بسم الله الرحمن الرحيم السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Baada ya assalaam Naomba sheikh Atuletee mawaidha ya janga jipya linatusumbuwa na mashetani wa sasa. Masaala ya mume kuowa mume. Masaala ya me kuowa mke. Adhubilahi minaal sheitani alrajeem. Inshaallaaah. Barakallahu kheiran.
Only zombies and mentally ill people can believe in this cult known as islam religion. Your god called al lah is an imaginary statue with two hands both are on the right side and a leg, hence is not Spirit and anything without Spirit is a dead thing therefore has no divine powers, is powerless, is dhaifu. The God of Abraham, Isaac and Jacob is Spirit and this God is worshiped by Christians and Jews. Your god a stone called blackstone is in city called mecca and this stone is found at the corner of a cube called kaaba, muslims believe that once you kiss this blackstone all your sins are forgiven. Even the shetani of cult is also found in the same city called mecca, this shetani is punished by muslims by throwing stones in the building of this shetani and building has been built by muslims not shetani himself. Only fools can believe in this cult. Immediately after taking shahada know that your brain is gone so you become zombie. Even scholars of this cult known as islam religion they say that muslims are supposed to believe without understanding and are forbidden to question anything concerning their cult. It's said that 99.8% of muslims do not understand what is written in their book called quran because their god called al lah uses only one language that is arabic language and it's a must to pray in arabic language. Internet is killing islam.
Safi sana Ustadhi Dr Sule, Ni hadthi tamu sana, tumeenda sawa, utofauti upo mazngra alipozaliwa Yesu, chini ya mtende/ Hori la kulishia ng'ombe, but kla mtu afuate alichofundshwa vyote tumeletewa but hongera sana wewe ni mwl.
Mwandishi alosema yesu ni huyu:- matendo ya mitume 1:1 "Kitabu kile cha kwanza nalikiandika, Theofilo, katika habari ya mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha" 23:6 Matendo ya mitume "Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"
@@saidbakari2408 Wewe ndiye umepotea kwa kuamini Qur'an ni ukweli kumbe ni uongo wa shetani aliyempa Muhammadi kwenye pango la Hira. Kitabu=Upanga mkali, Ukurasa wa 22, inasema "Tulikuwa na mtume usiku Mmoja, Mara tukamkosa, tukamtafuta katika jangwa na mabonde, tukasema;ameuawa, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu. Kulipopambazuka mara tuka mwona anakuja akitokea upande wa hira, tukamwambia, tumekukosa, na tumekutafuta wala hatukukupata, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu; Akasema Muhammadi nilijiwa na muhitaji wa majini Bosi wa majini nikaenda naye nikawasomea Qur'an
@@saidbakari2408 Mimi siyo mpina Kristo Kwasababu naamini Yesu ni mwana wa Mungu kama alivyosema yeye mwenyewe. Yohana 9:35-37, 35 Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu? 36 Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? 37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Wewe ndiyo mpinga Kristo, kama hutaki kuwa mpinga Kristo, amini leo kuwa yeye ni Mwana wa Mungu kama alivyokuambia apo kwenye Yohana 9:35-37
@@stevendavid8054 Utamsilizaje na kumuunga mkono mtu ambaye anaongea uongo, tena anatumia neno la Mungu kutetea uongo wake na wewe humkemei, wewe ni mwinjilisti wa mchongo na muongo, maana mtu muongo hawezi kumpinga muongo mwenzake Yohana 8:44-45 44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo. 45 Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
Maelezo ni mazuri sana japokuwa mengine kama ni tofauti na ninavyofahamu na pia hayaendani na Historia. Mfano kusema kwamba Mariam mama yake Yesu alisali Msikitini ilhali sote tunafahamu kwamba Mariam alikuwa ni Myahudi na Wayahudi wanasali kwenye Masinagogi hapo ndipo ninapotofautiana naye. Kumbuka Mariam aliishi miaka takriban 600 kabla ya Muhammad (S.A.W). Hata kwenye Quran 22:40 inathibitisha kwamba Wayahudi walikuwa wanasali kwenye Masinagogi (SWALATUN) na sio misikiti.
Nenda kasome yesu alikuwa akifanya ibada ktk masinagogi sasa katafute maana ya masinagogi utagundua kuwa ni msikiti kwasababu maana ya masinagogi ni masikiti wa wayahudi. Usikalilishwe kama kuna kitu hupaswi kuridhi ni dini fanya uchunguzi wa dini utagundua wapi sahihi ufate.
