Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Mate yamenijaa
Nice napenda nyama choma
Maa shaa Allah "ubarikiwe dear
Kufundisha vzr sana ubarikiwe
Dah...nimejikuta najiramba...asante ika ntajaribu
Wow yummy and sweet
Kazi jema kabisa
Looks delicious
Asante sn
Masaa mengi sana
👍
My today's menu😋😋 ntatumia recipe
Hope u enjoy 😋
Kwa jiko la mkaa bila oven
How long should nyama choma be cooked in the oven
Kwa jiko la mkaa je dada yangu inafaà???
😋😋😋😋😋😋😋
Sasa ambao hatuna oven ndio hatutokula hiyo nyama ama vp?Tupo na namna ya kuchoma kwa jiko la mkaa bhana.
Jaman dada tufundishe kupika kisinia au utuelekeze jinsi ya kukipangilia
Ugal
Kula na mihogo ya nazi
Mate hk 😋
Sasa da Ika utanisaidiaje nilisahau nikatizama saa Saba mchana kabla sijala njaa ikawa Mara Kumi.acha tuu nikakumbuka krismas moshi.
😂😂😂
Hi Ika,,,waeza tumia airfryer pia?
Ndio…
@@ikamalle asante
Unatumia moto wa juu na chini ?
Wa juu na chini kwa pamoja
Kama mutu anataka tumia giko la mkaa atafanya dje??
Sio giko.. Ni jiko
Karibu
Mate yamenijaa
Nice napenda nyama choma
Maa shaa Allah "ubarikiwe dear
Kufundisha vzr sana ubarikiwe
Dah...nimejikuta najiramba...asante ika ntajaribu
Wow yummy and sweet
Kazi jema kabisa
Looks delicious
Asante sn
Masaa mengi sana
👍
My today's menu😋😋 ntatumia recipe
Hope u enjoy 😋
Kwa jiko la mkaa bila oven
How long should nyama choma be cooked in the oven
Kwa jiko la mkaa je dada yangu inafaà???
😋😋😋😋😋😋😋
Sasa ambao hatuna oven ndio hatutokula hiyo nyama ama vp?
Tupo na namna ya kuchoma kwa jiko la mkaa bhana.