True he's a good guy and a good hearted man very polite protect all poor people and disabled human being may God continue blessing and protect him Aimen
Huyu jamaa ni very potential kwa taifa, na ni mbunifu sana kushinda hata viongozi wengine waliopewa nafasi kubwa za uongozi..i miss you alot big bother.. Kama kuna makosa ulishawahi fanya Tunakusamehe bure, Naamin Jamii ya watu wa chini kabisa Dar wanakukumbuka
Best interview of 2021 🔥🔥❤️❤️❤️🔥🔥❤️🔥❤️🔥 Pan-Africanist. Makonda nime tokea kukupenda sana. Endelea kumfuta pastor Chris Oyakelome, PhD. Kweli uko fresh kaka.
ushauri wangu Ukitaka kuwa kiongozi mzuri kwanza heshimu watu wa aina zote wa chini na walio juu yako pia na usiwe mtu wa kibri ukiwa na madaraka halafu ndio u apply hayo mambo mengine ya utawala uliyojifunza hata ujifunze vipi kama mtu unakuwa na kibri huwezi kuwa kiongozi mzuri kw sababu kibri ni dalili ya incompetence take my word
Makonda amesema mambo makubwa juu ya kufunguka ufahamu WA vijana WA African hasa WA Tanzania kushangaza mataifa Kwa kijiongeza kimawazo nakiubunifu natamani nipate Namba yake tuzungumzie Ayala hiili
Wewe umeenda kulima kujificha mihela ulio piga . Eti kilimo kabla ya uongozi mbona kulikua hulimi?hunaga rafiki mbona riziwani ulitenda ukasema muuza unga wewe damu za watu Zina kusubiri mumeua Sana
Ulikosea sana kuwashutumu watu na kuwataja majina hadharani kua wanuza madawa ya kulevya au wanatumia na ukatoa amri waekwe ndani nakushauri uombe radhi
Huyu ni kiongozi mjinga na ataendelea kuwa mjinga iwapo hatajirekebisha. Ndani ya Dar hamna kitu alivhokifanya zaidi ya kupandikiza chuki miongoni mwa jamii. Foolish kabisa DAUD ALBERT BASHITE
Kumbe ni kozi. Diploma miaka 3, mazee. Diploma za kozi kama tukianza kila mtu atoe zake, kuna watu wanazo mia humu🤣🤣🤣, ukisoma we kausha tu na vyetu vyako kavitumie ukiomba kazi. Bongo kwa kicki shikamoo.
@@nyakymedia8405 utaishia kusikiliza pumbaa tu za huyo ndg yako. Kama alikua kiongozi bora leo yuko wapi. Alitumia mkono wa chuma kwenye ukuu wa mkoa tu vp angekua waziri si angemaliza watu, hujielewi ww unaemsapot
@@wilsonrwekaza6247 vijana washamba sana nyie, mnafuata mkumbo bila kujisimamia wenyewe, mtaongea sana mtaishia kutukana mitandaoni tu ukweli unauma. Makonda ni zero braini hawezi kubadilika hata asomeje
I am From Rwanda, and I follow yr Politics day to day coz I love you so much guys, but in particular I love Mr Paul Makonde
True he's a good guy and a good hearted man very polite protect all poor people and disabled human being may God continue blessing and protect him Aimen
Upo sahihi makonda❤ much love🙏
Huyu jamaa ni very potential kwa taifa, na ni mbunifu sana kushinda hata viongozi wengine waliopewa nafasi kubwa za uongozi..i miss you alot big bother.. Kama kuna makosa ulishawahi fanya Tunakusamehe bure, Naamin Jamii ya watu wa chini kabisa Dar wanakukumbuka
Huyo ndo Mtu pekee ninaemkubali na Kumheshimu, Makonda yuko juu sana.
Mheshimiwa Makonda Hongera sana Mkuu💜💜
Best interview of 2021 🔥🔥❤️❤️❤️🔥🔥❤️🔥❤️🔥 Pan-Africanist. Makonda nime tokea kukupenda sana. Endelea kumfuta pastor Chris Oyakelome, PhD. Kweli uko fresh kaka.