Hiyo ndiyo injili yenyewe hasa inayopatikana ktk Quran maana wengi hawajui Quran nini Quran ni kitabu cha mtume Daudi A.S ambacho ni Zaburi ,Torati ya Mussa A.s Injili ya yesu A.s na Quran yenyewe ya Muhammad ni kitabu kilichoshiba kweli hakuna kitu utakachokosa kuhusu mitume kabla ya Muhammad ni kitabu cha haki na ndio maana hata Muhammad kafundisha mama yake yesu ndio mwanamke aliebalikiwa kuliko wanawake wote ingekua uislamu sio dini ya haki bc Muhammad angemsifia mama yake lakini ye ndio kaja na Quran lakin kamsifia mama yake yesu ambaye alikuwepo kabla yake na wakati huo mama yake yesu na yesu mwenyewe hawapo washaondoka duniani .
Yean wewe ndio unajua dini naona katika waislam wewe pekeako ndio hauna unaguzi wa dini na umekubaliana na wa kristo wengine wanawaita MAKAFIRI HAWANA HOFU YA MUNGU ALLAH aendelee kukutunza🙏
Mawaidha Matamu kweli walah hizo bangi unataja Ustadh me nimechoma kijiti apa ndo kwanza imenituliza apa nikiinjoy mawaidha yko usilolijua n ucku wa Giza karibu 254
Hapa wakatoliki tu, ndio tutaelewa anachokisema huyu mzee mungu akubariki sana sheikh❤️❤️
Duh! Mimi Mkatoliki mwenye msimamo mkali sana, Dr. Umetisha sana.
Naanza kufatilia hotuba zako!
Sheikh, hongera sana sana hii ndiyo hotuba iliyoenda shule. Natamani utunge kitabu cha maneno haya haya. Kiletwe hata makanisani kwetu tutanunua sana.
Mashsllahh
Wallahi shehe umenigusa mno na Hotuba yako Mungu akubariki sana!
Kuzaliwa kwa Yesu ni mpango wa Mungu, alizaliwa bila baba kimiujiza. Acha wote tumfuate Yesu
Mashalah shekh Alhah akubariki
Axalam alyqum warahmatullah wabaraqatu shekh...mbna hufiki mombasa sehumu za mariakani ju wa2 wanatamani xna kukuona....inxhallah twakuombea ufike kwa neema ya Allah.
Kiukweri Dr. Sulley Mwenyezi Mungu akupe kila lenye kheri hapa duniani mpaka ahera.
Fundisho nzuri sana Sheikh ubarikiwe inshallah
Mimi ni mkristo mkatoliki, kwa ufafanuzi wa Mheshimiwa Sheikh, nimekukubali baba. Mungu akubariki sana.
HII haijalishi. shekh atuambie.. uilsmau ulianziswa lini. kwa nini sinagoga iitwe msikitiki? kwa nini hekalu liitwe msikiti. tunataniana?.
Uislamu na Ukatoriki ni kitu kimoja.
@@leonceuwandameno760 Sinagogi siyo msikiti, hekalu siyo misikiti weka hiyo kichwani brother.
@@frankmpembu Please be serious! tangu line kikawa kitu kimoja?
@@frankmpembu Ni kweli sinagogi siyo msikiti, wala hekalu siyo msikiti ... shekk anapobainisha kuwa Mariamu aliingia msikitini... anamaanisha nini?
بسم الله الرحمن الرحيم
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Baada ya assalaam
Naomba sheikh
Atuletee mawaidha ya janga jipya linatusumbuwa na mashetani wa sasa.
Masaala ya mume kuowa mume.
Masaala ya me kuowa mke.
Adhubilahi minaal sheitani alrajeem. Inshaallaaah.
Barakallahu kheiran.
Masshallah
Hongera sana doctor
Nakubaliana na ww maana kitabu Cha historia ya Mama Bikira Maria katoliki inafanana na hii Yako Mungu ni mwema
Mungu akibariki sheh nimependa mahubili yako mungu akujaze
Nimependa mahubiri sana, mm ni mkristo
Hakika tunastahili waislam kuyakemea mabaya sema shiekh wangu mwenyezi Mungu akupebaraka
Kanisa la Mungu katoliki liki wafundisha juya mama bikira maria mnawajiajuu na kuwa tukana ndipo mumeanza kuku mbuka Amini.
