Highlights: Morrison aupiga mwingi Simba ikiichapa Red Arrows 3-0 CAF CC 28/11/2021
Vložit
- čas přidán 27. 11. 2021
- SIMBA 3-0 RED ARROWS: Bernard Morrison amehusika kwenye magoli yote matatu Simba SC ya Tanzania ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC.
Mechi hii imepigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, ambapo Bernard Morrison amefunga magoli mawili na kutoa ‘assist’ moja kwa Medie Kagere huku akikosa mkwaju wa penati dakika ya 30. - Sport
Allah tunakushukuruu Kwa matokeo mazuri katika timu tunazid kukutegemea wewe allah kwani we ndie mjuzi Wa yotee simba daima mbelee
Amina
Amiin
Bora Leo mmewahisha highlights, pongez sana kwa chama langu Simba, polen kwa mashabiki wa Red arrows waishi TZ hasa wanaovaaga jezi za vyura!
Hongera sana wachezaji na makocha kwa jitihada zenu zenyekueletea timu ushindi!!!!!!!!!!!!!!
Baraka mpenja nakupenda Sana unatangaza mpika vzuri
Bravo The Great SIMBA 🦁💪
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁
Safi sana simba kwa ushindi mzuri mmetufurahishasana it's timu yetu imekuwa na gundu kwenye penati yani timu yetu ikipata penati kukosa ni 80% kupata 20% hii sijui imekaaje hii makocha liangalieni hili tunakosa sana penati hadi kero.
Asante sana simba yangu kipenzi kwa kunifurahisha ,hkika leo nimeona mpira unaochezwa mvua ikiwa inanyesha kwa mara ya kwanza dah htri sana
Yaani Morrison kabadilishwa na kocha mpya namna ya uchezaji wake aiseee,daah yaani ni moto kwa sasa
BENARD MORRISON IS NOW GREEN AND YELLOW 💚💛🏆
Mm na Simba kifo tu ndio Cha kututenganisha😍
Kweli kabisa
Love you Simba SC
Hilo goli la pili daaaaaaaaaah..... Nikiangalia nafurahi sana 🔥🔥🔥🔥
kilichokufurahisha!
Toka niko tumboni nikaipenda simbaaa mpaka sasa simba damu damu❤💋❤💪
Tunafanana
@@mamutz5479 👭👭
@@priscacharlescharles9014 🤔🤔
Pabloooo nice performance ❤❤❤
Ashukuru mungu Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Simba raha tupu🔥🔥🔥
Hawa Red Arrows kwao watafanya figisu nying sana wanaonekana tuu.. tunzeni hii comment 🙏
Big up Simba🔥🔥
Ahhaa
Simbaaaaaaa on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Benad benad benad morisoooooon 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
chama kubwa chama la wana simbaaaaaaa i love u
Bm3 wakili msomi 🔥🔥
ktk ubora wake leo
Dilunga vp kuhusu soka tena maan umeiacha simba bado tunakuhutaj mungu ajaalie afya yako iimarike zaid na urejee katika soka tunakupenda san wana simba naiman unanafasi bado katika soka letu la Tanzanian
Nimelia kwa furaha kwakweli.Mungu ibariki Tanzania.Mungu ibariki Simba.Ameeeeeeen
Mungu amrudishe Bm3 kwenye enzi yake Amen
Raha Sana huku msimbazi💪👌❤️❤️
Full 😂😂😂
Hii timu sio ya kubeza ni timu nzuri Sana wakiwa kwao.
kwamba wakiwa kwao wanaota mapembe ama
Wahalay Kum salam bro thank you Bro From senegal
Simba raha Sana
Simba leo mmetupa raha🙏🏾
Tuipeleke no 1 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tuwa shukuru yanga kwa kutuletea morrson inge kuwa sio yanga tusinge mjua morrson naomba kesho iwe morrson day 😂😁😁😁
Lkn sio mchezaji wa kuchezea UTOPOLO
009Biafra🤔 bali
Thanks Bm3gh ❤️🤞
Simba foreve🔥🔥🔥🔥
Simba Leo ya Moto Sana Ila inaonekana kwao watatufanyia figisu Sana uchezaji wao sio mzuri
Hata wakifunga, Hawawezi kurudisha goli tatu
Bravo bm3 bravo ssc
Simba welldone. But keep in your mind second match
It will turf game. Zambians they have good records in they playground.
worry not bro what I know simba is on another level they actually know the african football and their challenges, good enough they want to advance for next step to please fans and build their status so with good hope everything will be ok,
Summer goal bold one!