Huyu Paul makonda nampenda sana yuko vizuri sana kwenye uongozi ,Mungu umeona tunashukuru kwa baraka hizo na ziendelee.
Dah nimepaenda msemo uliosema kukosea sio dhambi..Asante paul
Mweshiniwa hongera sana mkuu ninakukubali
Interview nimeirudia zaidi ya marambili, kaongea vzr sana , kagongelea Na nyundo, nimefanya kumsikiliza kwa makini kwakweli
Nimepnda mtangazaji et mimi ni mtazamaji wako, akaibadilisha juu kwa juu safi sana
Hamna kitu hapo we bwege!
Mungu akulinde na Kila lililobaya,
Am.proud of you so
Well said Mr Makonda Former Regionsl commissioner-Dar essalasm . It is inspiring !
Nimependa sana huu msemo wako mkuu, "Usiogope kuonekana wa ajabu kama una jambo unaloliamini"
Wewe nikiongozi mzuri Sana naendelea kukukubari Makonda
ushauri wangu Ukitaka kuwa kiongozi mzuri kwanza heshimu watu wa aina zote wa chini na walio juu yako pia na usiwe mtu wa kibri ukiwa na madaraka halafu ndio u apply hayo mambo mengine ya utawala uliyojifunza hata ujifunze vipi kama mtu unakuwa na kibri huwezi kuwa kiongozi mzuri kw sababu kibri ni dalili ya incompetence take my word
One love my up coming Rule Model
Nampenda huyu kaka ni viwango vya wazalendo
Nakuombeq kheri baba
Woow nice interview mr muheshimiwa makonda #lv frm kenya 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Alikuwa kama Mungu Mtu
,,,💪💪💪 unatisha sana
Nice interview brother
Makonda makonda makondaaaa nakukubali mkuu huwanaamini ipocku utakaajuu zaidi ya pale ulipokuwa awali
wise interview
Nakukubali sana Bro!
Namkubali sana huyu kaka no matter what...
Ongera Makonda. Kiongozi ni wito!. Siyo elimu ya chuo!
Nakukubali sana we mzalendo moka akusimamie
Congrats Paul Makomda👏👏👏
Hongera sana Makonda tu akusubiri 2035 Inshalaah
Kweli w kolo unamsubiri na mama yako
Mh.Makonda Hongera kwa hatua hiyo ya KUONGEZA UJUZI KIELIMU.ELIMU HAINA MWISHO.HAKIKA UNA FOCUS NZURI.MUNGU AKUBARIKI SANA.
Mara kafunguliwa kesi dah
Mngu akubari kaka kiongoz mwenye KIU ya haki hakika naamin IPO sku mngu atakukumbuka
Nikweli kabisa very intelligent. Well done
Have my respect all the way. Barikiwa sana kaka
Makonda amesema mambo makubwa juu ya kufunguka ufahamu WA vijana WA African hasa WA Tanzania kushangaza mataifa Kwa kijiongeza kimawazo nakiubunifu natamani nipate Namba yake tuzungumzie Ayala hiili
Ongera sana kakaangu makonda
🥰🥰
Bashite kama Bashite 😂, Hebu rusidha vyeti vya Makonda mwenyewe kwanza, Daud Bashite wa Kolomije.
Muhuni sana huyu jamaa😊
Mh paul makonda alikua kiongozi anayejiamini sana jitahidi kaka urudi kwenye uongozi sipati furaha ninapokuona huna cheo mkuu
Makonda big up.kwa kweli Dar kumepoa kabisa .Tumetambua umuhimu wako
Kabisa
10/10/2023.yaani Mkoa huu wa Dar ni mgumu saaana.lakini uliweza kakangu.wanao kuchukia wakajitundike.
Mh, Makonda Upo Juu Sana.
