Ww sio mungu kusema ni mwisho sule kutangaza dini sawa hakuna atalike ujinga kama huu unao usema chunga tumeletwa dunia kumuabudu Allah binadamu na majini na binadamu aweza mtumia jini kwa njia ya sawa soma bro
@@OmanOma-xi3hm wataka dini na nani quran Allah kasema tumewaumba majini na binadamu kumubudu Allah sasa kama hutaki dini na majini hatukuelewi mana majini wamubudu Allah kama ww vile unavo swali nao wanaswali na kuna majini wengine wakiristo waenda kanisani hujui ww
Bado hajapatikana mtu sahihi wa kumuhoji. Kuna follow-up questions nyingi sana humo katikati, mtangazaji unahama na kurukia sehemu nyepesi, lakini zilikuwa sehemu nzuri za kupata ukweli zaidi wa anachokitetea. Dah!!!🤔
Kama kuna wakati alimtaja jina huyo anayemhoji (12:12), kumbe anaitwa George, sasa unategemea mtu kama huyu anajua misingi ya shirki kulingana na uislamu?
unatakiwa utubie kwani kujinasabisha na kuzungumzia dini ya kiisilaam hali ya kuwa unalingania katika kufru na shirki hii ni hatari na upotoshaji na haya ni matunda ya watu kuacha quruan na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia mwisho wake mnawapoteza watu katka njia ya sawa allah akuongoze ewe sule
Wee mweyewe utakujua mjinga ujui tawhiyd kama sule ndo maana unatetea uchawi na hii ni ishara kuwa uko mbali na quruan na sunna na aqual za ulamaa qadiyman wa hadiytha الله المستعان
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Wasemaje kuhusu aya iliyomo ktk surat albaqarah هو الذي خلق لكم ما السموات وما في الأرض ALLAH NDIYE ALIYEKUUMBIENI VYOTE VILIVYOMO MBINGUNI NA ARDHINI. Maana yake ni kwamba vyote vimeumbwa kwa ajili ya kumnufaisha mwanadamu. Malaika huwaoni lakini wanakunufaisha, upepo huuoni lakini wakunufaisha. Sasa kwa nini jini asikunufaishe utapohitaji kumtumia?¿ Muogopeni Mungu kuattack msvyovijua. Kwani sule haogopi Jahannam mpk ajiingize kwenye ushirikina?? Anaogopa sana pengine zaidi yako, ila anaendelea kufanya hivyo kwa sababu sheria yamruhusu kutokan na utaratibu unaotakiwa. Nyinyi ndo mnaowahukumia waislam tena WANACHUONI WAKUBWA wanaabudu makaburi kisa tu eti wameenda kumuomba mungu ktk maeneo ya makaburi.
Dr sule masala ya nyota pia niushirikina rasullullah amtufunza adhkar za asubuhi na jioni unakuwa strong mchana na jioni unaropokab2 huna Aya Wala Hadith
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Hivi waislam wenzangu hata kama hatujapata elmu ya kutosha vipi ikiwa katika maisha yetu kila mtu anatmia jini katika kutafuta kwake rizki? Namaanisha kila mmoja wetu awe na jini ambae anamtumia katika mambo yake hii dini itakuwaje ndugu zangu! Ni ushirikina ushrikina ushirikinaaaaaaaa
Kitu nilichogundua nikwamba watu hawataki mtu azungumzie uhalisia wa maisha ya binaadamu jamanai nje ya dini kunamaisha ndio kama hivo uchawi nje ya maisha sasa mnavombishia sule je uchawi hakuna? unakuwaje muislam alafu useme jini hakuna sule yupo sahihi na ukimbeza sule omba mungu yasikukute ila ukirogwa mwenyewe utaenda kwa mganga utake usitake uwo ndioukweli na kweli pesa za majini zipo mbona watu wanaishi kwenye zama izo na wanafanikiwa msitake kilakitu mlaum kwangu naona sule yupo sawa sababu hasemi kama dini ndio imeamrisha hivo
@@user-tz8zu2gt6u kuna tafauti gani kati ya anaemuabudu jini na anaemuabudu mwanadamu anaekula na kukidhi haja . Hatuwezi kumuamudu kiumbe mwenzetu sawa ni jini au yesu. Hamjielewi wakristo haifai kuabudu kiumbe jini au yesu
Yaani unajichanganya sana mala nawatuma majini mala wengine wabaya mala huwa nawatumia majini kweli wewe mtumwa wa majini unayahubili majini kuliko. Mungu mungu wa mbinguni hutuma malaika kutusaidia hatumii majini
Mungu anaweza kutumia chochote akitakacho kwenda kwa mtu yoyote amtakaye na kwa mda wowote autakao sababu yey ndo kawaumba wote na hajiwekei mipaka kwenye kuwatumia ila tofaut ya malaika na binadamu ni kuwa malaika wao wapo na utiifu pekee juu ya mungu ila majini na binadamu tumepewa uhuru wa kujichagulia iwe tumuabudu mungu au tuasii. Mwishowe ktk Dunia binadam ndo kiongoz wa viumbe vya dunian so jiongez
Subuhanalla Allah hamtumijini ktk utumwawakee ana majeshi yake ktk kazi zake sawa Sule sio jini yakh angelikuwa ni mtume sawa ila siyo jini kwenda kuchukua mambo ya nayokuja kweye lahi mahfzi akakuletea ww siri hiyo hiyo siuhalali bali ni ushirikina tubia sule hayo simambo mazuri bali nimambo mabaya kabisa unamzalilisha Allah na mtume wake unamzalilisha umati wake unaizalilisha dini yake
