Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Huu wimbo naucheza kila siku na ni baraka kwangu kila mara napojihisi kuwa na madeni mingi. N wa ngapi tunautazama 2021?
Huu wimbo wenu "nyenyekeeni" hunibariki sana,Mungu awabariki na azidi kuwainua ktk utumishi Mkuu mlioitiwa.
I can't get enough of this song....I think this the best song so far changombe have ever done.... God bless you and continue adding more wisdom on music.Much Love from Kenya
Always you bless my heart whenever I listen to your songs, from Kenya
2024 and still feels like it was released yesterday. Blessings
Huu wimbo nimeutafuta sana nabarikiwa sana
Waimbaji na watunzi bora wa muda wote. Mungu azidi kuwapa hekima hii ya ibada ya nyimbo
Hii ndiyo kwaya yangu ya muda wote Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake
Tunyenyekee chini ya mkono wa Mungu, unanibariki sana wimbo huu....!, mbarikiwe sana enyi waimbaji aic vijana kwaya
Wimbo ni mzuri mno hauchuji hunifariji saana Mungu awabariki.
naupenda sana huo wimbo nalilia uzima aic shinyanga mubalikiwe na bwana nawapenda sana
Utukufu Hadi utukufu,pasipo unyenyekevu duniani unakosa mengi Sana
Wimbo huu tunafundishwa kuwa wakarimu kwa wenzetu naomba bariki familia zetu na jamaa, ndugu, na marafiki Amen
Barikiwa sana nyie watu
Wimbo wangu bora miaka yote ❤❤
For sure, we need to humble ourselves even as our Lord and Saviour Jesus Christ humble himself . A very nice song
Dhz song Rilly inspires me na enyewe twapaswa kaa wakiristo kunyenyekea ufalme Wa mungu muumba wetu hallelujah
Z
God continue blessing Wana AIC Chang ombe
kazi nzuri sana wana chior ya aic chang'ombe nyimbo zenyu zapndeza sana, lazima nije kutembelea kanisa hilo, heko sana endeleeni vivyo hivyo
Who is watching 2018 June karibia tuombee sana Mungu atusaidie tunyekee chini yake
Nyimbo zenu zinabariki sana, Mungu awabariki kabisa. smen
Wow what a blessing 1 Peter 5 , 6-7
mungu azini kumtumia solo uyu wa kimataifa azidi kusogeza uduma ya mungu mbele
nabarikiwa sana even tears drops for the message of the song
thanks good fro my mom she is leader of this song nyenyekeeni
Nice vocals i like
Eric spuspallelo she is a good singer and dancer too
Eric spuspallelo she has a son
She's Lydia kashimba
wimbo mzuri sana..Bwana azidi kuwabariki
wonderful songs with touching messages. mzidi na kuhubiri neno la Mungu
A wonderful song there with a message. God bless CVC
tis such a blessing one
Mungu awatie nguvu katka uimbaji wenu ,
Shalom watumishi wa MUNGU wetu alie hai, hakika huu wimbo hua unanipatia amani isiyo na kifani.MUNGU wetu awabariki sana katika huduma yenu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Tumebalikiwa ❤
Aict changombe vijana
mungu awatie nguvu ktk huduma inatutia nguvu
Be blessed Sana nawamis Sana huku Kenya machakos ..
changombe jameni mnatubariki,endereeni hivyo hivyo
Wow!! This song is inspiring, keep it up guys.
This song like sung today morning
asanten sana kwa wimbo mzuri nyimbo zenu zote zinanibariki ndugu zangu
Nabarikiwa nikiwa nasikiliza hii nyimbo❤❤
Wimbo mtamu sana naupenda
huyu dada aliyeanzisha wimbo wa nyenyekeeni hunifanya nanunua cd zenu ananibarik sana simchoki
Abarikiwwe mtunzi wa Wimbo huu sauti zimetulia na zinachambuka toka ya 1-4 mi hubarikiwa saana
Nitanyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari
Bi.Lydia na sauti kuu yuaimba vizuri Kabisa!
AIC for life ❤so amazing 🎉🎉
nabarikiwa sana na nyimbo zenu aic chang'ombe
Mwenyezi Mungu awape nguvu
2023 and still blessed by the song and choir
Mubarikiwe sana
Neno la Mungu ni tamu kweli.