Basi haaaya
The real son of Our Legendary Lt JPM
Umenitia nguvu😢😢😢
Alisema wakufunzi wanafundisha angali hawawezi kuongoza hata panya!!!! Duuu
huyu jamaa ana akili sana amini nawaambieni tutamuona mbali
Wewe umeenda kulima kujificha mihela ulio piga . Eti kilimo kabla ya uongozi mbona kulikua hulimi?hunaga rafiki mbona riziwani ulitenda ukasema muuza unga wewe damu za watu Zina kusubiri mumeua Sana
Gd
Ukosawa
Umeivaa kaka akili imekuwa zaidi na zaidi
Mwambie arudi tn kugombea kigamboni tunamuitaji sn huyu aliopewa dhama hana jipya
Ujasusi wa uchumi ktk inchi hii ndiyo shida
So umesomea jina Gani Daudi Bashite au jina la kununua?Paulo Makonda wa wahaya?
Upuuzi mkubwa jufunze madini
Mh umeongea point sana
Kila sk kilio changu hy mtu awepo ktk uongozi tena maana hk kichwa simchezo tumemis uwepo wako baba
Wewe tayari ushakula maisha waachie wenzio shida utakayopata Una kiburi sana mzee
Kiunongozi namkubali
Na kupenda makonda
Mbali na mapungufu uliyonayo kama binadamu lakini una vitu vingi ambavyo vijana wenzio tunajifunza kutoka kwako
Hamna msomi apo ni nguvu tu
Ukipta fursa yakwenda nenda 💪
Ndio maana nilikukubali sana na kukutetea sana japo nilitukanwa sana.
I love you my brother
Paulo makonda ni puntin wa afrika lakini hawakumuelewa lakini sasa .putin wa urusi kaiga.kwa paulo makonda.
Makonda is best to me
Utakoma kujuwa hiyo PHD yako omba sana mungu vinginevyo utaipatia jela itoshe mm kusema kila ufalme una mwisho wake
Ach a ushamba
Leo ni tarehe 20 /10/2023 sema tena ulichokisema Enzi hizo 😂😂😂😂
Makonda kama makonda
Huna lolote kujikosha tu
shida ya wabongo fikra zao zinakariri siasa ni unafki nasio taaluma
Mama atakurudisha muda si mrefuu 🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Kwani mpk shv analindwa na police ama yuko peke yake au ndio full ulinzi🤔🤔🤔
Wata
@@alisaid4380 Bwana yesu asimame we MWANGU usiogope songs mbele
Ulikosea sana kuwashutumu watu na kuwataja majina hadharani kua wanuza madawa ya kulevya au wanatumia na ukatoa amri waekwe ndani nakushauri uombe radhi
Chizi wewe , awaombe radhi wauza unga? Au baba yako nae muuza sembe?
Alikua sahh 2 wewe unafulahia kutuletea kutuulia ndugu zetu afya zao hata mungu hajatuagiza
Una ufinho w akiri wewe binafsi ulifaidika n nini kwa uza unga na ndio mufrisi nhie
Mjinga ww! Awaombe radhi wauaji au ulikuwa ni mmojawapo?
Huna akili wewe huwezi kutetea wauza madawa wanaharibu familia zetu
Tell him it is "Globally" not "Grobale". Negotiations ni "profession" na siyo Professionals. And he is enrolled at one of the top 5 Universities 😆😆
No no up
Stop glorifying criminals! That guy is a criminal!
PhD baba join our world. Welcome to the world of PhD
We support you Makonda, you are better than anybody, believe me!
I WEASH uwe mkuu wa mkoa wowote tz
KIJANA NIMEKUELEWA NA NATAMAN ULUD KUNDINI.
Huyu ni kiongozi mjinga na ataendelea kuwa mjinga iwapo hatajirekebisha.