Iyo elim ni ndef san kbs kama hujaelew vizur dokt sule anachokisem ni sahihi kbs majin wapo wazur na wabaya kama jins balivy kuw viumbe wa allah katika wanadam ata na katika majin ni ivo ivo ,someni vizur Ila hakun sehem inaruhus kuwatumikia ,n'a ushirikina ni kumshirikish Hao kuabudu kinyum na mwenyezimung ata n'a kweny wanadam unawez kufanya shirki tuache kwa majini
sule nakwita ndugu yng Rudi kwa Allah uislam hauko ivo majini wazur hawawezi kushirikuana na binadamu Kubali umekosea omba maghufira Hakuna muislam yeyote atakaekuelewa na Uongo wako
Subhanallah inabidi sheikh sule aachane na hii elimu mwenyewe sasa anaongea lakini kiundani unaona anapata shida kusadiki anayoongea km ni kweli qur an imeruhusu, huwezi jua jini mmbaya na mzuri kwa sababu hawaonekani Hawa viumbe na ni waongo hatari
We kama unaweza kuwatumia basi oa funga ndoa na dada wa kakake jini unaemtumia Acha uongo hakuna mwenye uwezo wa kuishi na majini hiyo ilkuwa ya nabii Suleimani sio sule.Hauna uwezo huo.Uongo tu.
Kunyamaza Ni hekma Sule, Yani utaropoka kama mtu aliolishwa usembe, Unaweza enedelea na mambo yako lakini usijinasibishe na Uislam, Wallah utadhalilika Saaana , Tazama hadi Nuru ya Uislam inakutoka
Yan doctor rejea kwa Allah unaharibu dini ya kisilamu wakiristo na baadhi ya watu watafikiria Kuwa dini ya kisilam ni dini ya majin na inatumikiwa na majin tumia akili na dalili shehe
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
We unaakili sana jamaangu asilimia 90% ya watu weusi humbishia mtu husika anayejua kitu kilicho mkuta mtu juu ya kitu asichokijua kwa hoja ya machache anayoyafahamu yeye toka kwa watu anawaamini yeye
Hiyo siyo tafsiri ya kuwajus Majin wabaya na wazuri Tafsiri sahihi ni jini mzuri hausiki na mafungamano yoyote na wanadamu wao kwa wao watafungama kwa maisha yao Na wabaya yeyote atakayeenda kinyume na sura hiyo niliyoieleza kwa nyongeza Hawa sura kuwa ni kule kuingia kwa wanadamu na kushirikiana nao ktk mambo tofauti wacha uwongo tubu kwa Allah huo uliona wewe ni fundi tu wa kuongea mtume anasema ktk ufundi wa kuongea na kubainisha Kuna uchawi
Sehemu za majini kuishi n kwenye mapango ,,,,baharini labda uwe waishi nao ww ila sio sisi ,,,,tena chakula Chao utakapo kula n usema Bismillahi kama nyama kwa uwezo wa Allah jini akija atakula ila atakacho kula ww huwezi ona acha bangi bana
Kama huo siyo ushirikina basi wanazuoni wate hawakufaham maana sahihi ya ushirikina, na kwa nini Mtume sala na salam zimfikie hajafundisha? Mche Allaah ndg yangu, hiyo ni shirki akhy.
Nilipokuwa sijasoma elimu ya dini nilimuona Shekhe mkubwa sana Afrika. Lakini nilipojifunza dini. Nikajua kwamba ktk watu waliokuwa hawaielewi dini ya uislamu mmoja wapo huyu sule. Ndugi zangu waislamu usiposoma dini yako kila mtu utamuona Shekhe lakini ukisoma ndipo utajua nani Shekhe na lipi shehena. Kwa roho safi.
Nimeamini kuwa ukisoma sana kuruan mwisho wake itakupelekea kuwa na elimu ya kujua sana unajmu mashehe wengi km marehemu shehe Yahya ndiye aliyekuwa bigwa wa elimu hiyo
Tofatisha kati ya waliozama KATIKA elimu ya kumjua Allah na mtume wake na hukumu za dini ya uislamu na WACHAWI.DR SULE NI JAAHILI HAJUI DINI HATA QUR-ANI HAJUI KUSOMA
@@ZUBERIHASANIKwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Dr sule Allah anasamehe makosa yte ila kwa kuamini na kutubia ...... From holy quran "sikumuumba jini na binadamu isipokua kuniabudu mm" tusipingane na maandiko sahihi badilika shekh hizi mali tutaziacha apa apa.... Mali na watoto ktk dunia ni mapambo ya dunia amali zako njema ndio zitakazoenda kusimama yaamul hashir.... Hakuna kifo kinachotokana na uwezo wa jini izo ni biasbabi tu Allah ndio anapanga Sku ya mtu umauti kumfika na Allah kma hakuuandikia kufariki kwasababu ya uchawi bs utaish duniani mpk uyo anaekuroga aakaanza yy kutangulia.... Badilika shekh tusimshirikishe Allah
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
nakataa kwa Jina La Bwana,Siishinna Jini kamwe! Hayo maisha yenu waislamu!! Jini halizuiliki kwa Bismillahi ni Uongo mtupu sababu na jini nae anamuomba huyo huyo Allah na ni waislamu pia utawafukuzaje?bila Kristo Yesu hakuna uzima,Sisi wakristo Tunaishi na Malaika tuuu!!!!
