@@samboy9990 kulingana na ninavyowajua maimamu wa ilmu wetu kama kina bin smet na kina muhdhaar wa tariim, naona kama sio sawa kuinuana daraja ambazo kiukweli bado kufika, pamoja na kuwa ana elimu, ila kufikia cheo cha maimamu bado sanaa, ukikaa chini ya ulamaa utafahamu hilo.
Allahuma Ghafir lahu Warham hu askanahu makana fil janat
رضي الله عنه
اللهم غفر له ورحمه واسكنه في الجنة
Mashallah
Allah akurahamu ya Imam
Allah amrahamu sayyid Muhammad Al Beidh
❤❤❤
Huyo anauliza ustadh Muhammad ni imam gani ni imaam ki ilmu kwa kiwango cha elimu alikuwa nacho afaa kuitwa imaam.
Kila fani ya ilimu mungu kampa alhamdulillah mungu amrehemu
Somo Moja wapo katika haya Mawaidha ni Twawadhu
Sheikh anasema UKIWA NA TWAWADHU UTAFAA
Masha Allah
Al Imam, ni kama imam shafii ama alikuwa imamu wa mskiti?
Kwani ww uimam umeufahamu vp
@@samboy9990 kulingana na ninavyowajua maimamu wa ilmu wetu kama kina bin smet na kina muhdhaar wa tariim, naona kama sio sawa kuinuana daraja ambazo kiukweli bado kufika, pamoja na kuwa ana elimu, ila kufikia cheo cha maimamu bado sanaa, ukikaa chini ya ulamaa utafahamu hilo.
Wacha chuki
Vyovyote ujuavyo ndo hvyo hvyo
@@user-bp6fb6wo5uHuyu imamul rahil anafaa kuitwa imam na hata waliompatia cheo cha uimam si watu wa uswahilini ni wanazuoni wa hadhramawt ndugu yangu