Hatari! Kimbunga HIDAYA kilivyoipiga Mafia, Miti mkubwa, mikorosho yaangushwa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 05. 2024
  • Wananchi wa Kisiwa cha Mafia ni miongoni waliopatwa na majanga ya Kimbunga Hidaya kilichotikisa kuanzia jana usiku na kudumu kwa saa kadhaa hadi leo Jumamosi, Mei 4, 2024. Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa umesababisha mafuriko, miti mikubwa ikiwamo mikorosho na minazi kudondoka kwenye makazi ya watu usiku wa manani. Tazama hali ilivyokuwa kwenye baadhi ya maeneo kisiwani Mafia.

Komentáře • 24