Inna lillah wainnaa ilayh raajiuun.. Dr.SULE UMEIPOROMOSHA HESHIMA YAKO KABISAAAA.. HAKIKA UMETELEZA NA NAMUOMBA ALLAH AKUREJESHE KATIKA NJIA YA SAWA UEPUKE NA USHIRIKINA AMBAO UMEJITANGAZIA POLE SANA KAKA HUJACGELEWA TUBU KWA ALLAH TUNAKUSIHI NA KUKUNASIHI TUBIA DR.SULE NAKUSIHI NIJATHMINI UPYA HUJACHELEWA TAFUTA ILMU KAKA BADO UMRI NA AKILI VINAKURUHUSU SOMA TAUHIDI SANA KAKA NASUKITIKA SANA KWAKUA ULIKIA KIPENZI CHA WAISLAMU WENGI AKIWEMO MIMI ILA KWA HILI ULILOKUJA NALO NA USHIRIKINA WA WAZI KAKA ALLAH AKUO GOZE NA AKUOBESHE TENA NJIA SAHIHI AAAMIIN
Tuitafute Elim ndio tuhukum maana mnamkufurisha sule ila mkiuliza ukafiri wake uko wapi hamna majibu .......halyastawi lladhiiiya ya alamuuuna walladhiiina laaa yaalamuun.jibu ni hapana na ndio kinachooonekana hapa
Habari broo naitwa Evans nina kesi mahakamani nadai nyumba Yangu nilianzia baraza la kata akashinda nikaenda mahakama ya wilaya akashinda nimeenda mahakama kuu jaji akafuta ushindi wake na akanambia nifugue Kesi ya kudai nyumba mahakama ya wilaya kwani wakili wangu aliitaka high court kupitia upya mauzi ya mahakama ya wilaya n
Kila tukiishii tuombe husnul hatima ulianza vzr sasa sheitwani ashakuteka.mchawi hana maana.mandhaladhi yashfau indauilabiidhini.....waislamu huu n msiba mkubwa ndio mana tz hamuishi mafuriko.
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Mtume Muhammad Swallaallaahu alayhi wasallam ndio kigezo chetu na ndio tunamfuata lini alitumia jini kwa ajili kusaidia ktika kitu fulani vita vilikua vikali hkutaka misaada Kwa majini wala katika shida yoyote hakutaka msaada kwa majini bali alitaka msaada kwa allaah pekee
Sulley jiangalie vizuri, tafuta radhi za Allah. Kuna mahala ulikosea. Ulijificha muda murefu ila sasa umejidhihirisha. Nakuomba Sheikh wetu tafakari vizuri ulikosea wapi?

Wewe ni mshirikina na hata uchukie ushadumbukia katika dimbwi la ushirikina fanya utubie ungali bado hai.........usitafute janja janja Dini haikuacha kitu na elimu katika hii dini haiwezi kuzidi elimu aliyopewa Mtume MUHAMMAD ﷺ DINI HAITAKI JANJA JANJA.......KIVULI UNACHOTUMIA KUFICHA MAMBO YAKO KITAISHA
@@mohamedkeref9589 Elimu ipi katika mafundisho ya Mtume MUHAMMAD ﷺ imefundisha ushirikiano wa binadamu na majini km wasaidizi? Nami sijamkufurisha Soma vizuri hiyo comment unionyeshe nilipomkufurisha
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Huuni mwisho wa DK sure kulingania uisilam AU mnaonaje like tujuwanr
Ww sio mungu kusema ni mwisho sule kutangaza dini sawa hakuna atalike ujinga kama huu unao usema chunga tumeletwa dunia kumuabudu Allah binadamu na majini na binadamu aweza mtumia jini kwa njia ya sawa soma bro
mawazo ya kijinga, ndiyo unafaidika nini
Hatutak dini na masheytwani mashekhe wapowengi wenye elim
@@OmanOma-xi3hm wataka dini na nani quran Allah kasema tumewaumba majini na binadamu kumubudu Allah sasa kama hutaki dini na majini hatukuelewi mana majini wamubudu Allah kama ww vile unavo swali nao wanaswali na kuna majini wengine wakiristo waenda kanisani hujui ww
@@saba-gv3mj hakuna majini wakristo....hakuna Hilo jambo kwenye biblia ni huko huko kwenu
Ama kweli ni bora mlevi wa Pemba kuliko shekhe wa Tanganyika 👐
Subhaana-Allah muogope Allah
Bado hajapatikana mtu sahihi wa kumuhoji. Kuna follow-up questions nyingi sana humo katikati, mtangazaji unahama na kurukia sehemu nyepesi, lakini zilikuwa sehemu nzuri za kupata ukweli zaidi wa anachokitetea. Dah!!!🤔
Huyu janja janja nyingi hawezi kuruhusu watu sahihi kumhoji atakambilia tu kwa wasiojua wanaotafuta likes na viewers tu basi
Kama kuna wakati alimtaja jina huyo anayemhoji (12:12), kumbe anaitwa George, sasa unategemea mtu kama huyu anajua misingi ya shirki kulingana na uislamu?