Allah akulipe kilalakheri fidunia wali
Mashallah Mashallah kwa uhakika Uislam ni muongozo. Shukrani kwa elimu Dr Sule Allah akuweke.
Hayo hata kwenye Biblia yapo, hivyo muongozo upo kwenye Biblia
Mawaidha ambayo hata mkristu akisikiliza anaelewa safi sana Sheikh
Anaongea uongo, Waislamu zindukeni
@@frankmpembukakojoe ulale mpinga kristo
Bismillah MashaAllah ❤❤❤
Nimependa mahubiri yako Shekhe Sullen.
😢MASHAALLAH WALAHI VERY TRUE MAY ALLAH BLESS YOU AND ME ,AND GRANT US JANNATUL FIRDOWS 🕋🙏###ISLAM IS THE BEST DEEN FOREVER
I am Muslim I love it please give me your number for know ing each other
Only zombies and mentally ill people can believe in this cult known as islam religion. Your god called al lah is an imaginary statue with two hands both are on the right side and a leg, hence is not Spirit and anything without Spirit is a dead thing therefore has no divine powers, is powerless, is dhaifu. The God of Abraham, Isaac and Jacob is Spirit and this God is worshiped by Christians and Jews. Your god a stone called blackstone is in city called mecca and this stone is found at the corner of a cube called kaaba, muslims believe that once you kiss this blackstone all your sins are forgiven. Even the shetani of cult is also found in the same city called mecca, this shetani is punished by muslims by throwing stones in the building of this shetani and building has been built by muslims not shetani himself. Only fools can believe in this cult. Immediately after taking shahada know that your brain is gone so you become zombie. Even scholars of this cult known as islam religion they say that muslims are supposed to believe without understanding and are forbidden to question anything concerning their cult. It's said that 99.8% of muslims do not understand what is written in their book called quran because their god called al lah uses only one language that is arabic language and it's a must to pray in arabic language. Internet is killing islam.
Barakallah fiika
Sheikh Allah akubariki.mimi ni mkristo.
Safi sana Ustadhi Dr Sule, Ni hadthi tamu sana, tumeenda sawa, utofauti upo mazngra alipozaliwa Yesu, chini ya mtende/ Hori la kulishia ng'ombe, but kla mtu afuate alichofundshwa vyote tumeletewa but hongera sana wewe ni mwl.
Jazzak Allahu Khair,shukran sheikh Wang kwa elimu
Mashallah Allah jambo la khery
Takbiiir
Ahsante sheikh Alhaj Doctor Sule kwa Elimu .
Mimi ni mkristo shekhe umenifurahisha sana maana unaongea ukweli mtupu mungu akubariki sana
Unaitwa Dr haki unastahili kwamaana unajua kujua kufafanua watu wa mungu waweze kuelewa tena kiuwepesi
MashaAllah jazakAllah khair Sheikh Dr Suley
Kweli kabisa shekh hitoria ya Maryam unaijua,nashanga waislam wengi hawataki kujua hilo
Ulijenga mjengo southninyi viongozi wa dini zote mna maisha bora kwa zaka za waumini
Kumbe zaka robo tatu iende kwa wahitaji siku hiyohiyo ijumaa na j'mapili, mnabadili magari na hiyo pepo mtaionaje ?
Hotuba mzuri
@@godfreyobadiah7892 😂😂😂😂🤣
Allhamdullh shukrani kwa mungu ametuzalia masheik wenye wakona elimu
MashaAllah mungu akulipe heri Kwa kutuelekeza yalio ya kweli
Natamani kama vile uebdelee nimefarijika sana japo mimi mkristo mkatoliki
Allah Kareem akufanyie wepesi Kwa kila Jambo maashaa Allah
Asante kwa somo zuri Mungu akubariki
Mashalllah ❤nimependa mafundisho ubarikiwe Allah akupe mema ya nchi
Allahu Akbar. Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza Sheikh. Hongera kutoka Kenya.
Mashallah Allah akufanyie kila la kheri sheikh SULE inshaallah
Mashallah ostazi 🙏🙏🙏🙏
Allahou Akbar cheikh sule acha allaha azidi kukupa umri marefu cheikh wangu nakukubali sana
Mungu mwema atujalie mwisho mwema ❤
Ma Sha Allah sheik
Barikiwa shekhe hunaga unafki
Mashaallah mungu akuwekeye wepesi katka mambo Yako yote duniani na akhera shkrani sn shekh😍😍😍
Shekhe Mrisho Ibni jumaa Ibni Mrisho wa Ibni Kipindura Amerithi jina la Babu Shekhe wangu.
