MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 03. 2022
  • MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI
  • Zábava

Komentáře • 218

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 Před 2 lety +40

    Tunaombeni Magufuli day,tulimpenda sana Rais wetu

  • @richardonguto5794
    @richardonguto5794 Před rokem +33

    we miss Magufuli, he was an amazing president, a true servant of God. From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @justinmutabazi7353
    @justinmutabazi7353 Před rokem +5

    Safi Sana Rais Mama Samia kuritemberea Kaburi ra Mtukufu Rais wa Africa Magufuri🇹🇿🇷🇼

  • @moodykimwele2564
    @moodykimwele2564 Před rokem +19

    Poleni sana Tanzania! Wakenya, tulimpenda sana Magafuli. Azidi kulala salama.

  • @evarkiowi9973
    @evarkiowi9973 Před rokem +11

    Never forget you my father(mtetez wa wanyonge)

  • @niyimpumurizamoise2256
    @niyimpumurizamoise2256 Před rokem +3

    Am a burundian I love late president Magu so much. Nakumbuka jinsi aliwapenda wa Tz na wa Affica in general .
    He must be in heaven undoubtedly.

  • @amosfaustine
    @amosfaustine Před rokem +4

    Na kuombea kwa mungu akusamee dhambi zako na apokee roho yako Amina.

  • @maseruka6334
    @maseruka6334 Před rokem +11

    AFRICAN HERO❤❤❤💔💔[R.I.P]

  • @newtonkulla5816
    @newtonkulla5816 Před rokem +8

    The only president ever to care for the ordinary Tanzanianians ..RIP Mzee wa jumuiya ya African mashariki...

  • @shakilayusuf7802
    @shakilayusuf7802 Před rokem +13

    I still remember my president,so sad that he's left us that soon

  • @khalidkhalfan1556
    @khalidkhalfan1556 Před rokem +5

    R I p baba yetu mpendwa pumzika kwa amani na mwenyezi mungu akuweke peponi amina

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před rokem

      Asio taamka shahada NA hamtambui mtume mohamed NA wala hakutaamka shada ya kiislaam haingili peponi NA wewe jina lako ya kiislaam vipi kaka yangu

  • @abrahammnjama7962
    @abrahammnjama7962 Před rokem +3

    Continue singing with the angles JPM🇰🇪

  • @steveomodecxofficial
    @steveomodecxofficial Před rokem +7

    A great African statesman! Rest well Pres. J.P Magufuli

  • @shukulupaschal7882
    @shukulupaschal7882 Před rokem +6

    Rest easily my president magu you was a real leader every happen again

  • @MrMuzahuzi
    @MrMuzahuzi Před rokem +10

    Forever missed JPM!

  • @ayuburubawa7232
    @ayuburubawa7232 Před rokem +7

    Hayati Alikuwa Mtu Mwema Na Mbele Zake Mungu Maombi Yetu Awe Mahala Pema Amiin Na Mama Yetu Mh Rais Samia Suluhu Hassan Uwezo Wake Mwenyezimungu Ukuongoze Daima Tunakutazama Vyema Na Kutegemea Yote Mazuri Kama Kiongonzi Wetu Hatujawa Wapweke Tusipate Kuwa Wapweke Daima Tunakuombea Yote Mazuri Amiin InshAllah 🇹🇿💯

    • @adamdaudi6191
      @adamdaudi6191 Před rokem

      Duu, kavuka vigezo vyote vya kusamehewa?. Haijakaa sawa kauli yako

    • @ayuburubawa7232
      @ayuburubawa7232 Před rokem

      Ulimi Hauna Mfupa Muhimu Napenda Awe Na Msamaha Wa Mungu Kwa Lolote Alilowahi Kukosea Kwakuwa Hayati Alikuwa Ni Rais Bora Kwa Sie Wananchi Tusio na Macho Ya Kujua Mengi Sana Nilimuona Mtu Mwema Sana Kwa Kurudisha Nafasi Ya Kipaumbele Kwa Wananchi Wa Kawaida Masikini Anaeweza Kuhurumia Masikini Anapendeza Kuhurumiwa Pia InshaAllah Samahani Kwa Kukukwaza Kaka Adam Daudi Shukran

  • @mrcashkenya6771
    @mrcashkenya6771 Před rokem +4

    Kifo cha mmoja kinamfaidi mwingine RIP Magufuli

  • @stevenmalunde8038
    @stevenmalunde8038 Před rokem +6

    Kila akienda Mama Mvua lazima ishuke ni mara chache sana kama kaenda mvua haija nyesha RIP Magu