Pira Madrid, Morisson huu ndo mpira wako sasa💪
❤Simba .
Hii ndo simba yangu sasa
Nomaaaaaaa sanaaaa
Show dominated by Bernard Morrison. A brace and could've as well took a match ball as reward for the hattrick
never seen him took a penalty before!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥iyo ndo simbaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Pongezi sana wekundu wa msimbazi
Morrison ni nomaa
Morrison hua nsmuamini sanaa na nsmkubali kuliko
Hongereni mnyama
Noma sana
Trending namba 6 😂😂😂
Asantee Sanaaa chama langu la Simba sports club
Furaha isiyo na mfano 🙏🙏
We are simbaaaaaaa
Simba nguvu moja
Good sana wakili msomi
Morrison tunarudi CAS haiwezekan umpige kipa tobo kubwa namna hiyo. 😂😂😂😂😂😂🤭
Haaaaah haaaaah
au co..tukaanze upyaaah!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪
Leo mmeweka halaiki mapema azam hongera
Nani kaua,Simbaaa 💥💥💥💥
Mnyamaaaaaaaaaa
The only weather didn't favor the host team for my level of understanding the guys were gone down not less than five goals
good perception..inshallah they'll find a better weather for the return leg!
Ila arrows wa golikipa mzuri aisee kawa save sana
Hongera kwa chama ranguu nguvu moja
Wewe Morisson wewe ooooo! Tunakwenda tena CAS. Hatukubali na sasa Aucho oooohooo zeruzeru upowapi?
aucho nn tn!
Simba🔥🔥
Simba ipo juu zaind
Akka
Nice game!!!!!!!!
🔥🔥🔥🔥💪💪💪🦁🦁
🔥 fire
Tarehe 11 tunawaxubir kwa mkapa 2kiwa na Dr Aucho na president Mayele....wazir wa ulinz Djuma naibu kibwa AF job Afisa miradi........huku wazir mkuu Fei totooooo
Acha kukalili maisha ww
🤮🤮🤮
Nakubali mkal 💯
Safi
Nawaona NyaniFC wanavotesekaaaa😅😅😂👋Hii ndo Simba tunacheza PIRA Modric' Saiv
Morisson is a star premier league player
is it!
Man of the match Morison
no doubt
Sawa
Sadio Kanoute anaonekana ni muoga sijui ni kwasababu alikuwa majeruhi ndio anaogopa Ila akiacha uoga ni mchezaji mzuri sana,inabidi apate darasa la kuweka sawa utimamu wa kujiamini
Simba oyeeeeee
Lots of creative play from Morrison.
I hope the likes of Al Ahly and Mamelodi Sundowns don't come for him soon.
you must be kidding right! + whether this to even be true, then those particular teams should rethink again $ again
Wao simb oye
Mwaa simba wangu aw Simba 🤛
Welcome Pablo martin
Simba ytu imerud
#redarrows $ #dodomajiji wana wadhamini sawa asee..kweli ligikuuBARA imekuwa!
Hii ndio simba bira chama bira miqsoon
Morrison leo alikuwa wa moyo sana
Thank you Morrison
God!
Wawa ni mzito sana jaman hv huwa ni kwann mnampa kipaumbele wakati anazingua
na huko makundi atakutana na wanaojua atashangaa!
Good
Wakili msomi leo katupa show za Chama
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
magori yote yaliyo fungwa na morrison
ila hawa jamaa kwao tujipange maana wanaonekana wanafigisu sana na mpira wao rafu nyingi
sidhani kama mara hii atapona mtu na hivi ni shirikisho, sehemu ambayo hawakukusudia kucheza..kazi wapinxani wanayo!
Mpira pia wanaujuwa. Tusibweteke kama ya Galaxy
Simba baba laoo
Pira kambare
Nakubali
Mchezaji wangu ni bm3
Hahahaha nimeipenda hiyo tobo
Uamuzi wa Simba kumuacha Morrison utaleta majuto. Haukuwa sahihi
Safi Sana
Kazi ya wanaume wavurana hawatoweza?
🦁🇦🇹🔥
Olive you simba spot club
⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️🤺👩❤️👨
Jamaniii napata shauku hai red aries tutakavyo wagalagaza mim n simba nakpenda simba mwaah simba
Simba wenzang mpo kama unaipenda simba weka laik yako hap simba nguvu mija
Bm3 🙌
Iko poa sn