Ndugu ADIL TV mm sipendelei video zangu mukieka mueke na picha ya mwanamke na nishawahi kuwakataza jambo kama hili . mujue mm siridhii kwa haaya munao fanya kwa kueka picha yangu na na pivha ya mwanamke .
Na kwanini munawwka video za Sheikh bila Ridhaa yake ? Haifai kama kweli munaweka hizi video kwa Ajili ya ALLAH musiwe munafanya uhalifumunajichumia dhambi😡
Mashallah sheikh nasoma mengi kupitia kwako umri taweel ❤yarabbi utuelimishe zaidi,kazi za saudia mawaidha twapata kwa simu zetu tu tena ujime usingizi lakini nikikosa kulala nikisikiza wewe hupata faraja
Wewe muongo eti kusema ukitaka mema ni kwenda tu kuswali msikitini na hakuna gharama.Kwani msikiti umeota kama mti pori au ulijengwa kwa pesa. Kwa hiyo Alah anataka pesa
Hapo wanichanganya sheikh uislam ulianza vipi wakati wa mtume anatumilizwa ila Hali Allah yuasema Katika Qur'an Ibrahim alikuwa muislam,yakobo na kuwausia watoto wake wasife ili wakiwa waislamu, wanafunzi ya ISSA aleisala walikuwa waislamu...sasa ni uislam upi ulianza wakati wa mtume na wa upi uliokuwa na Ibrahim na wenye kuwafata ??
@@alhimnamussasaid3619 pole Ile juwa uislam hakuna cha Uma na kitu ya Kwanza ujuwe uislam hata adamu alikuwa pia waislamu tunamini mitume wote pili Kila mtume alitumilizwa Kwa dini hiyo hiyo ya uislam... mtume aliudhihirisha na kuwakumbusha ummah wake ila akuuwaanzisha yeye ...hivi ndio maana wakristo wanasema eti uislam ulikuja baada na mohamad au ulikuja baada ya ukristo na si ukweli ila watu walizuwa mengi sana ndio uislam ukawa umekuwa kitu hakifahamiki ndio mtume akatenga haki kwa batwiri uislam ukapata sura yake. Mana mtume alikuja kuusafisha ..ndio maana bashira wanadhiira...batwili ikaondolewa haki ikasimama kaa ulivyokuwa mwanzo uislam ukapata nuru yake kaa mwanzo.
@@user-te7xl4ln6u ni Sawa kabisaa ukisema hivyo ila yafa MTU akisema afafanulie watu juu wasiokuwa waislamu watalichukuwa hivyo hivyo, hakuna vile utamuambia yesu alikuwa muislam tena huku anasikia mtume ndio alikuja na uislam ni usawa kusema yeye ndie alieuidhirishaa uislam baada ya uislam ulikuwa si kitu chakutajwa....kama vile mtume alisema uislam ulikuja kaa kitu kipya na kitarudi kuwa hivyo,,saa waona iko waZi japo ulikueko but watu waliona ni kaa kitu kipya amekizuwa mtume.....
Allah atujaalie tuwe miongon mwawake wema❤
Mashallah Allah atufanyie wepesi tuwe na mwongozo wa dinj
Ndugu ADIL TV mm sipendelei video zangu mukieka mueke na picha ya mwanamke na nishawahi kuwakataza jambo kama hili . mujue mm siridhii kwa haaya munao fanya kwa kueka picha yangu na na pivha ya mwanamke .
Haipendezi hasa kiukweli
❤ Mashallah m/mungu akuongoze ww nass kwaujumla❤
Ni kweli sio vizuri sijui wanaweka picha ya mwanamke kwa sababu gani?
Akuna haja ya picha ya mwanamke naaam
Na kwanini munawwka video za Sheikh bila Ridhaa yake ? Haifai kama kweli munaweka hizi video kwa Ajili ya ALLAH musiwe munafanya uhalifumunajichumia dhambi😡
MashaAllah tabarakallah.
