GIGY MONEY -"HUU NDIO UKWELI wa PENZI LANGU na PATRICK KANUMBA, NIFFER ANAFEKI MAISHA"
Vložit
- čas přidán 29. 08. 2024
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Jamani nampenda sana gigy mwenzen
Gigy is real,,anachosema ni kweli kabisa,,wengi wanafanya biashara kuficha hizo mambo mkubali mkatae👌
Masha love kazi yake kwa hii interview ilikuwa gani haswa
Kazi yake ilikuwa mpambe wa Gigy kwani hawa wasanii uchwara lazima watafute wajinga wenzao wa kuwaunga mkono na kuchamba. Ndiyo kazi iliyobaki na waliokuwa na akili zao wanapiga buti wanakwenda mbele hawa mataahira wanabaki kutukana na roho zao chafu. Kama kudanga kuna pesa mbona yeye kandanga TZ kaenda Nigeria karudi Kenya mbona hakuweza kupata hizo pesa. Kalale huko acha mdomo mchafu.
Ilikuwa ni kumtuliza gigy
kukubaliiiii kinacho ongelewa🤣🤣🤣🤣
alikua kama obsever 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Gigy mimi nakupenda ila acha wivu
wasafi mnajishusha sana mambo gani hayo yakijinga
Gigy money very romantic
Gigy fanya kazi acha upumbavu wew ni mama tena wa mtoto wakike nivibaya san kuatack wanawake wenzako ‘em kuwa mfano wa kuingwa na jamii
Mkiambiwaga ukwel mnajifanya amtak uyu dada muelewee utasonga ingawa unamuona auelewi
Unamjua vzur et simjuw
Gigy is well said woman
Not real
Dah wivu mbaya sana
Mnajua Gigy kasema UKWELI KABSAAA.kwani watoto wetu wanaweza acha shule wakakimbilia biashara.kumbe sio biashara Kuna vitu kati yake.tuwafundishe watoto mapema
Si kwa ubaya nampenda Gigy ela kwa wivu, hata sura inakunjana mwili na miaka hailingani. Kiki punguza wivu basi kila mtu ni mbaya wako
Naenda kumfollow niffer wangu
Anatumia account gani
@@missykalele5520 _niffer
uyu gigy ashazoea kuchafua watu.....alianza na nandy saiv kaja kwa niffer wetu.....mweeee mweee acha roho mbaya dada....niffer anapambana na tunapenda
Atukome kwakweli
😂😂😂😂😂😂 Aya maisha Bana kila mtu ale kwa urefu wa kamba
Gigy anawivu sana alafu amekosa hekma kama mwanamke
Acheni uongo mnamchukia niffa kwa nn? Jennifer ako na heshima zke na anapambana, acha wivu , Jennifer na Patrick nawapenda xna
Sio Jennifer ni niffer
Mbona umekurupuka siyo jennifer kanumba nduguyangu
Uko vizuri gigy
Hii redio ya kichoko mnooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Niffer is already a star she has more than half a million followers, she doesn't have to look for someone like gigy to promote her business, jamani wacha gigy Wacha wivu, tunampenda niffer....actually you are the one most of us don't like because of your envy and jealousy....STOP PULLING DOWN OTHER HASSLING WOMEN
nataman ningekupa likes kama 1000000 ivi...
Unamtetea malaya mwenzako 😅 😂😂
Namjua nipher A to Z kazi kuvuta bangi na kufirwa na wasanii 😂 au kile kiduka Cha mwananyamala ndo kinakufanya umuamini ni hustler 😂
@@faithmsanya8078 thanks boo
@@c.e.o_abdiroush Roho zenu za korosho hazitawafikisha popote. Kazeni buti muhangaike acheni wivu.
@@c.e.o_abdiroush Acha matusi wewe malaya hapo ni nani? Huyo Gigy unaemtetea kila siku kubadili wanaume, mdomo mchafu kwa wenzie kupigana hadharani ndio
umeona sawa? Labda wewe ndio mwenzako mnadanga wote. Wasiokuwa na haya wana mji wao.
Nipher Lakini anakasura kazitooo🤣🤣🤣
I love you masha
Namkubali gigy jaman🌹😂
Gigy utaendelea kufeli kutokana na roho yako mbaya. Badala ya kuhangaikia maisha yako unabaki na wivu na kufuatana na wajinga ambao hawakusaidii chochote. Una wivu na roho mbaya na hutafanikiwa hadi ubadilike la sivyo utaishia jalalani tu.