I love so mch this song BG up sn wapendwa
Great song. Really blessed.
you bless my soul immensily
Nyenyeken chini ya mkono wa mungu
A nice song waah
Mungu awabariki sana kwa Huduma ya kiroho mnayoieneza.mnaimba vizuri
hawa wako vzr sna,God bless you times 70
Bax Boy New songs
message is so clear
mbarikiwe sana na huduma nzuri Mungu awazidishie na kuwaimarisha kiafya shetani asipate nafasi
Good nice for nyenyekeeni
Amina
Surely this AIC choir is leading in Africa , truth listenable words, biblical and rhythmic
Very blessing songs be blessed
amazing song with message
Mungu wa mbinguni awabariki sana
2022 here listening 🥰
good song full of scripture
Nabarikiwa sanaaaa
Great 👍
munanibaliki sana
mubarikiw
Be blessed U all for God's work
so grea t song, GOD bless changombe chior.
Mubarkiw
Nabarikiwa na sana na wimbo huu asanteni.
A touching 🎵 .
feel happy for to,hearing
naupenda sana wimbo huu nyenyekeeni siku nikija Dar takuja kanisani kwani nawapenda wanakwaya wote mbarikiwe sana
naupenda sana hii kwaya ya changombe mungu awabariki sana
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu
God bless
God bless you
a good song indeed
mnanibarik san mbalkiwe
So touching
Good song
Nice
Nani wakugusa moto wenu
Powerful
Barikiwa
Mwamini robart
💖💖💖💖💖💖
Amen
very nice
raha sana
Hi
Diamond platnumz
Lakini hiyo jina changombe hunikasirisha
YGGE young generation global empowerment jina la eneo lilipo kanisa hapa dar Ulitaka wajiiteje? Jina ni kizungu ama?🤣🤣jw
Mbarikiwe nabwana
nabarikiwa na nyimbo zenu mpaka natamani kujiunga je nitakaribishwa namba zangu hizo dhehebu sio shida 0752966433 plz
That song bless me to maximum
7
good
nice
Mungu wa mbingu na nchi awabariki sana wapendwa watumishi wa mungu 🙏🙏
Huu wimbo naucheza kila siku na ni baraka kwangu kila mara napojihisi kuwa na madeni mingi. N wa ngapi tunautazama 2021?
Huu wimbo wenu "nyenyekeeni" hunibariki sana,Mungu awabariki na azidi kuwainua ktk utumishi Mkuu mlioitiwa.
I can't get enough of this song....I think this the best song so far changombe have ever done.... God bless you and continue adding more wisdom on music.
Much Love from Kenya
Always you bless my heart whenever I listen to your songs, from Kenya
2024 and still feels like it was released yesterday. Blessings
Huu wimbo nimeutafuta sana nabarikiwa sana
Waimbaji na watunzi bora wa muda wote. Mungu azidi kuwapa hekima hii ya ibada ya nyimbo
Hii ndiyo kwaya yangu ya muda wote Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake
Tunyenyekee chini ya mkono wa Mungu, unanibariki sana wimbo huu....!, mbarikiwe sana enyi waimbaji aic vijana kwaya
Wimbo ni mzuri mno hauchuji hunifariji saana Mungu awabariki.
