Stamina Feat Lody Music - Hayana Maana (Part 3) SMS [Skiza 8091567] to 811
Vložit
- čas přidán 4. 07. 2022
- #Stamina #HayanaMaana #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina & LodyMusic
Video Directed by Khalfani
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Hii SERIES HAIJAWAHI TOKEA KWENYE MUZIKI WETU AFRICA.... NADHANI STAMINA DESERVE MORE THAN EVERYTHING 🔥🔥🔥🔥🔥
That's y diamond withdraw with the awards in tz dey DNT follow properly ... stamina was suppose to be one of them but no ..... 🔥 always and consistence
I normally find my comment not worthy to be on any stamina's project, therefore let me just say much love and blessings from KENYA 🔥🔥🔥
Bg up moro town boy nmependa hapo uliposema unakomaa unampeleka mliman akale pza akito anaenda kwa mwana anekula chuv ya uviza kwel mapenz hayana mana 😂😂😂😂
Naomba like zangu na coment
Turio ludia mara mbili kuitizama hii ngom tujuane kwa coment hapaaa,,,, lody music kaua kwa chorus
Mzee hiyo level uliyoifikia ,ni kwamba dunia ikae kimya kwa dk mbili isikilize ngoma hii🔥🔥🔥🔥ni kwikwi
Kweli kabisa Mr. Shorwebwenz mmetisha Sana na lody music🔥🔥🔥 mapenzi Ni SoMo lisilo na kikomo big up Sana tupe nyingine Kaka🔥🔥❤️
hapo Kwa mshauri wa Ñdo Kuwa làbda alishawai pewa talaka Ñdo line nimetii Saana,,,,Stamina wewe sijui n jua Gani unaotanga Kweli,nataka niuote pia punchline za kubabee kweli,mega shout out Saana ,,kenya inakubali Saana kazi Zako brw🔥🔥🔥🇰🇪
Lody brow Unapokwenda Tnanza kupaona Brow Namini Ndoto zko Znakua Mungu Akubariki Nakukubali zaid ya sana tangia Ulipotoka gadi utapokwenda Ishallah nipo na ww brow napenda unachokifanya
Tulie rudia kuplay hii hit zaid ya mara 3 tujuane hapa. MAPENZI 🙌
"Kwenye kipato chakoo buku ye anaomba laki" stamina umetishaa🔥🔥🔥
Stamina is a very underrated Tanzanian lyricist I swear.thats what we call Music. 🧠🧠🧠
🔥🔥🔥 Stamina never disappoints 🇰🇪✈️🇶🇦
Stamina sio level za hawa marapa waongo ongo janjanja janja hawa, stamina ni another level.
stamina unajua brother siyo Siri big up
Stamina has been giving us good music ever since he started. Legendary that one, Respect!
Stamina unajua mpaka unakhera🔥🔥🔥🔥
mwanangu Tena,,,Kenya imekubali saaana,kinyamwezi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngoma Kali kideo kikali 🇹🇿 Sanaaa