anachoongelea gigy nikitu sahih watu wana igiz maisha aisee
Sasa hii redio gani jamani
Muongee mmoja mmoja
Ndiyo Wivu ndiyo unaomsumbua khaaa hajielewi anachoongea wacha Bangi🤧🤧
Muongo tunampenda nifa anajua kipambaba sio wew mkaa uchi
Gigy ana wivu Sana Mungu amponye
Kwani huyo Gigi ndo Nani jamani
mbona naona gigi ni wivu
Eee anawivu mno
Dida pia anachuki na diva huwezi kumdis mtangazaji mwenzio kiasi hicho kwenye hiyo hiyo media its bad dida acha roho mbaya na uunproffessional kumdis mwenzio tena amesha olewa
Huyo diva hujawai msikia anavyochokonoa watu hao wanajuana
Kwa hiyo hicho ni kipindi
Mapumziko ila wanaendelea kusutana🤣🤣🤣
Wivu utakumaliza gigy
😂😂😂😂😂Masha anazunguka tu
Muongo wew niffar anapendwa sana wew Acha chuki pambana na hali yako
Uyu na patrick jamani si bibi na mjukuu loh bora niffer mteke
Mnahoji watu walioshindikana na wameota sugu
Mashallha ataki unafiki 🤣🤣🤣ata yeye kajilipua kama aliwai mtongoza mwanaume
😂😂😂😂😂yy anatongoza af hatak wengine watongoze cjui ni akili gn hii jmn😂😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka kama mjinga vile
Me mashaaa tu..anavockiliza
Wivu tu huyu dem fala tuu
Kwani ku - DM ni kosa?
Wivu tu
Eti niffa mahusiano na Patrick kanumba🤣🤣🤣🤣🤣ladies tuanze kujichek basi;kwani kutoka na vijana wadogo ni trend??lol
Niffer mwenyewe ni mtoto
Gigy wivu ndo unakusumbua sn
iv mm nashndwa elewa macho mda,wote soni miwani ni vip ih
humpendi wewe! mm nampenda niffer
Wivu unamsumbua alitaka awe yeye anatangaza na niffer wivuu gigy hautakufikisha popote
Mmmmmh! Mfyuuu hajielewii hyoo
Eti mdogo sura imemparama hata hakikaa zaly wema sana yykazeeka bwana awaache waliojaliwa udongo mzuri watambe akina kajala buwana
😂😂😂kwahyo Masha umekuja kununua ugomvi live cjaelewa maana yako kuingia studio na hukuitwa 😂😂😂uswahili Kaz
Hahahah yaan mbk nimechekaa kwer maan amekaaa ka mdoliiii
Na Giggy amekonda 🤔🤔 Kanaongea Sana Mdomo mwingi🤦
Wahaya ndy zao bwana weee kutongoza wanaume
Hebu jiheshimu
@@sabelamwijage4310 Kwani uongo
LINA WIVU HILI LISICHANA
Aache makasirikooooo jamn 😂😂
Dah! Acha wafu wazike wafu wao
We ni pumbafu sana
Gigy anawivu
Hadanganyii huyuu gigy na friji lake haligandishii😂😂😂
Eti hakuna anayempenda, hebu tukuulize wewe Gigy mazero kwani unapendwa na nani??? km mpk aliyekuzalisha amekata hata kukudhamini🤷♂️🤷♂️🤐🤐
😀😀😀😀😀
Hilo ni jini Maimuna hamuoni hata nywele lililo sukia kichwani pia na. Nguo alizo vaa. Sura kama paka shume anavuta bangi sana kichwa maji hata akihojiwa hana sitara majibu ya kibangi so ya kiuto uzima ajaribu kutuliza kichwa huyo dada
Mpuz roh mby tyu
Mnaoji Malaya aaoh awanajipya wanapoteza time tu wadangaji njoon na vitu vpya Kama masham sham hyo milupo inapoteza mida dida
Gigy hana adabu kabisa
Uuazaji wa vitenge
Loooo.wivu
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣mbon nachok kuelewa hiz mada🤣🤣🤣🤣em tufanye msitoboleane siri zetu kila mtu anafaike na utafutaj wake
Wivu tuy na wewe si uigize hayo maisha acha wivu gigi kwanza unaongea kwa chuki
Gigi amepata cha arusha
Giggy ni bhang 😂
Huyu Gigy si bure itakua anavuta maana akili zake mmmmhh!! Sizielew
Wivu unakusumbua gigy acha chuki.
Gigi mnafiki sana ana hasad mbaya hasa akimchukia mtu, yote anaona mwenzie atatrend , anataka kumshusha, wote ni wivu na choyo, wanawake nyieeee.
jaman did mi Nina mdgo wangu ni msani ila Hana manager dida nakuomba msaada wako
Mhh hiki kipindi vipi hivi wasafi mko serious kweli mbona km kina dhalilisha watu hivi media kubwa km hii inaweza hao vichaa wanamzungunzia mtu vibaya hivyo .hii ndo entertainment duu kweli kuna ethics hapo
Mimi mwenyewe simpendi nifa
🤣🤣🤣🤣kah ww jmn
Shida ya Gigi Ni Gani
Shida ya Gigy ni wivu wanaume wanamkimbia kama ukoma hana rafiki mwenye akili na kila mwanamke mwenye maendeleo yeye ni adui zake. She is a failure 💯
wazee nyie mmechoka
PENZI au NGONO,..?
Wivu tu