Kwa sababu anaemuuliza hana ilimu ya kile sule anachokiongea, anahitaji aulizwe na msomi wa kiislamu. Huyu ni daktari wa wadudu
unatakiwa utubie kwani kujinasabisha na kuzungumzia dini ya kiisilaam hali ya kuwa unalingania katika kufru na shirki hii ni hatari na upotoshaji na haya ni matunda ya watu kuacha quruan na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia mwisho wake mnawapoteza watu katka njia ya sawa allah akuongoze ewe sule
SOMA KWANZA KISHA UTOE HUKUMU. USIHUKUMU KWA KUKARIRISHWA
Wee mweyewe utakujua mjinga ujui tawhiyd kama sule ndo maana unatetea uchawi na hii ni ishara kuwa uko mbali na quruan na sunna na aqual za ulamaa qadiyman wa hadiytha الله المستعان
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Jini humuoni unajuaje kama huyu ni mzuri na huyu ni mbaya acha kutudanganya we sio nabii suleiman
Ukisoma utaelewa iyo ni kazi watu wanasomea omba mungu yasikukute ila uchawi upo na mchawi anamtumia jini
Wasemaje kuhusu aya iliyomo ktk surat albaqarah
هو الذي خلق لكم ما السموات وما في الأرض
ALLAH NDIYE ALIYEKUUMBIENI VYOTE VILIVYOMO MBINGUNI NA ARDHINI.
Maana yake ni kwamba vyote vimeumbwa kwa ajili ya kumnufaisha mwanadamu. Malaika huwaoni lakini wanakunufaisha, upepo huuoni lakini wakunufaisha.
Sasa kwa nini jini asikunufaishe utapohitaji kumtumia?¿
Muogopeni Mungu kuattack msvyovijua.
Kwani sule haogopi Jahannam mpk ajiingize kwenye ushirikina??
Anaogopa sana pengine zaidi yako, ila anaendelea kufanya hivyo kwa sababu sheria yamruhusu kutokan na utaratibu unaotakiwa.
Nyinyi ndo mnaowahukumia waislam tena WANACHUONI WAKUBWA wanaabudu makaburi kisa tu eti wameenda kumuomba mungu ktk maeneo ya makaburi.
Dr sule masala ya nyota pia niushirikina rasullullah amtufunza adhkar za asubuhi na jioni unakuwa strong mchana na jioni unaropokab2 huna Aya Wala Hadith
Ahh na ukiwa baharini umepotea ukitumia nyota utakua umemshirikisha swali nijibu nijue kidogo
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Fact
Mzee sisi tunakupenda tunakuombea urejeye kwa Allah
Sule utammiliki vipi jini pasina ya kua mshirikina jibu swali????
Jini waeza miliki na usiwe mshirikina hata bin taymia alikua akitoa majini wabaya msome sheikh wenu ibn taymiyah
Hivi waislam wenzangu hata kama hatujapata elmu ya kutosha vipi ikiwa katika maisha yetu kila mtu anatmia jini katika kutafuta kwake rizki? Namaanisha kila mmoja wetu awe na jini ambae anamtumia katika mambo yake hii dini itakuwaje ndugu zangu! Ni ushirikina ushrikina ushirikinaaaaaaaa
Pole sana ndugu angu Yesu anakupenda
@@charlesboniphace2249 Na mi nampenda pia kwasababu ni Mtume wa Allah ambae alimtuma kwa watu
Kuna tafauti gani kati ya muabudu majini na wew unaemuabud mwanaume mwenzio@@charlesboniphace2249
Nyinyi waislamu ni washirikina
Jini Super hili
Dr. Sulle yuko sahihi kabisa, mnaobisha endeleeni kubisha lakn ukweli ndiyo huo.
Acha kulopoka jini hajaumbwa Kwa ajili ya kumilikiwa na binadamu jini ameumbwa Kwa ajili yakufanya Ibadan
huyo jamaa anakaribia kuchizika
kachizika huyo
Hii ndio hasara yakua mnafiq kwenye dini. Hatima yake mungu humuacha mkono na huishia vibaya
Kitu nilichogundua nikwamba watu hawataki mtu azungumzie uhalisia wa maisha ya binaadamu jamanai nje ya dini kunamaisha ndio kama hivo uchawi nje ya maisha sasa mnavombishia sule je uchawi hakuna? unakuwaje muislam alafu useme jini hakuna sule yupo sahihi na ukimbeza sule omba mungu yasikukute ila ukirogwa mwenyewe utaenda kwa mganga utake usitake uwo ndioukweli na kweli pesa za majini zipo mbona watu wanaishi kwenye zama izo na wanafanikiwa msitake kilakitu mlaum kwangu naona sule yupo sawa sababu hasemi kama dini ndio imeamrisha hivo
Venye likuwa na heshimu huyu Dr,yaani sasa simuelewi anako elekea.
