BAADA YA SARE DHIDI YA KAGERA, AHAMED ALLY AZUNGUMZA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024

Komentáře • 67

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před 18 dny +2

    Ulisema focus mojawapo ni kuungana na Feitoto kumpigania ili apate kiatu nafikiri ni malipo yake kwa kazi nzuri aliofanya kwenu.

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 Před 17 dny

    Ishaisha hiyo. Manungu mpira umeisha

  • @user-wq8kw7wb1n
    @user-wq8kw7wb1n Před 17 dny

    wachezaji wetu wamejituma lkn waache uchoyo wacheze as team sio kila mmoja kujitaftia sifa

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 Před 17 dny

    Simbaaaas,iko vizuri tuleteeni wote tuliocheza bao hawatoki ,leteni Allhiral hawatokiiiii, 😢

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 Před 18 dny +1

    Kumbe mnachezea bahati, ooo poleni sana.

  • @OmaryMapande
    @OmaryMapande Před 16 dny

    bora ukasemee cost union kuliko apo bado miaka 2 tena ya mateso

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 Před 17 dny

    Tatizo ww msemaji wasimba dishi limeyumba unaipa raana Tim yako pungua maneno unazalilika

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 Před 18 dny +2

    Walipo shinda juzi kwa azam basi akaona wanaongoza lugi jamani!
    Pole mzee hapa panauma hapa panawasha😂😂😂

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 Před 18 dny +1

    Vipi kiatu cha Fei si mnahamishia mbio zenu hukoo?

  • @user-tp2lq4bd7o
    @user-tp2lq4bd7o Před 18 dny +2

    Mbona sauti imepoa kulikoni.tim Soo Bora acha kuwaaminisha mapampula hivyo

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Před 18 dny

    Hilo ndilo dunduka namba Moja zuzu hazimtoshi

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Před 17 dny

    DOMO HUWA LINAKUPONZA MAANA UNAONGEA SANA WAKATI TIMU HUNA,JANA MGUNDA KAKOSA NAZI ZA KUVUNJA HUKO KAGERA KAKUTA NDIZI TU

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p Před 18 dny

    mpùuzi leo umehamia rasimi kuongelea nafasi ya 2 je ubingwa ulokuwa ukijind nayo?

  • @AUCHO561
    @AUCHO561 Před 17 dny

    Huyu jamaa kweli anawadanganya makolo

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv

    HILI LITIMU MPKA LINA KUKONDESHA AMEDI ALY UNAONGEA MPAKA MANENO YANA KUISHIA DAA HII SIMBA

  • @ernestkaji9640
    @ernestkaji9640 Před 17 dny

    Wewe ni k!!!!!

  • @songombingo108
    @songombingo108 Před 18 dny +1

    Tatizo hii Saboofa inaongea sana😂😂

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Před 18 dny

    Kama huyu ndiyo huyu hana hata akili ya kumpeleká msalani.Je hao mashabiki wa timu watakuwa matahira kabisa.Hovyo sana

  • @kinyutatonha8831
    @kinyutatonha8831 Před 17 dny

    ubora gani mulo nao sema siku mukiamka vizuri ila siku mukiamka vibaya uozo mtupu

  • @user-xx1je7sy4h
    @user-xx1je7sy4h Před 18 dny

    Kuna lile bwege linaloitwa ukuta wa mavi lonaboa sana ikumbukwe ukuta wa mavi juz kasababisha penalty ya kizembe bahati mbaya fei toto alikosa jana kaonyesha uzembe kuutoa mpira ovyo na kupelekea kuchezwa kona na

  • @issamlibwa9398
    @issamlibwa9398 Před 17 dny

    Mlivowafungatu azam ukasema mnaitaka nafas ya kwanza leo Tena imekuw kuitafuta nafas ya pili🤣🤣🤣🤣

  • @angeljosephatvenancea5699

    eti nafasi za juu. Zipi sasa?

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 Před 18 dny

    Huyu anawapoteza makolo wenzake mbwe mbwe zote kwishinehi
    Me ninamkubali sna mchome
    Kuwafunga Azam na Mtibwa ndio MUKAJIONE MUKOBORA PUMBAFU ZAKO WW

  • @hassannickson7654
    @hassannickson7654 Před 17 dny

    Subiri nafasi yenu inayowahusu ya Tatu Kolo

  • @saulsekwao
    @saulsekwao Před 18 dny

    Hadi uso umejikunja kama ngozi ya goti pole kufa na tai shingoni.

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 Před 18 dny

    Simba wana kaba kwa macho tofauti na walipocheza na azam

  • @user-mt3xf4pc7p
    @user-mt3xf4pc7p Před 18 dny

    Haina ubora ndio maana mzee wa kubwabwaja kapoa

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 Před 17 dny

    Huyu Ahmad Aly anayo gundu. Simba tutafute msemaji mwingine mwenye parformans na mpira maana huyu ajui kitu.

