Yani huwa najiuliza sana shekh hiyo ni Point kubwa sana ,yani mtu anashangalia ccm wakt hyo angalia maisha yake magumu sana , tatizo bado kuna watu mijinga
Kadogoo jitafakari kwa kina wote ndo hao hao chadema CCM ni hao hao matumbo yao tu usiwadanganye wanachi na hao wakiingia bungeni kilavmmoja analia mama angu
Sheikh Ally kadogoo akili kubwa sana, Mungu mkubwa akulinde daima ktk kipindi hiki kigumu kinachoendelea nchini kwetu, sasa hiyo elimu unayoitoa ni kubwa sana, mh hicho unachokielimisha kwenye Taifa hili, Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha jamiii iliyopo mbele yako
Umeongea vizuri sana ni kweli wote tunaasiliwa na uwepo wa ccm tunaacha kazi zetu sisi wanainchi tunaenda kumpigia kula mbowe au lisu matokeo yake anatangazwa ambaye hamjamupigia kula inaumiza sana na kuvunja moyo sana
😂😂😂😂 ko we iliambiwa kwamba unaye mpigia kura ndo lazima ashinde 😅😅 mtu anashinda kutokana na wastan wa kura so unaweza kumpigia kura mtu lakin akapata wastan mdogo so automatically anakuwa ameshindwa
WEWE DOGOO UNGELIA NYAMA WAKATI WAMA GUFURI UNGE TUPWA MAJINI TANGANYIKA ,MFANO WAWALE MASHEIKH WA ZANZIBA HUSENI MWINYI NA KIKWETE WALIVYO WA JERUHI BILA ĶOSA LOLOTE .
Sheikh kutoka mikoa ya bara, amekuzwa kwa maziwa,samaki na nyama.. ukiwasikiliza masheikh wa pwani na Zanzibar, kichefuchefu..eti wanampinga samia kwa sababu ni mwislam
Sheikhe wa maana sana huyu. Ameamua kusimama na wenye kudhurumiwa. Allah akubariki sana.❤
Sheikh big respect 🙏 your a big brain Men
Big point mueshmiwa nakukubali sana ktk point zako
Mungu akulinde
Shekh Asante sana hongera sana mwanaume yimara
Kweli sana sheikh WANGU unaejitambua
Kadogoooo nakuelewa sana
🙌🙌👏👏👏Shekh Nakuheshimu Sana wewe NI Muelewa Kwa 100%
Ubarikiwe sana shehe, kweli we mtu wa Mungu.
Mungu akulinde katika harakati za kuibadiri nchi.
Watumishi wa Mungu wakweli
Chadema mpelekeni huyu bungeni atatusaidia sana
Allah akubaliki shehe wetu tuelimishe mana watanzania awaelewi
Hongera sana shekhe
Shehe Mimi nakubali sana naomba ugombee ubunge mwakani
Sawa shekh WANGU nakuelewa sana
Yani huwa najiuliza sana shekh hiyo ni Point kubwa sana ,yani mtu anashangalia ccm wakt hyo angalia maisha yake magumu sana , tatizo bado kuna watu mijinga
Good speech
Saluti shehe kadogoo
Mungu awabariki viongozi wote wa chadema
🎉🎉❤❤❤❤
Point
GOOD SPEECH SHEHE
Power
Uko vizur sana shehe
Kadogoo ❤
Mungu akubariki na akulinde Sheikh wangu RESPECT BRO
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kadogoo jitafakari kwa kina wote ndo hao hao chadema CCM ni hao hao matumbo yao tu usiwadanganye wanachi na hao wakiingia bungeni kilavmmoja analia mama angu
umetishaa sana unaakili nyingi sana mazuzu wenye akili ndongo kama hawajakuelewa kivyao
Sad sana sheikh kwa pamoja tutaikomboa nchi yetu
Kweli shehe unasema kweli
Sheikh Ally kadogoo akili kubwa sana, Mungu mkubwa akulinde daima ktk kipindi hiki kigumu kinachoendelea nchini kwetu, sasa hiyo elimu unayoitoa ni kubwa sana, mh hicho unachokielimisha kwenye Taifa hili, Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha jamiii iliyopo mbele yako
Huko vzr shehe
Wote tunaisoma namba.
Heshima yako shekhe...unatendea haki elimu na nafasi yako
Umeongea vizuri sana ni kweli wote tunaasiliwa na uwepo wa ccm tunaacha kazi zetu sisi wanainchi tunaenda kumpigia kula mbowe au lisu matokeo yake anatangazwa ambaye hamjamupigia kula inaumiza sana na kuvunja moyo sana
😂😂😂😂 ko we iliambiwa kwamba unaye mpigia kura ndo lazima ashinde 😅😅 mtu anashinda kutokana na wastan wa kura so unaweza kumpigia kura mtu lakin akapata wastan mdogo so automatically anakuwa ameshindwa
Hiyo ndio mijinga pumbavu iliyobakia ccm hata Kula hawana lakini hawaamki maisha watabakia kuwa kama popo kulala miguu juu kichwa chini
Mashehe wanaojitambua
Kama hakuna ucha Mungu kote kite haya mambo yataendelea tu
Umenena vema Sheikh 😂
Ama kweli miso misondo
Sheikh kadooo ...
WEWE DOGOO UNGELIA NYAMA WAKATI WAMA GUFURI UNGE TUPWA MAJINI TANGANYIKA ,MFANO WAWALE MASHEIKH WA ZANZIBA HUSENI MWINYI NA KIKWETE WALIVYO WA JERUHI BILA ĶOSA LOLOTE .
Wana ccm walio wengi hasa hao wafuasi wao Wana matatizo ya akili
Mafisiem manafiki sana tumeshayagundu
Shehe endelea kuelimisha wataelewa tu
Muislamu msomi huyo. Safi she
sema tusijisahau kuwaambia vijana kwamba maendeleo yako binafsi yanaanza na wew sio selikal ko usikae af utegemee serikal utaumia sana
Ni kweli udini ni kitu kibaya
Mtu wa Maana kabisa
Sheikh kutoka mikoa ya bara, amekuzwa kwa maziwa,samaki na nyama.. ukiwasikiliza masheikh wa pwani na Zanzibar, kichefuchefu..eti wanampinga samia kwa sababu ni mwislam
Akiingia bungeni moto utawaka
Aaaaaaaa,,
Shehe upo makini MUNGU yupo nawe naomba ukazie sana swala la siasa sio simba Na yanga😊
Kwakweri tumechoka
Kwakweli upo vizuli
Karime wewe maharage alafu uze. 1000,
NCHIETU INA VICHWA KWELI ,LOO!!
Mpeni ubunge iyo shehe
Kweli bwana tupo taabani
Mungu akubaliki
sema tusijisahau kuwaambia vijana kwamba maendeleo yako binafsi yanaanza na wew sio selikal ko usikae af utegemee serikal utaumia sana
Sawa hakuna asiyejua Hilo,mtu ana nafasi yake , na Serikali Ina nafasi yake, mtu anarudishwa nyuma na Serikali atapataje maendeleo?