Tuombeni sana mwisho mwema. Huyu bwana sikuwahi kufikiri angefikia hapa
Aaaamina ya Rabby 🤲
Asante daktari
Asante kwa Elimu nyenyekevu Doctor
Huu ni upotevu kama ww ni mwislam kaulizie masheikh wengine au tafuta vitabu usome. Huu ni ushirikina wa wazi kabisa ndugu
Tumuombee arejee kwa Allah anakoelekea pabaya
Ongera kwa kuona Muislamu mwenzio anavyopotea
makosa sii yake ni qurani enyewe
njooo kwa yesu
Kosa la Quran liko wapi????@@AbrahammamoMuda
@@user-tz8zu2gt6u kuna tafauti gani kati ya anaemuabudu jini na anaemuabudu mwanadamu anaekula na kukidhi haja .
Hatuwezi kumuamudu kiumbe mwenzetu sawa ni jini au yesu.
Hamjielewi wakristo haifai kuabudu kiumbe jini au yesu
Subhanaa Allah mwisho wa ubaya aibu.wataumbuka wingi
Pole Sana sheh
Umejivunjia heshima kubwa
Mtihan xana aisee Allah atunusuru atupe mwisho mwema yarabb
Ndio jini yyte anaeishi ndan ya mwili wa mwanadam uyo anamuasi Allah ,,,
Yaani unajichanganya sana mala nawatuma majini mala wengine wabaya mala huwa nawatumia majini kweli wewe mtumwa wa majini unayahubili majini kuliko. Mungu mungu wa mbinguni hutuma malaika kutusaidia hatumii majini
Mungu anaweza kutumia chochote akitakacho kwenda kwa mtu yoyote amtakaye na kwa mda wowote autakao sababu yey ndo kawaumba wote na hajiwekei mipaka kwenye kuwatumia ila tofaut ya malaika na binadamu ni kuwa malaika wao wapo na utiifu pekee juu ya mungu ila majini na binadamu tumepewa uhuru wa kujichagulia iwe tumuabudu mungu au tuasii.
Mwishowe ktk Dunia binadam ndo kiongoz wa viumbe vya dunian so jiongez
Huyo sio sheh wala hana ilimu ya dini anachojua ni ushirikina na udanganyifu ila mungu atamuumbua
Subuhanalla Allah hamtumijini ktk utumwawakee ana majeshi yake ktk kazi zake sawa Sule sio jini yakh angelikuwa ni mtume sawa ila siyo jini kwenda kuchukua mambo ya nayokuja kweye lahi mahfzi akakuletea ww siri hiyo hiyo siuhalali bali ni ushirikina tubia sule hayo simambo mazuri bali nimambo mabaya kabisa unamzalilisha Allah na mtume wake unamzalilisha umati wake unaizalilisha dini yake
Iyo elim ni ndef san kbs kama hujaelew vizur dokt sule anachokisem ni sahihi kbs majin wapo wazur na wabaya kama jins balivy kuw viumbe wa allah katika wanadam ata na katika majin ni ivo ivo ,someni vizur Ila hakun sehem inaruhus kuwatumikia ,n'a ushirikina ni kumshirikish Hao kuabudu kinyum na mwenyezimung ata n'a kweny wanadam unawez kufanya shirki tuache kwa majini
Manak unatak kusem kuw na Nabii suleiman alikuw anafany ushirikina?? Mbon nae alikuw akiwatuma majini ten yéyé hakuw umoja lilikuw nikundi kubwa kbs
@@aboudangotkwani nabii suleiman ni kiigizo chetu?
Ushirikina upotevu
sule nakwita ndugu yng Rudi kwa Allah uislam hauko ivo majini wazur hawawezi kushirikuana na binadamu Kubali umekosea omba maghufira Hakuna muislam yeyote atakaekuelewa na Uongo wako
Acha kiburi kubali makosa
Sio kweli huo,huyo ni mshirikina tu
Kweli sule ni mchawii nimeani
Thanks God Jam christian
whats christian can u prove christian exist stop lying to ur self
Acha. Uchawi muogope allah ww
Allah atuongoze yarrabh. tumuombeni Allah sana
Subhanallah inabidi sheikh sule aachane na hii elimu mwenyewe sasa anaongea lakini kiundani unaona anapata shida kusadiki anayoongea km ni kweli qur an imeruhusu, huwezi jua jini mmbaya na mzuri kwa sababu hawaonekani Hawa viumbe na ni waongo hatari
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..,Japo wengi wanafanya taqqiya kumpinga
We kama unaweza kuwatumia basi oa funga ndoa na dada wa kakake jini unaemtumia
Acha uongo hakuna mwenye uwezo wa kuishi na majini hiyo ilkuwa ya nabii Suleimani sio sule.Hauna uwezo huo.Uongo tu.
