Alhamdulillah msneno unayo ongea yakweli yamenigusa yakitokea kwa baba yetu tulikuwa wengi ira nani atajitolea kutowa pesa kumuguza mimi nikajitolea sitaji mchango mpaka kifo chake akuna alie shudia nimimi tu ata alielala nae ospital akumuona nilipofika mimi tu yeye akatoka nje mimi nikampakata bale pale akafa kwenye miguu yangu km alikuwa ananisubili namshukuru mungu
Mawaidha mazuri sana shukran ustadh Allah akulinde na sharri balaa na husda,na akupe husnul khatima mwisho wa maisha yako na akupe daraja kubwa katika jannatul Firdausi Ameen Ameen
Ya Allah warehemu wazazi wangu uwaepushie adhabu za kaburi uyafanye makaburi Yao yawe raudha minraudhati jannahtul firdaus na waislamu wote Kwa jumla Amiin Ya Rabbal Alamiin
Ya rabbi wasamehe wazazi wangu na uwarehemu kama walivyonilea na nakuomba umsamehe baba yangu aliyetangulia mbele ya Haki na mjaalie mama yangu kauli thabiti atakaporudi kwako
Allahmdulilah mimi nimeodokewa na wazazi wote wawili Allahmdulilah kwa wale wazazi wao wako hai wafanyea wema wakiodoka utakua na uzito kubwa walai ya Rabbi nakuomba wajalie wazazi wetu jannatul fardoz na pia sisi tupe mwisho mwema hapa Duniani na kesho Akheira 🤲 ukweli hakuna mtu hanakupenda kama wazazi wako❤️❤️❤️ Allahmdulilah Allahmdulilah Allahmdulilah 👏
Ya allaah .namuombea mama yangu umpumzishe pema peponi na msameee makosa yake na kumfungukiya pepo firdaus iwe makazi yake na nawaombea wazazi wote waliyotangukiya mbele ya khaki allah wapumsihe pema peponi 😢😢🤲🤲🤲
Yaa Raab, wenye wazazi hawajui thamani,mie nnalia kwa kuwakosa. Yaani pepo mie siipati kwa bonus ya bir ul walidein😭 pepo chini ya nyayo ya mama nmeikosa. Yaarabi wahifadhi makazi mema palipo na wema, unikutanishe nao katika pepo yako Ya Allah
Alihamndulilah rabila allamin sheikh Mohammed bahero ulipo kuja singida nilifurah sanaaaaa nilipo jaliwa kuusikiliza maneno yako yatakuwa ni yenye kuendelea kila siku huwa narudia kila wakat mawaiza
Ni furahaa kwa wazazi wako wapate malezi yako tusichoke jamani kwan ndio furahaa yetu kama sio wao usinge fika dunian nijalie afya ya allah nizidi kuwalea wazazi wangu❤
Yaa Allah wape utulivu wazaza wangu kwenye makaburi yao na ujaalie majirani zao wawe ni malaika wema na waja wema walotangulia. Alla akuhifadhi uzidi kutufungua na kututoa katika giza lilotuzunguka
Ewe Allah 😢 wajaalie wazazi wetu waliopo hapa duniani na waliokwisha tangulia mbele ya haki 🤲🤲amiin.. nawapend san wazazi wang🥰,, Allah wape furah wazazi wang popote walipo inshaallah
Maashaallaah allaah atuzidishie mapenzi kwa wazazi in shaallaah na kware waliotangulia mbele ya khaki bas allaah awarehemu nas tuwazidishie duwa in shaallaah
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH ALLAH ATUJAALIE TUWE NIWENYE KUWAPENDA WAZAZI WETU INSHALLAH NA MWISHO MWEMA INSHALLAH❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ewe mwenyezimungu mjalie mam yangu mwishomwema na umjalie afya njema. AMINA
Yaa allah mpe maisha marefu sheikh huyu na mpe wepsi apate elimu zaidi aminii na wajalie wazazi wangu afya njema wote wawili
