Underated (Remix) Stamina Shorwebwenzi Ft. Maarifa, Dizasta Vina, Motra, P Mawenge & Boshoo ( Video)
Vložit
- čas přidán 20. 12. 2023
- #Stamina #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina
Video Directed by
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Dizasta vina ni msitu....wa ....VINA....MISTARI YAKE LAZIMA UPITE SHULE....MWENYEWE ANASEMA.....I CAN SCHOOL YOU....kama unamuelewa VINA LIKES ZAKE HAPA
Kila siku mnaambiwa HUYUUUU VINA SIO WA KUMUWEKA KWENYE ,,, COMPETITION hamsikiii😂😂😂😂😂 ona alichowafanya🎉
kwa kwanza mm nipen likes zangu🙏🫵🏻
Nilifata kuona kama DIZASTA atakunana na madg alio wainspire ila nikajua awez kujichanganya na madg anao wainspire...@boshow @ maarifa😂😂
I can school you coz I'm like wanger... Nipo kwenye top 2 n I'm not second😂 Uyu black Maradona c mtu wa kawaida wala c wa sayari hii huyu level zake n za kina Drake🎉
Duuh dizasta vina angepewa nafasi mara mbili ni hatari 😮😮😮
Nimeingia apa kumsikiliza dizasta tu likes nying kwa vinaaa
Vina ni shule kwaiyo ina bidi uchukue peni na daftari utoke na kitu like hapa kama vina una jua kafanya mauaji ya halaiki
Inaonesha dizasta hakuwepo shooting ila alituma clip ya video aliyoshoot akiwa separate na wenzake
Ndo mkome kumshirikisha dizaster vina 😅
Mpoo wapi mashabili wa dizasta vina like zotee hapa
Vina iz anaza man wazee,,🔥
Dizasta kaanza kaa Eminem im in survival mode
Wana wa Dizasta vina tukutanee😂 hapaa
Kwa yoyote aloelewa verse ya Dizasta he deserve to be UNDERRATED..wengi hawajastic na topic
DIZASTA VINA THE KING OF STREET
Ivi dizasta ni mtu kama sisi kweli 🤣🤣🤣
Niite maarifa misondo😂😂😂
Dizasta + wenge we need another collaboration from them🔥🔥🔥🔥🔥
DIZASTA WEEEA A YUUUUUU😢😢