Kunyamaza Ni hekma Sule, Yani utaropoka kama mtu aliolishwa usembe, Unaweza enedelea na mambo yako lakini usijinasibishe na Uislam, Wallah utadhalilika Saaana , Tazama hadi Nuru ya Uislam inakutoka
Uyu jamaa nilikuwa namkubari sna ila jinsi anavyojiweka kwenye shirki ananiudhunisha kw kweli yaani anaumbuka siku hadi siku😢
Majini alisema yote ni Mazuri mmmh
@@sadathboutique6253Acha atwmbie jinsi mnavyoishi na majini
Allahu aalam😂
@@trophywilson7211Hapana hakusema hivyo
Usifanye ghinadi weye unajua wapi shetani mzuri vyovyote muogope Allah dicta sule uo Ni ushirikiana acha kutaka sofa kujiona unajuwa Jina tokea lini akampa MTU utajiri acha ushirikiana uo
Uwongo mtupu dhwalimu
Subhanallah dr sule umeacha kuhubiri ucha mungu sasa unaweka nguvu kwenye kuhubiri ushirikina na pete na majini? Allah akuongoze
We mshirikina mkubwa mja laana we sura kaa tundu la matako
Yan doctor rejea kwa Allah unaharibu dini ya kisilamu wakiristo na baadhi ya watu watafikiria Kuwa dini ya kisilam ni dini ya majin na inatumikiwa na majin tumia akili na dalili shehe
Muna tumia uislamu kwa kutafuta pesaa.. Lakini muta kwenda mbele za alwa kujibu.. Ficheni makucha tu
Inaandikwa. ALLAH na sio alwa......na yeye ndiye mjuzi zaidi
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Allah Hakim,Musimuhukumu mtu Allah ndio anajua zaidi kuhusu yote ...Allah Kareem
Usiwe mjinga hii akili umepewa
@@ShukriGufu-ec3gkbila shaka wew ndo umempa sasa ichukue
Tunamhukumu kwa kutumia kivuli cha dini kueleza uongo wake na fikra zake hizo!!
We unaakili sana jamaangu asilimia 90% ya watu weusi humbishia mtu husika anayejua kitu kilicho mkuta mtu juu ya kitu asichokijua kwa hoja ya machache anayoyafahamu yeye toka kwa watu anawaamini yeye
Ikiwa mungu amekili mwenyewe kuwa SIJAWAUMBA BINADAMU NA MAJINI ISIPOKUWA KUMUABUDU ALLAH....ASA ANAYEABUDU NI MBAYA MBELE ZAKE MUNGU....!?
Huyu mwenzetu kapotea
Nabii lukman anamwambia mtoto ktk quran... Ewe mwanangu usikaribie shirki hakika shirki ni dhulma niliyokua kubwa mno mbele ya Allah
Luqman si nabii lakini wanaeleza wanachuoni alikua mtu mwema lakini hakua nabii
Lukman hakuwa nabii na usiseme ivo ni makosa
Sule rudi kwa Allah kabla ya kifo .maisha ya dunia ni mafupi na kumbuka Allah ni mwepesi wa hisabu
Mzungu kaiba teknolojia kwa mungu duuuuuuuuuuh
Umedanganya na umedanganywa mimi ni mkristo najua naish bila majini mm najua malaika
"Majini wabaya ni wale wanao muasi Allah" Umesema vyema sasa wewe Sheikh unawezaje kumjua asiye muasi Allah ilihali mwanadamu mwenzako tuu humjui.?
Utaftaji wa rizk kharamu huwa na fedheha nyingi sana rudi kaka angu sule katika haki na bora ufe masikini lakin si kula viapo vya majini kukupa mali
Acheni mitazamo ya ovyo
Pete ya Nabii sulaymani ilikua na jina la 100 la Allah.
Acha abainishwe huyo mchawi Sule shekhe wako@@user-em3uf8wz6r
Anajibabaisha muongo japo kanizifi ellim anisamehe buret
Kwenye Qu'ran si Kuna sura inazungumzia majini
Hiyo siyo tafsiri ya kuwajus Majin wabaya na wazuri
Tafsiri sahihi ni jini mzuri hausiki na mafungamano yoyote na wanadamu wao kwa wao watafungama kwa maisha yao
Na wabaya yeyote atakayeenda kinyume na sura hiyo niliyoieleza kwa nyongeza Hawa sura kuwa ni kule kuingia kwa wanadamu na kushirikiana nao ktk mambo tofauti wacha uwongo tubu kwa Allah huo uliona wewe ni fundi tu wa kuongea mtume anasema ktk ufundi wa kuongea na kubainisha Kuna uchawi
Namkubali sana
SHIDA,ukishashirikiana na MAJINI,kisha ukaupata utajiri wa KISHIRIKINA,wanakuzidishia KIBRI,ili ufe na KUFRU zao!