Alhamdulillah msneno unayo ongea yakweli yamenigusa yakitokea kwa baba yetu tulikuwa wengi ira nani atajitolea kutowa pesa kumuguza mimi nikajitolea sitaji mchango mpaka kifo chake akuna alie shudia nimimi tu ata alielala nae ospital akumuona nilipofika mimi tu yeye akatoka nje mimi nikampakata bale pale akafa kwenye miguu yangu km alikuwa ananisubili namshukuru mungu
Ewe mwenyez mungu waondolee adhabu za kabur wawazi wangu na uwangize pepon kwa rehema zako
Mawaidha mazuri sana shukran ustadh Allah akulinde na sharri balaa na husda,na akupe husnul khatima mwisho wa maisha yako na akupe daraja kubwa katika jannatul Firdausi Ameen Ameen
Allah Akbar 😢
Shukran saana kwa Élim yaa sheikh. Allah akujaze Iman 🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Amiiin Amiin
SUBHANA ALLAH! ALLAH Atustiri Ya Rabb. Baaraka Allahu Fiik Wa Jazakah Allahu Kheir. Allahumma Amiin 🤲
Maa shaa Allah sheikh nakuitikia Ameen Allahhumma Ameen yaraab kwa dua zote ulizoombewa
MashaAllah Tabarakallah mwenyezi Mungu Akuhifadhi Sheikh wetu 💓💖❤️💓💞💯
Allah awajalie wazazi wangu Jannaht Firdos, amin amin
Subhanllah Allah awalaze wazazi 😢 wangu mahala pema peponi uwakabidhi vitab vyao kwa mkono wakulia
Ewe Allah uwape wazazi wangu maisha marefu na uwakinge na maradhi uwape mwosho mwema nitazidi kuwafuraisha wazazi wote 2 nawapenda sana
Mashallah Jazakallahu kheyraan mawaitha mazuri Mola awarehemu wazazi wangu na jamii ya islam
Ya Allah warehemu wazazi wangu uwaepushie adhabu za kaburi uyafanye makaburi Yao yawe raudha minraudhati jannahtul firdaus na waislamu wote Kwa jumla Amiin Ya Rabbal Alamiin
Allahummah aamin kwa sooote In Shaa Allah 🤲
Ameen
Amin amin
Allahumma aamin
Amin😢
Allah akuifadhi ustadh fill dunia walakhera akujaze kwa kila hal na sisi atuogozee wanawetu wawekaa wewe yarrabh❤❤❤
Ya rabbi wasamehe wazazi wangu na uwarehemu kama walivyonilea na nakuomba umsamehe baba yangu aliyetangulia mbele ya Haki na mjaalie mama yangu kauli thabiti atakaporudi kwako
🤲
Amiin ya rabiil Alamiin🤲🤲🏻
Ameen rabil Allah min
Mungu akujaaliye mema she wangu nawaisilam masomo haya tuyafanyie kazi inshaal
Allah akujalie ya sheik kwa Dawa nzuri kwetu
Allah akuhifadhi, akuongoze na akuridhie Muhammad. Atupe nasi watoto wema. Amiin kwa dua yako
Allah wajalie wazazi wangu wa wili pepe
Allahmdulilah mimi nimeodokewa na wazazi wote wawili Allahmdulilah kwa wale wazazi wao wako hai wafanyea wema wakiodoka utakua na uzito kubwa walai ya Rabbi nakuomba wajalie wazazi wetu jannatul fardoz na pia sisi tupe mwisho mwema hapa Duniani na kesho Akheira 🤲 ukweli hakuna mtu hanakupenda kama wazazi wako❤️❤️❤️ Allahmdulilah Allahmdulilah Allahmdulilah 👏
Allah awajaalie kauli thabit lakin bado tunalazimika kuwafanyia wema hatakama wametangulia Allah atujaalie tuwakumbuke wazazi wetu
Amin
Ya allah tusamehe sisi na wazazi wetu na utujaze mapenzi❤
shukran sheikh jazakallaahu kheyr Allah Akuzidishie umri mrefu yenye baraka
Allah akupe umri,na baraka uzidi kutupa mawaidha.Allah atupe hurma Kwa wazazi wetu .