Ndani ya Dar hamna kitu alivhokifanya zaidi ya kupandikiza chuki miongoni mwa jamii. Foolish kabisa DAUD ALBERT BASHITE
Kaa ukijua watanzania tunakupenda sana
Natarajia 2025 Inshaallah uje kuwa Rais WETU wa Tanzania maana una kila sifa mashallah
Unatumia akili au matako
Hata Mimi natamani iwe hivo
Ujue watz tuko zaidi ya milioni 60 wapo wengine
@@kyaruzidativa9398 Inshaallah Allah asikie madua yetu juu ya JABALI Huyu Makonda
are serious au una joke mkuu wangu
Kilimo ndiyo kila kitu ila mje niwauzie miche ya vanilla
Tutafutane kwa maongezi juu ya kilimo cha vanilla. Niko kenya
Kumbe ni kozi. Diploma miaka 3, mazee. Diploma za kozi kama tukianza kila mtu atoe zake, kuna watu wanazo mia humu🤣🤣🤣, ukisoma we kausha tu na vyetu vyako kavitumie ukiomba kazi. Bongo kwa kicki shikamoo.
Wewe unafikiri unamzidi Makonda ,nadhani wewe ndio kausha. Makonda tunamiss uongozi wake ndani ya Jiji la Dar es salaam
@@masungamashauri4070 Uongozi na vyeti, havihusiani. Au wewe unaona vyeti ni maajabu. Nyamaza ianzie kwako. Tembea kama umekosa maada.
Jay Jay mnafiki inawezekana umetoka ktk familia ya kichawi kwani mtu akionesha alichokua nacho unaumia nini
@@veronicamlali9669 Nyau we, Hujui kusoma hujui kuelewa. Wewe imekuuma nini mpaka uingie humu. Umeroga umeshindwa, ndo mana unaropokwa tu. Kenge we.
Wewe njoo misungwi unachelewa
Moja ya Viongozi ninao wakubali Sana endelea kusoma Kiongozi naamini PHD unaipata Kama yalivyomalengo yako
Kwani wewe makonda umemaliza kazi yako ama uliachiswa kazi yako kwa tamaa zaubunge na wana ccm wakakupiga chini 🔥🔥🔥🔥Kigamboni hatr
Babu vp umetumwa? Kama huna zuri la kuongea bora ukae kimya maana chuki hazitokufikisha popote.
Aliachishwa au aliacha akaenda kugombea? Kwani kupata na kukosa kuna shda? Jtasmini.
Unao usubutu wakufanya maamuzi uogopi ukilipanga jambo zuri lenye tija..ninaimani na ww
Hongera sanaaaaaaaa kaka Paulo Makonda
Natamani nikuone tena kwenye uhongozi
Uhongozi = Uongozi
Darasa la saba tu ilikushinda sembuse phd.
Msenge ww! Kwa hiyo Kama la Saba lilimushinda aliongozaje mkoa ndyo ujinga mlionao
Walioshindwa huwa wanamaneno MENGI yasiyo na kichwa wa miguu
Natumain pia umejifunza jinsi ya kuanzisha Mambo ambayo unaweza kuyamaliza kwa akili bila kukurupuka,vile vile kuheshimu watu na kutokua na Ego
Turudishieni malouda wetu
M
Nakukubal boss wangu
Zero braini inaongea pumba, bado anandoto ya kuwa kiongozi , mshenzii kweli
Kama ulivyo mshenz kula kulala ww unatukana genius
@@nyakymedia8405 utaishia kusikiliza pumbaa tu za huyo ndg yako. Kama alikua kiongozi bora leo yuko wapi. Alitumia mkono wa chuma kwenye ukuu wa mkoa tu vp angekua waziri si angemaliza watu, hujielewi ww unaemsapot
Ulichokiandika unaona kiko sawa watu wengine uelewa mdogo.
Unamatatizo wewe
@@wilsonrwekaza6247 vijana washamba sana nyie, mnafuata mkumbo bila kujisimamia wenyewe, mtaongea sana mtaishia kutukana mitandaoni tu ukweli unauma. Makonda ni zero braini hawezi kubadilika hata asomeje
Makonda kiongozi; mambo madogo tu & Nidhamu ndio vilivyo mkwamisha, Viva makonda
Mama samia tunakuomba mkumbuke makonda
Gd
Kwani mpk shv analindwa na police ama yuko peke yake au ndio full ulinzi🤔🤔🤔