Huyu jamaa ni mchawi Allah akuongoze
Kweli ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja apate viela. Na kweli mbwa ukimjua kina hakupi shida. Du hahaha ha ha 😅😅😅😅
Unafundisha upotofu
MUSHRIK MKUBWA WEWE!!!
Esse sheik falou bonito
Sule Wacha kuzunguka ww ni mshirikina TUbu uko na nfsi
Warabi doct shule umeyakanyaga hi yote kuwa uliteleza tu katika uwaminifu baada kuamini ila insha'allah allah akuhifadhi zaid
Elimu ya Namba hizo sharifu teacher Alisha zisema MDA uchawi UPO
Sehemu za majini kuishi n kwenye mapango ,,,,baharini labda uwe waishi nao ww ila sio sisi ,,,,tena chakula Chao utakapo kula n usema Bismillahi kama nyama kwa uwezo wa Allah jini akija atakula ila atakacho kula ww huwezi ona acha bangi bana
HUYU ANATAFUTA WATU AWATAPELI NILIKUWA NAMKUBALI KAMA SHEIKH KUMBE YUPO KINYUME NA DINI YETU YA KIISLAAM
Kama huo siyo ushirikina basi wanazuoni wate hawakufaham maana sahihi ya ushirikina, na kwa nini Mtume sala na salam zimfikie hajafundisha? Mche Allaah ndg yangu, hiyo ni shirki akhy.
Mshirikina Wewe unae Kufanya wewe ni Msomi wa Dini kumbe Mbumbumbu Mzungu wa Reli
Nilipokuwa sijasoma elimu ya dini nilimuona Shekhe mkubwa sana Afrika. Lakini nilipojifunza dini. Nikajua kwamba ktk watu waliokuwa hawaielewi dini ya uislamu mmoja wapo huyu sule. Ndugi zangu waislamu usiposoma dini yako kila mtu utamuona Shekhe lakini ukisoma ndipo utajua nani Shekhe na lipi shehena. Kwa roho safi.
We ndo shehena usio jua kitu na hujui kama majini pia ni viumbe kasome muaacje sule ana Elimu usiyo ijuwa wewe
Naomba kukuona Dr sulle
Nimeamini kuwa ukisoma sana kuruan mwisho wake itakupelekea kuwa na elimu ya kujua sana unajmu mashehe wengi km marehemu shehe Yahya ndiye aliyekuwa bigwa wa elimu hiyo
Nawale freemoson si wanatumia majini ni waislam wale ? acha upumbavu wew
Tofatisha kati ya waliozama KATIKA elimu ya kumjua Allah na mtume wake na hukumu za dini ya uislamu na WACHAWI.DR SULE NI JAAHILI HAJUI DINI HATA QUR-ANI HAJUI KUSOMA
@@ZUBERIHASANIKwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Tokahapo ww nimushirikina tu huwezi kuwaniji bila yakukupa mashariti ile umutiyi ww ukifanya ibada kwajili yajini uwoniwushirikina tu
Dr sule Allah anasamehe makosa yte ila kwa kuamini na kutubia ...... From holy quran "sikumuumba jini na binadamu isipokua kuniabudu mm" tusipingane na maandiko sahihi badilika shekh hizi mali tutaziacha apa apa.... Mali na watoto ktk dunia ni mapambo ya dunia amali zako njema ndio zitakazoenda kusimama yaamul hashir.... Hakuna kifo kinachotokana na uwezo wa jini izo ni biasbabi tu Allah ndio anapanga Sku ya mtu umauti kumfika na Allah kma hakuuandikia kufariki kwasababu ya uchawi bs utaish duniani mpk uyo anaekuroga aakaanza yy kutangulia.... Badilika shekh tusimshirikishe Allah
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Docita sure nimekuwerewa xana
Ni mganga toka zamani alijificha kwenye kimvuli cha Dini, Wewe ndo unaelimu mdogo Sasa si mshirika wewe
Huyu si ni mchawi lakini? Ni kama ana knowledge sana ya uchawi...
Umeongea vizur xna
Tatizo lenu wachawi wameshakufumbeni macho yaaani wao wanafanya yao
nakataa kwa Jina La Bwana,Siishinna Jini kamwe! Hayo maisha yenu waislamu!! Jini halizuiliki kwa Bismillahi ni Uongo mtupu sababu na jini nae anamuomba huyo huyo Allah na ni waislamu pia utawafukuzaje?bila Kristo Yesu hakuna uzima,Sisi wakristo Tunaishi na Malaika tuuu!!!!
Kwani yesu ni nani?
Inna lillah wainnaa ilayh raajiuun..
Dr.SULE UMEIPOROMOSHA HESHIMA YAKO KABISAAAA..