MashaAllh allh akuzidishie ilmu na uwape watu wengine amin
Mashaallah tarakaallah ya Allah wajaliwe na uwarehemu wazazi wetu Inshallah 🙏🙏
Ahsante Kwa somo zur naomba Allah awajaalie wazaz wangu waliopo mbele ya haki awajaalie pepo
Ya allaah .namuombea mama yangu umpumzishe pema peponi na msameee makosa yake na kumfungukiya pepo firdaus iwe makazi yake na nawaombea wazazi wote waliyotangukiya mbele ya khaki allah wapumsihe pema peponi 😢😢🤲🤲🤲
Mashallah khutba nzuri yenye mafunzo mema
Maashallh mafundisho mazuri sana mwenyezi mungu akuripe ustadhi wetu
Allah akupe umli mref wenye manufaa,shukuran kwa ukumbusho ostadh
Yaa Raab, wenye wazazi hawajui thamani,mie nnalia kwa kuwakosa. Yaani pepo mie siipati kwa bonus ya bir ul walidein😭 pepo chini ya nyayo ya mama nmeikosa. Yaarabi wahifadhi makazi mema palipo na wema, unikutanishe nao katika pepo yako Ya Allah
Allahuma wajaalie wazazi wangu afya njema na kheri nyingi hapa dunia na kesho kesho akhera Inshaallah
Mawaidha mazuri Allah awajalie wazazi wangu Rehema leo na kesho akhera
Alihamndulilah rabila allamin sheikh Mohammed bahero ulipo kuja singida nilifurah sanaaaaa nilipo jaliwa kuusikiliza maneno yako yatakuwa ni yenye kuendelea kila siku huwa narudia kila wakat mawaiza
Wema kwa wazazi wawili ni ibada kubwa zaidi
Kweli shekh. Tuombe radhi sana kwa wazazi wetu na tuwapende zaid.
@@KhadijaRajabu-hr6tskiikjkkkkkjklklllllll0ⁿ⁰ò⁰⁰0
Ewe Allah mjalia mama maisha marefu hapa dunian na kesho akhera.
Ni furahaa kwa wazazi wako wapate malezi yako tusichoke jamani kwan ndio furahaa yetu kama sio wao usinge fika dunian nijalie afya ya allah nizidi kuwalea wazazi wangu❤
Ewe Allah mjalie mama yng afya njema na umpe maisha mema hapa na kesho akhera na umraham baba angu na Islam jamii
Amiina I
Amiin ya Rabb 🤲
❤kweli kabisa ďawa nzuri Allah akulipe sheikh
Islam jamii
Aamin
Jazaq llahu khayraa Allah akulipe sheikh Muhammad kwa ukumbusho mnzuri Allah akujaalie mwisho mwema kwa uu ukumbusho🎉
E mola wangu mlinde mama yangu pamoja na baba YAngu uwape rehema na amani ❤
بارك الله فيك ياشيخ كبير جزاك الله خيرا
Subhanah allah 6:28 6:31
Ya Allah na mm nijaalie Imani kumbe ya kumtii mzazi wangu
Yaa Allah wape utulivu wazaza wangu kwenye makaburi yao na ujaalie majirani zao wawe ni malaika wema na waja wema walotangulia.
Alla akuhifadhi uzidi kutufungua na kututoa katika giza lilotuzunguka
SUBHANALLAH ALHAMDULILLAH ALLAHU AKBAR...ALLAH akuhifadh sheikh.
Allah mpe mamangu afya na umri na mwisho mwema
MashaAllah Ajaab walahi may Allah swt reward you abundantly Sheikh MBS
MashaAllah barakaAllah fik.
Allah akulipe kheir na akufanyie wepesi katika maisha yako amiin umesema maneno makubwa sana
Mwenyezi Mungu anisamehe kwamakosayote nimeshawakosea wazaziwangu
Shukran sheikh Allah awape umri mrefu
Allahu Akbar walillahil hamd, shukran jazillan brother. May Almighty Allah make it easy for us.
Ya allah wajaalie wazaz wang afy njem na umr weny kher na ss watt tuw ni sababu yakwend pepon
Ya Rabb uwasamehe wazazi wetu,,,uwarehemu na uwaghufirie makosa yao
Allah awa sameh wazazicwetu walio tanguliya mbele ya haqi. Amin
ASLAM Alekm: shukran Sheik kwamawaitha mzuri ALLAH akujalie kilalakheri
Ewe Allah 😢 wajaalie wazazi wetu waliopo hapa duniani na waliokwisha tangulia mbele ya haki 🤲🤲amiin.. nawapend san wazazi wang🥰,, Allah wape furah wazazi wang popote walipo inshaallah
Mashaa Allah, Maneno mazito na nasaha ya busara nyingi.Mwenyezi Mungu awatiye fikira hawa watoto wa leo na watukuze wazazi wao
Mashaallah tabaraka Allah shekh Allah barq akupe qauli thabt
Lailahailallah 😭 subukhanallah yaraby niperoho yakuwapend wazaziwangu nakuwadjal😭😭🙏inawumasan
JazakaAllahu khyran wa barakaAllahu feek. Allah anijaalie wanangu wawe kama ulivo na zaidi kwa dini. Ameen.