  • @monicamwandemele2648
    @monicamwandemele2648 Před rokem +8

    Tunaomba Magufuli day jaman

  • @oscarkasalile5058
    @oscarkasalile5058 Před 2 lety +7

    Hakika jembe hatupo nalo tena. Mwenyezi msamehe makosa yake kama nae alivyowasamehe waliokuwa wamemkosea

  • @ISAAC-S_GENERATION
    @ISAAC-S_GENERATION Před rokem +3

    It feels like yesterday I can't believe it's more two-years since we lost you sir am Kenyan but Magufuli forever my president

  • @darviedeben1885
    @darviedeben1885 Před 2 lety +7

    R.I.P ,magu wetu na hongera sana mama

  • @abduldebway8332
    @abduldebway8332 Před rokem +5

    😔😔😔 we missed him JPM mzalendo Mchapa kazi

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Před 2 lety +5

    Apumzike kwa Amani Rais wa Awamu ya 5 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Rais Dr John Pombe Magufuli. Mungu Ambariki Rais Samia na Mungu Ibariki Tanzania Nchi Yetu Sote🇹🇿🇹🇿

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Před 2 lety

      Hakuna kupumzika Kama mwema utalipwa kwa wema wako Kama muovu utalipwa pia kwa uovu wako

  • @leahliwenga3547
    @leahliwenga3547 Před rokem +6

    Chema huwa hakidumu kamwe yani moyo wangu unakukubali san magufuri lakini ndio hivo tena haupo nasi tena lakini rip

  • @geoffreyruhinda8875
    @geoffreyruhinda8875 Před rokem +2

    Ntuzibagirana wakunda Abaturage ruhukira mumahoro mubyeyi🇷🇼

  • @stephensinka5616
    @stephensinka5616 Před rokem +11

    Mangufuli ni moja wa wachache sana kuwahi kutokea katika hii dunia.. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.

  • @denysrubangura9866
    @denysrubangura9866 Před rokem +18

    RIP JPM, we will never forget you, a TRUE SON OF AFRICA.

  • @patrickndichu3905
    @patrickndichu3905 Před rokem +1

    Tz kila kitu mwafanya kwa mpango na umakini sana...👍👍👍

  • @markoezekiel5144
    @markoezekiel5144 Před rokem +1

    Kila mtu anaenea katika viatu vyake
    Your doing good madame president because you are really doing as you..!
    Peace & Prosperity is the only focus we do aim at🤝

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 Před rokem +4

    We miss u dady 😭😭😭🤲

  • @gideonsapunyumunei5815
    @gideonsapunyumunei5815 Před rokem +3

    miss you hayati magufuli

  • @christianleonard8308
    @christianleonard8308 Před 2 lety +2

    Madam president 👊👊👊

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Před 2 lety +3

    Rais wetu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...Asante kwa Kazi nzuri Sana uifanyayo kwa Taifa letu la Tanzania.

  • @alexkungu537
    @alexkungu537 Před rokem +1

    My best president friend nilikupenda sana lakini Mungu akakupenda sana pumzika kwa amani

  • @cloudykusundwa6766
    @cloudykusundwa6766 Před rokem +2

    Kila mkifika huko mvua inanyesha, ni jinsi gani Mzee wetu alivyokuwa wa Baraka.

  • @fanueledmund6408
    @fanueledmund6408 Před rokem +1

    Mungu unaona kila kitu unaona moyo wa watanzania bado unamshtuko na mipasuko

  • @evarsmhando
    @evarsmhando Před rokem +1

    Sad sana

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 Před rokem +1

    Je kaburi la Mkapa nalo limejengewa hivi? Kama sivyo basi ifanyike haraka sana!

  • @masoudmohamed2230
    @masoudmohamed2230 Před rokem +5

    He came,he saw,and he conquered.

  • @marianablessed6055
    @marianablessed6055 Před rokem +1

    My super daddy JPM You are so missed.

  • @marcomakula8764
    @marcomakula8764 Před rokem

    Mungu awabariki sana kwa kumbukumbu hizo za upendo

  • @geofreyambakisye4481
    @geofreyambakisye4481 Před rokem +3

    Kuonyesha kuwa hayati MAGU alikuwa rais bora na wa ajabu sana kwa nn matukio yake yote mvua ilinyesha MUNGU we ni mkuu sana!!