HAKIKA UMETELEZA NA NAMUOMBA ALLAH AKUREJESHE KATIKA NJIA YA SAWA UEPUKE NA USHIRIKINA AMBAO UMEJITANGAZIA
POLE SANA KAKA
HUJACGELEWA TUBU KWA ALLAH
TUNAKUSIHI NA KUKUNASIHI TUBIA DR.SULE
NAKUSIHI NIJATHMINI UPYA
HUJACHELEWA TAFUTA ILMU KAKA BADO UMRI NA AKILI VINAKURUHUSU
SOMA TAUHIDI SANA KAKA
NASUKITIKA SANA KWAKUA ULIKIA KIPENZI CHA WAISLAMU WENGI AKIWEMO MIMI
ILA KWA HILI ULILOKUJA NALO NA USHIRIKINA WA WAZI KAKA
ALLAH AKUO GOZE NA AKUOBESHE TENA NJIA SAHIHI
AAAMIIN
Tatizo unafiki umewajaaa nyie waja. Kwani uchawi hakuna? Kwani majini hakuna?
@@maulidi8479mnafki no moja ni wewe
Kwenye hoja yake hiyo amekuaje mshirikina
Tuitafute Elim ndio tuhukum maana mnamkufurisha sule ila mkiuliza ukafiri wake uko wapi hamna majibu .......halyastawi lladhiiiya ya alamuuuna walladhiiina laaa yaalamuun.jibu ni hapana na ndio kinachooonekana hapa
Unajua kila mja anajiona yeye Yuko sahihi anasahau ukionyesha vidole viwili kwa mwenzio vitatu vinarudi kwako
Habari broo naitwa Evans nina kesi mahakamani nadai nyumba Yangu nilianzia baraza la kata akashinda nikaenda mahakama ya wilaya akashinda nimeenda mahakama kuu jaji akafuta ushindi wake na akanambia nifugue Kesi ya kudai nyumba mahakama ya wilaya kwani wakili wangu aliitaka high court kupitia upya mauzi ya mahakama ya wilaya n
Kila tukiishii tuombe husnul hatima ulianza vzr sasa sheitwani ashakuteka.mchawi hana maana.mandhaladhi yashfau indauilabiidhini.....waislamu huu n msiba mkubwa ndio mana tz hamuishi mafuriko.
we mshrikina 😊
Shehee kaakitako uaangaliee kwa umakini unacho kizungumza kukubali jambo ambaloo uliwekeaa mkazo sio chida kurudi kutubia kosa
Uyo ni Ushirikina
wewe ni Mchawi unatudhalilisha waislamu
Hujanishawishi kabisa sule
Innalilah wainna rajighuun dah shekhee umenivunjaa moyoo kwelii mhhh allah akuongozee
Soma sheikh yuko sawa ila usimuhukumu kama huna ilimu
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Kweli kabisa Dr sule
Tangu sule anze kujieleza hakuna ayah wala hadithi porojo tu😂😂😂
Mtume Muhammad Swallaallaahu alayhi wasallam ndio kigezo chetu na ndio tunamfuata lini alitumia jini kwa ajili kusaidia ktika kitu fulani vita vilikua vikali hkutaka misaada Kwa majini wala katika shida yoyote hakutaka msaada kwa majini bali alitaka msaada kwa allaah pekee
Ndugu yangu tubu ila laah mrejee mola wako weye sio shehe
We ni mshirikina kama washirikina wengine
Uso wake umepoteza nuru
Sahii kabisa ..jahili huyu
Ucjitetee kuna jini kukufata wew na kuna kumtuma haya ni maneno mawili tofauti wew umawatumia wakulinde. Huu ni ushirikina dhahir.
Sulley jiangalie vizuri, tafuta radhi za Allah. Kuna mahala ulikosea. Ulijificha muda murefu ila sasa umejidhihirisha. Nakuomba Sheikh wetu tafakari vizuri ulikosea wapi?
shehe mzima unanyoa mikato unafaashati nahisi umepotea
Naomba tasfir ya ushirikina 🇲🇿
W mshirikina hna elim kuzidi wengne. Akuna muumini anae muomba Allah kupitia vitu vingine. Ushirikina huo
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Hata ww mungu atakurudisha lkn s jin
Allah keshasema وماخلقت الجن والانس الا ليعبوني
Wewe ni mshirikina na hata uchukie ushadumbukia katika dimbwi la ushirikina fanya utubie ungali bado hai.........usitafute janja janja Dini haikuacha kitu na elimu katika hii dini haiwezi kuzidi elimu aliyopewa Mtume MUHAMMAD ﷺ
DINI HAITAKI JANJA JANJA.......KIVULI UNACHOTUMIA KUFICHA MAMBO YAKO KITAISHA
Kabla hujahukum soma kwanza usimkufurishe mtu kama hujasoma
@@mohamedkeref9589 Elimu ipi katika mafundisho ya Mtume MUHAMMAD ﷺ imefundisha ushirikiano wa binadamu na majini km wasaidizi? Nami sijamkufurisha Soma vizuri hiyo comment unionyeshe nilipomkufurisha
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
Hamjuwi maana ya ushirikina Jini ni kiumbe na kumtumia kwa jambo ambalo anauwezo ambalo ni jema hakuna shida
Hakuna kitu ambacho kinaweza kumlinda mtu isipokuwa Allah. Jambo la kusema nyota inakulinda ni ushirikina
Freemason wamekuja kwa vitengo na style tofauti tofauti wengine wanakuja kama watu wa dini kumbe weeee
Wew mase unatumikia manjini ni ushetani uwo.