He is Yeshua, the Son of God, lineage of David.....He was before the beginning of time....He had been exalted and sits on the Right hand of the Father. His name is filled with power, no one can fathom. Everything bows at the utterance of this marvelous name, every tongue truly confesses and shall confess that he is the LORD.... Yeshua, you are the Prince of peace, the Wonderful counsellor, the light that shines my path, my life and my Truth 🙏
Kuna vitu vitamu nyieee😋In His presence 🔥hii ladha haielezeki nakwambia ulikuta unaweza kuielezea bado hujaelewa na hujalewa 🔥🔥🔥BABA ANAWATAFUTA WATU KAMA NYIE
Yes hii ndomaana ya kumwabudu Baba katika Roho na kweli hakuna haja ya kuangalia nan anacomment nn napenda na kuvutiwa na hii kitu... Brother you are my mentor for real
Jamani hii nyimbo binafsi naona ni kama wakristo tunaiga nyimbo za hiphop za kidunia ....hii nyimbo inaburudisha zaidi mwili kuliko kuhuisha roho kwa maoni yangu....
Mimi nilivyosikiliza hizi rap nimeona kama,haiko katika kuabudu,,coz mtu akirap unahitaji kusikiliza anasema nn sasa kitendo cha kusikiliza unakuwa kama unatoka rohoni,,naona Ki Mungu kuimba ni bora zaidi
Msisahau kuwa shetani alikuwa malaika mkuu wa sifa mbinguni so alivyoshushwa duniani hakunyang'anywa ujuzi wake ndo mana anautumia ule ujuzi katika nyimbo za dunia na watu wa Mungu wanafikiri kumuimbia Mungu kwa kurap ni kosa, hapana sio kosa ni mnajaribu kujulishwa kuwa Mungu anaweza imbiwa kwa namna yoyote ile,,,
I hate this rap things worldy things yaani hivi kwanim8 muibgine mambo ya kidunia kwenye wimbo wenye uwepo kama huu mmeuharibu wimbo wa watu kiukweli wasikilizeni wenzenu wanaijeria wanavyoimba na uwepo wa Mungu unashuka
nimiondoko tu hiyo mzee unawza tumia any of kama taarabu rege kwaito afropop classical ni nyingi doesnt mean ni dhambi ni vile ww umezoea kusikia hiphop za secular
Your destroying the gospel music, hakuna uwepo hapo ni kelele tu, the song has a very good name pia massage ila mnaiharibu. john 4:23 (waabuduo halisi) Zoravo ulikuwa safi ila kwa sasa unaharibu rudi kwa Mungu, pia stand with right people.Mungu awasaidie sana.
😂😂😂😂Ety arudi kwa Mungu kwahiyo hapo ni wapii.. Na hao right people ni wapii.. Wacha kutuwekea vikwazo kwenye kumsifu Mungu. Na hizo kelele unazosema ndo Mungu anazipenda sasa.. We are praising the Most Highly God. Who is Yeshuaaa😍😍

Moyo wa ibada nauona kwako ubarikiwe sana
The best version ever ... I'm really blessed from Kenya 🇰🇪 Zoravo ft Bella Kombo is another hype lets all gather here to support good music
moyo sana🎉🎉
Nimebarikiwa sana. Naona Mungu anazidi kuinua watumishi wake zaidi. Jina lake lihimidiwe
Kuna vitu vitamu nyieee😋In His presence 🔥hii ladha haielezeki nakwambia ulikuta unaweza kuielezea bado hujaelewa na hujalewa 🔥🔥🔥BABA ANAWATAFUTA WATU KAMA NYIE
Yes hii ndomaana ya kumwabudu Baba katika Roho na kweli hakuna haja ya kuangalia nan anacomment nn napenda na kuvutiwa na hii kitu... Brother you are my mentor for real
Hakuna kama Yesu duniani na Mbinguni
Watching from Tanzania
Yeshua is His name 🙏🙏💯
Tanzania my contry your blessed
Mungu akubariki sana. Mungu akuongezee mafuta na kibali kwenye utumishi wako
THIS IS POWERFUL.
All belongs to Him alone
Mshibi au mtishibi
YESHUA ❤❤❤
I didn't see this kind of rendition coming. So nice and what a blessing ❤🎉
All praise be to Yeshua🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
🔥🔥🔥
Powerful and nice rendition. To God be all the glory. A slight critique of good faith, kindly let the mic be held correctly.