  • @tundamasaga9530
    @tundamasaga9530 Před rokem +4

    Usinichote piga kazi kama ya huyo jamaa ukifkika theruth tu hata jamaa atakutembelea yeye ndotoni....tupo pamoja ila nipo kwa mbali huwa nakuzumu tu ungejua kilo ya mchele ni elfu 3 na pesa yetu haina thamani ungelia mimi nashika elfu kumi moja naninashindwa kuigawa kwa day najua wewe unashika idadi ya noti nyingi kiukweli uwezi kutambua nachokifili.

    • @omarhassan4555
      @omarhassan4555 Před rokem

      Aloo...weye upate sanam lako....csemi ncjechezea Ndioge bureee..but Allah ndiye hakimu wa yote haya....labda tusife...

  • @SinyamaziTVONLINE
    @SinyamaziTVONLINE Před rokem +1

    Tunashukuru kwa kila jambo💪

  • @allymohamed8658
    @allymohamed8658 Před rokem +2

    JPM tutakukumbuka daima

  • @geffywells4604
    @geffywells4604 Před rokem

    It's right on the best

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Před rokem +2

    Pumzika kwa amani JPM

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE Před rokem +2

    R.I.P mzee

  • @kilianidanda1609
    @kilianidanda1609 Před rokem +1

    😭😭😭😭

  • @Nkya
    @Nkya Před 2 lety +7

    JPM daima✊🏾

  • @faithkamanthe3286
    @faithkamanthe3286 Před rokem

    Waah 😮 Kwan alizikwa ...ikulu?sio nyumbani?😊

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 Před rokem +2

    R.i.p jpm 😩😩😩😩😩😩😩

  • @edmundjackson4611
    @edmundjackson4611 Před rokem +1

    Huwa Napata wakati mgumu sn mkinikumbusha jpm japo mm niko mlengo w kushoto lkn nilimpenda sn kiongoz huyu

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 Před rokem

    Pole Sana Mama Janet Magufuri

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 Před rokem +2

    Mh!😭

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 Před rokem +1

    Barakoa za nini sasa kwani corona bado ipo 😂

  • @user-bi7mk3ef1m
    @user-bi7mk3ef1m Před měsícem

    As anti mama samia

  • @JosephuSendeu-ul5pc
    @JosephuSendeu-ul5pc Před 3 měsíci

  • @rashidisaguti6000
    @rashidisaguti6000 Před rokem

    My

  • @user-ox1ce7iu8i
    @user-ox1ce7iu8i Před 7 měsíci

    Asant saan mama

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 Před rokem +1

    Rais wetu IGA uthubutu wa kuanzisha miradi mikubwa iliyo na maslah mapana kwa Nchi.,, Kama alivokuwa na uthubutu JPM

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 Před 3 měsíci

    😢😢

  • @pillymcharo9855
    @pillymcharo9855 Před rokem +1

    We missed jpm😭

  • @kombasalimu353
    @kombasalimu353 Před 2 lety

    Poleni

  • @tumpekyando1512
    @tumpekyando1512 Před rokem

    Apumuzike Kwa amani baba tumesha mukubuka😭😭

  • @dogotwaanails_mafunzo

    😭😭😭

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 Před rokem

    Ni mtu wa watu ila haimaanishi kuwa ni mtu wa kila mtu.

  • @moraamary4624
    @moraamary4624 Před rokem

    Respect mama Samia sana

  • @geraldhongani8765
    @geraldhongani8765 Před rokem +1

    Inasaidia nn ata ukiangalia Kama matendo yake uyaenz akuna Mana nisawa na kujiangalia mwenyewe katka kioo

  • @richardmakaa5188
    @richardmakaa5188 Před rokem

    Rayvan mpya

  • @turikumwedididier8030

    Much respect to u Mama was TAifa and R.I.P forever Hayati JPM😢😢😢

  • @aidamapunda6832
    @aidamapunda6832 Před rokem +1

    R.i.p 😭😭😭

  • @HouseofCards-Election
    @HouseofCards-Election Před rokem +2

    Rip John Pombe

    • @Aida-qh3jq
      @Aida-qh3jq Před rokem

      Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 Před rokem

    Ok

  • @benjuma9517
    @benjuma9517 Před rokem +1

    Rip shujaa

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Před 2 lety +5

    Ombi langu binafsi Mheshimiwa Rais Samia naomba nipate nafasi katika Kitengo Cha Ulinzi na Usalama wa Taifa letu Tanzania. Mwenyezi Mungu amenijalia Uwezo wa Utambuzi (Intelligence) ya kuhisi Hatari na Salama iliyopo mbele.🇹🇿🇹🇿

