo ndo habari hiyo
Mchambusi atakiwi kuwa kama wewe ulisema yanga anafunga ama sele,acheni mapenzi ya timu zenu mbovu mseme ukweli
Alisema yanga wataadhilika
Huyo kila media anaongea tofauti,,, kabla ya mechi kuna media nyingine pia alisema yanga anashinda,,, yani ni kinyonga inategemea upepo wa anaemuhoji
we si hulisema yanga atafungwa,,?
You got data and mpira unaujua sana kaka
Ulisema yanga atafungwa na Simba leo mbona umebadlili gia angani
🙏
Unachambua au unasifia,uchawa umezidi
Mtangazaji hajui kati ya almasi na dhahabu ipi ina thamani ! Mmmh!
Aa batha VP tn
Justin ndo mchambuzi mwongo,aliwapa ushindi Simba leo anajifanya kuchambua nini?
Kigeugeu😂
Leo ndo unaona yanga ni bora huna lolote, kigeugeu ww.
Mwamba unajua BOLI na unamhutia mdikilizaji amalize KIOINDI chako
C mchambuzi ni CHAWAAA
Nenda zko uk mjinga mkubwa www ao yanga wamepigwa na Azam juz TU
mbona ivo kaka unaisifu yanga kiroho nzuri karibu yanga ikuondoleye stress
Uyo nae anaongea sana sasa hapo anachambua nn zaidi ya uchawa pimbi wewe ebu tupishe
Kinyonga huyu, yaani kama siyo mwanaspot, ulisema Simba hawezi kufungwa mara mbili
Yy aliongea kwamba yanga ataadabishwa vp leo?
Hh
Wew.kigeu na ww Una matatizo ya kiakili mpumbafu Wew
Pekeake. Ndoo mkweli uyu
Na BADOOOOO..KULOPKA KWINGI MPIRA 0
Ww siulisema Simba watashinda
Uwe unasikiliza vizuri na una nafasi ya kurudia kusikiliza. Alisema hivi, simba wanaweza kushinda au kudro kama watamheshim na kumnyatia yanga na yanga anaweza kushinda, kudroo au kufungwa na akasema akisema yanga ashinde means afunge buster basi simba ataaibika.
Ww co mchambuzi kabisa ulisema Simba anashinda ww haujui.
Wewe unajua soka❤
Kessy wewe mtu na nusu
Unalopoka tu alafu unasahau nenda uko hueleweki wewe
Kigeugeu wewe
weee unafeli wp kila siku unageuka tu kuna vile ulisema na hatujaviona kenge wewe
Huyu jamaa naye just alisema simba hawawezi kufungwa mara 2
Huyu Ni mchambuzi uchwara. Kila mtu kauona mpira. Adanganye wajinga na wasiofuatilia soka. Yanga hawezi kuwa bora kuliko Simba. Takwimu katoa wapi za ubora ?
Hujui mpira.
HEBU toa takwimu zako ukizingatia performance ya timu na uwezo wa mtu mmoja mmoja ndo umpinge sasa huyu jamaa
hilo nalo mmekariri kuna muda umepita imebaki kuwa expired endeleeni kuamini vitu mgando
We nae n fala kumbe 😅
Ndugu tuwe tunakubali hali halisi. Tuache ushabiki pembeni Yanga kwa sasa wako vizuri.
Ila Mwanzo hukusema Kocha wa YANGA alisema yy alifanya Mazoezi
Leo ndo unaona yanga ni bora huna lolote, kigeugeu ww.
Leo ndo unaona yanga ni bora huna lolote, kigeugeu ww.