The good he has done is unbelievable . As a student he has been great to me
He is Yeshua the one who was before the beginning of anything and without him nothing could happen
Bella kombo ,zorava😊
That switch @2:02 👌❤
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🔥🔥🔥
Be blessed man of God your songs are so inspiring me God bless you brother !
Nakueshim san mz wng mungu zaidi kukutumia zaidi na zaidi
Num watching 😊😊😊😊
😢
Yesu azidi kuwatumia, my prayers with you all
Yeshua,Yeshua🙌🙌🙌..All glory and honour belongs to him#this version❤❤
Hakuna kama ye.
🔥 🔥 🔥 🔥
Be blessed zoravo
That rap aseee 🙌🏿
Nzur
🔥
Aaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiii......... YESHUA
Blessed, Melanie, Jerry, Brenda, Agness na mashosti zenu hapo mbele mnalewa kiboshooo sana😅🤣🤣
first
Love the groove
❤❤❤❤
GOD bless you all
Be blessed role model @zoravo
So prophetic indeed
Pacha God Bless you
Woow❤️
🙌🙌🙌🙌
This is fireeeee
Hallelujah 🔥🔥🔥🔥
Motoooooooo
Powerful. God bless you
Hii staili ya zoravo ya kuchezaa 😂😂 jaman tujaw kwà roho 2
OMG this song 😅😅😅 I love it
Jamrackkkkkk🎉🎉🎉🎉
Glory to our mighty God
Eliaa Man umeuaa 🤜🤜😂
Hallelujah
Jamani hii nyimbo binafsi naona ni kama wakristo tunaiga nyimbo za hiphop za kidunia ....hii nyimbo inaburudisha zaidi mwili kuliko kuhuisha roho kwa maoni yangu....
Mimi nilivyosikiliza hizi rap nimeona kama,haiko katika kuabudu,,coz mtu akirap unahitaji kusikiliza anasema nn sasa kitendo cha kusikiliza unakuwa kama unatoka rohoni,,naona Ki Mungu kuimba ni bora zaidi
Jamani ata Mungu wetu anahiyaji kusifiwa kwa Ufanisi
Asee apo kweli......
Warumi 12:1, toeni miili yenu kuwa dhabihu kwa Bwana,,,,,
Sasa kama unakwazika wanavyomsifu Mungu kwa kuitoa miili yao wewe bado huijui bible
Msisahau kuwa shetani alikuwa malaika mkuu wa sifa mbinguni so alivyoshushwa duniani hakunyang'anywa ujuzi wake ndo mana anautumia ule ujuzi katika nyimbo za dunia na watu wa Mungu wanafikiri kumuimbia Mungu kwa kurap ni kosa, hapana sio kosa ni mnajaribu kujulishwa kuwa Mungu anaweza imbiwa kwa namna yoyote ile,,,
😂😂😂✅️
Nani ameona mke wa zoravo ? Mahali😂😂
Ni nani uyo😅
ni nini mnaimba sasa.
Go ask bible
Elia mtishibi not mshibi... Out of that The song is good
I hate this rap things worldy things yaani hivi kwanim8 muibgine mambo ya kidunia kwenye wimbo wenye uwepo kama huu mmeuharibu wimbo wa watu kiukweli wasikilizeni wenzenu wanaijeria wanavyoimba na uwepo wa Mungu unashuka
nimiondoko tu hiyo mzee unawza tumia any of kama taarabu rege kwaito afropop classical ni nyingi doesnt mean ni dhambi ni vile ww umezoea kusikia hiphop za secular
Your destroying the gospel music, hakuna uwepo hapo ni kelele tu, the song has a very good name pia massage ila mnaiharibu. john 4:23 (waabuduo halisi) Zoravo ulikuwa safi ila kwa sasa unaharibu rudi kwa Mungu, pia stand with right people.Mungu awasaidie sana.
😂😂😂😂Ety arudi kwa Mungu kwahiyo hapo ni wapii.. Na hao right people ni wapii.. Wacha kutuwekea vikwazo kwenye kumsifu Mungu. Na hizo kelele unazosema ndo Mungu anazipenda sasa.. We are praising the Most Highly God. Who is Yeshuaaa😍😍
john 4:23 @@meshacknassary8023
moyo sana🎉🎉
Watching from Nairobi Kenya