Bibi Arusi Wangu wa Kiafrika | Filamu ya Mapenzi Vijijini | Imetafsiriwa kwa Kiswahili HD
Vložit
- čas přidán 28. 09. 2023
- Bibi Arusi Wangu wa Kiafrika | Filamu ya Mapenzi Vijijini | Imetafsiriwa kwa Kiswahili HD
Studio: Renyifei Media.
Mzalishaji: Fan Jianghao.
Mkurugenzi: Ren Yifei.
Mwandishi: Ren Yifei.
Inaigiza: Lu Yuwen, Michala Nanje Brook (Ghana), Zhao Jun.
Aina: #filamu #mapenzi #vijijini - Krátké a kreslené filmy
Jaman tuwe wakweli muvi nzima uyo muafrika ni mzur kuliko wote Asante mungu kuniumba mweusi mimi
Hii hadithi Inatufundisha upendo auchagui rangi au kabira safi naipenda❤❤❤
Jamani hii move waliotafri ni wa king'amuzi cha star times wananikumbusha double cara ❤❤
Kweli mwaya na the blood sisters
Sauti nzuri jamani 😊😊
Yani mm nakumbuka mbal atar
Double Kara my favorite
❤❤❤❤ jamani nimelia sna 😭😭nakucheka pia 😅😅,,walai hii movie ni nzuri na ina sisimua 🎉🎉🎉🎉 hongereni 🎉🎉❤
Movie iko tamu.mpaka raha❤❤❤ dj nyengine basi tuletee❤❤🎉🎉🎉
Katika movies zilizo wahi kunitoa chozi basi hii imenitoa chozi😢😢😢 hongera sana kwa kazi💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼🥰🥰🥰
Nimeipenda sana ❤❤❤❤ Lulu ni kiboko
Nyie watu hebu toeni movie nyingine tumezipenda movie zenu
Hâta mm nimeipenda ❤❤❤❤
Waafrika wazur balaa
Hii hadithi ni nzur zaidi❤❤❤❤❤
Iyi movie nimeipenda inanipa mafunzo yakuishi apa nilipo kumbe mwisho watanipenda asante lulu kwa ujasiri
Picha nzuriiii asante sana nmefrai na picha lulu ni kama lafki ang nimesoma nae yaan mmeni kumbusha mbaliii lulu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nizuri kweli nime liya machozi ya furaha ongereni sana❤❤❤
Ila mwishoni imenilinza jmn😢😢😢😢❤❤❤
Nimetumia sana watu weusi kwa watu weupe hawatupendi
Z
only!
Aki nimeipenda sana❤❤❤❤❤❤mke wa kiafrika anaongea km ana wa azitando😂😂😂😂 i like its so much 🥰🥰🥰🥰🥰🥳🥳
Nzuri kwer pia ,,inaonyesha upendaaa, jwa watu wa africa
Munge subtitle kwa kingereza ndio wanaoelewa kingereza wakajisomea kwa screen yao sasa mtu kama hajui kiswahili na hamjaeka English subtitle si unaona mwelekezi umeanguka mtihani ❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
Nimecheka mno. Inafurahisha, nzr sana❤
Jamani nimeipenda sana japa inauzunisha
Move nzuri nikweli wapo watu wa hivyo wagumu kwa wasichana wa kiafrica huwe mweusi mweupe muafrika Ila Nimependa huyu dada kachangamka ukiwa mpole sana wanakupanda kichwani
Safi kabisa 😂😂😂
Kazi nzur tuleteeni zingine
It’s more amazing this is the best movie ever ❤❤❤❤❤❤❤
Movie mzuri sana hongera kwako.
Jamani imenitoa machozi mwishoni😢😢
Ime ni huzunisha hpo mwisho😢😢😢
Ni nzuri jaman huku mwishon hadi nimelia
Asante lulu kwa kutupa motivation 😅 kwaiyo mwanzo tutanyanyaswa mwisho wakwe na kijiji kitatuelewa ok 😊
Hadith tam❤
Beautiful movie
Nzr San jamn ndio mwisho daah au yaendelea❤❤❤❤
Good translation mmefanya kazi nzuri ya kutafsri ❤❤
Haya nilipitia mimi kwnye ndoa yang kabisaaa Duh inakosesha furaha ukiyaweka kichwani ila ukiwa km Lulu unaishi nao kibishi lkn n changamoto sn📢
Nimeipenda hi filamu
Asanteni sana ,movie nyingine kama hii jamani ❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ YEEEES AFRICAN GIRL💋💋💋
Kwakwel hii mmeifanya vizur tofaut na zengine sauti zinauharisia
Nimeipenda mno❤
Jaman nimeipendai ❤❤❤😊😊😊
Waooh amazing ❤❤❤❤❤❤
Nime penda san kbs 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Bibi harusi nimempenda amejua kumchangasha mama mkwe mpuuzi 😂😂😂😂
Movie tamu sana ❤❤❤
Nzuri sanaa❤❤❤
Move nzur Sana inafurahisha
Wow nipemda sana 😊
Good nimeipenda hi movi
Upendo wa kweli hushinda siku zote
This is the best movie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hadithi nzuri kweli
❤❤❤ hii movies ninzuli sana
So beautiful ❤❤
Ni nzuri Santa jamani ❤❤❤
Nzuriiiii❤❤❤❤
Ninzuri sn ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 ak lulu
Bomba kabisa
Ni nzuli sana inafundisha
Kamovie katamu haka jaman japo mwishoni kanaliza sana♥️😭
love the history
Nimecheka sana
Nimepeda sana stor hi
Yani tangu naanza kuangalia hii movie cjatoa chozi😅, mpaka nafika mwisho mama mkwe alivokiri kwamba lulu ni mkwe wake bora kwa kosa alolifanya bila kutarajia kama atamuumiza lulu, hakika limenitoka chozi bila kutaka😢😢
😢😮😅❤❤ mcheshi sana lulu
Yaani kumbe movie inaweza kuwa nzuri bila wahusika kuweka scene za ngono, kuvaa vinguo nusu uchi, pombe, nk
Sijapenda huyo mama na avyomchukia Lulu na kumbagua😏
Best movie
Cool
Hu mwanamke hajavaa uhusika wa mwanamke wa kiafrika kabisa
Movie nzuri
Tukepeda❤❤
Shukran ❤❤❤❤😂😂😂
❤❤❤❤
Safi sana
Ila huyu mwenzetu mbona hana adabu?Katoka upande gani wa Afrika??Katuaibisha sana huyu.
ametoka upande wa buza kwa mama kibonge na iyo ndio dawa ya wakwe wakwerekwe
@@ashurajengela3926 😆🤣🤣🤣
🎉🎉❤
Wow 👌 ❤❤❤😅😅😊
Jaman nimeiipendai
😂😂😂😂😂😂nimeipenda
Part two jaman n nzur
Mimi sija erewa hiyo moves au katuni
Hebu toeni movie nyingine nyingi ni Tam Sana
Huyo Mwanamke wa kiafrican anaogea sana 😂😂😂😂
😍😍😍❤️❤️❤️🔥
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Wow
Sijawai cheka kama leo😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Muendelezo pls movie nzuri sana
Maudodo sio Poa
😊😊😊😊
F❤❤❤❤
😊😊
Aky hi movie 😅😅😢😢😢
Kajukuu katakuwa keusi
😊😊😊😊😊😊