Mashaallah Allah akujalie afya njema
Masha'Allah
Mashallah sheikh nasoma mengi kupitia kwako umri taweel ❤yarabbi utuelimishe zaidi,kazi za saudia mawaidha twapata kwa simu zetu tu tena ujime usingizi lakini nikikosa kulala nikisikiza wewe hupata faraja
Maashallah Allah barik inshaallah
MashaAllah, Allah akuwezeshe hapo na kwenginenpo nasi tufaidide InshaAllah 🤲
Jazzaqah llah kher baadal kher janatul naim
Mungu atujalie tuwe wanawake wema inshaAllah ❤❤❤
Mashaklah sheh
Ishaallaha mungu azidi kukupa ujuzi uzidi kutupa ujuzi
Shukran shekh izudin
Shekhe,Mungu akulipe tunafaidika saaana kupitia hilo
MashaAllah
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
shekh wetu mwenyezi mungu mwingi wa rehma akupe khery kwa kila hatua yako
My fav❤ sheikh n izudin
MASHAA Allah
Mashallah
Masha Allah
Mashaa Allah
JazaakAllahu khair
Jazallah alkhaira shekhe letu
Mashallah allah àtufanye tuwe ni wenye kufuata muongozo wake
Mashaalah Allah akuhifadhi shekhe
Ammina inshaallah kheri yaarabbi🤲🏼🤲🏼
Alhamdulillah
Amini 🙏🙏
Allah akubariki akujazi hero na baraka❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah Allah akuhifadhi
Mashaallah tabarakaallah
Mashaallah
MashaAllha
Masha allah
Maashllh 🙏
Ht mimi nachukia sana kuona masheikh wakiwekewa picha na wanawake..
Mashaala
Amiin tuma Amiin
Maanshaall
Aamiyn aamiyn aamiyn Kwa sote waislamu
Sheikh apa kuna swali nataka kuuliza umesema uislam ulianza wakat mtume akiwa na miaka 40 je mitume walio kua kabla ya mtume muhamad hawakua waislam?
Yaani sio ombi ata ni inavo bidi weka namba zako kiongozi weee muhimu unah8tajika njiya tofauti tofauti kiongozi
Mungu akulipe kila lakher kwa darasa lako
Asalam alykum sheikh mm naomba dua na jinsi ya kuswali istighara
Aslm alkm...naomba kujua Dua gani ama Aya gani nasoma ili msichana wangu ajaaliwe apate mume mwema
Mung atujalie tuwe miongoni mwa wanawak wema
Hiyo duwa yakufunguwa kikawo siyakawaida 😅😅😅😅😅
@izzudin darsa lako lataka mbati hahaha
Jana al hudaa ulimwambia sheikh mbarak darsa lako lataka mbati kumbe lako lataka mbati zaidi hahahaha
Mm huwa na penda mawaidha yako
Wewe muongo eti kusema ukitaka mema ni kwenda tu kuswali msikitini na hakuna gharama.Kwani msikiti umeota
kama mti pori au ulijengwa kwa pesa.
Kwa hiyo Alah anataka pesa
Kuswal sio lazima mskitin ndug yang ni popote pale kwny ardhai ya Allah ambapo n
Hapo wanichanganya sheikh uislam ulianza vipi wakati wa mtume anatumilizwa ila Hali Allah yuasema Katika Qur'an Ibrahim alikuwa muislam,yakobo na kuwausia watoto wake wasife ili wakiwa waislamu, wanafunzi ya ISSA aleisala walikuwa waislamu...sasa ni uislam upi ulianza wakati wa mtume na wa upi uliokuwa na Ibrahim na wenye kuwafata ??
Hiyo ni kwetu sisi ummati Muhammad saw, au na wewe mtune wako ni IBRAHIM
@@alhimnamussasaid3619 pole Ile juwa uislam hakuna cha Uma na kitu ya Kwanza ujuwe uislam hata adamu alikuwa pia waislamu tunamini mitume wote pili Kila mtume alitumilizwa Kwa dini hiyo hiyo ya uislam... mtume aliudhihirisha na kuwakumbusha ummah wake ila akuuwaanzisha yeye ...hivi ndio maana wakristo wanasema eti uislam ulikuja baada na mohamad au ulikuja baada ya ukristo na si ukweli ila watu walizuwa mengi sana ndio uislam ukawa umekuwa kitu hakifahamiki ndio mtume akatenga haki kwa batwiri uislam ukapata sura yake. Mana mtume alikuja kuusafisha ..ndio maana bashira wanadhiira...batwili ikaondolewa haki ikasimama kaa ulivyokuwa mwanzo uislam ukapata nuru yake kaa mwanzo.
Nilitaka kumjibu hyu Lakin wanaochangia ni ambao sio waislamu na hauliz kutaka Kujua a aunauliza kwa upinzani tu
Kuna zama za nabii Adam hd nabii Muhammad S.A.W
@@user-te7xl4ln6u ni Sawa kabisaa ukisema hivyo ila yafa MTU akisema afafanulie watu juu wasiokuwa waislamu watalichukuwa hivyo hivyo, hakuna vile utamuambia yesu alikuwa muislam tena huku anasikia mtume ndio alikuja na uislam ni usawa kusema yeye ndie alieuidhirishaa uislam baada ya uislam ulikuwa si kitu chakutajwa....kama vile mtume alisema uislam ulikuja kaa kitu kipya na kitarudi kuwa hivyo,,saa waona iko waZi japo ulikueko but watu waliona ni kaa kitu kipya amekizuwa mtume.....
Mashaallah
Masha Allah
Masha.allh