Shekh Allah akikupa umri mrefu basi kila baadae yamda mawaidha haya yarejee Allah akulipe kheri zaidi
Maashaallaah allaah atuzidishie mapenzi kwa wazazi in shaallaah na kware waliotangulia mbele ya khaki bas allaah awarehemu nas tuwazidishie duwa in shaallaah
Mashallahu ALLAH Akuzidishie ILMU ZAID
Allah utupe mwisho mwema kwa wazazi wetu
As-salam alaykum,, shukuran kwa ukumbusho,,,enyi mnaodharau wazazi mutubu kabla ya umaut
hakika ilah barky shekhe allah akuhifadhi na atujalie sote kwa vizazi vyetu viwe vinyoofu biidhinlah karim aminy aminy
Asante sana kwa masomeso nzuri sana. .mullah wetu akulipe inn Sha Allah
Mashaallah shekh bahero Allah akulipe
Allah amjlie na kmurhm mum yngu Khadija ampe maixha marfu hpa dunian na imjlie janatul fatdoos atkpopndwa zaid n Allah..
Jazakallah khayran sheikh
رب اغفرلي ولوالدي وارحمهما كما ربيانى صغيرا،،، امين
Maasha Allah. Allah akulipe malipo stahiki kwa kuumbusha umma. Nacc atuzidishie Imani na uwezo wa kumtiiaaaaaa yy na wazazi wetu
Asant sheikh namuomba mwezimungu anijaalie manen mazuri kwawazazi wang nawasio wazaz wang
innalilah wainnaillah rajun wallah yasikitisha sana. Allah atuongoze watoto wetu mitiani.mikubwaa wallah masikitisho wallah
Shukran ustadh mawaidha mzuriii...... jazakhalahu kheir
Ewe mola wang wa khaki mjaalie mama angu kila lenye kher na umuondoshe na kila la shari na utujalie mwisho mwema wa maisha yetu ya dunian inshallah
Mashallah ALLAH akuhifadhi ❤
Asalam alykum warahma tulahi wabarakat tunashukur sana kwa mawaiza
Kwa kweli kabisa huu ni mtian Sana kwa Sisi vijana wa kileo
Allahuma yarhamha makan fiy janatul firdaus Amin Amin..
Mungu akupe umri mrefu n ilmu
Allah awarehemu wazazi wetu InshaAllah
الله يفتح قلبك ويزيد علمك ويستفيد غيرك.
اللهم امين يا ربي.
Allah atujaliee tuwe wenye kuwapenda wazazi wetu
Masha Allah m mungu akuifadhi shekh let ❤
Masha Allah Ustaz
Yaa Allah warehemu wazazi wangu wote wawili na uwajalie afya bora InshaAllah 🤲🏼
بارك الله فيك شيخنا الفضيل وجزاك خير جزاء
Aaa😂😂 honorable shikh is shikh muhammad baroooo
Kwa kweli kabisa shekh wangu umesema kweli kabisa kwani ndio mambo yalivo kwani wengi wetu uwa twakosea Sana wazi wetu
yah allah nijalie niwatii wazazi wngu,na wape wazazi wangu maisha mema ya Dunia na akhira
Allah Akbar shukran saan kwa elim ya sheikh Allah akujaze iman
Mashaallh ALLAHA akuzidishie🕋👍🤲
Shukran shekh Allah bark mashaallah tabaraka Allah
Shekh Allah akulipe kila lakheri akupe umri na hekma zaidi
Alhamdulillah maneno mazuri sana ila sheikh. Kunamazingila yanakuwa magum sana ila naomba niulize swali
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH ALLAH ATUJAALIE TUWE NIWENYE KUWAPENDA WAZAZI WETU INSHALLAH NA MWISHO MWEMA INSHALLAH❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaa Allah baraka Allahu fiyk
Ya rabi mola wape pepo wazazi wangu uwaondoshee adhabu za kaburi uwaghufirie madhambi yao uwasamehe wazee wangu
Allah wajaalie wazazi wang maisha maref ❤❤
Asant mwalimu kwa mawaida yako mungu miepushe mama na adabu zakaburi kisha afuguliwe mulango wa peooni amiini