Yesu aliwaambia wanafunzi wake yakuwa, mjihathari na mafundisho ya waandishi na mafarisayo
Mwandishi alosema yesu ni huyu:- matendo ya mitume 1:1
"Kitabu kile cha kwanza nalikiandika, Theofilo, katika habari ya mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha"
23:6 Matendo ya mitume "Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"
Amene
Mashallah, mwnyz mungu akubari shekh Suleiman
😂😂😂😂😂😂😂😂Dr Sulle,,,,nmecheka xnaaaaa leo,,, ujumbe mzito na maneno ya kufurahisha,,,, Allah akulinde Inshallah
Inshallah mwenyezi Mungu akubariki sheikh
Sheh unafaa kwa dini zote asante mungu akubariki
Hafai kwa dini zote, nenda kasome. Anaongea uongo tu apo
@@frankmpembuukikata mkojo kakojoe ulale AZAZIL
@@saidbakari2408 Kama inakuuma chomoa, ukweli umeshakuingia toka huko.
@@frankmpembu 😁😁😁 Pole saana kondoo uliyepote
@@saidbakari2408 Wewe ndiye umepotea kwa kuamini Qur'an ni ukweli kumbe ni uongo wa shetani aliyempa Muhammadi kwenye pango la Hira.
Kitabu=Upanga mkali,
Ukurasa wa 22, inasema
"Tulikuwa na mtume usiku Mmoja, Mara tukamkosa, tukamtafuta katika jangwa na mabonde, tukasema;ameuawa, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu. Kulipopambazuka mara tuka mwona anakuja akitokea upande wa hira, tukamwambia, tumekukosa, na tumekutafuta wala hatukukupata, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu; Akasema Muhammadi nilijiwa na muhitaji wa majini Bosi wa majini nikaenda naye nikawasomea Qur'an
YOU DID IT DR SULE
YO ARE REAL DOCTOOR
Doctor wa uongo
@@frankmpembukaa kwa kutulia mpinga kristo wewe
@@saidbakari2408 Mimi siyo mpina Kristo Kwasababu naamini Yesu ni mwana wa Mungu kama alivyosema yeye mwenyewe. Yohana 9:35-37, 35 Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu?
36 Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini?
37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye.
Wewe ndiyo mpinga Kristo, kama hutaki kuwa mpinga Kristo, amini leo kuwa yeye ni Mwana wa Mungu kama alivyokuambia apo kwenye Yohana 9:35-37
Amina shehe,,tuangalie majina ya kuwapa watoto,mimi ni mwinjilisti nimekupenda sana barikiwa
Wewe ni mwinjilisti wa uongo, yani hujui kuwa anaongea uongo
Mungu akubariki nawe pia ndugu
@@frankmpembu wewe ndo mungo na mnafiki,hapo sasa alizungumza uongo, kusema tuchague majina ya kuwapa watoto,acha ushenzi wako
@@saidbakari2408 Amina Asante
@@stevendavid8054 Utamsilizaje na kumuunga mkono mtu ambaye anaongea uongo, tena anatumia neno la Mungu kutetea uongo wake na wewe humkemei, wewe ni mwinjilisti wa mchongo na muongo, maana mtu muongo hawezi kumpinga muongo mwenzake Yohana 8:44-45 44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
45 Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
I would like the nxt content of dr to be how joseph become the father of jesus
Tumsifu yesu kristo Mimi nimesikia mwanzo mpaka mwisho Sheikh
Maelezo ni mazuri sana japokuwa mengine kama ni tofauti na ninavyofahamu na pia hayaendani na Historia. Mfano kusema kwamba Mariam mama yake Yesu alisali Msikitini ilhali sote tunafahamu kwamba Mariam alikuwa ni Myahudi na Wayahudi wanasali kwenye Masinagogi hapo ndipo ninapotofautiana naye. Kumbuka Mariam aliishi miaka takriban 600 kabla ya Muhammad (S.A.W). Hata kwenye Quran 22:40 inathibitisha kwamba Wayahudi walikuwa wanasali kwenye Masinagogi (SWALATUN) na sio misikiti.