  • @tausikondo6097
    @tausikondo6097 Před rokem

    Tunaomba magufuli day tumempenda sana rais wetu wa wanyonge

  • @magrethcostantine9223

    😭😭😭😭I MISS DADDY.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Před rokem +1

    Burian MR. Late President

  • @apostlejoelyamo2983
    @apostlejoelyamo2983 Před rokem

    Aliumiza wengi bora mama

  • @mirajimbega8350
    @mirajimbega8350 Před 2 lety +2

    Pole sana Mh Rais na Watanzania sisi sote!MUNGU Akubariki uendeleze Inshallah pale alipoishia, Mimi na Watanzania tupo pamoja na ww Mama

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 Před rokem

      Zaidi sana Mimi binafis yangu Na Jami yangu yote jipm kamwe siwezi kuacha kumkumbuka Na kumoombea mungu ampe taji ya Mtumishi mwema ila sisi watu wa Ali ya chini tunaokula mlo mmoja kwa siku tutamlilia mungu mpaka kieleweke Na mungu atajibu

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 Před rokem

      Pole sana mama jeneth wewe ni muombaji kama sis timu malumu ya Maombi macho yako kila itwapo Leo elekeza kwa mungu Na kilio chako kiwe kwa mungu usiache kumwita mungu kila itwapo Leo tambua ibilisi aliye laaaniwa Na mungu alali yuko macho ila tumepewa sila za kumteketeza

  • @ismairirajabu-xh4je
    @ismairirajabu-xh4je Před rokem

    Mnafki tu uyoo uzuri wake iyoo safari ya kira mtu ukisaini reo kesho wanakusaini ww maisha yanaenda

  • @abdulatiftu9836
    @abdulatiftu9836 Před rokem

    Dah!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @michaelmakono1184
    @michaelmakono1184 Před rokem

    Apumzike pema raise wetu Magufuli tulimpenda...mama, na wewe pia tunakupenda chapa kazi mama yetu Kama baba alivyofanya tuko pamoja na ww maana we n wetu pia

  • @mariammtila6678
    @mariammtila6678 Před rokem

    Ustadhimaji

  • @rashidyusuph9289
    @rashidyusuph9289 Před rokem +1

    Baba magufuli

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 Před 2 lety

    Mama weka na namba zako hapo nitakupigia kwa maana madudu yamekua mengi Sana

    • @amohammed3390
      @amohammed3390 Před 2 lety

      Mtumie kwenye tweeter yake. Watu wake wanazishughulikia texts zote na anapewa taarifa

  • @maikorubeni6509
    @maikorubeni6509 Před rokem

    Hongera kwakunfariji make wa maree maana mareemu aritufanya sisi watanzania maskini tutembee kifua mbere

  • @dannielmwashimanga4525

    Safi

  • @jimmycarter6165
    @jimmycarter6165 Před rokem +1

    🇹🇿🇹🇿 😭😭😭

  • @abisuredon
    @abisuredon Před rokem

    Mama naomba m niwe mlinzi wa nchi yng napenda kuwa mwanajeshi

  • @user-xl3si2qr7m
    @user-xl3si2qr7m Před 3 měsíci

    Mungu akupe pumzko la milele magufuli

  • @jumajuma6254
    @jumajuma6254 Před 2 lety +1

    Saf sana

  • @godlivergift8754
    @godlivergift8754 Před rokem +1

    Hayati Magufuli tutakukumbuka Baralote la Afrika

  • @bagumajustin2528
    @bagumajustin2528 Před rokem

    Ana andika nini jamani

  • @salumumoket
    @salumumoket Před rokem

    Nishida kweli rais wa Africa

  • @StevengeorgeMtoi-pp9ip

    😭😭imc u baba

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Před 2 lety +3

    Uzalendo na Muonekano wangu wa Ukakamavu umechangia Watanzania wengi kunifananisha na Askari popote napokutana nao. Naomba kulitumikia Taifa letu Tanzania.🇹🇿🇹🇿

    • @davidbahati3748
      @davidbahati3748 Před rokem

      Kulitumikia Taifa sio lazma uwe police au mwanajeshi au mwajiriwa wa serikali, waweza kulitumikia Taifa mahali popote ulipo

  • @jacrinsubi4198
    @jacrinsubi4198 Před 2 měsíci

    Mngu akusamehe makosa baba