naupenda sana huo wimbo nalilia uzima aic shinyanga mubalikiwe na bwana nawapenda sana
Utukufu Hadi utukufu,pasipo unyenyekevu duniani unakosa mengi Sana
Wimbo huu tunafundishwa kuwa wakarimu kwa wenzetu naomba bariki familia zetu na jamaa, ndugu, na marafiki Amen
Barikiwa sana nyie watu
Wimbo wangu bora miaka yote ❤❤
For sure, we need to humble ourselves even as our Lord and Saviour Jesus Christ humble himself . A very nice song
Dhz song Rilly inspires me na enyewe twapaswa kaa wakiristo kunyenyekea ufalme Wa mungu muumba wetu hallelujah
Z
God continue blessing Wana AIC Chang ombe
kazi nzuri sana wana chior ya aic chang'ombe nyimbo zenyu zapndeza sana, lazima nije kutembelea kanisa hilo, heko sana endeleeni vivyo hivyo
Who is watching 2018 June karibia tuombee sana Mungu atusaidie tunyekee chini yake
Nyimbo zenu zinabariki sana, Mungu awabariki kabisa. smen
Wow what a blessing 1 Peter 5 , 6-7
mungu azini kumtumia solo uyu wa kimataifa azidi kusogeza uduma ya mungu mbele
nabarikiwa sana even tears drops for the message of the song
thanks good fro my mom she is leader of this song nyenyekeeni
Nice vocals i like
Eric spuspallelo she is a good singer and dancer too
Eric spuspallelo she has a son
She's Lydia kashimba
wimbo mzuri sana..Bwana azidi kuwabariki
wonderful songs with touching messages. mzidi na kuhubiri neno la Mungu
A wonderful song there with a message. God bless CVC
tis such a blessing one
Mungu awatie nguvu katka uimbaji wenu ,
Shalom watumishi wa MUNGU wetu alie hai, hakika huu wimbo hua unanipatia amani isiyo na kifani.MUNGU wetu awabariki sana katika huduma yenu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Tumebalikiwa ❤
Aict changombe vijana
mungu awatie nguvu ktk huduma inatutia nguvu
Be blessed Sana nawamis Sana huku Kenya machakos ..
changombe jameni mnatubariki,endereeni hivyo hivyo
Wow!! This song is inspiring, keep it up guys.
This song like sung today morning
asanten sana kwa wimbo mzuri nyimbo zenu zote zinanibariki ndugu zangu
Nabarikiwa nikiwa nasikiliza hii nyimbo❤❤
Wimbo mtamu sana naupenda
huyu dada aliyeanzisha wimbo wa nyenyekeeni hunifanya nanunua cd zenu ananibarik sana simchoki
Abarikiwwe mtunzi wa Wimbo huu sauti zimetulia na zinachambuka toka ya 1-4 mi hubarikiwa saana
Nitanyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari
Bi.Lydia na sauti kuu yuaimba vizuri Kabisa!
AIC for life ❤so amazing 🎉🎉
nabarikiwa sana na nyimbo zenu aic chang'ombe
Mwenyezi Mungu awape nguvu
2023 and still blessed by the song and choir
Mubarikiwe sana
Neno la Mungu ni tamu kweli.
I love so mch this song BG up sn wapendwa
Great song. Really blessed.
you bless my soul immensily
Nyenyeken chini ya mkono wa mungu
A nice song waah
Mungu awabariki sana kwa Huduma ya kiroho mnayoieneza.mnaimba vizuri
hawa wako vzr sna,God bless you times 70
Bax Boy New songs
message is so clear
mbarikiwe sana na huduma nzuri Mungu awazidishie na kuwaimarisha kiafya shetani asipate nafasi
Good nice for nyenyekeeni
Amina
Surely this AIC choir is leading in Africa , truth listenable words, biblical and rhythmic
Very blessing songs be blessed
amazing song with message
Mungu wa mbinguni awabariki sana
2022 here listening 🥰
good song full of scripture
Nabarikiwa sanaaaa
Great 👍
munanibaliki sana
mubarikiw
Be blessed U all for God's work
so grea t song, GOD bless changombe chior.
Mubarkiw
Nabarikiwa na sana na wimbo huu asanteni.
A touching 🎵 .
feel happy for to,hearing
naupenda sana wimbo huu nyenyekeeni siku nikija Dar takuja kanisani kwani nawapenda wanakwaya wote mbarikiwe sana
naupenda sana hii kwaya ya changombe mungu awabariki sana
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu
God bless
God bless you
a good song indeed
mnanibarik san mbalkiwe
So touching
Good song
Nice
Nani wakugusa moto wenu
Powerful
Barikiwa
Mwamini robart
💖💖💖💖💖💖
Amen
very nice
raha sana
Hi
Diamond platnumz
Lakini hiyo jina changombe hunikasirisha
YGGE young generation global empowerment jina la eneo lilipo kanisa hapa dar
Ulitaka wajiiteje? Jina ni kizungu ama?🤣🤣jw