  • @kidawajuma9597
    @kidawajuma9597 Před 17 dny

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdallahshaibu6106
    @abdallahshaibu6106 Před 18 dny

    Vipi bwana Ahmed kuhusu anenda ya kurudiana na YANGA? Hehehehe unatuchekesha Sana bhana,

  • @user-vr3hp4xs8m
    @user-vr3hp4xs8m Před 18 dny +1

    Mbona mbwembwe leo huna,kagera bora kuliko kolo

    • @hassanhussein5286
      @hassanhussein5286 Před 18 dny

      Sidhan km upo sahihi sn lkn naàmin jamaa hakuna point anaongea zaidi yakubwabwaja

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p Před 18 dny

    labda cost iwabebe vinginevyo hakuna kit hapo

  • @ChamaClassic
    @ChamaClassic Před 18 dny

    Komesha kibelehe fyuuuu sura imevimba muone

  • @AUCHO561
    @AUCHO561 Před 17 dny

    ANGALIA ANAVOONGEA KINYONGE

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 Před 17 dny

    Ww k c ulisema moto umewaka sasa imeku majivu kenge mlima wee

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 18 dny

    Ndumila fc nafasi ya pili sahau

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p Před 18 dny

    kama umehamia kwa fei utakuja ssa

  • @saulsekwao
    @saulsekwao Před 18 dny

    Hadi useme maji mma.

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib Před 18 dny

    Mbaka useme ujasema bado

  • @ZakariaZuberi
    @ZakariaZuberi Před 18 dny

    hyo tm itakuuwa hama

  • @francofisinge137
    @francofisinge137 Před 18 dny

    My wetu mbona umepoa hivo achakuropoka Simba mbovu

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Před 18 dny

    Comedy huyu yupo kwny ubora wake😂😂

  • @paciencemaumba7022
    @paciencemaumba7022 Před 18 dny

    Moira uwanjani Ahmed, punguza maneno ujitambue kuwa Simba ni klabu kubwa, tusiendekeze uswahili wako.

  • @saburipessa462
    @saburipessa462 Před 18 dny

    Wee unaacha kupambania timu unaongelea habari za Feisal kuchukua kiatu cha ufungaji bora kweli? Endelea

  • @AlbiniusNdaki
    @AlbiniusNdaki Před 18 dny

    Kolo kama kolo tu

  • @user-my4dr5oq6v
    @user-my4dr5oq6v Před 18 dny

    Makolo mkitaka kuchukua Kombe mpk hili shoger litoke hapo ndo linawaponza

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 Před 18 dny

    Ahmed sabufa yanamtoka yasiyo chujwa bwege huyu.

  • @user-le9lm7nj3n
    @user-le9lm7nj3n Před 18 dny

    Yan ww ni bwege kabisa ue unasema ukweli

  • @user-vr3hp4xs8m
    @user-vr3hp4xs8m Před 18 dny

    Shost kapoa

  • @remidusmwanandenje-yy5gs

    Siuwa nasema simba kama mlevi😂😂😂😂

  • @user-ww8ih9ro8p
    @user-ww8ih9ro8p Před 17 dny

    Hakuna timyu hapo

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 Před 18 dny

    Mdomo unakuponza

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Před 17 dny

    Alisema Ubingwa ni Wetu
    Sasa anagombea nafasi ya pili
    Huyu kiumbe ni Kiroporopo
    Madunduka wanafurahi anapo Sema Kiroporopo wao
    Kocha Mgunda kapewa kaa la Moto je Fei anawahusu nini?
    Mbona anaruka Maswali

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 18 dny

    Ivi mtani umekosa msemaji mpaka mumpe huyu jamaa?

  • @YonahMwamanenge-hy7fe
    @YonahMwamanenge-hy7fe Před 18 dny +5

    We kolo mkuu acha kuwadangaya Madunduka, moto uliosema Sasa umewaka vipi hapo, kumbe bado Kuna nafasi nyingine za juu, mnahaha mnaanza kukimbilia ufungaji Bora wa Feisal, poleni

    • @user-ch2it3qt5z
      @user-ch2it3qt5z Před 18 dny

      😂awakumbk Kama walisema wapo Moto saiv wanajisemexha et wamechezea nafas😂😂😂 wkt team mbovu

    • @jonasmwanauta6915
      @jonasmwanauta6915 Před 17 dny

      😂😂😂😂😂😂​@@user-ch2it3qt5z

  • @cosmasjohnkombo
    @cosmasjohnkombo Před 17 dny

    Ahmed ally ww danganya wjinga wenzako huo mdomo wako ndio unawaponza viongozi wako wewe nimpiga debe wa mangungu mpira unachezwa hazaraan wanachi ooyee😂

  • @aminamatete6644
    @aminamatete6644 Před 18 dny

    Ubora uko wapi wewe mbona unajizima data akuna magoli mnayoyapata ya halali alafu wewe kweli chizi sasa kiatu Cha fei toto wewe kitakusaidia simba kweli mmedata mnatakiwa muombewe

  • @godwingobe1887
    @godwingobe1887 Před 18 dny +1

    Tulikuambia upunguze mbwembwe Hukusikia haya Sasa hata nafasi ya pili umekosa ,sema ukweli usiwadanganye wenzio timu inahitaji marekebisho makubwa sana Kila idara mpaka uongozi ,Kwa Sasa muende shirkisho mlitucheka sana ,zamu imefika kweni

  • @NgwaliMakame-xq9jl
    @NgwaliMakame-xq9jl Před 18 dny

    Kazi yako uchambuzi sio msemaji wa klabu

  • @begumisachristopher4697

    Kapu la magori limeenda wapi? Simba ni ile ile

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba Před 18 dny +1

    Sio inahitaji nafasi 2 simba inahitaji Maombi zaidi kushiriki klabu bingwa Mwakani.....