Jazakallah
Nimefurahi sana unapohubiri habari za bikira Maria. Asante
Maashallah
Man'sha Allah sheikh
Ma sha Allah napenda sana kusikiliza mawaidha yake Allah amlipe ujira mwema
Shukrani sana
Bwana YESU Asifiwe Suleiman Alijenga Hekalu na sio Msikiti wowote
Nenda kasome yesu alikuwa akifanya ibada ktk masinagogi sasa katafute maana ya masinagogi utagundua kuwa ni msikiti kwasababu maana ya masinagogi ni masikiti wa wayahudi. Usikalilishwe kama kuna kitu hupaswi kuridhi ni dini fanya uchunguzi wa dini utagundua wapi sahihi ufate.
Anglicans pia tuko hapo mafundisho mazuri sana Barikiwa sheikh.
Nimekukubali shehe ubarikiwe sana
Mungu akutie nguvu shekhe
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.
Mahubiri mazuri sana ubarikiwe mno
Mansh Allah Alhamdulillah
Maashallah
Unaongea ukweli kabisa,mafundisho mazuri haya
Hiyo ndiyo injili yenyewe hasa inayopatikana ktk Quran maana wengi hawajui Quran nini Quran ni kitabu cha mtume Daudi A.S ambacho ni Zaburi ,Torati ya Mussa A.s Injili ya yesu A.s na Quran yenyewe ya Muhammad ni kitabu kilichoshiba kweli hakuna kitu utakachokosa kuhusu mitume kabla ya Muhammad ni kitabu cha haki na ndio maana hata Muhammad kafundisha mama yake yesu ndio mwanamke aliebalikiwa kuliko wanawake wote ingekua uislamu sio dini ya haki bc Muhammad angemsifia mama yake lakini ye ndio kaja na Quran lakin kamsifia mama yake yesu ambaye alikuwepo kabla yake na wakati huo mama yake yesu na yesu mwenyewe hawapo washaondoka duniani .
Safi sana Dr, sule
Yean wewe ndio unajua dini naona katika waislam wewe pekeako ndio hauna unaguzi wa dini na umekubaliana na wa kristo wengine wanawaita
MAKAFIRI
HAWANA HOFU YA MUNGU
ALLAH aendelee kukutunza🙏
Makafiri sio wakristo eleweni kafiri ni yule asiejua Kuna mungu ,kufa na kufufuliwa na siku ya mwisho
Masha Allah very history
Mashallah ❤
Jazzakallah
Inshallah shekh Allah akpe kher
Masha Allah Al Hajji - Hussein Kaituko, Bungoma, Kenya
Assalamam aleikum Mungu akujaze kheri shekh 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu akubaliki shehe
Aamin
mungu akutunze sheikh am Christian lakin napenda mafundisho yako🙏🙏
Hàihitajiki nguvu nyingi kuyaelewa mafundisho yako.
Ubarikiwe
Naaam
Kuwa muislam
Barak Allahu feek Dr sule
MashaAllah 💕💕💕💕💕💕💕💕
mpumbavu wewe wamusikiliza huyu mwongo .kweli wajinga hawawezi kuisha dunia hii
Masha'Allah
Mashaalllah, M/mungu akupe umri mrefu sheikh vizaz vijavyo vifaidike zaid na darasa zako
😅 by
AllAh atuongoze
Hadithi nzuri sana mashallar
Mashallah ♥️ 🙏
Masha Allah 🥰🥰
Waisram wanamariam wao munyazi mungu wao kwaujumla tuendelee kuwaombea waje kwa Jesus
Nimepata kitu kutoka kwako Shekhe
Mungu akupe nguvu ya kuinjilisha. Neno
Mashalla
Amin
nimeona wakristo na waisilamu hatuna tofauti kubwa
Masha Allah tabarakallah
Nakufata vizuri sheh
Mawaidha Matamu kweli walah hizo bangi unataja Ustadh me nimechoma kijiti apa ndo kwanza imenituliza apa nikiinjoy mawaidha yko usilolijua n ucku wa Giza karibu 254
Amina
Asalam aleikum warahmatudhahi wabarakatuh.Umesema kweli
Mungu akubariki jamani sheehee..amuna tumepingwa vita wakatoliki alibarikiwa kuliko wanawake wote
Sheikh mungu akubarik sana
Mashallah
Maashaanllaah anlaah akuzidishie
Mungu akupe umli mlefu
Uzuri uislamu unakazana kuhubiri ukristo na wakristo wanakazana kupiga injili.
Hongera mtaalam Doctor Suley
Asante Shehe nimelewa sn leo
Hapo Kwenye majina nikweli kabisaaaa💯